MKE WA BODABODA ALIEKATWA MIGUU NA MIKONO ASIMULIA MWANZO MWISHO TUKIO LA MUMEWE KUTEKWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 100

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 7 місяців тому +27

    Mdada mzuri mashaalah,moyo wako huo usimuache mwenzio labda kifo kiwatenge

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 7 місяців тому +5

    Dada hongera kwa moyo wako wa upendo na uvumilivu Mwenyezi Mungu akuzidishie moyo huo chonde chonde usije ukamuacha au kumtesa mwenzio nakuomba sana dada 🙏🏻😢

  • @brunoh_bx
    @brunoh_bx 7 місяців тому +5

    Dah! dada wa watu masikinj, hili ni jaribu kubwa san na kuna miamba wanaweza kutumia huu mwanya kumhadaa huyu dada. Mungu amsaidie tu asije akabadilika🙏

  • @user-oj2cd7db8l
    @user-oj2cd7db8l 7 місяців тому +4

    Jamani kweli Duncan kuna mitiani
    Mungu wa mbiguni awatie nguvu vijana wetu na familia nzima
    Ila Mungu yupo aliyefanya unyama huu mkono wa Mungu utashghulika naye

  • @YunusiAthuman-ep5mc
    @YunusiAthuman-ep5mc 7 місяців тому +8

    Dada yangu naomba uwe na msimamo usisikilize mashoga wabaya tulia mungu atakujalia

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 7 місяців тому +3

    mashaAllah anamke mzurii Allah akupe hio moyo y kuendelea kumpenda Lucca's

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 7 місяців тому +5

    Mungu akutie nguvu na uckubali shetani apenye kwenye ndoa yko ayo ni majaribu lkn ukiamini Mungu utashinda ameen

  • @IsuAbdallah-h9m
    @IsuAbdallah-h9m 28 днів тому

    Pole sana shemej yetu mungu atakulinda na endelea kuonesha upendo usikubal wanazengo wakuachanisho inshaallah

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 7 місяців тому +4

    Watu wanaroo ngumu sana pikipiki unamfanyia unyama kama huu poleni sana mungu ATAWABALIKI Ameen 😢😢😢

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 3 місяці тому +1

    Pole mpendwa,yesu kristo ni bwana na katikt ya hili jaribu ipo sauti ya Mungu inaongea, Mungu yupo upande wenu Kila kitu kutakuwa sawa

  • @mwanashasjambia8572
    @mwanashasjambia8572 7 місяців тому +3

    Mashallah mke mzuri sana ,mudumie mumeo DDA usimuache huo ndoupendo wathati.

  • @bujikumahega5086
    @bujikumahega5086 3 місяці тому +1

    Mdada nakutamkia mafanikio kama utamvumilia mmeo mkaishi naamini ipo SIKU MOJA uchumi wako utasimama na endeleeni kuzaa usimdharau HUYU kaka ukimpuudha utakuwa na mwisho mmbaya kuliko unavyodhani!! Natamka kwa IMANI hai MUNGU MWENYEWE asikie na atende ipasavyo, AMEN

  • @mugishamajeba9628
    @mugishamajeba9628 7 місяців тому +5

    dah poresana mudogo wangu mungu akutakurie uweze kumutunza mumeo

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 2 місяці тому +1

    Mwanamke mrembo sana. Au kuna mtu alimtongoza huyu dada akagoma. Wakaona wamfanyie umafia. Mh! Nahisi tu. Maana ukiwa na mwanamke mrembo na wewe maskini mh! Kwenye bible kuna jamaa alishaona uzuri wa mkewe utamfanya afe. Akaamua kumwambia mkewe wewe nitakuita dada. Haya mambo haya. Mungu tusaidie

  • @AsiaBakari-rb2ok
    @AsiaBakari-rb2ok 3 місяці тому +1

    Wew dada usije uka mtoroka huyu kijana nakuomba maisha yako yata haribika

  • @user-fr7jj1bo7y
    @user-fr7jj1bo7y 7 місяців тому +5

    Mungu awatie nguvu na nawaomba watanzania wenzangu kusaidia familia ya bodaboda huyu

  • @thuraiyathuraiya401
    @thuraiyathuraiya401 7 місяців тому +2

    Jamani binaadam wabaya kweli kumfanya mwenzao hivyo ila mungu mwema ❤

  • @laurianogerold5129
    @laurianogerold5129 7 місяців тому +8

    We dada Siku ukimkimbia huyu kaka ndo maisha yako yataharibika forever

  • @SadikiSaidi-q4r
    @SadikiSaidi-q4r Місяць тому

    Munguyupo tusiwehivojamani kwani shidann dadampendemumeo munguatawatanguriadaima amin

  • @ShaibudaimuadamuShaibu
    @ShaibudaimuadamuShaibu Місяць тому

    pole sana dada yangu kwa mtiani uliopewa mlee mmeo mungu atakulipa usithubutu kumuacha ayo yote kapanga mungu yeye ndio mtoaji wa yote iwe fraha au kilio usababishwa na yeye.

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 7 місяців тому +6

    Mumeo ni mlemavu wa miguu na mikono, lakin yale mengine (uwanja wa seremela) yuko njema..hapo hamna kumkimbia

    • @janelunanilo162
      @janelunanilo162 7 місяців тому

      Jaman maneno gan haya tena

    • @gasperelasto8842
      @gasperelasto8842 7 місяців тому +6

      @@janelunanilo162 ndo uwezo wake wa kufikiri ulipoishia

  • @TanikoJuma
    @TanikoJuma 2 місяці тому

    pole xana dada mungu akutie nguvu

  • @frankfelix3876
    @frankfelix3876 7 місяців тому +2

    Naomba usije mtenga mwenzio hujafa hujaumbika mungu awatie nguvu

  • @IssinhoIssa-gw3zy
    @IssinhoIssa-gw3zy 2 місяці тому

    O vosso futuro seja eterno, Deus no comando. Rápidas melhoras LUCAS

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 7 місяців тому +7

    Huyu dada namwangalia tu ila navyoona huko mbeleni atajiongeza apite hivi

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 7 місяців тому +4

    Yataka moyo mkubwa sana mwanangu mungu atakusaudia

  • @peridhahassan2891
    @peridhahassan2891 2 місяці тому

    Poleni sana Mungu awasaidie awatie nguvu

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 7 місяців тому +5

    Mkewe mzuri

  • @NaomiKibela
    @NaomiKibela 27 днів тому

    Mwenyez Mungu awalinde waishisalama wasitengane

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 7 місяців тому +2

    Ukafa ujaumbika aisee Mungu atupe mwisho mwema

  • @EsterNyakite-we8nt
    @EsterNyakite-we8nt 2 місяці тому

    Jaman pole san dada mung akutie nguv

  • @janelunanilo162
    @janelunanilo162 7 місяців тому +4

    Pole mwanamke mwenzangu Mungu akupe moyo mkuu

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 7 місяців тому

      Hakuna kitu uyo dada ni binadam ana moyo ,labda apate msaada wa kweli na wa uhakika lasivyo ndugu wa mwanaume kazi ipo , ((Allaa Kariim))huo mtihani ni mkubwa,, sana, ktk hii dunia isijifanye mwamba kwa mambo ya watu ,,utaumizwa huyo lazima alijifanya mwamba

  • @user-ig2dr8df6f
    @user-ig2dr8df6f 6 місяців тому

    Pole San kaka angu mung akufungurie Barak na afya njema

  • @SelemanMnali
    @SelemanMnali 3 місяці тому

    Dada mungu awahangazie muwena afya njema mubarkiwe

  • @user-tv7yx8nt5k
    @user-tv7yx8nt5k 7 місяців тому +1

    Pole sana. MUNGU akutie nguvu

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 7 місяців тому +2

    Dada mzuri mungu awasaidie jmn

  • @HawaOman
    @HawaOman 13 днів тому

    Dada usimahe huyu kaka mungu atakulinda

  • @colletatesha5265
    @colletatesha5265 7 місяців тому +2

    Mungu yupo atakusaidia mwanangu

  • @EdigarSamweli
    @EdigarSamweli 3 місяці тому

    Dar jaman mungu awafanyie wepes sana🙏🙏🙏

  • @StelaMkokwa
    @StelaMkokwa Місяць тому

    Dash pole aisee usimdharau kwa majanga alionao mungo atawazidishia

  • @SakinaWanjemu
    @SakinaWanjemu 3 місяці тому

    Pole sana dada mungu yuko nawewe

  • @SephaniaErasto
    @SephaniaErasto 7 місяців тому +3

    Yesu kristo Mtunze

  • @user-rr4jm3bw4w
    @user-rr4jm3bw4w 7 місяців тому +2

    Mwenyezi mungu akijaalie we dada awape umri mrefu

  • @AsifiweJosia
    @AsifiweJosia Місяць тому

    Dada angu usujalibu kumuacha uyo kaka iyo. Yote nimipango yamungu uwe na uvumilivu

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 7 місяців тому +1

    Dada mzur ❤

  • @alhajimbare1065
    @alhajimbare1065 3 місяці тому

    Naomba namba za huyo dada. Ni mjengeee na yeye

  • @tamimuomulungi2102
    @tamimuomulungi2102 7 місяців тому +3

    Naomba namb nichangie had roho imeniuma

  • @user-mk1qz1mn7w
    @user-mk1qz1mn7w 7 місяців тому +1

    Polesana kijana mwenzangu

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 7 місяців тому +2

    Dada asha nawaombea kwa Mungu hasa wewe siku 1 ukamilike kuwa malkia wa nguvu og.maana teyari umeanza kunyang'anyilo hicho.

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 7 місяців тому +2

    Wowowow kazuri kweli wife Yetu🎉Hongera ww ni mwanamke na nusu😢

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 3 місяці тому

    Mungu awahukumu waliofanya hicho kitendo

  • @meckmussa1840
    @meckmussa1840 7 місяців тому

    Mungu akufanyie wepesi

  • @Bonita-kb7ih
    @Bonita-kb7ih 3 місяці тому

    Mungu atawasaidia poren sana

  • @RoanCorporation
    @RoanCorporation 2 місяці тому

    WEKENI SIMU YAKE TUWESE KUMSAIDIA NA FIDIA

  • @philemonmagesa5548
    @philemonmagesa5548 7 місяців тому +1

    Huyu dada ana moyo wanawake wengine kwenye hali hiyo ya mumewe anamtosa anakimbia

    • @brunoh_bx
      @brunoh_bx 7 місяців тому

      Bado muda hatujui pengine nae anaweza akabadilika baadae

  • @mshambaused3840
    @mshambaused3840 7 місяців тому +1

    Mungu ampe nguvu

  • @STAN_MACOMPUTER
    @STAN_MACOMPUTER 3 місяці тому

    Dah!!!!!!!! Jaman hii dunia😭😭😭😭😭

  • @mohamedmahmudali9346
    @mohamedmahmudali9346 7 місяців тому

    Subhannallah

  • @user-dp4jz2sw6j
    @user-dp4jz2sw6j 3 місяці тому

    Pole Sana Lucas

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 7 місяців тому +1

    Watu wanaroho mbaya 😢

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 7 місяців тому

    Poleni saana

  • @hassaniibrahim300
    @hassaniibrahim300 7 місяців тому +1

    Number Za simu zao

  • @florianiurio2524
    @florianiurio2524 7 місяців тому

    Mh we mungu

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 7 місяців тому

    Mbn mimi sikutani na mwanamke kama huyu mungu dah

  • @ringicnation3722
    @ringicnation3722 7 місяців тому

    Pole dada

  • @claudesimukoko1436
    @claudesimukoko1436 7 місяців тому

    Poleni

  • @Ashely-wp9ox
    @Ashely-wp9ox 6 місяців тому

    😢

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe 3 місяці тому

    😭😭😭😭

  • @NdakiDoyi
    @NdakiDoyi 3 місяці тому

    dada usimsaliti mwenzako

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 7 місяців тому

    Jaman we dada usije ukamkimbia huyo kaka

  • @khamismgunya4519
    @khamismgunya4519 7 місяців тому +2

    Daaa haya maisha tulipo fukia ni shida

  • @NaaMakanu
    @NaaMakanu 5 місяців тому

    Mung akupe moyo wa xubla

  • @sadickiChizelema
    @sadickiChizelema 4 місяці тому

    pole sana broo

  • @kainimlowe9646
    @kainimlowe9646 7 місяців тому

    Hakiya mungu huyu bibie atakimbia

  • @user-rf9vn7lz1n
    @user-rf9vn7lz1n 7 місяців тому

    Uyu mtu aliyefany hivyo jaman roh ya kinyam hay machoz ya hiy famili ipo sik yatajijib kweny familia zenu pole dada ni mitian tyu ya dunia kikubw awakumuuwa atakaa sw tyu

  • @user-zk2cn7xf9g
    @user-zk2cn7xf9g 7 місяців тому

    Hawaja owana hao sio mkewe nakwawanawake wa bara atamkimbia tu

    • @user-ne9nd5np7n
      @user-ne9nd5np7n 7 місяців тому

      Ata akimkimbia mpaka apo kumuuguza sio jambo dogo

  • @JacksonLaiza-tq4td
    @JacksonLaiza-tq4td 7 місяців тому

    4:32

  • @sixberttindwa9622
    @sixberttindwa9622 7 місяців тому

    Poresana

  • @saidkhamis9507
    @saidkhamis9507 7 місяців тому

    Lkn hili tukio ni lazamini mbona!

    • @ramadhanijuma4130
      @ramadhanijuma4130 7 місяців тому

      Ndio maana umeambiwa hakupata bahati ya kuongea na mke wake

  • @marrypeter407
    @marrypeter407 6 місяців тому

    Mungu wangu tuokoe

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 7 місяців тому

    Wich;; is wich

  • @user-mi7cd8ch1b
    @user-mi7cd8ch1b 3 місяці тому

    We mdda bado Binti mdgo Fanya kazi mume ndio kashakuwa kilema we ndio ushike msukan hacha kujiregeza jikaze

  • @Imaniamockgmail
    @Imaniamockgmail 4 місяці тому

    Pole dada kwa kuuguza mungu akutie nguvu mrembo wewe kweli ni mke mwema barikiwa sana dada🙏

  • @user-pk1qu4jw8l
    @user-pk1qu4jw8l 6 місяців тому

    😢😢😢😢