TAJIRI WA MABUS SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 392

  • @ShedrackmartinBalama
    @ShedrackmartinBalama 2 місяці тому +27

    Kweli nidhamu na kazi tajiri anaongea vikubwa sana asante boss

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 2 місяці тому +42

    Super Feo. Nilidhani ni Mwarabu 😂😂😂 Asante Sana Omary Msigwa

    • @zolongOne
      @zolongOne 2 місяці тому +1

      Mimi nilijua ni ya wachina ndivyo nilivyokuwa nasikia

    • @husseinmahenge3176
      @husseinmahenge3176 Місяць тому

      😂😂😂 mkinga WA njombe huyo

  • @Economically-Growth-Musicians
    @Economically-Growth-Musicians Місяць тому +3

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations sana Mzee Akili Mingiiii🎉🎉🎉🎉
    Nidhamu
    Juhudi
    Nia
    Upambaji
    Dua...

  • @evancemoevt8597
    @evancemoevt8597 2 місяці тому +22

    Ungemuuliza mbona Kuna Feo na Selous kwenye Ofisi Moja!???😂😂😂😂😂

    • @vladimirputn1809
      @vladimirputn1809 2 місяці тому

      Xotenizake

    • @chrisekonga9092
      @chrisekonga9092 2 місяці тому +1

      Selous ni mbuga ya wanyama na hifadhi ya serikali ipo Songea

    • @mohdkhamis2914
      @mohdkhamis2914 2 місяці тому

      ​@@chrisekonga9092kuna kampuni ya mabasi songea inaitwa Selous na inamilikiwa na uyo super feo

    • @MirajiMahamudu
      @MirajiMahamudu 2 місяці тому

      Wale wachina vp

  • @fadhilimholo4722
    @fadhilimholo4722 2 місяці тому +11

    mr omary ma rol model much love from 🇺🇸

  • @brightonchedego8100
    @brightonchedego8100 2 місяці тому +7

    Elfu20 ya Miaka 32 iliyopita kwasasa jua kuwa ni pesa ndefu,maana mwaka 1992 sipati picha Elfu20 ilikuwa na thamani gani,pia darasa la saba la miaka 32 iliyopita siyo sawa na ya kipindi hiki,hivyo muwe mnaandika vizuri vichwa vya habari zenu

  • @AshaMwamba-i7g
    @AshaMwamba-i7g Місяць тому

    Mungu akupe maisha marefuu. Ya undelee na miradi yakoo

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z День тому

    Ongera sana mtani wangu🎉🎉🎉

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 2 місяці тому +11

    Hongera sanaaa kwa kazi na kufanikiwa, AKILI kubwa

  • @saulimmbaga.safisana9556
    @saulimmbaga.safisana9556 2 місяці тому +9

    Mzee yuko vzr sana ni.mcheshi sana

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 2 місяці тому +29

    Wale wenye fikra mbovu eti elimu ni ufunguo wa maisha ,waseme Mungu ndiye mwenye kufungua maisha

    • @RonnieBertin
      @RonnieBertin 2 місяці тому +1

      True Kuna wengi

    • @josephmchomvu6770
      @josephmchomvu6770 2 місяці тому

      Mkuu badoo elimu n ufunguo utake usitakee babaaa

    • @HabibuUrasa
      @HabibuUrasa 2 місяці тому

      Hata km huna elimu ,utakula utavaa na utakunywa wapo wenye elimu wamechoka mbaya

    • @josephmchomvu6770
      @josephmchomvu6770 2 місяці тому

      @@HabibuUrasa hatusemei kuchokaa balii n kuwa utatumia tu io elimu yakoo bd hata km n ndg mkuu.. ili upate maisha bombaa.

    • @HabibuUrasa
      @HabibuUrasa 2 місяці тому

      Kuna watu hawajui kusoma wala kuandika lakini ni tajiri nafasi ya elimu haipo 👍👍😁😁😁😁😁😁

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 2 місяці тому +25

    Mim nimeanza na shilingi elfu 50 kuku wa nyama nashkuru MUNGU nmefanikiwa kuwala wote

    • @ShukuruMgimba
      @ShukuruMgimba 2 місяці тому +2

      😁😁😁

    • @B-S-S-P
      @B-S-S-P 2 місяці тому +1

      Congratulations Big up!! Canning what you eat and eating what you can is "Wisdom from above"Few can understand!!The Benas from Njombe says"Che wililye che chako"Fya vene maganga"!!What you eat is yours,belongings of others are like stones!!Ulacho ndi ho chako,Hivyo vingine ni sawa na mawe au kokoto utaviacha tu!!!Uwe umeiba au ni halali vikizidi utaacha "Watakula wengine!!Toil&Sweat 4what you can eat!Vinginevyo utakula Kwa macho na kwa maskio!Great great ,Grave Penalty of life!!CIAO!!!

    • @innocensiapius
      @innocensiapius 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂

    • @shammhagama2527
      @shammhagama2527 2 місяці тому +1

      Kweli hii nch Ina vijana wa hovyo 😅😅😅

    • @dorcasassenga2005
      @dorcasassenga2005 Місяць тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣Wewe ni hatariiii

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 2 місяці тому

    Barikiwa sana, Asante sana,kwa ushuda huu,mimi nilianza na msingi wa elfu tano

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 7 днів тому

    Aya mzeee kama uyo kingia bank ta mchukulia kama fala fulani shati ime jikunja jamani angalien sana wanao vaa vizr sio wenye pesa kimwangalia uyo boss apo tasema apana uyu fanyakaz lakin chek uyo jamaa alivo simple tu lakin lina pesa mpka safi mzeee wangu wengine wajifunze kupitia wewe🤗

  • @jimmundakege
    @jimmundakege 2 місяці тому +15

    Hongera sana kwa juhudi na mafanikio ya biashara zako!

  • @JoniaIssaya
    @JoniaIssaya Місяць тому

    Mungu azidi kukulinda, na kuisimamia biashara yako nikweli usemalo ,nidhamu ni muhimu, Mungu awe nawe play for you uncle,,

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 2 місяці тому +2

    ❤❤❤ Masha Allah Masha Allah Tabarak Rahman... uyo ndie Allah ndie aliemuwezesha

  • @histour0928
    @histour0928 2 місяці тому +1

    20,000/= ya 1990 na ya Leo ni vitu viwili tofauti lakini nidhamu ya fedha na mipango imemfikisha hapo. Big up

  • @ShamsiMikdad-bj7me
    @ShamsiMikdad-bj7me 2 місяці тому +2

    Masha allah mungu akupe mwishomwema

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 2 місяці тому +2

    Mshukuru mwenyezi mungu alikupa akili ya kutafuta pesa ungetafuta maisha ya watu ungekwama shida bin Adam wengi wanatafutana wanakumbuka maisha umri umepita

  • @rhymsalsteven5504
    @rhymsalsteven5504 2 місяці тому +1

    mkuna mjinga mmoja anatuhela twa kula chipsi basi yeye anatamba kila siku kujisifu yeye ni mpambanaji yeye ndie anaakili nyingi kuliko wengine na anawaita wenzake ni mbwa tu duhh aise haya maisha tu ona wenye hela zao wanavyoongea kwa hekima na busala. GODLOVE KAA KIMYA MAISHA HAYANA FOMULA.

  • @hawa6052
    @hawa6052 Місяць тому

    Hongera sana Allah akubarik

  • @ZainabuMsengec
    @ZainabuMsengec Місяць тому +2

    Tutafute ela ana miaka 52 lkn ni kama ana miaka 30 ukiwa na hela hata mwendo unachange😊

  • @angelinnamkingi2219
    @angelinnamkingi2219 Місяць тому

    Unachosema ni kweli boss,miska ya 80 wanafunzi walikuwa wanafauru wachache sana ,Ila MUNGU ni muweza maisha yanaendelea

  • @franklukazula
    @franklukazula 2 місяці тому

    Wow safi sana ❤ from Burundi 🇧🇮 🇲🇼 Napenda sana wajasilamali

  • @AmaniMwenda-q9r
    @AmaniMwenda-q9r Місяць тому

    Huyu mwaba nakumbuka aligombana na fundi wangu kisa mm daa Sito saau na ndiye aliye nipa ujeuli.❤🎉

  • @vickgrace4487
    @vickgrace4487 2 місяці тому +2

    Upo simpleeeeeeeee ..... Tz inakuombea naamini Ulindwe na Mungu

  • @IddyAmir-gq1jr
    @IddyAmir-gq1jr 2 місяці тому +11

    Halafu mtu analinga na digri na hata uwezo wa kumiliki bus moja Hana 😂

    • @AgaboLukas-m5w
      @AgaboLukas-m5w 2 місяці тому

      😂😂😂

    • @Tanza24
      @Tanza24 2 місяці тому +1

      Umeishiaa darasa la ngapi na unamabasi mangapi

    • @innocensiapius
      @innocensiapius 2 місяці тому

      Unasema basi hata kitanda tuu hana ana degree

    • @rmysportstv2734
      @rmysportstv2734 Місяць тому

      Bora huyo sasa mwingne hiyo digree hana na pesa hana😃😃😃

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 2 місяці тому +5

    Hongera sana,umeturahisishia sana usafiri watu wa Ruvuma.🎉

  • @deboy3323
    @deboy3323 Місяць тому +1

    Naomba kazi mzee

  • @YohanaMwaibeseisaya
    @YohanaMwaibeseisaya Місяць тому

    Big up sana kwako mkuu.

  • @AmaniMwenda-q9r
    @AmaniMwenda-q9r Місяць тому

    Mwaka 2001 najifunza ufundi tunatengeneza gali zake zinaishia ilinga alikuwa bado kijana tena alikuwa mstaalabu sana uyu kiongozi kama bado na loo hile hile mungu azidi kumpa maisha nalefu

  • @MathewKimambo
    @MathewKimambo Місяць тому

    Tudanganyee baba, mi siezii amini alafu sijasikiliza mpaka mwishooo, wandugu pesa zina mambo mingii mp

  • @issaomari5297
    @issaomari5297 2 місяці тому +5

    Nikwel kabisaaa anachosema nidhamu ya pesa nikitu kuhimu sana watu wanaanza nakidogo then wanatoboa wengi wanatembelea reli yaaan kama anapata laki tatu kwa mwez anatumia laki kwa mwez nyngne ana save ..tatizo sisi tunataka tufukuzane na vyote kwa wakati mmoja ule bata huku unaingiza pesa haziendan ...

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 2 місяці тому +2

    Hongera sana sana !

  • @ole_larusai587
    @ole_larusai587 2 місяці тому +15

    Kwani darasa la saba sio ELIMU?

  • @muneerhassan6042
    @muneerhassan6042 2 місяці тому

    Safi sana Mzee Omari. Hongera sana Baba.

  • @vickgrace4487
    @vickgrace4487 2 місяці тому +2

    MUNGU Akupe UHAI saana Mzee ucyejidai...

  • @PcgtMsalato
    @PcgtMsalato Місяць тому

    Hongera sana Msigwa

  • @azimioalbertongellangella8970
    @azimioalbertongellangella8970 2 місяці тому +4

    Mtu siiiiiiiiiiiiiiiimple hana mambo mengi ndo kitu tulicho jaliwa sisi wakinga💪💪

  • @MalikiKavindi
    @MalikiKavindi 2 місяці тому +3

    Super feo express hongera sana mzee wetu

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi Місяць тому

      Ww humuoni kama Bado kijana hyo? Au unamuita mzee kwa sababu ya maokoto? Yote na yote nampongeza sana hyu mwamba super feo acha tuendelee kujitafuta.

  • @RachelKalumo-iy5um
    @RachelKalumo-iy5um Місяць тому

    Ubarikiwe baba

  • @KuyiNdubilubi
    @KuyiNdubilubi 14 днів тому

    Acha zalau wew nizamu wakati sina hella

  • @emanuelkidali9733
    @emanuelkidali9733 2 місяці тому +12

    Darasa la saba huwa ndio watu wanaofanikiwa

  • @josephatmkomi6573
    @josephatmkomi6573 2 місяці тому +1

    Watu kama hawa ndio wapo real,na ata akiongelea pesa utamwelewa maana anazo,sio mtu anauza kitabu kinaitwa how to be a billionare,kwanini asikisome yeye awe billionaire??

  • @BarakaMlawa
    @BarakaMlawa 2 місяці тому

    hongera sana namimi najua nitafika mbele ya hapo

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 2 місяці тому

    Mungu akubariki kwa kutupa ushauri mzuri❤

  • @willymwaipaja6783
    @willymwaipaja6783 2 місяці тому

    Kutumainia elimu ili kuelimika au kushinda maisha ni kukosa ufahamu binafsi na kutomtumainia Mungu anaemwezesha nyuki kutengeneza asali

  • @adelinaamosi9437
    @adelinaamosi9437 Місяць тому

    Very very simple

  • @WinifridaMushi-m5e
    @WinifridaMushi-m5e Місяць тому

    Hongera sana super frog

  • @OlipyaWalioba
    @OlipyaWalioba 2 місяці тому

    Kweli kaka yangu, Hongera sana sana inatia moyo

  • @mselematrans3474
    @mselematrans3474 2 місяці тому

    Hongera sana boss Mungu aendelee kukupa uwezo zaidi

  • @Saidially-s2l
    @Saidially-s2l 28 днів тому

    Super feo nakubaliana na wewe ❤❤❤❤

  • @barakamlowe4440
    @barakamlowe4440 2 місяці тому

    Nakubar boss kama boss

  • @bnsonlinetv6132
    @bnsonlinetv6132 Місяць тому

    Kitu napendea wabena hawana kuringa na madharau hongera sana msigwa

  • @lucascosmas908
    @lucascosmas908 2 місяці тому +2

    Salute kwa mtangazaji na Tajiri sababu mtangazaji anajua kuoji na Tajiri anajua kujibu vizuri Asanteni

  • @lacroquetalacroqueta6813
    @lacroquetalacroqueta6813 2 місяці тому

    Elimu=Kuelewa+Kusoma+Kuandika=Baraka za Mwenyenzi Mungu

  • @DavidChengula-g5v
    @DavidChengula-g5v 2 місяці тому +2

    Hongera sana mwamba

  • @SirajiRashidy
    @SirajiRashidy Місяць тому

    Aisee jamani uyo tajir mmmh 😢😢😢

  • @AmaniMwenda-q9r
    @AmaniMwenda-q9r Місяць тому

    Huyu mwaba nakumbuka aligombana na fundi wangu kisa mm daa Sito saau na ndiye aliye nipa ujeuli.

  • @HilderNamala-yt5kd
    @HilderNamala-yt5kd Місяць тому

    Mbona anasema tumewekeza,kwani ni Yeye na nani?

  • @JninjaH2R
    @JninjaH2R 2 місяці тому +2

    Kupata pesa halali ni kazi sana

    • @shukranikayange2275
      @shukranikayange2275 2 місяці тому

      Unamaanisha nini😢😂

    • @XhebbyMandevu-u1h
      @XhebbyMandevu-u1h 2 місяці тому

      Utachelewa kupata hera kaka ukiwa na izo fikra

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 2 місяці тому

      Kwa akili yako nikwamba hii nchi ingekuwa na maskini watupu, mungu akishakupa tobo huwa hawapi wawili ni mmoja tu na huwa Kama miujiza kwa sabb kila ikifika jion kila mtu anaelekea kwake na akifika nyumban anafikiri la kwake sio kuwaza kwenda kunywa kima ww

    • @EdwardJohn-xz5oi
      @EdwardJohn-xz5oi Місяць тому

      ​@@agapemunyi2095😅😅😅😂😂😂😂

  • @AbduliMbawala
    @AbduliMbawala 2 місяці тому

    Kueni makini Sana 😊😊😊

  • @Barakah-l4x
    @Barakah-l4x Місяць тому

    Masha allah

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 2 місяці тому +2

    Pigeni Kelele Lakini Utajili Wa Mtu Unamuonesha Mtu Na Mtu Atajua Kweli Uyu Tajili Lakini Inje Ya Apo Akuna Kama Taifa Likiwa Na TRA Wakichimbua Kama Wanavochimbua Kwenye Maduka Yenu Mtaani Itajulikana Kama Nyuma Ya Mtu Yuko Nani

  • @KhassanKhalife
    @KhassanKhalife 2 місяці тому +1

    Mmmhh wakinga ao semeni ukweli njia izo.

  • @adelinaamosi9437
    @adelinaamosi9437 Місяць тому

    Angekua ni mama ungesikia malaya😂

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 2 місяці тому

    PUNJE NOMA SANA, zikiisha tu mara bwaaa kila kitu kinaishia hapo. Hongera sana

  • @JeremiasikilianiJeremiasikilia
    @JeremiasikilianiJeremiasikilia 2 місяці тому

    Congrats chief

  • @SuzanaNzugika
    @SuzanaNzugika Місяць тому

    Duhh alafu basi zote scania ... Kweli kuna ma boss hapa tz

  • @FredySemkiwa-or7kn
    @FredySemkiwa-or7kn 2 місяці тому

    Safi sana mzee

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 2 місяці тому +5

    Utajili hadiii uzeeke😂😂😂😂😂😂😂😂duuh

  • @Swahili_land001
    @Swahili_land001 Місяць тому

    Mtangazaji hajui kuhoji.
    Mzee superfeo amemuacha mbali sana

  • @KIMSwahili
    @KIMSwahili 2 місяці тому

    Masha'Allah

  • @GreyMbogela
    @GreyMbogela 4 дні тому

    Hakuna mahusiano kat ya mafanikio na elim Ni kujituma t

  • @VenlandaKilasi
    @VenlandaKilasi Місяць тому

    mwenzetu anatenga hadi mda wa kuangalia simu sisi asa duhh??

  • @vero57
    @vero57 2 місяці тому

    HONGERA SANA , HII NI MFANO MZURI HAPA 👌🏼

  • @BroDanielShekiyao
    @BroDanielShekiyao Місяць тому

    Aheri uanze kupambana na umasikini kuliko kupambana na kuondoa ujinga ,,,kusomasana unapambana kuondoa ujinga ukishamaliza inabidi wiingie mtaani upambane na umasikini sasa mbinu huna na muda ushasonga unaanza kuajiliwa na mtu alieanza kupambana na umasikini

  • @JoseWilson-vb2di
    @JoseWilson-vb2di 2 місяці тому +1

    Mbena huyo hatar sana uvaaje wake kama Hana hela kabisa

  • @futuregroup6921
    @futuregroup6921 2 місяці тому

    Interesting 🤔

  • @Deojames98
    @Deojames98 2 місяці тому +1

    Huyu jamaa kaanza kitambo sana nakumbuka enzi ninasoma songea boys alikuwa na costa tu chache za mbeya.

  • @SurprisedAstrolabe-id9gc
    @SurprisedAstrolabe-id9gc 2 місяці тому

    Namuomba alete mabasi kama ma 4 afungue ofisi ya kusafirisha mizigo kwenda Zambia mpaka Zimbabwe. Boss, leta ofisi Kariakoo mizigo ni mingi sana na mimi hapa nina uzoefu wa kazi kama hizo

  • @AlonPeter-g9o
    @AlonPeter-g9o Місяць тому

    mwondoko tuu ulionao mzee wangu na unavoongea kwa tabasamu inaonesha jinsi ulivona heshima

  • @XhebbyMandevu-u1h
    @XhebbyMandevu-u1h 2 місяці тому

    😂😂alafu wengine mnakamata noti za mbao mbwembwe nyingi usharobaro mwingi sasa igeni kwa uyu mzee

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 2 місяці тому +1

    Huyu mwmba gari zake kama sio zote basi nyingi ni SCANIA basi zenye bei kubwa kuliko basi zote hapa TZ

  • @JosephAdam-e9w
    @JosephAdam-e9w 2 місяці тому +5

    Watu wanaela jamani angalia ana bus kama 18 ss wengne ata pikipk inatutesa kuipata heeee mungu niinue namm niwasaidie wazazi wangu

    • @VenlandaKilasi
      @VenlandaKilasi Місяць тому +1

      tatizo kama saiz tuna baiskeli hatusalimii wazazi je hiyo boda itakuwaje ebu tuheshimu tulivyo navyo mungu atafungua njia

    • @JosephAdam-e9w
      @JosephAdam-e9w Місяць тому

      @@VenlandaKilasi labd kwako ss tunachokipata tunawasidia wazaz wetu na ww kama ndo una fonex usalii utakua unaujinga ndni mwako

    • @barakapaul6685
      @barakapaul6685 Місяць тому

      😂😂😂​@@JosephAdam-e9w

    • @mpepolucy5055
      @mpepolucy5055 Місяць тому

      kasema bus kama 60 sio 18 na lory kama 60

    • @JosephAdam-e9w
      @JosephAdam-e9w Місяць тому

      @@mpepolucy5055 mdogo mdogo hila watu ap tz wanaela vbaya mno sasa bus 60, Rori 60 kwasiku anaingiza shingapi awa ndo mungu kawachilia balaka mpaka znamwagka nass tuombe mungu atuoneshe njia

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 Місяць тому

    Yuko vizuri sana nampongeza ila wawe wanasema ukweli yaliyopo nyuma ya pazia haya mambo ya nilianza na 20000 mara nilianza na kuuza mchele kilo kumi.
    Hebu tuambieni ukweli

    • @AshraphJafar
      @AshraphJafar Місяць тому

      Umeongea Jambo la msingi san, ndgu thanks.

  • @MakalaMichael
    @MakalaMichael Місяць тому

    Nasikia hasira

  • @Mohammedmnyamani5
    @Mohammedmnyamani5 Місяць тому

    Home boy ume tisha nafata nyayo zako na mm nakuja mdogo mdogo

  • @JAIROSMLIMILA-cl1wp
    @JAIROSMLIMILA-cl1wp Місяць тому

    Bado hajasema anajua mwenyewe ulivyopata utajili.

  • @kakalovesimeone2532
    @kakalovesimeone2532 Місяць тому

    Oooh rafiki yangu huyu billionaire mi pia nimeanza na mtaji wa chini ya elfu 20 wow I am the next billionaire

  • @Deadskytz
    @Deadskytz 2 місяці тому +1

    Tajiri anaendesha makampuni makubwa anapata muda wa kushika cm kuangalia nani kamtafuta alafu kuna mtu dem wake anamwambia niko bize 😂
    Bro tupigeni kazi asee

  • @dominicanton4075
    @dominicanton4075 2 місяці тому

    Mue mna ongeaga ukweli bana Eti niliaza na mtaji wa Elfu ishirin aiseee

  • @Jaythabit
    @Jaythabit 2 місяці тому

    Hapana Bhana Kuna mda.tuwe na hofu na mungu

  • @ipepeetube449
    @ipepeetube449 Місяць тому

    Msidanganye watu elfu ishirini 😂😂😂😂

  • @mainermtabazi2659
    @mainermtabazi2659 2 місяці тому

    Uyu mwamba ni hatariiii Yani Bora majinjah ilamwamba hatarii uyuu

  • @josephmchomvu6770
    @josephmchomvu6770 2 місяці тому

    Jamaa kaelezaa njemaa san

  • @edwardsamike6181
    @edwardsamike6181 2 місяці тому +1

    My boss

  • @SebastianNgimba
    @SebastianNgimba Місяць тому

    hawasemagi ukweli hawa waliofanikiwa,,ila atoa hope

  • @JaneMkinga
    @JaneMkinga 2 місяці тому

    Hongera kwa kuinuliwa.lakini kwa sasa mabasi huduma ni mbovu wanapanga watu ndani ya basi, police wakiwashusha has ability wanatangulia kituo mbele wanapanda tena. Wafuatilie hilo njia ya dar na dodoma ni kero.

    • @JaneMkinga
      @JaneMkinga 2 місяці тому

      Fuatilia sana kaka yetu wafanyakazi wako wanaharibu utadhani unapanda mabasi ya mbinga au peramiho. Huduma mbovu sana kwa sasa