@@mohamediyusuph4290 sio kwa samia masna samia mwenyewe fisad ndi maana amemtoa kabsa huyu baba ila mungu yupo samia Allah mujuda samia inchi zote za haq zinakataza wezi kwahali ya juu we unawaonea wakomesha maovu Allah maujuda insha allah
Siku hz hata mkeo usimwamini Hasa pale unapoona maelewano ndani hakuna, ikifikia kwenye issue ya vitita vya pesa inaweza kuwa ni sehemu ya kukukomoa once and for all
Baba Dee kuna mume alimtega mkewe njiani akampora pesa za vicoba.Na alishirikiana nae vzr kwenda Police ila mke aligundua baada mume kumgaia mkewe hela ya matumizi elf 10 ambayo mke aliikariri iliandikwa na kalamu
Sometime najiuliza hawa wa kuu wa wilaya na wakuu wa mkoa walikuwa wapi miaka yote hiyo toka utawala ali Hassan mwinyi mpaka Kikwete? Tasmania kweli kuna viongozi wa zuri sana tena vijana Tu msifu president Magufuli kwa kuwaona hawa vijana na kuwapa nafasi ya kuwasaidia Tanzania
Polo alawi: that's why 75 percent government ilisababisha inchi yetu Tanzania kurundi nyuma, now they cannot joke, majibu yameiva mbado kutumbuliwa, kila Mmutu anateteya nafasi yakeee...
Tatizo sio uoga na a alikuwepo lakini ilikuwa kuna kitu kinaitwa Mkubwa Sasa wakitaka kufanya mambo kama hayo yule mkubwa ndio keshPewa chake anawanyamazisha basi Hakuna chengine
..sasa ndo mtuamini tunaposema dawa ya dhambi ni kuokoka,kupokea Yesu na kudhamiria kuacha dhambi!huyo hata akirudishwa jela miaka 30 akitoka ataiba/atapanga kuiba tena!
Hongera DC wetu kijana wetu Magufuli anajua kuchagua damu mbichi ni wachapa kazi piga kazi Baba mungu awajalie viongozi wote vijana Tz na awamu ya 5 mbona raha
Mungu akulinde DC kaka yangu mpendwa ningekua na uwez wal usingekuwa dc wa wilaya ningekup uwe mkuu wa nchi nzima nakukubali shkuran ziend kwa ango magu wily ya hai tumepat kiongoz kwa kweliiiiii mungu akuongoze kwa yoteeee akuepush mabayaaaa amina
asante xana ole sabaya naipenda xana kaz unayoifanya,huwa nikikufuatilia kila cku ila wewe ni mwokozi wa watu,,kwel happa kazii tuu,serekali sio bhana ni wajanja kamwe sio wa kushinda nao
Huyu wizara ya Mambo ya ndani ingemfaa sana, pia ujenzi na madini ili akomaae miaka mitatu tu halafu wampandishe kama wakubwa ndani ya CCM kama ikiwapendeza.kijana ni sokoine mpya.
Ndiyo staili yako ya kuiba, sasa kama umesaidia hivyo inakuaje unasema mwenye pesa akamatwe alafu aletwe kwako!!! Wewe unataka nini kama cyo kumpa vitisho ili atoe hela? Yawezekana hata hivyo dili alikuwemo
Nyie Millard ayo Mbona mnajifanya mnahekma Sana kuweza kuyastir hayo mataka taka hata msiyaonyeshe nyuso zao na watu kuwajua ili kuwa na tahadhar nayo? Msifanye hvyo hakika hao ni watu wabaya wakikuotea wanaludisha nyuma nakufanya har kuwa ngum.
Wangapi wanapekua matukio ya mkuu wa wilaya baada yakutumbuliwa nipeni like zangu na mm
huyu jamaa ni mpambanaji sana,ila amini usiamini baada ya huu uchunguzi huyu bwana anapewa mkoa kabisa....!!!!tuombe uzima inshaallah.
@@mohamediyusuph4290 asubutu
hahahah hatari sana
@@mohamediyusuph4290 sio kwa samia masna samia mwenyewe fisad ndi maana amemtoa kabsa huyu baba ila mungu yupo samia Allah mujuda samia inchi zote za haq zinakataza wezi kwahali ya juu we unawaonea wakomesha maovu Allah maujuda insha allah
Tuko pamoja japokuwa hakuna wakamilifu duniani
Duh. Inatisha. Unafanya kazi na jambazi bila kujua Ee Mwenyezi Mungu endelea kuwa aibisha hadharani. Good work mr DC
Asante Sana Mungu kwa kufichua Uovu na kuuweka peupe. Asante sana kwa kuwalinda hao wadada.
Huyu mkuu wa wilaya ni sawa na usalama wa taifa 7! Hatari sana
Jamaa ni usalama
Ni wa kawaida tu
Kazi wamefanya polisi ye amepewa taarif na kama msemaji wa wilaya ndio anatoa ushahidi wa taarifa mbona hamuoni kazi ya polisi intelligence?
C alifungwaga kwa sabb hiyo
Sawa na usalama wap ww hyo taarifa zote kapata polisi sema anaongea hapo km kiongoz wa wilaya.
kama unakubali sabaya chuma gonga like twende sawa
Safi
Mathias Msese mambo
@@isakwisaamulike2569 poa
Chuma gani yeyemwenyewe jambazi tu huyu
Duuh hiii selekali ya jpm wote cia usicheze nayo kabisa unapanga dili yako weshajuwa kabla ya tukiyo dadekiiii
Nmekubal km huyu Jamaa usalama wa taifa
Naombeni namba zenu hata mimi ninamaoni yangu
Naombeni namba zenu
DC kuna kilo moja ya kiti moto APA na bia za kumwaga kwa ajili yako unastahili kupongezwa asee
Sabaya uko vizuri jamaa yangu
Chapa kazi
Siku hz hata mkeo usimwamini Hasa pale unapoona maelewano ndani hakuna, ikifikia kwenye issue ya vitita vya pesa inaweza kuwa ni sehemu ya kukukomoa once and for all
Baba Dee kuna mume alimtega mkewe njiani akampora pesa za vicoba.Na alishirikiana nae vzr kwenda Police ila mke aligundua baada mume kumgaia mkewe hela ya matumizi elf 10 ambayo mke aliikariri iliandikwa na kalamu
Wote hakuna kuaminiana ata mwanaume anaweza kupanga dili kwa mke wake
Hongera jpm kwa kutuwekea walinzi Na wahusika wa vyombo vya usalama kuwa wakuu wa wilaya.
Uyu kiongozi yupo makini sana
Huyu kijana yuko vizuri sana
Hongera dc upo vzr
Mh Sabaya unapga kazi xn bro,,,nakuelew xn mh dc kwl unaitendea haki nafasi aliokupa Mh Rais&natumai juhudi zako ztazawadiwa ck 1
Mkuu pole na majukumu.Mungu Awalinde wote Awatie nguvu na Afya tele.InshaAllah Allah Allah Atufanyie wepesi sote.
Uyu dc anafanya kazi nzuli sana
"Nzuri"
Asanteni sana pigeni kazi mungu awasaidieni
Yaaah hawaa ndio viongoz wanaotakiwa katika nchi hii,,asantee Sanaa mkuu kazi nzuri, sio akina naniliu kaz kuangaika na akina Idrisa Sultan.
sabaya tunakuombea dua Mungu akulinde kwa kazi yake nzuri sabaya oyeeeee
Leo wanamwita gaid
Sometime najiuliza hawa wa kuu wa wilaya na wakuu wa mkoa walikuwa wapi miaka yote hiyo toka utawala ali Hassan mwinyi mpaka Kikwete?
Tasmania kweli kuna viongozi wa zuri sana tena vijana
Tu msifu president Magufuli kwa kuwaona hawa vijana na kuwapa nafasi ya kuwasaidia Tanzania
tangu auwawe Sokoine mzee watu ni kimya
Polo alawi: that's why 75 percent government ilisababisha inchi yetu Tanzania kurundi nyuma, now they cannot joke, majibu yameiva mbado kutumbuliwa, kila Mmutu anateteya nafasi yakeee...
Utawala nyingine maraisi WALIKUWA waoga na watumishi waoga Sasa hv Mambo ni moto
Tatizo sio uoga na a alikuwepo lakini ilikuwa kuna kitu kinaitwa Mkubwa Sasa wakitaka kufanya mambo kama hayo yule mkubwa ndio keshPewa chake anawanyamazisha basi Hakuna chengine
Wapiga kazi wapo ila watu wanatakiwa msimamo saiv magu anamsimamo ndio maan nao wanapiga kazi
Pokea ukuu wa mkoa kwa jina la YESU
Yesu anakhusu nini?
Masai hyoooo wapiiii kiongoz masaiii
Kabisa
Mfungwa
😀😀😀This is TISS in place .Lengai olesabaya salute
MH RAISI MAGUFULI NAOMBA UMPE UKUU WA MKOA HUYU DC SABAYA
Collect
Exactly tena hukohuko Arusha
Kweli kabisa
Zefa Mange uko sahihi Mheshimiwa Rais mpe ukuu wa Mkoa anachapa sana kazi
Mheshimiwa sabaya hongera sana kuokoa maisha yahao wafanyakazi Mungu azidi kukujalia ujasiri na afya njema
uyu nae anaenda kuanza maisha mapya gerezani najua hii awamu ya tano magufuli yupo sana
Kazi nzuri
Siku hizi za mwizi ni siku 20 tu. Sio 40. Huyu alishafungwa aliporudi uraiani karudia yaleyale...hukumu yake sasa ni kifo. No discusion.
..sasa ndo mtuamini tunaposema dawa ya dhambi ni kuokoka,kupokea Yesu na kudhamiria kuacha dhambi!huyo hata akirudishwa jela miaka 30 akitoka ataiba/atapanga kuiba tena!
Huyu mkuu wilaya hapewe uwaziri ni mchapakazi haswa hwasa
Kabisa yaani 💪 💪
Wazir ad awe mbunge
Sana kabisaaaa,yaani huyu kaka yangu apewe uwaziri
@@fikirimadinda6027 Nikweli uwazri ataupatia jela 😂😂
Sabaya safi sana ccm imekukataa wameona ipo siku utawabana nyanja zao ndio mana wamekusingizia jambazi mungu yuko na ww
Ongera sana kaka
Kwa kutafuta pesa kwa nguvu
Mzee squrity
Mh. Magufuli, Mungu akulinde Rais wetu kwa Kuteua Wasaidizi wako ambao ni Makini katika Kazi, Mungu awalinde Viongozi wetu Wote, Aamina.
Piga kifungo camaisha mbwaawo
Duh huyu mlinzi Ni kiboko sana amekutana na mkono wa sheria.
safi sana
Safi sana
Huyu DC watu huwa Wana mcriticise ila anafanya Kazi sana
Safi sana dc
Keny Benjiz umeonaer
Shikmooo DC.bada ya huyu .wa hai.uyo jambazi angeingia kwenye kumi nanane za manwali angekunya huku anatembea pumbavu
Sabaya oyeee🙏
Kazi nzuri cn
Hapa nyumbu lazma watulie
"Jambazi wenu ni huyu hapa OCD endeleeni nae"😂😂😂
Mzee baada ya mwaka ndo nakubali comment yako 😆
Lengai Ole sabaya M,mungu akubariki Bro...Utabaki kuwa Juu
Dc recpect
Dc recpect
Hongera DC wetu kijana wetu Magufuli anajua kuchagua damu mbichi ni wachapa kazi piga kazi Baba mungu awajalie viongozi wote vijana Tz na awamu ya 5 mbona raha
Sabaya your verry Gentleman and handsome atiii😚
😊😊
Safi sana Mh DC
Yeye mwenyewe alikuwa Jambazi
Kazi yko ni nzuri mkuu .
Hapo nimekubali uteuzi wako Rais yuko Sawa
Napenda wakuu wa wilaya went akili,Safi Sanaa Mkuu wa Wilaya
Sabaya
Mungu atakupigania katika changamoto zako yote yatapita
Tumuachie Mungu
Hatar kwel leo yangekua mengine majambaz yapora na kuua aiseeee mungu ambaliki kiongoz kwel awamu hiii ni hapa kaz tuu
Asante mh.DC.
Sabayaaa nakuamini sana kiongozi wangu sabayaaa mkoaaa huoooo
Hii video nimeiangalia tena na kuisikiliza nawakubali sana Sabaya Makonda Ally Happy Polepole na Gwajima
Huyu Jamaa anafaa kua waziri WA madini na nishat huyu yuko safi
Mungu akulinde DC kaka yangu mpendwa ningekua na uwez wal usingekuwa dc wa wilaya ningekup uwe mkuu wa nchi nzima nakukubali shkuran ziend kwa ango magu wily ya hai tumepat kiongoz kwa kweliiiiii mungu akuongoze kwa yoteeee akuepush mabayaaaa amina
Huyu ni DC Ana experience na USALAMA WA TAIFA 😁👏👏
Sabaya ni kiongozi mzuri sana ni hazina ya Taifa nina hakika taifa bado linakuhitaji Mungu yupo na siku zipo utafika wakati
Mungu akulinde..
Pole sana jambazi sasa utauwona utamu wa yesu
😁😁😁😁
Uyu mweshimiwa Ana fanya kazi vizuri Sana mungu akulinde kwa kila jambo na uwendelee kufanya kazi usirudi nyuma
Ukweli wake uko mahakamani mwenyewe ni mpiga dili
Sahizi magufuri Hana mchezo mpaka hao madic ni Kama wanatoka kitengo nyeti good job blaza.
Kizazi kipya
Duhhh kmamaee wallah , aisee noma sana
We osd noma nakubali
Hawa viongozi wa serikali hii huwadanganyi wote usalama hawa
Sabaya we will miss you Hai kwa kweli. Ulitufaa sana kaka
Wakati mwenyewe muhusika alijuaje
Sabaya wewe nimagufuri nakupenda Sana kazi nzuri
Well done Mr Dc
Good.kijana wa Uncle Magu!
safi Sana mzee baba
Hongera sana kaka kwa kazi nzuri 🙏🙏🙏🙏🙏
Mashallah mashallah mungu akulinde popote ulipo jamaniii daaaaah
Safi sana ulinzi wa tz umeluwa imara sana
Well-done Dc
Leo hii sabaya upo kizuizini eti ww mbaya munguakusaidie
Mungu anakuona Sabaya pambana mwanangu 👍
Wanatakiwa washuhurikiwe watu kama hawo
Hizo ndio kazi za kufanya nzuri mheshimiwa DC sabaya ongera sana mkuu
regina thomas❤😂🎉😢😮😅😊
Magufuli huyu kijana mpee ukuu wa mkoa anafaa
Yo so soft, unapanic dogo hata kama una camera-man wako
Duuh jaman hivi kumbe viongoz wakulinda malizetu na raia wapo eeh ahsante sn DC🙏 umetupa iman
Jamaa anautaaramu wa kuzimia wiki mbili😂😂😂😂😂😂dunia hii inawatu wa ajabu
Sabaya kwa kweli mimi nakukubali kupita naerezo mungu akuondoree madui yani ukurinde
Tunakujua mzee wa kutunga sinema na kuipangua
Huyu jamaa alikua anapiga kazi vizuri sanna Ila Tanzania. Jamani vizuri vinachukiws sanna
Big up sanaaaaa kiongoziiiii
Wakati mwingine Sabaya comes to be a good boy
WELL DONE GUYZ
asante xana ole sabaya naipenda xana kaz unayoifanya,huwa nikikufuatilia kila cku ila wewe ni mwokozi wa watu,,kwel happa kazii tuu,serekali sio bhana ni wajanja kamwe sio wa kushinda nao
Walimchafua kijana wetu lakini huyu kijana ni chama chamoto kazini anakuwa kikazi zaidi di
Siyo rongorongo mungu atakuinua tena maadui zako waaibikee
Jamani Sabaya Mungu akubariki sana.
Heshima yako DC kazi kubwa umefanya
Huy DC mi namkubali san ila cjui kwann watu hawampendi..
Huyu wizara ya Mambo ya ndani ingemfaa sana, pia ujenzi na madini ili akomaae miaka mitatu tu halafu wampandishe kama wakubwa ndani ya CCM kama ikiwapendeza.kijana ni sokoine mpya.
Mm ata siamini sana kazi ya uyu jamaa
Respect brother 🙊🙊
Filamu Nzuri.!!
zamani utandawazi ulikua hamna hata mtu akifanya kitu kizuri hawezi kusikika nao walifanya vizuri kias chake jaman
Watu wa hai na Hasa Mbowe wamesema alikuwa anawaonea
Mungu akukumbuke mkuu
Awamu ya 5 oyeee
Washabiki oye
Hakika dc sabaya uko safi
Ndiyo staili yako ya kuiba, sasa kama umesaidia hivyo inakuaje unasema mwenye pesa akamatwe alafu aletwe kwako!!! Wewe unataka nini kama cyo kumpa vitisho ili atoe hela? Yawezekana hata hivyo dili alikuwemo
Nyie Millard ayo Mbona mnajifanya mnahekma Sana kuweza kuyastir hayo mataka taka hata msiyaonyeshe nyuso zao na watu kuwajua ili kuwa na tahadhar nayo? Msifanye hvyo hakika hao ni watu wabaya wakikuotea wanaludisha nyuma nakufanya har kuwa ngum.
D
Mweshimiwa rais hongera sana uliwachagua vijana wenye umahiri kazini
Huya sabaya anaangalia jinsi naye atapata toka lini tajiri ajihatarishie pesa zake?
NICE MOVIE 👍
Huyu Sabaya anafaa sana uongozi wabaya wachache hawampendi Asnt JPM🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Dc oyeee awamu ya tano oyeee vyombo vya dola oyeee apa kazi tu
Ambae anajua sabaya ameonewa tuungane kumuombea kwa mungu atoke gerezani