MTOTO WA MIAKA 9 ANAMUUGUZA BIBI YAKE KWA UJASIRI, HAJAWAHI KUMUONA BABA "NILIMFUATA NIKAPIGWA KOFI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 сер 2021
  • #millardayoMWANZA #mtotoJasiri
    Shamsa Ramadhani ni mtoto wa miaka 9 kwa umri wa mtoto huyu ndie mwenye jukumu la kumuuguza Bibi yake kwa zaidi ya miaka mitatu akimpatia huduma zote ikiwa ni pamoja na kumsafisha Bibi anapopata haja
    Mtoto huyu anasilimua baada ya kifo cha Mama yake hajawahi kumuona tena Baba yake licha ya kuwa yupo hai lakini hiyo haijamfanya Shamsa kupunguza mapenzi kwa Bibi yake na hata wanapoishi wamehifadhiwa kwa muda tu na msamalia mwema

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +123

    Na ana ujasiri MashaAllah🙏🙏🙏🙏🙏mungu amjalie Huyu mtoto..Mungu mkubwa,milango itafunguka tu,inshaAllah

  • @robsondalink6206
    @robsondalink6206 3 роки тому +118

    Heri kijana masikini mwenye hekima kuliko Mfalme mzee mpumbavu🤝Mungu akuinue na akusaidie katika njia zako zote

  • @aminaramdan3283
    @aminaramdan3283 3 роки тому +57

    😭😭😢😢Allahu Akbar, Imeniliza MWENYEZI mungu Atakusimamia Mwanangu mtt Mzuri Jamani

    • @yahyamkone5601
      @yahyamkone5601 3 роки тому +1

      Kiukweli huyu mtoto ametuliza wengi inatia huzuni Sana hii story ya hupi mtoto na bibiyake

    • @husnaally6776
      @husnaally6776 3 роки тому

      Natamani ningekuwa jirani yake nimsaidie tu kaz maan pesa sina ..tungekula nnachopata ...am so sad 😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 роки тому

      @@husnaally6776 😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 3 роки тому +49

    Mtoto mzuri alafu anamajibu ya kiutu uzima mashallah 😘😘

    • @ummuchumwashebby3752
      @ummuchumwashebby3752 3 роки тому +1

      Yan anawashinda had mastaa wasojielewa kwa kujielezeaa,,,,,,

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 роки тому +38

    Hii story inaumiza saaan... Flora nitetee alipo mungu ambarikii saan

  • @barekesteve8679
    @barekesteve8679 3 роки тому +30

    This is what we call maturity the way she's answering the questions Kam mtu mkubwa ujasir wake MashaAllah Emung musaidie Mototo huuu

  • @anithaapolinary6391
    @anithaapolinary6391 3 роки тому +17

    Shukrani sana Frola Nitetee Mungu wa mbinguni azidi kukuweka zaidi uwaone hata wale ambao bado hawajaonekana

  • @user-ij5ig4uu1y
    @user-ij5ig4uu1y 3 роки тому +27

    Can't hold my tears she's too young to do all those duties 😭😭

  • @irenemodesty
    @irenemodesty 3 роки тому +40

    Omg😭😭😭😭I’m literally crying how they treat this babe I swear🥺🥺she is too young

    • @iddimoshi8459
      @iddimoshi8459 3 роки тому +1

      I am getting quite emotional watching this video.

    • @immarimoy2039
      @immarimoy2039 2 роки тому

      daha jamani. mtoto anamajukumu mengi

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +70

    Duh Mungu amuimarishe Huyu mtoto!!!Mungu amnusuru bibi yake...maisha ndo yalivyo🙏🙏🙏🙏

    • @stellaprince4871
      @stellaprince4871 3 роки тому +6

      Oooooh Mwenyewi Mungu gusa moyo wa Baba wa toto Huyu daaah 😭😭😭

    • @kekiplus1andonly
      @kekiplus1andonly 3 роки тому +3

      @@stellaprince4871 Ameen Ameen Mungu amguse Huyu baba..jamani..Huyu mtoto kaniliza..ila Mungu mwema..labda hatuna uwezo ila maombi yetu yanaskika na kupokelewa inshaAllah

  • @sarhkimboi9085
    @sarhkimboi9085 3 роки тому +29

    Huyu, ni mke wa mtu mwenye ajili timamu kwa bdae, Mungu akutumie mdogo wangu

    • @faithjonathan3845
      @faithjonathan3845 3 роки тому +1

      Sanaaaaa....yaani huyu ni future wife wa maana sana. Tatizo atakuja kuolewa na myu haoni faida yake. Maslay queen wanapata husband material😥

  • @annanyoni1981
    @annanyoni1981 3 роки тому +4

    Mtoto tena wakike analilia kwa ndani Mungu akupe maisha marefu yenye neema na baraka Mungu teremsha baraka zako juu ya shamsa

  • @gloryguren6887
    @gloryguren6887 3 роки тому +15

    Kuna vitu vinaumiza sanaa kwenye hii dunia mtoto ameniliza huyu daah😢😢😢Mungu wa mbinguni akusaidie ufikie malengo yako,Hongera sana dada Flora Mungu akubariki sanaa.

  • @ridhwanfaki9738
    @ridhwanfaki9738 3 роки тому +9

    Na mashaallah mtt anaoneshea anaakili sana ,mola atakuongoza mtt wangu ,atakupa kila unachostahiki inshaallah kwani yy ndio kila kitu hapa duniani na kesho akhera .ammin ammin

  • @queenbhanji4152
    @queenbhanji4152 3 роки тому +36

    she is humble,,smat girl wth brain

  • @abdulkhamis1170
    @abdulkhamis1170 3 роки тому +25

    Nimelia kwa uchungu jisi mtoto mdogo havyoweza kusaidia bibi yake kunawatu wengi hawana huluma na familia zao tumsaidie huyu mtoto

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 2 роки тому

      Inaliza kwakweli na hao watoto wake hawajiskii ata aibu kuona mzazi wao anatunzwa namtoto ilhali wao wapo! dah dunia hii Allah atupe mwisho mwema kwakweli

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +8

    kashapata mawazo mengine sasa mwanxo alikuwa na mawazo. aje awe jeshi km babaake sasa anayaka afanye lazi za jamii mashaallah.

  • @chuwafamily496
    @chuwafamily496 3 роки тому +18

    😢😢😢😢Imeniuma sana kama mzazi,Mungu awanusuru familia hii

  • @babittoevance4415
    @babittoevance4415 2 роки тому +5

    😭😭😭😭😭 mungu amnusuru huyu mtoto ila huyo baba inamaana hata hashtuki kwenda kumwangalia mwanae duuuh mungu atamjaalia tu

  • @annapeter6065
    @annapeter6065 3 роки тому +19

    Jaman mtoto nijasiri kumzidi mtu mzima, mungu ampe subra na mwongozo... Wanaoweza jaman Mungu awatumie kumsaidia ...

  • @bekatv1009
    @bekatv1009 3 роки тому +7

    Smart and hardworking gal i do salute her she's ma hero....thumb it

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 3 роки тому +16

    Inshaa Allah mungu atasimama na huyu mtoto na bibi yake halafu kana akili sana kwa kujieleza vizuri mungu awasimamie wapate msaada

  • @veerdhaheer7288
    @veerdhaheer7288 3 роки тому +23

    Mtoto anajua kujieleza mashAllah, Mungu awafanyie wepes

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 3 роки тому +1

      Tena kwa kueleweka kupita maelezo,ee Allah mja wako huyu una lengo nae kibianadamu tunakuomba umponye huyu Bibi na mfungulie huyu kiumbe mdogo kabisa

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 3 роки тому +10

    Alafu Kuna mjinga asipotumiwa buku ya vocha anaona ameonewa duniani hapa,

  • @halimamimarich3799
    @halimamimarich3799 3 роки тому +19

    ya Allah amjalie shufh bibi🙏🙏mungu akukze mtoto mzuri😍😘ya Allah msaidie uyu bibi🙏🙏

  • @mutheuphilip4360
    @mutheuphilip4360 3 роки тому +5

    Very strong kid may God of peace and grace akulinde siku zote tayari Bibi ashakupa baraka zote n zako

  • @mwazaninalapa8852
    @mwazaninalapa8852 3 роки тому +55

    Dah mungu anipe maisha marefu nimlee bint yangu na mama yangu 😢😢😢😢

  • @ramayasly4584
    @ramayasly4584 3 роки тому +5

    Nawasalim sana ndugu zangu. Watu wengi tumekua wanyama. Hatuna upendo ona mtoto mdogo Mungu atatuchapa kiboko kwa haya tunayo yafanya

  • @ridhwanfaki9738
    @ridhwanfaki9738 3 роки тому +3

    Daaaa imenitowa machozi hii habari ya huyu mtt ,ewe bb Mzazi wa mtt huyu muogope mola wako hebu mwangalie mtt wako ,mtt yatima wa mama ww bb upo hai kweli unamwacha mtt anasumbuka namna hii na bibi yake kweli?muogope mungu ww mzazi .mola akuoongoze ww Dd unaemsaidia huyo yatima mola atakufanyia wepesi kila penye uzito inshaallah ,

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 3 роки тому +4

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mtoto umeniliza moyo wangu unauma nikiangalia sina uwezo ningekuchukua wewe na bibi wote mngeishi kwa furaha lakini ndo hivyo nimejaliwa kidogo toeni namba nichangie hata kidogo nilichojaaliwa nimekupenda mno umri wa mwanangu wa kwanza Ee mwenyezi Mungu ninyime Mimi huyu mtoto apate 😭😭😭😭😭😭😭

  • @hujatswai5798
    @hujatswai5798 3 роки тому +1

    Hakika Mwenyezi Mungu yuko pamoja na wenye kusubiri, mtoto mdogo anaupitia mtihani wake bila ya kuwa na hisia kali za huzuni juu ya kuachiwa jukumu la watu wazima, alikosa nafasi ya kumuuguza mama yake na sasa anamuuguza mama wa mama yake, SubhaanAllah, ShifaakAllah bibi, Mwenyezi Mungu amlipe mtoto Shamsa kila la kheri. Naitambua kazi nzuri ya marehemu Nellyson (video shot).

  • @boazjoseph6372
    @boazjoseph6372 3 роки тому +3

    Huyo mke wa mjomba atafutwe maana kama anachukua pesa za bure shenzi type. I love you baby girl ❣️❣️❣️❣️❣️❣️

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +47

    InshaAllah Mungu akusimamie usome shule zote umalize...🙏🙏🙏🙏

  • @mrsdeborahurio
    @mrsdeborahurio 3 роки тому +26

    Mungu akubariki sana,Mamii unayemsaidia huyu mtoto na bibi yake! Mungu yuko nawe , mtoto mzuri.

    • @adoniasamike2124
      @adoniasamike2124 3 роки тому +4

      Huyo mumy ni frola nitetee kama huwa unafatilia crp zake anasaidia sana watu

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc 3 роки тому

      Eeeh ni yeye

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 3 роки тому

      @@adoniasamike2124 Mungu ambariki yy na uzao wake!

  • @benedictmwakabungu6946
    @benedictmwakabungu6946 3 роки тому +1

    Mwenyezi Mungu wa mbinguni akuzidishie baraka zake wewe mamii kama ambavyo mtoto uliyemsaidia anavyokuita. Umetenda lililo jema. Asante sana Mwenyezi Mungu ambaye umekuwa ukiwa siku zote ni kimbilio la wahitaji. Watoto wasio na walezi, wanaoonewa, wafungwa, wagonjwa na wahitaji wengine wengi. Baba umjalie mtoto huyu na bibi yake kuona tumaini kuu kwako

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +7

    Mungu ni mkubwa . kaka kafariki umebaki wewe for reason . uje umsaidiye bibi . Alhamdulillah

  • @wizanakitvonline6190
    @wizanakitvonline6190 3 роки тому +20

    Jamani , unapokula ukashiba ukavaa na kunywa bia ukajiona mjanja , Nakumbushatu Mungu anakuona endapo jirani yako unampita huku ukimcheka wakati unajua kinacho msibu , Mungu wasaidie hii familia , Huyo aliyekuwa mlinzi wa Magufuri , Mungu anakuona wewe jamaa , mwisho upo tu ,
    Aiseee 😭😭 so sad

    • @carolinemariki4029
      @carolinemariki4029 3 роки тому +2

      yaani hiyo bia umeweka kuogeza msisitizo? hahahahaah

    • @maryamsemaganga328
      @maryamsemaganga328 3 роки тому +2

      Yarrab tunusuru waja wako

    • @augustinojob939
      @augustinojob939 2 роки тому +1

      Huyu mtoto amesema babaake alikuja sikia moja na msafara wa magufuli na anasema alipomwona alikimbilia lakini kina mtu akampiga kofi. Lakini baadaye anasema walikutana na babake na wakalala hotel. Kwanini serikali ulisifanye mpango wa kumtafuta?

  • @ricksonlyimo5594
    @ricksonlyimo5594 3 роки тому +11

    Kwanza jaman mtanisamehe sana huyu mtoto nishamsikiliza historia ake kwa Dada frola lauo uyu mtoto yupo vzur kujieleza ila swala langu linarudi kwa baba mzazi wa huyu binti hiv hiyo kaz anayofanya anafanya kwa aman kabisa bila kuwaza chochote kabisa baba anakazi nzur alikuwa akimlinda Mh hayati Magufuri aisee hili swala hapana aisee mama etu Raisi wetu Samia Hassan Suluhu amuangalie huyu mtoto na uyo baba ake sizan kama baba unae jitambua unaweza kumtelekeza mwanao anamuudumia bibi ake ungal ukiangalia ata shule asomi huyu mtoto baba anashindwa kutafuta ata mtu wa kumlipa hela ili amuangalie uyo bibi anamuachia jukumu mtoto kwer jaman kiukwer baba ake anakosea sana namuachia Mungu pekee ndo muukumu wa yote

    • @alexdukes5547
      @alexdukes5547 3 роки тому +1

      Baba yake inawezekana sio wakutuhumiwa kafanya jambo la imani kumwacha mwanae kwa bibi yake ili amusimamie

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 3 роки тому +2

      @@alexdukes5547 hapana broo c kwa umri huo mtoto anaitaji vitu vngi sana fatilia kwa frola lauo mtoto anaitaji apate Elimu ila mtoto asomi ndo madamu anaitaji ampeleke shule na hapo ni kwa msaada wa watu ungali ukiangalia mtoto ana baba ake kabisa ukiangalia ata kishelia hiyo aijakaa sawa broo sawa aitaji kuukumiwa je mtoto anapata msaada gan kwa baba ungali baba ake anakaz nzur na anapokea mshaara mzur tu je mtoto ananufaika na nn kwa baba

    • @juditheliud4857
      @juditheliud4857 3 роки тому +1

      Huyu baba ndo wakumtafuta kwanza kabla ya yote, manake huenda anatuma pesa za watoto kuna mahali zinaishia

    • @ricksonlyimo5594
      @ricksonlyimo5594 2 роки тому

      @@juditheliud4857 hapo umenena japo ukimsikiliza waziri wa afya Dorothy Gwajima alivyokuwa akiongea na mjomba wa mtoto anasema kabisa kuwa baba ake alimtelekeza mtoto alikuwa atumi pesa kwa mwanae ndo maana nimesema siwez kumuukumu mimi baba ake hapana namuachia Mungu pekee ndo anae jua pengine kuna vitu nyuma ya pazia tusivyovijua sisi kwaiyo tusiwe waongeaji sana ila nitoe shukrani zangu kwa madamu Flora Godwin Lauo mkurugenzi wa Nitete foundation na mkurugenz wa chair foundation kwa kumshika mtoto mkono na kumpeleka shule bila kumsahau mkurugenzi wa shule hiyo kuwapokea na kusema atawalea watoto kama wanae

  • @charlesobinya
    @charlesobinya 3 роки тому +1

    Kwanza pole mtoto. mungu atatenda miujiza na baba atajileta mwenyewe kupitia hii vdo , kama ni kweli kunawatu wanapokea pesa kutoka kwa babako wakizani wakoright now mungu kawaumbua mungu akulinde AMEN

  • @evancekimath7405
    @evancekimath7405 3 роки тому +1

    Daaah, Godbless you mtoto,bibi namamii Mwenyez Mungu amjalie afya njema na uendelevu wa moyo wakumsaidieni ...Amina...

  • @bellaki4392
    @bellaki4392 3 роки тому +13

    This was Dr. floras story..of nitetee...she was the first one to air this story...

    • @mrambadiana9678
      @mrambadiana9678 3 роки тому

      So what??

    • @abdulkheri7322
      @abdulkheri7322 3 роки тому

      How does it concern with us...fool!

    • @bellaki4392
      @bellaki4392 3 роки тому

      @@abdulkheri7322 Your English is funny....You need some classes dude....

    • @bellaki4392
      @bellaki4392 3 роки тому +1

      @@mrambadiana9678 So other reporters are gaining mileage on her effort...That's why...anything else you wanna know???

  • @felisterandrew8741
    @felisterandrew8741 3 роки тому +4

    Mungu Amtunze Mtoto Awe na umri mrefu wenye Amani Amponye na Bibi Waishi na mjukuu wake kwa furaha😭😭

  • @omarykasongo6211
    @omarykasongo6211 3 роки тому +2

    Du! Nimeisikiliza hii Story hadi machozi yamenilenga ,hakka huyu Mtoto Jasiri Sana niimani yangu atakuja kuwa na maisha mazuri sana sk za usoni.Kila mwenye Subra yupo karibu na mwenyezi Mungu.

  • @emanuelsamkinda2893
    @emanuelsamkinda2893 3 роки тому +12

    2:27 much respect kwa uyu dgo

  • @annat8509
    @annat8509 3 роки тому +3

    Huyo baba kama katelekeza mtoto Mungu amfukuzishe kazi kabisa,inauma sana nimelia mpaka basi,flora Mungu akupandishe kiwango

    • @alexdukes5547
      @alexdukes5547 3 роки тому

      Msikilizeni vizuri mtoto baba hajamtelekeza mwanae bwana hivi fikiria kama anaemia hapo bibi yake angesaidiwa na nani japo ni mdogo jamani upande wa wanae ndo ulaumiwe watoto wake baba yuko vizur kafanya imani yake

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 3 роки тому

      Huyu mtoto kajieleza vizuri sana baba yake anatoa pesa ila wanakula ndugu zake so yeye baba aelewi kma pesa anapata mtoto wake au laaaah naisi baba yake baada ya kuona interview hiii nazani ata kuja wasaidia pia mungu amsimamie yallab nimelia sana mtoto bado mdogo sana 😢😢

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 3 роки тому

      @@revocatusemmanuel162 kasema ndugu wa baba au ndugu wa baba yake Shangazi yake sijui au nimesikia vibaya ngoja nami niirudie tena ila baba yake wala ana shida kwa kutoa huduma yu atoa shida hawa ndugu njaa mbele mtihani 😔

  • @samkiria450
    @samkiria450 3 роки тому +9

    She's so confident 🥰
    Mungu amsaidie sana huyu mtoto. I'm just so speechless. My heart is bleeding 💔😢 sorry beautiful soul 😢

  • @tatumluv6054
    @tatumluv6054 3 роки тому +13

    Nataka niwe kama mamy Flora Mungu akubariki 😭😭😭

    • @rachelmbeyu4385
      @rachelmbeyu4385 3 роки тому +1

      Amewatoa pabaya mtoto anashukuru nakutaka kua kama yeye

    • @kulthumabdalla9035
      @kulthumabdalla9035 3 роки тому +1

      Hadi machozi yananitoka ya allah mzidishie imani mtoto huyo azid kukuw na moyo huo pia azidi kumtia nguvu amina yaa rabbal alamiin

  • @uwitekamimy3431
    @uwitekamimy3431 3 роки тому +22

    Ooh my God,, Poleni Mungu awape Nusra 😢😢 Mtoto mzuri anajua kujieleza 🤗

  • @onexofficial95
    @onexofficial95 3 роки тому +7

    Eee mwenyezi mungu utusaidie na uwasaidie wote wanaopitia magumu kama hayo 🙏🙏🙏🙏

  • @francisanania1765
    @francisanania1765 3 роки тому +7

    Pole Sana.

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 3 роки тому

    Mwandishi wa habari umefanya kazi nzuri sana. Kongloele. Huyo dada aliyemchukua huyu mtoto na kumuuguza bibi yake, Abarikiwe na asipungukiwe furaha, afya wala mali.

  • @snipershort6988
    @snipershort6988 2 роки тому +1

    Ewe mwenyez mungu unipe moyo kama huu, hongera mtoto mungu ni wetu sote, sidhani kama anapenda uishi maisha haya, kwani uo ndo mlango wako wa kutokea, amini iyo ni ibada ya kweli

  • @faizaboubacar5064
    @faizaboubacar5064 3 роки тому +20

    Pole sana Shamsa mungu amhurumie bibi yako in shaa Allah 🙏

    • @babaluxe8626
      @babaluxe8626 3 роки тому

      Duuu kumbe baba yake ni mtu mkubwa tu walinzi wa, jpm khaaaa🙈🙈🙈🙈

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 3 роки тому +17

    Da, natamani huyo mlinzi wa Magu aliyekupiga kofi awe anaangalia habari hii ili imsute. Japo baba ake alimsakizia mwanae kwa Magu, labda mzee Magu angewafanyia maajabu.

  • @abrahamrashid4282
    @abrahamrashid4282 3 роки тому +1

    Mashallah Mummy Allah akuzidishie kote ulipopungukiwa

  • @jaberjohn7556
    @jaberjohn7556 3 роки тому +1

    MAMI HOW CAN WE SUPPORT THIS KID TO GET A SMALL HOUSE, WE CAN BRING CHANGE, THIS KID IS ALREADY A DOCTOR.

  • @scolabahame2214
    @scolabahame2214 3 роки тому +8

    Huyo mtoto analiza watu dah nimelia kwa uchungu Jamani dah pole Sana mtoto Jamani ukikosa mzazi hasahsa mama hauna samani tena nani kama mama Jamani 😭😭😭😭😭😭😭

  • @godfreysizya3711
    @godfreysizya3711 3 роки тому +51

    Babaake alikua bodgurd wa magufuli,tukumbuke family zetu tunapokua na uwezo🙏🏻🙏🏻🙏🏻

    • @nuryatmussa9966
      @nuryatmussa9966 3 роки тому +1

      Jamani kumbe baba yupo ananguvu zake, anamoyo gan 😭😭😭

    • @marthageorge559
      @marthageorge559 3 роки тому +1

      Nyie wababa mungu anawaona

    • @nuryatmussa9966
      @nuryatmussa9966 3 роки тому

      @@marthageorge559 😭😭😭😭😭

    • @marthageorge559
      @marthageorge559 3 роки тому +4

      @@nuryatmussa9966 unajuwa awa wababa kunamisukosuko wanapata lakini awajui wanaipata kwa sababu gani,damu yako ikitoa machozi sijui kama mambo yako yanaenda vizuri,mungu atamsimamia uyo mtoto na atakuwa mtu mkubwa sana

    • @nuryatmussa9966
      @nuryatmussa9966 3 роки тому +3

      @@marthageorge559kabisa watu hawajui tu baba unakula unalala sehemu nzur mtoto wako hujui anaishi vp😭😭mtoto anamajukumu makubwa

  • @ddfatma4281
    @ddfatma4281 3 роки тому +6

    Dada flola mungu akubalik akupe kila hitaj la moyo wako na akupatiye mwisho ulio mwema

  • @nathanfrancisondieki6586
    @nathanfrancisondieki6586 2 роки тому +1

    This child is good may God bless her so much, and I'm requesting Tanzania politicians to help this kid.

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 3 роки тому +3

    I cant hold my tears😭😭😭😭 miaka tisa ni mtoto wa kucheza rede na kwenda shule...uwii huyu kawa hadi kama mtu mzima Mungu muonekanie binti huyu

  • @maryberege3093
    @maryberege3093 3 роки тому +3

    Mungu wa mbinguni msikie mwanao na maombi yake yakapate kibali mbele zako. Nimeumia haswa na inaumiza sana mungu tusaidie na vizazi vyetu.

    • @jameskileo955
      @jameskileo955 3 роки тому

      Inauma sana jamaniii kwanini binaadamu tumekuwa wanyama hivi lkn

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 3 роки тому +2

    Dr flora Allah akulipe kwa imani na juhudi zako yataka moyo hiyo kazi ufanyao

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 3 роки тому +2

    Mbali na majukumu ya huyu mtoto anaconfidence ni genius,wafanye jinsi ya kumsaidia tu.

  • @fauziaabdullah3733
    @fauziaabdullah3733 3 роки тому +5

    MashaAllah majibu mazuri mtoto mungu at akubarik na Dr flora mungu akupe moyo huo huo hata kosa kitu kwa mungu

  • @thelonewolf4429
    @thelonewolf4429 3 роки тому +6

    Popote babake aliko alaaniwe mshenzi mkubwa 😭

  • @fatumasaleh8048
    @fatumasaleh8048 3 роки тому +1

    Daah! Yani Kuna watu wanapitia magumu kiasi hiki.. hii stori imeniganya nilie wallah 😭😭😭 flora mungu akuzidishie moyo wa upendo dada yangu, na akulipe lililojema.

  • @annaemmannuel2101
    @annaemmannuel2101 3 роки тому

    Huyu mtoto anaakili Sana Sana. Hongera mwanangu uko vizuri na Mungu akuinue kwa viwango vya juu

  • @saidmungulu7053
    @saidmungulu7053 3 роки тому +12

    ama kwel dunia ina meng sana mungu tunusuru na wape shufaaa hii familia....🙏🙏
    SHAMSA 😢😢😢

  • @prudenceleeheung4487
    @prudenceleeheung4487 3 роки тому +4

    Oooh Duh Mungu akusaidie mtoto jasiri 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 роки тому

    Subhannahllah pole sana mdogo wangu kwaunayopitia Allah akufanyie wepesi amuondolee bibi yako maradhi yanomsibu.

  • @nuryatmussa9966
    @nuryatmussa9966 3 роки тому +5

    😪😭😭Mwenyez Mungu amzidishie imani na afya njema

  • @mohammedimshihiri4435
    @mohammedimshihiri4435 3 роки тому +10

    There’s a reason why the Almighty is making us wait. It’s never to make it hard on us but to develop our character. Remember, patience doesn’t happen overnight. It needs to be nurtured. It takes time. So have a good attitude while you wait. He has promised great rewards and The Almighty will be with you ma young sister

  • @marifaadolphine3571
    @marifaadolphine3571 3 роки тому +3

    Mungu akubariki dada Flora na team yako nzima.

  • @stevenkikoti3651
    @stevenkikoti3651 3 роки тому +1

    Daaaaah aisee huyu mtoto anajitahd Sana na mungu amtie nguvu Sana na ashukuliwe Sana shamsa kwa kumsaidia huyo bint🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏

  • @zainabumsafir1182
    @zainabumsafir1182 3 роки тому +1

    Mung amtunze na kumlinda hyu mtt hakika inaumiza sana dd frorah Mungu akubarik na kukutunza

  • @fakihdarusi4385
    @fakihdarusi4385 3 роки тому +6

    Allah akulipe Mumy ,kwa kweli Allah akubariki na barka nyingi

  • @kadrikimaro1889
    @kadrikimaro1889 3 роки тому +19

    Yaraby tunakuomba kwa huruma yako mpe mtoto mwisho mwema na jannat firidaws kwa wema anaomfanyia huyo mama

  • @lydiarono212
    @lydiarono212 2 роки тому

    I lack words,,,,actually mungu amzidizie neema

  • @claramamchon6591
    @claramamchon6591 3 роки тому +6

    Mungu akubaliki

  • @irenemodesty
    @irenemodesty 3 роки тому +17

    Omg😭😭😭😭I’m literally crying how they treat this babe I swear it not fair🥺🥺🥺

    • @happynapunigwa723
      @happynapunigwa723 3 роки тому

      Amini baba tunakukumbuka wanyonge Anália matei Haya mungu wasimamie Mtoto huyu Asate mfaziri amsaidie tu mungu aendelee kuwapigania kwa. Lila njia. Mungu tuwangalie

    • @josephsijaona4510
      @josephsijaona4510 3 роки тому

      Matatizo yanaongeza uwezo wa akili sana

    • @mariamrobart4198
      @mariamrobart4198 Рік тому

      😭😭😭

  • @vickyedward
    @vickyedward 4 місяці тому

    Mungu akubariki dada umefanya kazi nzuri

  • @zainabgwao9648
    @zainabgwao9648 3 роки тому +2

    Maskini jina la mtoto wangu Shams! Najiskia 😭😭😭😭 mtoto mdogo sana majukumu yamemzidi umri. Mungu wa mbinguni awe nawe mwanangu, ubarikiwe mjini ubarikiwe shambani, baraka zitembee na wewe popote utakapo kuwa. Huyo mummy alie kuchukuwa Mungu ambariki sana zaidi ya sana.😭😭😭😭

  • @aminasuliman2923
    @aminasuliman2923 3 роки тому +3

    Nihodali kufuatilia mikasa ila huyu mtoto Mungu amempangia fungulake inshaalla uendelee kua na ujasili katika kufanya yalio mema nimetokwa machoz 😭😭😭

    • @sakinat2527
      @sakinat2527 3 роки тому

      Wallah tena yahuzunisha 😭😭

  • @mwanas2
    @mwanas2 3 роки тому +8

    Allah mustaan 🤲mungu simama na hii familia mtoto kaniliza jamani.

  • @mamymdogomamy3670
    @mamymdogomamy3670 3 роки тому +1

    Mwenyezi mungu ampe nguvu amjalie kila palipo na uzito Allah amfanyie wepesi yarrab pole sana mtoto

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 3 роки тому +2

    Dada Flora Mungu akujalie wepisi wa maisha 😘😘😘😘

  • @katekupaza9385
    @katekupaza9385 3 роки тому +5

    Thank you Mamii 🙏

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 3 роки тому +5

    Subhana Allah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭. Pole mtoto mzuri

  • @berthymanyonyi7295
    @berthymanyonyi7295 3 роки тому +2

    Dah! story ya huyu mtoto imenifunza kuwa na moyo wa shukrani...hakika kuna watu wanapitia magumu sana ktk maisha yao na bado wana imani....Mungu msaidie huyu mtoto na endelea kumpigania Frola ili aendelee kuigusa jamii kupitia wewe 🙏🙏🙏

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 3 роки тому +2

    Pole sana bibi na umepata mjukuu jasiri sana anaejielewa masha Allah

  • @ruthawakola8869
    @ruthawakola8869 3 роки тому +6

    Mungu akupe subira mtoto utapata msaada

    • @Awatee
      @Awatee 3 роки тому

      Amiin yaraby

  • @amlimamouris..a9411
    @amlimamouris..a9411 3 роки тому +6

    ""Time traveler""
    Huyu mtot n wa pekee sana Mungu akusaidie Mungu ana Jambo na wewe Anko..!!

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 роки тому +1

    Hatal sana alla
    Msaidie uyu bibi na mjuu
    Wake Waishi vizl Saaaana
    Uko mbelen Aamen

  • @christinachriss9231
    @christinachriss9231 3 роки тому

    Nimelia Sana Mungu ambariki Sana Flora nitetee na akuzidishie

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 3 роки тому +3

    Mungu akubariki Mummy Flora

  • @manaseobed8023
    @manaseobed8023 3 роки тому +3

    This kid is very bright

  • @saidmasika8738
    @saidmasika8738 3 роки тому +2

    😭😭😭😭😭😭😭❤️❤️ nakupenda mtoto wangu mm sina la kukwambia Allah atakupa hars

  • @princevan3747
    @princevan3747 3 роки тому

    Masikin analiza sana uyo mtoto dah kwel mzazi wa kazi zuri watelekeza mtoto jmn na mama yko aisee awo watoto wanalana

  • @sarahorina2163
    @sarahorina2163 3 роки тому +3

    Mungu akulinde Sana shamsa , you make me cry baby girl.