JAMAA ALIEFARIKI MIAKA 20 ILIYOPITA AFUFUKA, MZIMA HAJAOZA, SHEREHE YAFANYIKA KUMPOKEA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 1,8 тис.

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah 3 роки тому +948

    Kama unaamini mungu yupo gonga like hapa uki reply amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @marthajulius5293
    @marthajulius5293 3 роки тому +42

    Mungu ni yule yule Jana hata leo milele habadiliki......LOVE U LORD JESUS

  • @herifridgmsigwa180
    @herifridgmsigwa180 3 роки тому +490

    Kama unakubali kuwa Mungu mtenda miujiza gonga like hapo chini

    • @zach4068-c9e
      @zach4068-c9e 3 роки тому +3

      @Daniel thomas Msigwa 😆😆😆😆😆

    • @ludacrissrangiyabank3737
      @ludacrissrangiyabank3737 3 роки тому +3

      Kma mtu una akili timamu asaa na unamuamini Mungu huwez kuamini ujingaa kma huu ata kwa bahati mbaya cz hakuna kitu kma hicho kua mtu afe hlf kafufuka agh hakuna kitu kma hicho

    • @gersonntihalizwa913
      @gersonntihalizwa913 3 роки тому +1

      Yesu anaweza

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 3 роки тому

      @@ludacrissrangiyabank3737 labda alitoloka warikuwa wanamtumikisha

    • @davidevarist6371
      @davidevarist6371 3 роки тому

      Name of Jesus

  • @kelvinmligo4915
    @kelvinmligo4915 Рік тому +9

    Mungu nipo hapa nasubiri ile siku brayoo wangu anarudi nasubiri kwa imani sana

  • @isaacbichwa4234
    @isaacbichwa4234 3 роки тому +251

    Kama unaamini yupo Mungu kwaajili yetu gonga like hapa

    • @dorcasaruni4432
      @dorcasaruni4432 3 роки тому

      Mungu ni mwema wakat wote Yani wachawi Jamn Daah utafikili wenyewe awafi daah mungu anawaona na wachukia sana 🤮🤮

    • @challesjonh7609
      @challesjonh7609 3 роки тому +1

      Ioo

    • @lovelnyrose2181
      @lovelnyrose2181 2 роки тому

      Mungu atulinde jaman inahuzunisha sana

  • @linamacha7686
    @linamacha7686 3 роки тому +12

    Sifa na utukufu zimrudie Mwenyezi Mungu wewe Mungu uliyemrudisha huyu kijana tunaamini utamfungua na kuwa na afya njema na lipo kusudi lako ndani ya maisha yake 🙏🙏

    • @scolamsisi9306
      @scolamsisi9306 3 роки тому +1

      Mungu alietenda kwenye familia hii atende kwa familia nyngne pia

    • @assiakiboko2033
      @assiakiboko2033 Рік тому

      @@scolamsisi9306 0pp

  • @alicemuthoni8177
    @alicemuthoni8177 3 роки тому +131

    Eeeh Mungu uliefanya huyu arudi na ewe Mfalme wa wafalme warudishe na hao wengine ..asante Mungu kwa kumfanyia huyu mama muujiza😢😢

    • @abduljaffar875
      @abduljaffar875 3 роки тому

      Uongo mtupu nyinyi mnaamini t

    • @alicemuthoni8177
      @alicemuthoni8177 3 роки тому

      @@abduljaffar875 mpaka uwe ni mwenye kukubali kuwa kuna Mungu mkuu anaewapenda bunadamu wote na kuwarudishia tumaini wanapo dhulumika hakika yeye anauwezo wakufanya jambo lolote asiloweza mwanadamu na yeye sidhalimu wala hako na madhalimu ila upendo wake mkuu hufanya madhalimu waone kama hawajui wala hatambui ila siku yaja....

    • @subiraEgid-p6t
      @subiraEgid-p6t 9 місяців тому

      Mungu wangu anisaidie na mimi

  • @siwemamahenge3275
    @siwemamahenge3275 3 роки тому +13

    Milado ayo wewe ni mziki mnene, mi nakupa Big Up sana

  • @tinadarius7691
    @tinadarius7691 3 роки тому +113

    apelekwe maombi jmn atakaa sawa Mungu ni mwaminifu sana tumrudie Yeye

  • @joachimdemarine369
    @joachimdemarine369 3 роки тому +35

    Kama uliskiliza hii story kwenye radio twende pamoja apo

  • @doctorzero-dj5xg
    @doctorzero-dj5xg 3 роки тому +82

    Akiombewa atafunguka vizuri zaidi , Mungu atukuzwe

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 роки тому

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ua-cam.com/video/M4GyEil-nAo/v-deo.html

    • @nurathissa1422
      @nurathissa1422 3 роки тому

      Washamkata ulimi jamani

    • @KileleMartin
      @KileleMartin 3 роки тому

      @PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii ua-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/v-deo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

    • @KileleMartin
      @KileleMartin 3 роки тому

      @PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii ua-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/v-deo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

    • @KileleMartin
      @KileleMartin 3 роки тому

      @@nurathissa1422 @PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii ua-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/v-deo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

  • @fiziparadise7808
    @fiziparadise7808 3 роки тому +67

    Ukirogwa ahufi, unahamishwa tu na wachawi. In fact, ukifa naturally, uwezirudi tena.

    • @beera.g5302
      @beera.g5302 3 роки тому +2

      Kweli kabsaa uyu msukulee,. Wanasherekea ujingaa,kizazi chaishaa, unachukua msukulee unaeka ndan? Kitasafisha kizaziii uyu n msukulee

    • @faithmarita9759
      @faithmarita9759 3 роки тому

      Very true

    • @meshacksamson1008
      @meshacksamson1008 3 роки тому +2

      @Daniel thomas Msigwa dada hii dunia ucje ukasema ety pepo mchafu huyo m2 akupenda awe hivyo,,afu unasema asikae na wa2 sasa ulitaka akae na nani??? Kuwa na akili bax

    • @AliMohamed-kd1uc
      @AliMohamed-kd1uc 3 роки тому +2

      Huyu alichukuliwa kichawi mbona haongei alikatwa ulimi

    • @nolascodismassilayo3927
      @nolascodismassilayo3927 2 роки тому

      Uko sawa waache sanaaa

  • @mangapineema7652
    @mangapineema7652 3 роки тому +92

    Uhimidiwe Mungu wetu

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 3 роки тому +5

    WACHAWI WOTE MUNGU AENDELEE KUWALAANI LEO KESHO NA MILELE AAAMIN🙏🏻

  • @efajuforeal8740
    @efajuforeal8740 3 роки тому +25

    Kigoma hiyo aisee hakika Mungu simama na kigoma

  • @mishibaron5021
    @mishibaron5021 3 роки тому +6

    Yesu ni bwana jina lake litukuzwe ...Nakupenda Mungu wangu maana unaniepusha na mengi ...nakuomba uzidi kumsaidia kijana huyu...aki machozi yanitoka tu

  • @imathomas6531
    @imathomas6531 3 роки тому +11

    Daaah 1994 mimi ndyo nazaliwa mpk sasa 2020 nina miaka 26 ni parefu jmn Mungu mwema

  • @doreengomes3489
    @doreengomes3489 3 роки тому +23

    ⚘🥰...All thanks and Praise be to God forever. Amen

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 роки тому +1

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ua-cam.com/video/M4GyEil-nAo/v-deo.html

  • @breymbasa3451
    @breymbasa3451 Рік тому +2

    Mungu baba tusaidie magufuri tuna kazi nae Tulelee🙏

  • @aminatundondege9384
    @aminatundondege9384 3 роки тому +46

    mmh!dunia hii,basi tu,Acheni Mungu aitwe Mungu.

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 роки тому

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ua-cam.com/video/M4GyEil-nAo/v-deo.html

    • @sherin3171
      @sherin3171 3 роки тому

      Wallah

    • @hildamaziku4385
      @hildamaziku4385 3 роки тому

      Nashauri wakapime DNA kabla Ili tuishangaze dunia

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 роки тому

      Walimchukua msukule

  • @asiamwarabu7510
    @asiamwarabu7510 3 роки тому +4

    Napaliza sauti Kwa nguvu zangu zote kuwa Mungu yupo na kwake hakuna linaloshindikana hakika Kwa Iman tutashinda Allahuakbar Allahuakbar X1000

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 роки тому +71

    Wachawi jamanii..!! Basi Ni wengi wamekufa lakini hawajafa

    • @ivankinabo1226
      @ivankinabo1226 3 роки тому +4

      Wengi mno wamechukuliwa misukule asee inauma mno, unadhan mzaz wako amekufa kumbe yupo sehemu anatumikishwa na kuteswa huko

    • @ramadhanikibenga6317
      @ramadhanikibenga6317 3 роки тому +2

      Hahahaha wamekufa lakini hawajafa hahahaha umetisha

    • @afrieagle8314
      @afrieagle8314 3 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @niwemugenimediatrice5640
      @niwemugenimediatrice5640 3 роки тому

      Nimeogopa sana

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 3 роки тому +61

    Labda boss wao alikufa Sasa wakakosa mtu wakuwapa chakula Mumgu anawaona wachawi 😭😭

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 роки тому

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ua-cam.com/video/M4GyEil-nAo/v-deo.html

    • @KileleMartin
      @KileleMartin 3 роки тому

      @PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii ua-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/v-deo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

    • @ismailkatala4792
      @ismailkatala4792 3 роки тому +1

      Sure inawezekana alichukuliwa na wachawi

  • @tauvurilytrics4648
    @tauvurilytrics4648 3 роки тому +9

    Daaa! Kweli mungu Mimi umenipendelea Sana kumbe kuna watu wanapitia magumu Asante mungu

  • @b.a.m6243
    @b.a.m6243 3 роки тому +8

    Ee MUNGU tusaidie vizazi vyetu na watoto wetu. Amen

    • @KileleMartin
      @KileleMartin 3 роки тому

      Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii ua-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/v-deo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

    • @kennyseleman4623
      @kennyseleman4623 3 роки тому

      Ameen

    • @dicksonntibanoga4652
      @dicksonntibanoga4652 3 роки тому

      Is

  • @abelmwakipesile4503
    @abelmwakipesile4503 3 роки тому +148

    Mungu ni yeye yule jana leo na milele,hakika matendo yake ni makuu.

  • @elizalwakatare8070
    @elizalwakatare8070 3 роки тому +7

    Ukute hata hao wachawi wapo hapo wanapika na kufurahi pia🙌🙌🙌

  • @samuerypaulo5711
    @samuerypaulo5711 3 роки тому +40

    Mimi nimkazi wakigoma wilaya ya Kasulu mjini matukio kama haya nimengi sana mungu atusimamie 🙏

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 роки тому +1

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ua-cam.com/video/M4GyEil-nAo/v-deo.html

    • @rukiaali2786
      @rukiaali2786 3 роки тому

      Ameen

  • @nornooo7225
    @nornooo7225 3 роки тому +34

    Inawezekana hata ndugu zake wapo huko wamegeuzwa misukule 😢 ee mungu nilinde mja wako na kizazi changu epusha haya yasijetokea' ameen.

    • @neemaneema6825
      @neemaneema6825 3 роки тому

      Amina

    • @KileleMartin
      @KileleMartin 3 роки тому

      @@neemaneema6825 Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii ua-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/v-deo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 3 роки тому

      Haya ni maajabu ya Mungu huyu kijana kutokeza duniani , watu wanajifanya wana ujuzi wa kuchukua misukule wenzao, MUNGU atawalaani wachawi hawataiona pepo kwa nguvu zake MUUMBA kwa kuwatesa na kuwadhulumu viumbe ikiwa kwa makosa au bila makosa .

    • @merikizedeckmwaniwe5358
      @merikizedeckmwaniwe5358 3 роки тому

      Amina mungu tusaidie tuepushe na haya majaribu

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 3 роки тому

      @@merikizedeckmwaniwe5358 Wala hatukunusurika, mungu mkubwa tu. Itafika siku tutawaona waliolaanika.

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 роки тому +69

    Huu mwaka wa maajabu ni mwaka ambao utakumbukwa kwa mengi sana

    • @SAMDESIGNS255
      @SAMDESIGNS255 3 роки тому

      Si huu tu bdo inakuja mibaya zaidi

    • @SAMDESIGNS255
      @SAMDESIGNS255 3 роки тому

      Siku za mwisho hizi

    • @KileleMartin
      @KileleMartin 3 роки тому

      Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii videoua-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/v-deo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

    • @KileleMartin
      @KileleMartin 3 роки тому

      @@SAMDESIGNS255 Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii ua-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/v-deo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

    • @jabarithegreat6292
      @jabarithegreat6292 3 роки тому

      Amina

  • @lawrenciamkolwe4875
    @lawrenciamkolwe4875 3 роки тому +8

    Mungu yupo ndugu zang mama endelea kuomba wote watalud

  • @ااجج-ط5د
    @ااجج-ط5د 3 роки тому +8

    Subhaana Allah

  • @judiehance1736
    @judiehance1736 3 роки тому +25

    Natamani ingekuwa dada yangu ndo arudi

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 3 роки тому

      Tuombe Mungu na kufunga ukimaanisha inawezekana hasa km alikufa kwa utata

    • @luludaudi6416
      @luludaudi6416 3 роки тому

      Mi nataman mama angu alud jaman

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 3 роки тому +1

      @@luludaudi6416 oooh km una uhakika aliondoka kwa utata amua kusimama na Mungu sawasawa shirikisha Watumishi unaowaamini guseni pale mlipomuhifadhi bila woga na mseme wewe ardhi tapika mama yetu anaeteseka tunaamuru kwa jina la Yesu

    • @didadisminder5559
      @didadisminder5559 3 роки тому

      Kama mimi

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko2480 3 роки тому +1

    Pole Sana mamaangu Atukuzwe Mungu aliemrejesha ndugu yetu

  • @mirynjeri5850
    @mirynjeri5850 3 роки тому +8

    Walimchukua msukule sasa mungu kamtoa huko alikuwa amewekwa.

  • @NaomiCharles-bb8md
    @NaomiCharles-bb8md 3 місяці тому

    Mungu anilinde mm na kizazichangu pamoja na familiya yangu japokua bado sijawa na familiya

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 3 роки тому +19

    Duuh mjomba sio poa ,
    Katika awamu hii mengi tutayaona
    Mpakaa wafu wana...
    Great

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 роки тому

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ua-cam.com/video/M4GyEil-nAo/v-deo.html

    • @KileleMartin
      @KileleMartin 3 роки тому

      @PHOVY MEDIA Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii ua-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/v-deo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

    • @omarymushehe5496
      @omarymushehe5496 3 роки тому

      Eee! Maajabu jamani

  • @celinamgundoi8420
    @celinamgundoi8420 2 роки тому +1

    Mungu ulie mrudisha mtoto wako hakika utamfungua knywa chake na vyote walivyo mfunga hakika mungu wewe unaweza asante yesu🙏🙏

  • @zipporahzilpahmungohe9763
    @zipporahzilpahmungohe9763 3 роки тому +7

    Everlasting father i trust in you🙏🙏🙏🙏

  • @Aminakanyela
    @Aminakanyela 6 місяців тому

    Nataman na mtoto wa dada yangu arudi mungu wa muujiza Fanya na kwetu

  • @barakapaul3855
    @barakapaul3855 3 роки тому +4

    Kama unaamini wachawi ni wapuuzi gonga like

  • @yusuphjonathanmwanzonje9902
    @yusuphjonathanmwanzonje9902 3 роки тому +1

    Haleluya jina lako Bwana lihimidiwe nakusihi Bwana na Mimi nirdudishie baba yangu arudi maana kifo chake kilikuwa na mkono WA mtu

  • @justusmuendo7823
    @justusmuendo7823 Рік тому

    God is good,,he does like God and no one can stop God,,Ndugu zangu Mungu yupoo...Ukifanyia mtoto ya mtu mazigaombwe,jua Mungu anaona na atatenda kama Mungu,let God be praise Forever...

  • @sethibrahim7563
    @sethibrahim7563 3 роки тому

    Aletwe Dar kwa Mtumishi wa Mungu Sunbella Kyando, Ataombewa naamini atakaa vizuri

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 3 роки тому +8

    God is good 🙏

  • @Majambo_Duniani_Tv
    @Majambo_Duniani_Tv 3 роки тому +20

    nahisi hata hao wengine wanaweza kurudi one day, naanza kuelewa concept ya misukule ipo...

  • @saurimwaitenga6121
    @saurimwaitenga6121 3 роки тому +22

    Mmh mungu yupo

    • @mikidadilyimo6531
      @mikidadilyimo6531 3 роки тому

      Kigomaaa shikaamooooo

    • @KileleMartin
      @KileleMartin 3 роки тому

      Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii ua-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/v-deo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

    • @KileleMartin
      @KileleMartin 3 роки тому

      @@mikidadilyimo6531 Hakika mungu ni muweza kama unaamini yupo usipite bilA kutazama hii ua-cam.com/video/bpPm4SzZ_5s/v-deo.html PIA USISAHAU KUSUBSRIBLE NA KUKOMENTI

    • @mwanalikhamis9875
      @mwanalikhamis9875 3 роки тому

      he mtihani jamanni

  • @wemaroy1535
    @wemaroy1535 3 роки тому +3

    Eeh mungu nataman ungemludisha mama angu😭😭😍😍

  • @eliudijastini8143
    @eliudijastini8143 3 роки тому +2

    Aseee tuleteeni mwendelezo wahii story asee mpaka mwisho 🌍🇹🇿📖

  • @jeremiahsanare8057
    @jeremiahsanare8057 3 роки тому +9

    Tegemea kwa mungu kwa imani yote yanawezekana amin

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 роки тому +1

    Mungu anawez then sawaa na ni sha Allah mungu athafungua kauli yke..soth tyumuamin mungu na anatenda

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 3 роки тому +15

    Dah siamini yaani dah tumtangulize mungu yaan daah 😁wangapi wamesikiliza yule mkaka wamwisho maongezi yake😍

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 роки тому

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ua-cam.com/video/M4GyEil-nAo/v-deo.html

    • @robsonyona7435
      @robsonyona7435 3 роки тому

      Kigoma yetu ni balaa ulozi upo inje inje uku

  • @athanasiabernard7213
    @athanasiabernard7213 3 роки тому +2

    Mungu tuhurumie tushikilie Imani zetu

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 3 роки тому +6

    Mungu ni mwemaa wakat wote ,,ya rabby mwingi wa rehma mjaalie apone vyema tunusulu na mabaya yote Amin 🙏

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 роки тому +1

    Wachawi jamani mungu anawaona najua ata umu mpo mutasoma hii comment yangu mjue ipo siku isiyo julikana mtazalilika na mtajuta kufanya iyo kazi isiyo na faida

  • @occupeparjesus6768
    @occupeparjesus6768 3 роки тому +4

    Kupitia video hii nimeamini sasa kilichotokea nchini kwetu CONGO 🇨🇩 nimehakikisha kwamba story tuliyonayo hapa ya Mathieu Badjoko ambae nae pia alizikwa, baada ya miaka mitatu akarudi kumbe ni story ya kweli. Basi mpelekeni kanisani nae pia ataongea.
    *MUNGU NI MKUBWA !*

  • @AyubuJafari-vo3us
    @AyubuJafari-vo3us 3 місяці тому

    Maaajabu gani yadunia MUNGU atuponye🙏🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 3 роки тому +12

    Glory to God if this is true. Basi atakapoongea naomba mleteni atusimulie ilikuaje!

  • @ClenMoses-hi5mg
    @ClenMoses-hi5mg 4 місяці тому

    Mungu ulie tenda muujiza huu nitendee namim Baba yangu arudi Haman😭😭😭😭😭

  • @hellennasambumasibo917
    @hellennasambumasibo917 3 роки тому

    Mushukuru mungu sana kuwa naimani atakuja kuongea na tena nawapongesa sana hii familia kumpokea kijna wao juu ingekuwa familia ingine wange mutoro lakini sifa na shukurani murutishieni bwana 😭😭natwakwa na majozi ya furaha jina lakini mungu lipewe safa🙏🙏🙏

  • @danielx8
    @danielx8 3 роки тому +2

    Amerudi akiwa vile vile au kazeeka?

  • @festusmwikwabe9322
    @festusmwikwabe9322 3 роки тому +1

    Askofu Gwajima anarudishaga hii misukule huku watz mnampinga tu....Gwajima is real.

  • @shijakishosha2644
    @shijakishosha2644 3 роки тому +19

    Nimeelewa kwnn baba levo kakatalia dar hatak kurudi kigoma daaaah

  • @masekemustapha4784
    @masekemustapha4784 3 роки тому +2

    Mungu ni mwema kila wakati🙏

  • @resttuta6889
    @resttuta6889 3 роки тому +5

    Da jaman mama kafiwa na watoto wengi sana

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 роки тому +1

    Eee Mungu! Naomba uthihirishe michawi yote.Mungu ona tunavyoteseka.

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 3 роки тому +9

    Nafikiri tutaelewana kwa karibu ile taaluma ya Bishop Gwajima.

  • @naomiiantonio3731
    @naomiiantonio3731 3 роки тому +1

    Mungu ni Mkuu kama unaamini sema Amen twende sawa

    • @giftiyshirima8879
      @giftiyshirima8879 3 роки тому

      Damu ni nzito kuliko maji mungu aliemrejesha atanfungua Tena na kuwa mzima

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 3 роки тому +6

    Mtu kazaa kuku(Uvinza-kigoma),Mtu kafufuka(Bugaga-Kigoma)
    Kigoma FILE LENU tunalo

  • @empresslulu9775
    @empresslulu9775 3 роки тому +2

    Ewe Mungu mfufue dada yangu ili arudi kuwalea watoto wake ....

  • @brownbryson9293
    @brownbryson9293 3 роки тому +4

    Kama unamwamini Mungu. Gonga like cz Mungu ni muweza

  • @mgenitsuma8141
    @mgenitsuma8141 3 роки тому +1

    Mungu mkubwa wachawi mungu awaona kesho itafika mtamjbu nn Allah 😭😭😭😭anayo mengi alioyaona akiwa swa atasema Kuna mengi amepitia

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 3 роки тому +47

    Huyo alichukuliwa msukule na walizika mgomba

    • @jenymtafya3430
      @jenymtafya3430 3 роки тому +2

      Kabisa hata kambi moja ya wakimbizi kigoma hiyo hiyo tumeshuhudi mtoto wa miaka 3 karudi baada ya kuzikwa miezi 3 ikapita akaonekana tena

    • @rukiaali2786
      @rukiaali2786 3 роки тому +4

      Wachawi Mungu awalani kabisa kwanini wanafanya watoto wa watu hivi

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 роки тому

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ua-cam.com/video/M4GyEil-nAo/v-deo.html

    • @jumabanda2802
      @jumabanda2802 3 роки тому +1

      Ulikuwepo ukaona ni mgomba?

    • @faridaessa7844
      @faridaessa7844 3 роки тому

      @@jumabanda2802 yaani ni kwamba mwili unabaki mwili feki unazikwa ndiyo unaitwa mgomba

  • @subiraEgid-p6t
    @subiraEgid-p6t 9 місяців тому

    Dear God please nipo nasubiri zamu yangu....❤

  • @mathewdeus4462
    @mathewdeus4462 3 роки тому +39

    Tufatilie vizuri huwenda wengine wapo huko tuzame kimaombi

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 роки тому +1

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ua-cam.com/video/M4GyEil-nAo/v-deo.html

    • @niyonzimafafa2501
      @niyonzimafafa2501 3 роки тому

      Amen

    • @mariyaal5366
      @mariyaal5366 3 роки тому

      Amen

    • @bobchanda2460
      @bobchanda2460 3 роки тому

      😂😂😂

    • @nuruelmada9570
      @nuruelmada9570 3 роки тому

      Kweli ,tuombe

  • @MaurenEmmanuely-nc9id
    @MaurenEmmanuely-nc9id 4 місяці тому

    Eheee Mungu nirudishie Mamaangu😢😢😢🙏🙏

  • @loveetz4489
    @loveetz4489 3 роки тому +10

    I wish ungetokea muujiza mume wangu na mdogo angu wakarud jmn😭😭😭

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 3 роки тому +2

    Mungu ni mwema !!

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 3 роки тому +2

    Asee huyu mtoto ni wake kabisaa wamefanana sura sana

  • @gracesimpasa993
    @gracesimpasa993 3 роки тому +1

    Mungu ni Mungu tu jana leo kesha na hata milee uhimidiwe bwana wa majeshi na ijulikane kuww upo Mungu wetu

  • @kikiderreck9930
    @kikiderreck9930 3 роки тому +4

    GOD IS ABLE"

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 3 роки тому

    Am a Kenyan..bt nyinyi watanzania mumrudie Mungu.mumezidi na uchawi.

    • @حورالفهد-ف4ز
      @حورالفهد-ف4ز 3 роки тому

      wakenya pia tumrudie Mungu , toa boriti kwa jicho lako kwanza , mbona corona hamna tanzania na kenya iko , inapasa wakenya ndio tumrudie Mungu na kuomba toba rehema na msamaha.

  • @salimmariga149
    @salimmariga149 3 роки тому +13

    Allahu Akbar...subhanallah walhamdulillah lailahaillallahu Allahu Akbar ..husbunallah waniimal wakeel

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 роки тому +2

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ua-cam.com/video/M4GyEil-nAo/v-deo.html

    • @mimimtanzania9738
      @mimimtanzania9738 3 роки тому

      Wamefanana sana

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 3 роки тому +2

    Subhannallah 94 nipo shule ya msingi darasa 3 hd sasa nina watoto 3 duh
    Allahu Akbar, Allahu yaalam

  • @sirqiutaislaamahambe1535
    @sirqiutaislaamahambe1535 3 роки тому +14

    Kiimani alikua ndondocha huyo wa aina nyingine na pia ni zama za mwisho

  • @nancybungei9113
    @nancybungei9113 3 роки тому +1

    Mungu ni mwema...

  • @janethhenry8307
    @janethhenry8307 3 роки тому +1

    Mungu ni mwema sana jamani👏

  • @evennassary5262
    @evennassary5262 3 роки тому +8

    Alichukuliwa msukule, hayo mengine ni usanii

  • @mariamsenyagwa6784
    @mariamsenyagwa6784 3 роки тому +1

    Amina endeleeni kufunga na kuomba Mungu ni mkubwa

  • @eradiusrwehumbizatibamanya6152
    @eradiusrwehumbizatibamanya6152 3 роки тому +4

    Dah,matukio mengine yanatisha,how comes mtu alikufa 20yrs passed anarudi kuwa hai!

    • @ummyremmy1797
      @ummyremmy1797 3 роки тому

      Hua hawajafa ni wachawi wanamchukua wanamfanyisha kazi....nikitu hta kwetu kenya ishatokea

  • @filbertsamson8140
    @filbertsamson8140 3 роки тому +1

    Mungu ni mwema

  • @UziaKisanganya
    @UziaKisanganya 3 місяці тому

    Asante Mungu kwa muujiza wako juu ya huyu kijana

  • @kelvinidamiani7808
    @kelvinidamiani7808 3 місяці тому

    Dunia hii simama nishuke 🙌🙌🙌🙌

  • @godfreyapollo1864
    @godfreyapollo1864 3 роки тому +4

    DNA ndo solution hapoooo...

  • @sukhairamlisho
    @sukhairamlisho 3 місяці тому

    Daah mung nimwem jmn tumuabud mwenyez mungu ndiye anaeweza kilakit

  • @joshyt1745
    @joshyt1745 3 роки тому +10

    Mungu ni mwema Kama unamwamini yesu wambinguni gonga like

  • @janemsigwa7343
    @janemsigwa7343 3 роки тому +4

    Mmmmhhh ukistaajabu ya Musa utayaona ya filaun duuu Mungu wangu

  • @johnsonbhusagwe6945
    @johnsonbhusagwe6945 3 роки тому +1

    Kijiji alichozaliwa mama yangu na baba yangu nimefurah sana kuona hata ilo bango 🙏

  • @merydavis3860
    @merydavis3860 3 роки тому +6

    Muacheni Mungu aitwe Mungu.

  • @frankpata1653
    @frankpata1653 3 роки тому +1

    Mungu ni Mungu🙏🙏