Mauaji yalivyofanyika Kanisani Njombe | Mtuhumiwa alivyomkatakata marehemu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

КОМЕНТАРІ • 637

  • @SteriaYaga
    @SteriaYaga 13 днів тому +2

    Mungu tujalie mwisho mwema maan saiv tanzania yetu imekuwa na matukio mengi😢😢 jamani huu ndo mwisho wa dunia

  • @geroldjacob9845
    @geroldjacob9845 3 роки тому +4

    Daaahhh amemkatakat kam ngo'mbe wa buchan, kwanz huy binadam au mnyam hatar . Askar umetutolea huzun jins unavoeleza tukio nice expression

  • @amosmichael8986
    @amosmichael8986 Рік тому +2

    Daaa polisi hongeren kwa kazi nzuri sheria ifate mkondo

  • @JenniferMichaery
    @JenniferMichaery 3 місяці тому +2

    Asante kwa uchunguz wen waheshimiwa pia mungu awakumbuke wafiwa wote

  • @rev.thobias2756
    @rev.thobias2756 Рік тому +1

    Hongera kamanda kazi nzuri kweli mapepo na mashetani yana leta vifo uko sahihi

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 3 роки тому +5

    Poleni jeshi la polic kwa kazi ngumu, pia pole kwa Familia, na watanzania sote tuwe pole maana hivi vifo vinatuliza kila itwayo Leo.

  • @HAJJZAYUMBA
    @HAJJZAYUMBA 2 місяці тому

    Hongreni san jesh la polisi kw kazi nzuri na pole kw familia n watanzania wte

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn Рік тому

    Duuh inatisha Sana hongera kama kwa kuifanya hii kazi kwa wered wa Hali ya juu Sana mpaka mtuhumiwa amepatikana

  • @Jumann-h8u
    @Jumann-h8u Рік тому +1

    Mbaya sana hii cjui binadam tumekuwaje mungu tu atusamehe kwakwel

  • @footballskills4842
    @footballskills4842 20 днів тому +2

    Pole kwa ndugu imn

  • @muungujaunguja8609
    @muungujaunguja8609 3 роки тому +35

    Jamani afande pole sana unaonyesha umeumizwa zaidi hadi kuongea shida pole baba angu afande na familia yake

  • @RachelMoses-b3c
    @RachelMoses-b3c 2 місяці тому

    Duuu nimependa sana Afande unavyoelezea kwa vielelezo na ushahidi wahilo kutosha na ushauri kwa wananchi,hongereni sana pia poleni sana kwa kazi mlionayo,ila dunia imeisha jamani,watu tunauana ovyo hofu ya Mungu hakuna,watu wanaenda ibaadani kilasiku ya ibaada lakini hawabadililki,Mungu tsaidie duuu Yesu na uje tu maana tumechoka

  • @rehemajohn5410
    @rehemajohn5410 3 роки тому +2

    Hongera kamanda kwa kuripoti vizuri tukio.

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому +7

    Daah 😭😭😭😭😭Mungu amlaze mahali pema peponi, Ushauli wangu kwa jeshi la polisi wanaoua na wao wapewe adhabu kali sana ili iwe fundisho kwa wengine, Mungu hiondoshee tanzania roho za kikatili

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 3 роки тому +5

    Hongera afande kwa Kazi nzuri. Muoneshenu huyo mtuhumiwa afahamike na Wananchi.

  • @rajabually8659
    @rajabually8659 3 роки тому +10

    Pole sana afande naona waongea kwa hisia sana hili tukio sio la kawaida katika jamii yetu ya watanzania huyo muuji apate adhabu kali sana ikiwezekana nayeye auwawe

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 Рік тому

      Kwa nini yy ameua hlf yy isiwezekane kuuawa. Yàani anyongwe hadi kufa.

  • @IddyDaruweshi-ev4qg
    @IddyDaruweshi-ev4qg Рік тому

    MASHA ALLAH KHEIR RPC KAMANDA HAMISI KONGOLE SANA NA VIJANA WAKO UPO VIZURI SANA

  • @annamwanauta583
    @annamwanauta583 3 роки тому

    Yani nimekwelewa vinzuri sana asante kwakazi nzuri sana

  • @mamaahmad8615
    @mamaahmad8615 3 роки тому +4

    Mungu wangu hadi mwili unasisimka daaaah hata huruma huna we kaka muuwaji daaah ulaaniwe na mungu polc mmefanys kazi nzur sana hongereni yaana sasa hivi unakaa unamuogopa binadamu mwenzio daaah poleni wafiwa inauma sana jamani acheni roho mbaya na ukatili

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 3 роки тому +13

    Huyu Afande noma sana kwa haya maelezo hadi ni mesahau kama ni tukio la mauaji

    • @esterkelvin6922
      @esterkelvin6922 2 роки тому

      Kwa kweli nimejikuta nacheka kama mazuri ety pigo la pili ndolilomuua dah

    • @josephinalugembe8285
      @josephinalugembe8285 10 місяців тому +1

      Jmn 😂 ila watu mpk umenifanya nicheke utafikr mazur

  • @ARAFATSALUMABDULLA
    @ARAFATSALUMABDULLA 5 місяців тому +7

    Nimempenda bwana AFANDE anazungumza Kama mwandishi wahabari❤❤

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 2 роки тому +1

    Ahsante baba unaongea kwa uchungu mno baba ,,sukuma ndani uyo jambazi afai

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 3 роки тому +1

    Pole sana Afande na job nzuri, safi.....

  • @jaz9974
    @jaz9974 3 роки тому +3

    Asante sana police kwa kazi nzur mlizozifanya

  • @TedyDaudy-c8t
    @TedyDaudy-c8t 6 місяців тому

    Polisi hongelen mungu awabarki kwa kazi nzur

  • @HAJJZAYUMBA
    @HAJJZAYUMBA 2 місяці тому

    Kazi nzuri mungu abriki

  • @laurencemwanga6441
    @laurencemwanga6441 Рік тому

    Mungu awabariki amani itawale. Maaskari hongereni

  • @Veronikalumola-zq4vm
    @Veronikalumola-zq4vm Рік тому

    Jaman ubinadamu ni kazi poleni sana afande kwa kanzi ngumu

  • @jacklineandrew5909
    @jacklineandrew5909 2 роки тому +4

    Mungu naomba niepushie hiyo roho chafu🙏Mungu akiamua kukuabisha hufiki mbali

  • @faithjonathan3845
    @faithjonathan3845 3 роки тому +7

    Dahhh😢😢🥺sidhani kama ni mara ya kwanza kuua huyo jamaa. Na nahisi anafurahia kuua😢😢

  • @MwanaidMwanaid-d6d
    @MwanaidMwanaid-d6d 7 місяців тому

    Jaman! Daaaaaah poleni sana

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 3 роки тому +9

    Afande unafaa sana umechukuwa nafasi ya mstaafu kamanda muroto yani umeiziba kabisa 😄😄

  • @tumainimwakyaka2775
    @tumainimwakyaka2775 3 роки тому +1

    Eeeh MWENYEZ MUNGU wanadam wamegeuka c wanadam tena utuumbie upya roho hiz

  • @innocentbugobola2234
    @innocentbugobola2234 3 роки тому +9

    Et Chuma !!akamuongezea chuma kingne mh hii Nchi yetu jmn kila sehem Mauaji ya kutisha eeh Mungu tuokoea Watanzania tuwe na Hofu ya Mungu..

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 3 роки тому +22

    Shikamooo kamanda kwa kazi nzr. Ila wewe ni zaidi ya police 🤣🤣🤣 .Ila unafaa kuigiza pia

  • @sagilododomamedelipeter1893
    @sagilododomamedelipeter1893 3 роки тому +3

    We ni comedy au kamanda🤭🤭😱😱

  • @jamesmbuyuntvtzshijacom.5268
    @jamesmbuyuntvtzshijacom.5268 3 роки тому

    Asante kwa kazi ya porisi muliyoifanya

  • @ARAFATSALUMABDULLA
    @ARAFATSALUMABDULLA 5 місяців тому

    Nimempenda bwana AFANDE anazungumza Kama mwandishi wahabari

  • @zainabmohammed6700
    @zainabmohammed6700 2 роки тому +1

    Dah jamn kamuuw mwenziwe namn hii huyu s bnadamu alomuuwa mwenziwe anyongwe kabisaa asiwekwe ndan dahh😭😭😭

  • @joycemagessa350
    @joycemagessa350 3 роки тому +10

    Mungu okowa Nchi yetu kila Leo Mauaji. Tumemkosea Mungu Tunaitaji toba ili tupone🙏

  • @FathaniaRaphael
    @FathaniaRaphael 9 днів тому

    Mungu atusaidie nyakati za mwisho

  • @jacklinepaul105
    @jacklinepaul105 Рік тому +1

    Uwiii Mungu tunusuru na haya majanga uyo muuaji sio wa kubaki jamani serikali iingilie kati😥😭😭

  • @LucyOmary-e8s
    @LucyOmary-e8s 6 місяців тому

    Hongereni sana kwa kz nzuri mungu awabariki

  • @gilbertoisso-h1w
    @gilbertoisso-h1w 11 місяців тому

    😢😢😢😢 wayu wanaroho kama za wanyama ndugu wa marehemu poleni sana mungu awalinde

  • @feliciankazimoto8888
    @feliciankazimoto8888 3 роки тому

    Kazi nzuri Askari wetu.

  • @NoratiKasenga
    @NoratiKasenga 2 місяці тому

    Poleni sana afande kwakazi ngumu

  • @mzeeomary5780
    @mzeeomary5780 3 роки тому +7

    Serikeli iweke sheria uki uwa basi na ww upigwe risasi adharani uone kama mauwaji haya taisha ila mtu anauwa anajuwa anakwenda jela kula nakulala bure

  • @KaburaaronManyasa
    @KaburaaronManyasa Рік тому

    Eeeeeeee mwenyezi mungu tusaidie nautuepishe nahizi roho 😭😭😭😭😭😭

  • @ErnestKalyamtima
    @ErnestKalyamtima 9 місяців тому

    Mbarikiwe sana jesh la polis kwa kaz nzr mungu awatie nguv

  • @reginapiusi6750
    @reginapiusi6750 3 роки тому +14

    Jaman hii nchi imekuwa ngumu sana 😭😭😭😭

  • @mrematvbabakoku8336
    @mrematvbabakoku8336 3 роки тому

    Safi sana kamanda upo vizuri kuliko alfred masako

  • @frolamazimba465
    @frolamazimba465 3 роки тому +2

    Jamani tunaelekea Wapi sisi wanadamu mungu tujalie mwisho mwema

  • @swaiseif2989
    @swaiseif2989 3 роки тому

    Ma askar mnakaz ngumu Sana mungu awalinde yni hii kaz hii nisingeweza ya upolice uwiii

  • @TedyDaudy-c8t
    @TedyDaudy-c8t 6 місяців тому

    Emungu tusaidi jaman mtumishi wa mungu unafanya mauaji jama 😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kebekebee
    @kebekebee 2 роки тому +1

    Matukio ya ajabu yamefululiza sana matukio ya kuuwana tu mala kubaka watoto wadogo Mungu muumba wa mbingu na nchi TANZANIA tunakuhtaj utupe aman ya kweli umoja na ushikamano kwa jina la Yesu amen

  • @happychuwa1410
    @happychuwa1410 2 роки тому +1

    Jamnii hongeren police kazi yenu ni njema

  • @reubenismail3672
    @reubenismail3672 3 роки тому +1

    Hongereni Sana police mpo fasta sana

  • @NyangigeNyamuhokya
    @NyangigeNyamuhokya 4 місяці тому

    Dunia imeisha ni nyakati za mwisho Mungu atusaidie

  • @eliasthomas1547
    @eliasthomas1547 11 місяців тому

    Pole sana kamanda.

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 3 роки тому +5

    Subhana Allah. Upo vzr ktk kueleza

  • @StevenMushi-d7o
    @StevenMushi-d7o 3 місяці тому

    polen sanaa na hongeren jeshi la polisi

  • @LOYCEEMMANUEL-b6z
    @LOYCEEMMANUEL-b6z 4 місяці тому

    Tanzania nakupenda sana ila naomba nikuhamee😢😢😢

  • @KarokiaNdirango-lj3wf
    @KarokiaNdirango-lj3wf Рік тому

    Daaah poleni ndugu

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 3 роки тому +2

    Jamani,jamani,tunaenda wapi mungu tuepushe na hii roho ya mauti💔🙆😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤔

  • @MWINYIAMIALLY-yy3zg
    @MWINYIAMIALLY-yy3zg Рік тому

    Ongera sana kwa kuonyesha ushujaa na ushirikiano wa chombo cha dola

  • @JoseJoseph-s1x
    @JoseJoseph-s1x 6 місяців тому

    😢😢😢😢uwo ni unyama mkari WaTanzania tunaenda wapi mungu haulage roho ya m2mishi wake mahari pema Peponi 8:12

  • @barakangombe3095
    @barakangombe3095 2 роки тому

    Poleni sana nduguzetu

  • @aikasimbachawene1924
    @aikasimbachawene1924 Рік тому

    Kamanda ni nimekuelewa unaupiga mwing hongera sana

  • @AbduliMnyongo
    @AbduliMnyongo 4 місяці тому

    ❤jaman nyie achen masiyala

  • @WinifridaEvarist-oc9tb
    @WinifridaEvarist-oc9tb 7 місяців тому

    Mungu tusaidie wat tumekosa upendo tunauana tu mhhh polen dg😢😢😢

  • @nzizajovinpaul4955
    @nzizajovinpaul4955 3 роки тому +4

    Akiwa Gerezani atubu Dhambi zake mbele ya Mungu Baba" hii dunia imezeeka mauji kila kukicha na itegemea Mbingu mpya na Nchi mpya.😭😭😭😭😭😭😭

  • @JacklineNtambulwa
    @JacklineNtambulwa 2 місяці тому

    Poleni sana ndug wa marehem😭😭😭😭

  • @km4km437
    @km4km437 2 роки тому +1

    Dunia imeisha mungu amlaze mahali pema peponi

  • @LucyOmary-e8s
    @LucyOmary-e8s 6 місяців тому

    Hakika wanadamu tumepoteza hofu ya Mungu mioyoni mwetu Mungu tunakuomba utusikie vilio vyetu,uwiiiiiiiiiiiii lnatisha saaaaaanaaaa

  • @princessvyona3412
    @princessvyona3412 3 роки тому

    Aiiii jamani Ghaiii 😳😳😳😳🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️mnasema nini,hii dunia ni kama Mungu alirudi kitambo akachukua wengine tukabaki wale wabaya

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 3 роки тому +2

    Pole sana Afande na kazi njema. Ila kwa kuwapa taarifa tuu ni kwamba America makanisa huwa yanalindwa na polisi wakati waumini wakiwa kanisani kwa usalama zaid. Hivyo na Tanzania mfanye hivyo kuwalinda waumini.

    • @gadafimasoud310
      @gadafimasoud310 3 роки тому

      Safi kabisa lkn ulinzi ni wakati wa ibada tu au muda wote? yaani 24hrs 7 days na je ni makanisa tu yalindwa huko America au nyumba zingine za ibada ambazo si kanisa? Mf misikiti , synagogue

  • @joerifaridi7431
    @joerifaridi7431 2 роки тому

    Pole sana

  • @estherrobart4070
    @estherrobart4070 2 роки тому

    Dar safi sana yaani unaelezea mpk raha

  • @flova7022
    @flova7022 3 роки тому +2

    Hahahahahahaha samahani Kwa kucheka...weww ni zaidi ya masanja

  • @witnessmbuya7908
    @witnessmbuya7908 2 роки тому

    Mungu naomba utusaidie ya dunia mengi

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 2 роки тому

    Sub hanallah 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️duh wanadam tumekuwa naroho mbaya sn 😭😭😭

  • @MwamvitaFaraji
    @MwamvitaFaraji 2 дні тому

    Daaaah tafadhali uyu mtumiwa anyongwe jamani

  • @NelsonMgimwa
    @NelsonMgimwa Рік тому

    Duuuu!!!! Pole I sanaaaaa!!! 😭😭😭😭😭😭😭

  • @godfreylutengano9367
    @godfreylutengano9367 2 роки тому

    Hii sio sawa kwa ubinadam

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 3 роки тому +5

    Tangia Mh Magufuli afariki nchi imeyumba sana sana, wanadamu tumekua hatuna hofu ya Mungu.

    • @khadijanurdin3163
      @khadijanurdin3163 3 роки тому

      Na kwel!
      Bora ye alkuwa anawakumbusha raia kuhusu mungu

    • @fatmamunde5543
      @fatmamunde5543 3 роки тому

      Assalamu alaykum''
      Bwana asifiwe"
      Chif Hangaya Salam yetu
      Nakusalinien kwajina la Jamuhur ya Tanzania"
      Nasi" kazi iendelee

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 3 роки тому

    Leo afande umetangaza vizuri sana

  • @fredyfrank2756
    @fredyfrank2756 Рік тому

    Mh htr sana

  • @rosetagaye5731
    @rosetagaye5731 3 роки тому +2

    Jamani binadamu tumekuwa kama wanyama,....Mungu atusaidie.

  • @MwamvitaFaraji
    @MwamvitaFaraji 2 дні тому +1

    Uyu mtumiwa anyongwe nayeye aone uchungu wakifo

  • @kalebialex3602
    @kalebialex3602 2 роки тому

    Kazi iendeleee

  • @NaomiStephano-b9m
    @NaomiStephano-b9m Рік тому +1

    Jamani kwanini kila mtu anategewa na ndugu zake 😢😢😢

  • @irenewile
    @irenewile 2 роки тому

    Hivi wauwaji huwa wanajisikiaje ,,Mungu wangu ... wanaweza kulala kweli Au wanakuwa wamechanganyikiwa

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 2 роки тому +1

    Hawa watu wapewe Adhabu Kali sana

  • @MariamKosmasi
    @MariamKosmasi Рік тому

    Mungu awatie nguvu Wana familiya

  • @florencemanasseh9949
    @florencemanasseh9949 3 роки тому +4

    Surely a church leader si mwatuharibia hata kuja kanisani. This is soo sad indeed 😭😭😭

  • @MaikoGeofrey-nt4uc
    @MaikoGeofrey-nt4uc 10 місяців тому

    Jesh raporisi hongereni Sana kwakazi mnayofanya jina poch nene

  • @gloryulomi-ii1yx
    @gloryulomi-ii1yx Рік тому

    Mungu tusaidie

  • @joseiphmeshack5193
    @joseiphmeshack5193 2 роки тому

    jamsn inasikitisha san mungu atulinde kwakwel

  • @MinahOchu
    @MinahOchu 4 місяці тому

    Duuuu ndugu zangu Dunia imeishaa tudumisheni ibadaa
    😢

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 3 роки тому +8

    SUBHANALLAH😭😭😭