Huyu kima alikuwa na nia mbaya, alitaka kumuua mkewe kisha nae ajiue. Wacha afe mwenyewe aache mtoto wa watu na maisha yake. Suluhu gani hiyo inayoishia kwenye kujinyonga
Shetani siku zote yuko kazini!!! Sasa vijana wa siku hizi hawapendi kusali kwenda kanisani kufanya ibada. Bila Yesu utaona maisha ni mazito sana!!! Sasa kazi ni mmoja, twendeni kwa Yesu, atatusaidia, Haleluyaaaaa ameeeennnn.
Mwana mke akisha muacha mmewe alafu ambiwe wasuluhishe, huo ni mtego wa kuuawa. Ukiamua kumuacha jua maisha yako yako hatarini. Kuna wanaume wasio kubali kuachwa. Lengo lao ni mauaja baada ya kuachwa . Ukisha muache mmewe hama jiji au hata nchi. Hili ni funzo muhimu kwa wana wake na pia wanaume.
WAnaume wote wangekuwa wanajiua hivi ingekuwa afadhali kuliko wanaume makatili kuondosha uhai wa mwenzie! Umechoka kuishi jiue umwache mwenzio anaependa kuishi aishi kwa raha. Wanaume wengi wanajiona ni mungu mtu wanaweza kumfanyia chochote mwanamke mnyonge
Mimi kila mara nikitoka nje wanaume wananiangalia na siwezi kuwazuia yaani inamaanisha kama ningekuwa na boyfriend angesikia wivu kuangaliwa na watu wakati sio makosa yangu jamaa mwenyewe alimua kuwa na demu pisi kali sasa alitegemea nini sisi wanawake tuepuke kuwa na wanaume wenye wivu kupita kiasi unaweza kuuliwa bila sababu
Maelezo yenu yanajichanganya Mara alitaka kujinyonga ndo ikateleza akaangukia mtungi wa gesi mara amejinyonga kupitia bimba lakuweka pazia dirishani...Jamani RIP
@@asteriambwei3349 mungu ampungudhie adhab ya kabri kwani mungu ndo mwenye kuhukumu sio sisi binadamu atakama kosa nilakwake mwenyewe binafsi tumuachie mja wake kwani yeye ndo amjua mja wake alikutwa na nini au ndani ya moyo wake kulikua kuna maumivu gani tujifunze kitu mimi na wewe hatujui kesho yetu sio vyema kutoa maneno makali kwa marehemu atujui kuwa tunazidi kumuongedhea dhambi
Khaaswa! Kumng'ang'ania mtu ndio chanzo cha hays. Km mtu mapenzi yameisha endeleeni na mambo mengine kuliko kuwindana roho. Mapenzi gani ya kuuana. Khaaa
mauaji yamekisiri arusha,,nawakati wahehe ndo walikuwa wakiongoza kwa kujinyonga,,mi mtu akitaka kujinyonga au kujiua ,,siwezi kumzuia maana ni maamuzi binafsu
Sasa huyo binti wakati kashajifungia chooni kwa nini asipige kelele ? Huyu jamaa inaonekana alikusudia amuuwe huyo binti baada ya kufeli plan zake ndio akajiuwa mwenyewe.. km angefanikiwa kumuuwa asingejiuwa mwenyewe . Salama yake hakumuuwa mtoto .
Arusha Arusha kuna nini eh Mungu turehemu tunakataa hizi roho za mauaji kwa jina la Yesu Kristo. Amen
Ameeen 🙏🙏😔
Kweli nimeamini kila kitu linakusudi lake choo kimetumika kuokoa maisha ya binti mrembo Mungu awajalie neema
Poleni kwa maafa ya kimakusudi. Mungu awape nguvu na subira kupitia hayo magumu.
Duuh mungu atuepushie vifo hivyo inshallah na mungu amuweke mahali panapo stahili 😢
Jinyongeni tu kwa sababu ya mapenzi. Mi huko kufa kwenyewe nakuogopa ni vile tu ni lazima sinabudi siku ikifika.
Good point
Umeona eeeehhh
Kabisaaaa
Kweli kabisa
Maisha yenyewe matamu
Huyu kima alikuwa na nia mbaya, alitaka kumuua mkewe kisha nae ajiue. Wacha afe mwenyewe aache mtoto wa watu na maisha yake. Suluhu gani hiyo inayoishia kwenye kujinyonga
Kweli mtoto sijui angeishi vp🤔
Ndo vizuri kafa ana angewazuru wengi
NimechekaEti.suruhu.gani.hyo.inayo.ishia.kujinyonga
Shetani siku zote yuko kazini!!! Sasa vijana wa siku hizi hawapendi kusali kwenda kanisani kufanya ibada. Bila Yesu utaona maisha ni mazito sana!!! Sasa kazi ni mmoja, twendeni kwa Yesu, atatusaidia, Haleluyaaaaa ameeeennnn.
Nenda mwenyewe kwa yesu ,Mm naenda kwa mtume Muhammad (s,a,w)
KWANI ANAKAA MTAA GANI??? SI NASIKIA KAHAMA PALE TANDALE.
Yesu ndio nani?
Arusha shetan yupo kazini kwa ajili ya mauwaji mungu usie shidwa jambo lolote tunaomba i simama mwenyewe
Jaman tukiachwa tusikubal kurudi tena visa vingi kwa sasa vya mauaji chanzo ni watu kurudiana
Mwana mke akisha muacha mmewe alafu ambiwe wasuluhishe, huo ni mtego wa kuuawa. Ukiamua kumuacha jua maisha yako yako hatarini. Kuna wanaume wasio kubali kuachwa. Lengo lao ni mauaja baada ya kuachwa . Ukisha muache mmewe hama jiji au hata nchi. Hili ni funzo muhimu kwa wana wake na pia wanaume.
Kumbe alitaka kumuuwa mwenzie 😳bora kajiuwa mwenyewe
WAnaume wote wangekuwa wanajiua hivi ingekuwa afadhali kuliko wanaume makatili kuondosha uhai wa mwenzie! Umechoka kuishi jiue umwache mwenzio anaependa kuishi aishi kwa raha. Wanaume wengi wanajiona ni mungu mtu wanaweza kumfanyia chochote mwanamke mnyonge
Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole mashore kibao mpka nyapu zauzwa kimafungu kiumeni kujikaza from mombasa
Daaaah.... inauma saan... Maish yenye ndy hayaa....
Mungu atawasaidia ndugu zetu waarusha.
Wangapi tumesikia kifo cha taarifa tumekipata badala ya taarifa ya kifo tumeipata
Mm nasubir ziraili anichukuwe lakini kujiuwa sisubutu mungu anisuru ishaalah🙏🙏🙏🙏💕💕😅😂🤣😘👍
Hahq..eti portable, pisi kali, anavutia😃😃😃💃bora pisi kali haijauliwa..hasara ingekuwa mara 2😃
Wazee huu moto ulikuwa unafukuta chini kwa chini mwanamke aulizwe vzr
Mmh ninavyoogopa ushahidi mimii 🤔🙄🌝mmh huyu dada WA Kwanza kanyoosha maelezo kama alikuwepo Mie ushahidii 🙌🙌
Siku ilifika ilikuainatafuta sababu tu inalillah wainailahi rajuun Allah mueke panapo staili lnshallah
🙏🙏nikwel kabisa ndugu
Mungu atuepushe na hizi roho za mauti
Poleni sana kwakujinyonga
Du Arusha kuna pepo anatembea jamani kila kukicha mauwaji hayaishi mungu tustiri waja wako.
Vituko vya wanaadamu wa Leo hata shetani anastaajabu!??Allaa tujaarie mwisho mwema 😥😥😥
Allah not Allaa please lakn
Tatizo tumepuuza mafunzo ya Jando na Unyago, lingine vijana wanaendekeza sana michepuko
Kwa hiyo alimwita mwenzake amuue , halafu nae ajiuue, wamwache mtoto yatima mhh. Bora kaenda peke yake.
Bora alivyo jiuwa mwenyewe kajibu kwa mungu sasa
Eeh bhana eeh mapenzi tusiyape nafasi sana kias cha kugharimu maisha,mtu fanya kazi pata hela kula vizuri yaan uhakika
Kwel kaka nakubal
Kweli kabisa
Kweli kabisa
Mungu atuepushie hizi roho za umauti
Katka kitu cntokaa nifanye nikujiu au kumuua mwanaume Sabab y mapnz never ever
Mbon ni watoto jmn😥😥😥😥kunjunjuan c kupo jmn
Mwanamke uanze ibada sahii ingekua niwew ndio umekufa
Mimi kila mara nikitoka nje wanaume wananiangalia na siwezi kuwazuia yaani inamaanisha kama ningekuwa na boyfriend angesikia wivu kuangaliwa na watu wakati sio makosa yangu jamaa mwenyewe alimua kuwa na demu pisi kali sasa alitegemea nini sisi wanawake tuepuke kuwa na wanaume wenye wivu kupita kiasi unaweza kuuliwa bila sababu
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu.
Rehma gani kutoka kwa Allaah na amejiuwa na mtu akijiuwa hugo amekufa kafiri
Ameen
Pisi Kali imebaki kwa mabaharia duh haya maisha bhana
Hii kesi ichunguzwe how comes....huyo mke achunguzwe maybe ilikua Anajitetea Kwa bahati mbaya ikatokea yaliotokea
Hahahahaaaa dada umemsifia asee 🤣🤣Et mzuri hatare dada umemaliza pic kali
Mtihani sana
Mwandishi msomi kumbe bado ni camera Man mzuri tu , kwenye kioo anaonekana Lebaba mwandishi msomi
Lkn mnyanya kwann ulifanya ivoo daah 😭😭😭
Poleni sanaaaaaaaaaaa
Imemugeka Safi sana
Wa arusha wana roho ngumu sana.dada aisaidie police...huenda ikawa yy ndio muuaji...
Wanaume wakiowa mke mzur, ukisalimiwatuu, wanaona unatongozwa, wanafanya wivu
kwanin nawe usalimiwe na kila mtu
Kumbe mko wanawake wabaya na wazur ww je upo kundi gani mzur au mbaya
Sema tena
@@ayububakari9942 kwani ni mchawi asisalimiwe na kila mtu??
@@ayububakari9942 WAULIZE WANAO MSALIMIA WAO WANAJUWA.
Kufen tuuuuu ..... Lkn mm hapana kabisa
Arusha lakin mnanini jamani,mbona mmezidi jamani kila siku matukio makubwa ,ndugu zangu badilikeni
Dah wanaume tunakwama wapi??? Kila kukicha tunajinyonga kweli?? Dah noma sana
Mapensi matam
Mungu kamlaani haya aliyo yataka hajafanikiwa haya malipo ni hapa hapa duniani Ila mungu kasha kulipia nabado hukumu yako
Acheni afe hasira za kumkosa mke kumyonga ndio akaona ajinyonge fila salama huliko
Oa una miaka 32 hv utakuwa umekomaa kiakili
Nitaoa nikiwa na 50 nishatosheka kula Bata
Mwanamke nimzuri kipotabo kiukwel anasifiwa kameza mengine ebu njoosheni maneno
Bora kajiuwa mwenyewe
Anayehojiowa sasa 😂😂😂😂anasafia kama yote sijui yeye ni pisi baya 🤣🤣😂😂
Mwanamke kumsifia mwenzie ni vzur
Sasa alitaka mtt abaki nanan kha akufe tu na mungu asisameh makosa yake
Maelezo yenu yanajichanganya Mara alitaka kujinyonga ndo ikateleza akaangukia mtungi wa gesi mara amejinyonga kupitia bimba lakuweka pazia dirishani...Jamani RIP
Poleni
Kufa kufa vipi unaanze kujinyonga kwanza kufa kwenyew sijazoea
Huyo mbona anapaswa kuwa shahidi namba moja
Ameni kumbusha alisha wahi tokea mtaa wa kwetu jamaa alipiga bonge la shonde ndipo akajitundika I say laana
Amejinyongaje Uku kalala chin mmmh
Aaaaah n too much ndpo Tanzania n sna ssa🙆♀️🙆♀️🙆♀️
Huyo mke wake achunguzwe inawezekana kampiga na huo mtungi maana maelezo hayaleti maana
Huyo dada alipoingia chooni angeweza kuomba msaada kupitia dirisha la huko bafuni
''Kifo Cha Taarifa Timekipata''....
😄😄😄naww umeskia eee
😂😂😂 ila watu mpo makini kuskiliza mazungumzo mm nipo busy kusoma comment
Jaman
Hiyo kamchimbia shimo mwenyewe katumbukia mwenyewe
Hii Tanzania inaelekea wapi?
Bora alivo jinyonga mwenyewe kwakweli
Mungu akupungudhie adhab ya kabri mnyanya 😢😢😢😢🙏
Atampungunziaje adhabu ya kaburi na kajinyonga mwenyewe Kwanza akitaka kumnyonga huyo dada ashukuru mungu kajimalinza mwenyewe
@@asteriambwei3349 mungu ampungudhie adhab ya kabri kwani mungu ndo mwenye kuhukumu sio sisi binadamu atakama kosa nilakwake mwenyewe binafsi tumuachie mja wake kwani yeye ndo amjua mja wake alikutwa na nini au ndani ya moyo wake kulikua kuna maumivu gani tujifunze kitu mimi na wewe hatujui kesho yetu sio vyema kutoa maneno makali kwa marehemu atujui kuwa tunazidi kumuongedhea dhambi
Kujiuwa vizur funza wanasubir kwa ham kwenye kaburi na wadudu kulala bass kusudi haimbii pole
Jamani nimecheka kama mazuri kaa 🤗🤗
Acha jeshi la police lifanye kazi huyo Binti afunguke tu .
Arusha jamani mmeingiliwa na pepo gani
Mnakimbilia nini kuoa wadogo zangu? Nini mnakivumbua kwenye hizo mbio? 🤔
Usiwe mmarekani mweusi anayeogopa kuoa
Wanavumbua uroda bado wadogo
Je wakati yupo bafuni angepiga kelele pengine wangesaidiwa
Dyuiiii atariiii hiiiii jmn jmn jmn jmn
Yani huyo kamuita amuue Kisha ajiuwe na mwenyewe
Ndo shida ya kuoa pc kar duh ,,,,r ip
Huo ni ujinga,wanawake/wanaume wapo wengi.
Khaaswa! Kumng'ang'ania mtu ndio chanzo cha hays. Km mtu mapenzi yameisha endeleeni na mambo mengine kuliko kuwindana roho. Mapenzi gani ya kuuana. Khaaa
Kama unaamini malipo ni hapahapa duniani gonga like.
Inashangaza wapangaji wataskia mwenzao anapigwa ananyongwa hawachkui hatua mpk mmoja afe ndio wanaanza story
Yaani ni wapuuzi sana
Raha zote hizi za dunia unajinyonga
Jamani 😭
mauaji yamekisiri arusha,,nawakati wahehe ndo walikuwa wakiongoza kwa kujinyonga,,mi mtu akitaka kujinyonga au kujiua ,,siwezi kumzuia maana ni maamuzi binafsu
Inamana ma jiran hawakusikia kelele, inawezekana vp mt ulale choon hadi asubuhi, mhhh uchunguzi ufanyike
Kabisa kuna uwalakini hapo, haiwezekani! Kwanz usingzi unatoka wap
Mapenzi yana uwa ,wahenga walisema
Innalilah waina ilaihim rajiun
Endeleeni TU kujinyonga lait huyo angefufuka atasema sio Mimi niliyejinyonga
Subhanallah innalillahi wainnailayhi rajiuun 😭 mmhu jamani
Shetani yupo pembeni anajifunza mengine kutoka kwetu dada ndiyo ile tunaambiwa usimuombee mwenzio mabaya kwasabb. lazima yatakurudia t ndiyo hivyo
Arushaaaaaaaaaaaa.tumewachokaaaaaaaaa
Acha wengine wamiliki pisi hiyo
bibilia ime katala kujinyonga unajuwa ni pepo zashetani kujinyonga
Na huo ulikuwa ugomvi mkubwa inavyoonekana ina maana majirani hamkusikia au walikuwa wanapigana kimya kimya
Ati bila ukunga
Labda alimpiga na huo mtungi wa gesi katika huo ugomvi
Wengine tunaogopaga aibu tunagugumia ndan kwa ndan
Mbona hata we dada unavutia?
Subuhanallah
Sasa huyo binti wakati kashajifungia chooni kwa nini asipige kelele ? Huyu jamaa inaonekana alikusudia amuuwe huyo binti baada ya kufeli plan zake ndio akajiuwa mwenyewe.. km angefanikiwa kumuuwa asingejiuwa mwenyewe . Salama yake hakumuuwa mtoto .
Heee
Usaliti unajua lakini cjinyongi ngo,