HII NDIO DAWA YA MWANAUME MWENYE GUBU (HUBBUL HALAL)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 34

  • @nduwimanafatma9948
    @nduwimanafatma9948 5 місяців тому +1

    Nahayo yakutazama ndoa za wengine ndio yanaharib ndoa zetu

  • @rizumohd5074
    @rizumohd5074 2 місяці тому

    Subhana allah kauli ya wanaume mnawapenda wake zetu sio wote.

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 6 місяців тому +2

    Wanawake wa kizanzibari wakizungumza huwa inanijia kama tone ya mama samia

  • @ZainabJolie
    @ZainabJolie 6 місяців тому +1

    Mwanaume mwenye gubu ana zarau saaaaaaaana 😢😢

  • @FunnyRamadhan-gz5ic
    @FunnyRamadhan-gz5ic 2 місяці тому

    Mashallah kabisa.umesema neno lizuri(kuniwiya sadaka)

  • @user-hb2wd8lu7b
    @user-hb2wd8lu7b 6 місяців тому +1

    Asante hii gubu jamani kama boss wangu Allah amsamehe

  • @Dalilahothaman
    @Dalilahothaman 6 місяців тому +1

    Tunaomba mitume kwenye Tik Tok

  • @user-hb2wd8lu7b
    @user-hb2wd8lu7b 6 місяців тому

    Huku kazi zote Allah atuongoze wanawake

  • @aboudhamid3
    @aboudhamid3 4 місяці тому

    Somo mtoto pamoja na wenzako nimefuatilia advice zenu kwa kuwaongoza wanandoa kama wake watatilia maanani basi tutakua na wake bora na hapo nasema ndio pepo ya dunia.

  • @GhaniyeHaji-hv3je
    @GhaniyeHaji-hv3je 6 місяців тому

    Mashaallah ukhty wang umepndz sn mn huadhihirisha mapamb

  • @KaumbyaJasinta
    @KaumbyaJasinta 24 дні тому

    Natamani wangejifunza haya

  • @GhaniyeHaji-hv3je
    @GhaniyeHaji-hv3je 6 місяців тому

    Swadakta ukhty aisha

  • @abdulkaleemmbarak6670
    @abdulkaleemmbarak6670 6 місяців тому

    Kungwi mtoto umesema vizuri Sana 'sort out unacho ambiwa nikosa' hakuna anaetaka kumgomba mkewe kama yuko sawa. Tatizo ni mtu kukubali kujirekebisha au kubadilika bila kuona anadogoshwa au kejeliwa.

  • @mamii7935
    @mamii7935 6 місяців тому

    Shukran mi niliuliza kama nikijipamba anapenda akasema kikiwa kibaya nitasema 😅😅 nilichoka nikaviacha haswa.

  • @mziguwaosman8539
    @mziguwaosman8539 6 місяців тому +1

    Asalamualekum warahmatulahi wabarakatu jamani hasa kwa upande wa USA tuna mengi ya kusema maana tukianza hatuta maliza mwanamke kama mwanaume mwanaume kama mwamke

  • @zaynaothman6505
    @zaynaothman6505 6 місяців тому

    Hehee mfalme njozi

  • @thaammarsaidrashid8516
    @thaammarsaidrashid8516 6 місяців тому

    😢Daaaah Sina usimi na ilo gubu alo nalo

  • @abdulkaleemmbarak6670
    @abdulkaleemmbarak6670 6 місяців тому

    Makungwi muna kazi ngumu Sana Kwa sasa coz mwaletewa wari ambao mama zao wenyewe wanahitaji kufundwa. Zamani ilikua warii wanapata mafunzo 80% nyumbani na 20% kwenu.Cku hizi wari wafundishwa mpaka kupika na usafi Kwa kungwi kweli watashika yote munayo wafunza katika huo muda mdogo? Sheikh Othman Maalim ana msemo husema 'kama kilemba kimeroa saruni itakua hali gani.

  • @juhudiyaislamiya2660
    @juhudiyaislamiya2660 6 місяців тому

    Sheikh Rashid Salum hiyo ndio gubu

  • @Dalilahothaman
    @Dalilahothaman 6 місяців тому

    Vipambe vipande

  • @user-hk3xi6kf9d
    @user-hk3xi6kf9d 6 місяців тому

    Somo peke yke katosha, wengine shangwe tuu

  • @bintsalimalbimany287
    @bintsalimalbimany287 6 місяців тому

    Huyu Shogaake Somo mtoto hana maneno naona bora abakie tu kwenye kund la waskilizaji🙄😢

  • @qz680
    @qz680 3 місяці тому

    MUME SURAUALI ALIMUOWA UKHTY SADA ZANZIBAR NI MUME ANAGUMU SANA NA HATAKI KAZI KUCHUHULIKIA WATOTO WANANE ALIMZALISHA MKE INAMFAA HII NA ABADILIKE