KWA NAMNA HII MUME WAKO ANAWEZA KUWA RAFIKI YAKO (HUBBUL HALAL)
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Mashaallah❤❤❤
Shukran shekhe wetu kpnz
Maa shaa Allah shukran sana,mafunzo mazuri,
Aaaah weeeh haa sibasi masharubu tena weee kazi ipo wanawake bwana mungu awatie fahamu subhanaallah mungu atustiri na kutuhifadhi
Maashallah naomba namba ya somo nina shida binafsi somo zuri alhamdulillah
Kiukweli wanawake wengi wakiolewa tu ndoa ndio inafifia na akiza mtto tu ndio basi yye keshajitia uzee hapo hakuna maporesho kwenye ndoa na hakuna kupambiwa hakuna maneno mazur hakuna mashindano chumbani mtu kama gogoooo ata hamu zinafifia kwa mume. Wau uliza kuwa na wivu na sim wakiskia mlio maskio . Ebu wanawake fanyeni mazuri mununuliwe vizuri
Karata,gems😂😂😂hapana,!