NDOA NI YA WATU WAWILI: KIPINDI HUBBUL HALAL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 39

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 Рік тому +2

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Jazzaka Allahu Khairan

  • @mamyyussuf
    @mamyyussuf Рік тому

    MashaAllah MashaAllah najifunza mengi kupitia hiki kipindi .shukran sana

  • @fatimajuma8900
    @fatimajuma8900 Рік тому +3

    Kweli huyu Dada hapo ndo kaharibu kuweka mapambo yake wake ingawa Alhamdulillah Hana makeup Allah Subhaana amuongoze yeye na hata siye tunamokoseya In Shaa Allah

  • @زينبتنزانيا
    @زينبتنزانيا Рік тому

    Mashallah somo nzuri Allah anijlii na mimi kuwa mwema kwa mume na Familia yake duuh, tabia hizo na ziona huku oman

  • @KhadijaHamad-hs6ig
    @KhadijaHamad-hs6ig Рік тому +2

    Sio kweli dadangu na hao wanaume wanahaki ya kutambua wajibu wao kwa wenzao,wanaume wengi hawana elimu ya ndoa wanataka kuwakandamiza wanawake kwa kutumia kigezo Cha Aya "arrijali kawwamuna ghala nnissai"

  • @zainabuliza2664
    @zainabuliza2664 Рік тому +1

    Lakini kuna wanaume wengine pia hawana mahaba wala pia ukiwafanyia hawayapokei kwa uzuri kazi yao ni kuwafanya wanawake zao kama watumwa 😢 innalillah

  • @HamadiMageti-ku2hg
    @HamadiMageti-ku2hg Рік тому

    Dada hongera Sana wambie wasojielewa

  • @biubwazahir782
    @biubwazahir782 Рік тому +1

    Mashaallah

  • @halimambarouk4612
    @halimambarouk4612 Рік тому +7

    Mwanamke wakiislamu funika hina yako na udhihirish kwa mume wako sio dunia nzima waone

    • @AishaMtapa
      @AishaMtapa Рік тому

      Ni kweli nae abadilike kwà kuficha hayo mapambo yake.

  • @HamadiMageti-ku2hg
    @HamadiMageti-ku2hg Рік тому

    Sheh Rashid unaongea point icho kipindi kizur Sana

  • @UmAkram-z1u
    @UmAkram-z1u Рік тому +2

    usidhihrishe pambo lako kwa watu wote ni haramu

  • @FatmaAli-v8s
    @FatmaAli-v8s Рік тому

    Sio wanawake tu shekhe Rashid na wanaume pia wanawanyima haki wake zao sasa munalizungumziaje na hili

  • @attiyakhalfan8027
    @attiyakhalfan8027 Рік тому +1

    Asalaam alaykum-Mimi nasema pande zote mbili zinatakiwa kuelimishwa kukaa na mwezi wake! Sio kulaumiwa mwanamke tuu!

  • @halimanindi8055
    @halimanindi8055 Рік тому

    Somo zur lakin dada bado stara kwako ni mtihani,. umeenda kwenye kipindi umejipodoa mwenyew mashaalah lakin haujajistir urembo wako unajionesha tena walegeza hadi jicho, siyo sawa hayo ni mambo ya shemeji hayo

  • @rashidomar2771
    @rashidomar2771 Рік тому +1

    Yaani majumba mingi haki za ndoa hadi mume aombe kama hakuomba ,itafika mwaka watu wanaingia ndani na kutona ,,yaani mume tu ndie mwenye shida na mkewe lakini mke kawaida hua hana shida na mumewe

  • @KhadijaHamad-hs6ig
    @KhadijaHamad-hs6ig Рік тому

    Na wanaume jee

  • @safiaabou-kw2np
    @safiaabou-kw2np Рік тому

    Ndoa ni watu 2 haki na wajibu ni watoto pacha na wanaume waambie wajibu wao ili wapate haki zao

  • @AbuuSufyaan-y5p
    @AbuuSufyaan-y5p Рік тому

    Kajistiri kwanza kama wampenda mumeo kisha ufungue hiyo darsa ya ndoa nyumbani kwako sio kujianika hapo bila ya stara

  • @mohamedhajj9881
    @mohamedhajj9881 Рік тому

    Daaaa ndio mle mle. Kwakweli hatari

  • @zainabissa7851
    @zainabissa7851 Рік тому

    Rashid asifiae mvua ?

  • @majaliwamussa1343
    @majaliwamussa1343 Рік тому

    ما شاء الله تبارك الله

  • @salem9874
    @salem9874 Рік тому +1

    Bora uwafahamishe mana now is too much

  • @aishakh5046
    @aishakh5046 Рік тому +2

    Hio hina ni yamtu moja tu kavyaye sokisi usituoneshe sote

  • @fatemasalem9677
    @fatemasalem9677 Рік тому +1

    Tunataka namba za kungwi

  • @awadhimchaki3357
    @awadhimchaki3357 Рік тому

    Ficha Hina ficha uso sauti Yako nayo mtihani Dada wewe unayaingia madhambi weye na we mkaka Allah akusamehe

    • @aminanahimana8759
      @aminanahimana8759 Рік тому +1

      Kuficha sura sio lazima acheni mambo ya fitna Tumuokopeni Allah

    • @zainabuliza2664
      @zainabuliza2664 Рік тому

      Kuna watu wanautia uzito uislamu jamani kwaiyo hata vitanga vyake vya mkono pia ni dhambi kuonekana uso pia
      Astaghafirullah

    • @AishaMtapa
      @AishaMtapa Рік тому

      ​@@zainabuliza2664ishu hayo mapiko na mahina yako wazi ni haramu kuonyesha kwà kila asyekuwa harimu wako

    • @AishaMtapa
      @AishaMtapa Рік тому

      ​@@zainabuliza2664pia tafuta somo linalohusu ubora wa kufunika sura kwà mwanamke na sauti yake ndio utafahamu. No research no right to speak. hapo kapewa ushauri tu hakulazimishwa kuvaa au kuficha amefikishiwa tu kama yeye anavyowafikishia wenzie.so kuwa mpole dada zaina tusiishi kwà kufata mkumbo. Usipende wanaume waizoee sura yako ikiwa tu umeolewa ni fitna. Ndio maana bb Aisha r.a alikuwa anaweka pazia.

  • @fatmakhalid2898
    @fatmakhalid2898 Рік тому

    Somo nataka kujuwa hili umesema amelaaniwa mwanamke anaemnyima haki ya ndoa mumewe na hana sabab ya msingi jee ikiwa mume nd anafanya hivyo ya n kumnyima mkewe pasi na sabab ya msingi hii imekaaje??

    • @mwanashaali1109
      @mwanashaali1109 11 місяців тому

      Nae Pia Analaniwaa,Uislam Unaongelea Sanah Kuhusu Mwanamke Kwa Sababu Sie Ndio Waalimu Majumbani Kwetu,Xoo Ukianza Mume kama kakupenda kweli Atabadilika Tuh,ila Kama Habadiliki Ni Hasidi na Yeye Pia Siku ya Kiama Ataenda Ulizwa,Ndoa Ni Nusu Ya Dini,na Wanawake Tuh Ndio Tumepewa Yale Mambo Manne Ukiyatekeleza unapata Pepo,(Uswali,Ufunge,Ukihifadhi ,Na Umtwiii Mumeo ila Tuh Katika Mambo ya Haraam Usimtwii,)ila Wanaume Hawakupewa,Soo let's work Towards Jannah

  • @AbuuSufyaan-y5p
    @AbuuSufyaan-y5p Рік тому

    Na nyie wenye nyote mmepinda

  • @saidisaidi2310
    @saidisaidi2310 Рік тому

    Mwalimu una mume ww ? mana makungwi wng hua wameachika niswali tu kama huna mume tujitolee