ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 кві 2018
  • ZITTO KABWE: "Tulieni Niwapige Nondo, Hamna Pesa Nyinyi"
    Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe ameambia serikali kuwa inapanaga kutekeleza miradi mikubwa ili hali haina pesa ya kutekeleza miradi hiyo ambayo ameielezea kuwa ni gharama kubwa.
    Tupate taarifa kamili kutoka kwa Catherine Kahabi…..
    Akichangia hotuba ya Bajeti ya ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Zitto amesema kuwa licha ya kujigamba kuwa serikali ina uwezo wa kujenga mradi huo lakini ukweli ni kwamba haina pesa ya kufanya miradi hiyo.
    Awali akitolea ufafanuzi suala hilo waziri wa Ardhi, nyumba na Maendeleo ya makazi William Lukuvi amesema, suala la ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa stiglers linamanufaa makubwa kwa taifa.
    iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
    kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

КОМЕНТАРІ • 321

  • @pambanomwadia4946
    @pambanomwadia4946 6 років тому +27

    kweli huyu jamaa nomaa xana anaongea point kama jina lake zito

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 6 років тому +17

    jama zitto mungu akulinde

  • @allenclemence
    @allenclemence 6 років тому +8

    OMG! What is on Zitto's mind, he is so bright, #his brain is full of fact.

  • @dottosamweli2364
    @dottosamweli2364 6 років тому +7

    Zito kabwe ww nakukubali sana

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 6 років тому +5

    daaaah 🙌🙌🙌🙌zitto we noma nimekuelewa

  • @kfastak
    @kfastak 6 років тому +15

    Wapige nondo. Safi sanaaa

  • @hosianajosephu4296
    @hosianajosephu4296 4 роки тому +1

    Tunakuombea mbunge wetu... We loves u!!!!

  • @deojohn1413
    @deojohn1413 6 років тому +3

    Asante kk nondo nimeziona!!!

  • @abdyup-d5108
    @abdyup-d5108 6 років тому +4

    Pesa wanaiba wanayo 👏👏👏

  • @zuhubeby9474
    @zuhubeby9474 6 років тому +14

    daaaah kichwa kimoja cha ZITTO kabwe weka vichwa 200 vya wabunge wa fisiem .😂😂😂😂😂😂😂

  • @nicolausekama5976
    @nicolausekama5976 6 років тому +1

    Ahsante Zito,Akili kubwa vs akili ndogo! Nafasi walizokalia zinawapwaya na hawataki kuonekana vilaza!Wape shule master!

  • @shabaniyunusi8831
    @shabaniyunusi8831 6 років тому +7

    Nmeipenda hoja ya Zito pamoja na aliemfatia amegusa vitu vya kisomi sana

    • @muhsinmwambule9128
      @muhsinmwambule9128 6 років тому

      Shabani Yunusi, Ni vigumu/ngumu sana kujenga na kutetea hoja na yule ambaye anatumia ushahidi tena wenye uthibitisho, halafu wewe ukatumia fikra tu, wakati jambo lenyewe linaenda kihistoria.

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 років тому

    Amen Amen. Mzee Lukuvi nenda kijiji cha buiko uko korogwe tanga kasikilize kilio cha wananchi . asante. Mungu akupe hekima. Amen.

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 6 років тому

    Daa mungu atusaidie

  • @justingeorge2008
    @justingeorge2008 6 років тому +2

    Bro well grasped

  • @jastinefaustin9982
    @jastinefaustin9982 6 років тому

    Hongera sana zito kwa hoja yako nzur ikiambatana na mifano hai.

  • @elishachenya6580
    @elishachenya6580 4 роки тому +1

    Sawa ztto👏👍

  • @paulleo9615
    @paulleo9615 6 років тому +1

    Zito apo big up lakn we mubeya. Sana kah

  • @simonlucas4104
    @simonlucas4104 4 роки тому

    Uko vizur kijan Mungu azid kukzixhia uzma n aman uzd kufany makubwa /gonga like hap kam unamkubl Zitto kw hoja n mambo yake

  • @erenestkidomela7074
    @erenestkidomela7074 5 років тому +2

    Pamoja sana

  • @nasrahussein8408
    @nasrahussein8408 6 років тому +41

    zitto ww ndo maana mm.nakukubaliii👏👏👏👏👏

    • @ahmadikitwana7027
      @ahmadikitwana7027 6 років тому

      Nasra Hussein kwa lipi sasa!! Zile unazoambiwa changanya na zako.

    • @bugabyarugaba8852
      @bugabyarugaba8852 6 років тому

      unamkubari? walio mtoroka kwenye chama ndo wanamjua wewe in zuzu hujuwi kilichoko nyuma ya pazia

    • @nasrahussein8408
      @nasrahussein8408 6 років тому

      Buga Byarugaba Ww uko na mtindio wa UBONGO ninda mirembe

    • @nasrahussein8408
      @nasrahussein8408 6 років тому

      Buga Byarugaba Wewe ni duwaziii Amkaaa

    • @vicoaron467
      @vicoaron467 6 років тому

      Nasra Hussein zito noma

  • @maicoelias122
    @maicoelias122 6 років тому +4

    one love broo zito

  • @yohanaevance9784
    @yohanaevance9784 6 років тому +3

    kweli wapinzani wanafanya kazi ya. wananchi

  • @hajuboy2882
    @hajuboy2882 6 років тому

    nawakubalii sanaaa aitheeee

  • @desderymugasha7927
    @desderymugasha7927 5 років тому

    Big-up kamanda Zitto piga nondo.

  • @ahmedkhatibu5387
    @ahmedkhatibu5387 6 років тому

    Ya Allah,,,,tujaalie nchi yetu ,,amani ,upendo na mshikamano ,,,tujaalie uwezo wa kutatua changamoto zetu,,,,,tujaalie umoja,,,,sote ni ndugu

  • @ilovemiginamygodblessumany2466
    @ilovemiginamygodblessumany2466 6 років тому

    #Wewe..Zit0..Mungu..Akujalia..Sana..Maisha..Marefu..

  • @beatricelucas1454
    @beatricelucas1454 6 років тому

    Nakupenda sana zito

  • @sylvestermasunzu8205
    @sylvestermasunzu8205 4 роки тому

    Baba wa kigoma wew nirais wakigoma kwamwendo huu lzima kigoma iwe kisiwa tujitegemee,, mungu akulinde imara

  • @lexisavage1770
    @lexisavage1770 5 років тому

    vizuri sana waziri wetu Lukuvi huyu Zitto hajui anachofanya

  • @janethurio2453
    @janethurio2453 6 років тому +1

    haki nyinyi wabunge mkicmama kama zito tutaona uelekeo wa nchi yetu. Mungu mlinde zito

  • @mako331
    @mako331 6 років тому +2

    Yani ingekuwa possible ningewachukua serikali yote ya CCM niwaweke mahali halafu tuwape hawa so called mapinzani for only one year, ndio Watanzania wajue kelele nje ya uwanja ni rahisi

  • @jabbydux
    @jabbydux 6 років тому +14

    Eti tulieni niwapige nondo! Zitto bhana, wapige nondo baba

    • @nurumohamedi9972
      @nurumohamedi9972 5 років тому

      Wewe mbulula inaonekana hujakulia kwa wastaarabu kwani matusi ndo dili?.

    • @alvangidion9366
      @alvangidion9366 4 роки тому

      Sasahvi vipy , je pesa haipo au mradi haujengwi,, mwambieni zitto aseme Tena,

  • @yohanahaule1941
    @yohanahaule1941 6 років тому +18

    Pesa hamna ninyi, mnakopa kimya kimya.... Haahaah tell em Zitto

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 4 роки тому +1

    Nani yupo tena hapa baada ya Bunge kumalizika leo tarehe 16/6/2020?

  • @mzeebaba2184
    @mzeebaba2184 6 років тому +9

    Sema wachu sema wachu kigoma moja

  • @mzelifadaud1560
    @mzelifadaud1560 6 років тому

    nice

  • @V24hrs
    @V24hrs 2 роки тому

    Zitto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💜💜💜💜💜

  • @neybenson7881
    @neybenson7881 4 роки тому

    2020 zito kura yangu unayoo

  • @manmborrow212
    @manmborrow212 6 років тому

    Respect

  • @ramsharuna8953
    @ramsharuna8953 6 років тому +1

    🙋

  • @jostertweve9896
    @jostertweve9896 6 років тому

    safi sana kaka angu

  • @arqamibnarqam.7185
    @arqamibnarqam.7185 4 роки тому

    Really fact.

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 6 років тому +1

    Nasari IMF hawajawahi kuwa marafiki ktk miradi mikubwa ya maendeleo,issue ni nini kifanyike kupata pesa ya huo mradi,ila pia tujitahidi sana na gas litumike vizuri at maximu capacity

  • @stellamwasenga6205
    @stellamwasenga6205 3 роки тому

    Seen

  • @heliernest4754
    @heliernest4754 6 років тому +14

    Afazali kidogo zito mambo yakuadamana, namengine kama hayo umewaachia Mh, Lema , maaskof nawengine WW TUMEONA KUA UNAFANYA UPINZA ULIO KOMAA NA ULIO ENDELEA saf Mh zitto saaaf kabiza ,, tumeona madiwan wa ccm na saiv stigrag .. Saf

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 6 років тому

      Heli Ernest Ndio upinzani unavyokuwa hawa wanajitahidi lile wengine jengine maandamano pia yana umuhimu wake kwa nchi zenye democrasia ya kweli Uingereza juzi waliandamana kupinga Serikali yao wasende vitani Syria hawakuguguswa hata na nzi askari hata silaha hawana ndio kwanza wanawaelekeza watu njia ya kupita kwanini kwetu yazuiliwe

    • @absyabdallah1873
      @absyabdallah1873 6 років тому

      Mandamano pembeni, magufuli kashatoa amri huyu akamatwe

    • @daudijohn9007
      @daudijohn9007 6 років тому

      Heli Ernest

    • @nurumohamedi9972
      @nurumohamedi9972 5 років тому

      Pole kaka keke za chura hazimzuii fisi kunywa maji zito na kelele zake ni bure tuu kamahakuna mabadiliko kwa wasioona shida za watu.

  • @davidichambulia689
    @davidichambulia689 6 років тому +3

    zitto maaskofu walishaona kitambo wanaojifanya wazalendo ndio wezi Mungu amemuumba

  • @jensennashon6147
    @jensennashon6147 6 років тому +2

    Eti tuwapige NONDO huh... Mhe. Zitto bhna

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 6 років тому +1

    Etiii hamnaaaa hawanaa helaaaaaa😂😂😂😂...
    nan kasema ilo amenikosha kwel🙌🙌🙌

  • @afrikana2287
    @afrikana2287 5 років тому

    I'm optimum.

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 6 років тому +1

    "MNAFANYA SIASA, ILA UKWELI MNAUJUA" Duh #ZITTO ANAJUA KUWAKABA KOO.. #CAG

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 роки тому

    Pesa ipo .... Kusema pesa hakuna huo NI ukiki au ugonjwa wa maisha ..... serikali hii pesa sio kitu chakuuliza.....ipo . Chamsingi acha tuone mradi utasimama au utaanguka . Otherwise tunaenda ktk uchaguzi , wakuanza kuaga viti anzeni kuviaga mapema TU kiroho Safi maana Kama pesa za vikao Kama mlinywea ugimbi basi turudi kwenye udalali wa vyumba mitaani

  • @raymondmunis3553
    @raymondmunis3553 4 роки тому

    Dah ingekuwa chaguzi ziko huru huyu jamaa anatufaa sana

  • @husseinmucky829
    @husseinmucky829 5 років тому +1

    Hamna....hamna hela!!

  • @napendamazoezi446
    @napendamazoezi446 4 роки тому

    Mazwazwa ndani ya bunge kazi yao taarifa tuu

  • @damasioxygen8864
    @damasioxygen8864 10 місяців тому

    Mlipinga ujenzi wa bwawa la Nyerere na la leo limejengwa

  • @FrancisAMligo
    @FrancisAMligo 5 років тому

    Kwenye mambo ya maendeleo ya nchi vyama vingine kwa kutumia viongozi wao.

  • @akidasalim9798
    @akidasalim9798 5 років тому +1

    Hahahaaaa.eti wana pesa.maisha yamekuwa mkwamo mkubwa wastaafu hawapewi madai yao.

  • @danielpaul3901
    @danielpaul3901 4 роки тому

    Jamaani ukweli utabakiya kuwa ukweli

  • @fredrickkiberenge7569
    @fredrickkiberenge7569 6 років тому +1

    Et muda muda,yaan wabunge wa CCM sijui wamelogwa

  • @mashaurikilawa1185
    @mashaurikilawa1185 6 років тому

    fact should speak itself

  • @mwebraniaonline7001
    @mwebraniaonline7001 4 роки тому +1

    ZITO KWELIIII

  • @prettypercy20ans7
    @prettypercy20ans7 6 років тому

    oyeeeee awana pesa

  • @donaldnelson9226
    @donaldnelson9226 6 років тому +12

    Hawana hela hao siasa tu hizo.

  • @ernesthakihuinuataifa641
    @ernesthakihuinuataifa641 6 років тому +5

    Kama zipo hizo pesa ajira tafadhali tunahitaji.

  • @freddy-zanzibar443
    @freddy-zanzibar443 Місяць тому

    Watoto wenu wanasoma kwenye hizo shule mnazo zijenga huko kwenye national received?pumbavu kumbe enheeee!!!!

  • @clt9914
    @clt9914 6 років тому +5

    Zitto, Zitto! Hydro-power haitumii maji quantitatively. Hydro ni non-consumptive user wa maji. Hydro inachuma energy na kuacaha maji yaendelee. Jengeni argument zenye shule!

    • @jumajasjas2925
      @jumajasjas2925 6 років тому +1

      CL T uo uchunguz umefanya ww kweny uo mrad au unakariri kila ktu hujui athari... ushaambiwa maj yamepungua unadhan ukiondoa izo lita zote kueka kweny bwawa la umeme utaathir shughul ngap za kibinadam.... Suala sio umeme suala n kufanya uchunguz kipind hiki na sio kufanya vtu kwa uchunguz wa enz za mwalim

    • @chrisselite
      @chrisselite 6 років тому

      Maji ni limited resource au unlimited? Kwanza jibu hapo.
      Halafu umeambiwa toka 1974 mpaka leo kuna asilimia 40% zimepotea... Sijui mm sijasikia

    • @chrisselite
      @chrisselite 6 років тому

      Halafu kwann mara gas, mara stigler ?

    • @salummakullah9031
      @salummakullah9031 6 років тому

      Wewe ni mhandisi wa wapi? Umekalili si ndio ya kwenye vitabu eeeh??

    • @hamzaomar9731
      @hamzaomar9731 4 роки тому

      Hhhhhh huyu nae kanichekesh , ukaseme nin ww mbele ya Kabwe , ijue nafas yko mda mwengine hhhhhhhh

  • @wapoteenmedia4862
    @wapoteenmedia4862 6 років тому

    zitto ukitulia sehemu moja ni mtu mzuri sana ila wakati mwingine sijuh huwa unawehuka na nn

  • @chazylben7711
    @chazylben7711 6 років тому

    Ila hawa jamaa wanaakir sana naona mungu anamakusudi kuwaweka upinzan

  • @maggiemamaafricaofficial7080
    @maggiemamaafricaofficial7080 4 роки тому

    Miguna miguna wa Tanzania

  • @makongoronyerere2595
    @makongoronyerere2595 4 роки тому

    Hahaha, gd life has not come like dream

  • @kasmirilamiye6991
    @kasmirilamiye6991 6 років тому +13

    ukiishiwa nondo nakuretea zingine chezea Zitto nondo

    • @happyfiverickaldo4662
      @happyfiverickaldo4662 5 років тому

      Hatariiiii upinzani sihami Leo wala keshoooo

    • @jumanyangi4330
      @jumanyangi4330 5 років тому

      tulia niwapige nondooooooooo nyinyi ccm hovyooooooooooo sana kazi kupiga makofiiiiii fyuuuuuuuuuuu

  • @nuhubalandya9164
    @nuhubalandya9164 6 років тому +2

    " Don't Denny facts"

  • @wasafifanstv6317
    @wasafifanstv6317 6 років тому +1

    Ni kweli bomba linatumika kwa 6% tu?

  • @abmeleckjuma8014
    @abmeleckjuma8014 6 років тому +2

    Zitto hauko objective issue ni mradi ukamilike au kutokuwa na pesa na kama pesa hakuna tufanyaje?

    • @manonimshindikwa1974
      @manonimshindikwa1974 4 роки тому

      Umesema Jambo kwel awe specific afu aseme kwa umoja Mana SS wote watanzania habar za kusema wanabomba inamaana anajiexclude

  • @husseinayoub6847
    @husseinayoub6847 5 років тому +1

    zito kichwa chako kina charenge sana yan wanapaswa walau kuku pongeza

  • @samanyaswai6272
    @samanyaswai6272 3 роки тому

    Wapinzani Tutawakumbuka sana

  • @njaunestory761
    @njaunestory761 6 років тому

    Hahahhaahha serikali bana yaaaan kila kiongozi anajitamba ana hela alafu badae analalamika pesa ya miradi jimboni kwake haikuja kabisa wengine zilikuja kidogooo

  • @chumizola1847
    @chumizola1847 5 років тому

    Uyo si ndio aliyempemsafirisha mke wake USA kwa ajili ya kujifungua ( tz hakuna hospitali ya maana, hakuna umeme) na hakutoa taarifa ya kutokuudhulia vipindi vya bunge?

  • @vivianoforo2368
    @vivianoforo2368 6 років тому +7

    Woyooooo zitooooo

  • @iddiaman6418
    @iddiaman6418 6 років тому

    Safi zito unasema kweli wahusika wamemute hahaha

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 6 років тому

    Zitto umewapatia sana hao maboya

  • @beatusmushi2686
    @beatusmushi2686 6 років тому

    Hahaa! Kweli hizo nondo. Tena za moto. Likuvi kumbe wewe boga tu. Hamjumbuki bandari ya Bagamoyo nayo iliwashinda?

  • @petermatonya6890
    @petermatonya6890 4 роки тому

    Kila siku sera ni zilezili, kujenga barabara, vituo vya afya, shule, maji, umeme, hizi sera zitatekelezwa lini? Jiulize ungekuwa unagombea nafasi ya uongozi ulaya au marekani ungeongea sera gani? mana kule hamna hizi sera.

  • @msingidamtz6680
    @msingidamtz6680 5 років тому

    Tanzania kuna park nyingi sana hainasababu ya kuzuia chanzo cha umeme acheni kutumika

  • @danieliskander9680
    @danieliskander9680 6 років тому

    Laiti Bunge lingekatazwa kuletaleta taarifa.

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 6 років тому +8

    Huyu Zito Kabwe ni tatizo kubwa!!! Loh!!!!

    • @chillumbadionice1370
      @chillumbadionice1370 6 років тому +1

      Peter Bayo n kweli hao ccm ni watu wa kudanganyadanganya

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 6 років тому

      Peter Bayo
      Yeah, nitatizo maana anasemaj UKWELI? Angekausha tu!

    • @charmerray8418
      @charmerray8418 6 років тому

      Peter Bayo Tatizo nyie mnaokataa ukweli zito sio tobwe kama nyie mnojitia hamnazo na hilo zombie lenu Magufuri na Lukuvi na hivyo vyombo venu vya dola

    • @charmerray8418
      @charmerray8418 6 років тому

      Toka rini ccm wakasema kweli

    • @rushtutrushtut9067
      @rushtutrushtut9067 6 років тому

      Peter Bayo wewe ndio tatizo

  • @mohamednassorkisome1216
    @mohamednassorkisome1216 4 роки тому

    Kama wangekua na hela wasingezuia hela za majanga mhh

  • @mahfoudhmabrouk809
    @mahfoudhmabrouk809 5 років тому

    Hii kauli ya bwn LUKUVI ni kinyume na ile iliyotolewa kipindi kile walivyotaka kuzalisha umeme kwenye mto malagalasi huko Kigoma Nakumbuka kuna wazir alisema pale kuna VYURA aina yake ambao ni kivutio cha watalii. Hadi Leo kule kwa akina zitto KIGOMA hawana umeme wa kujitosheleza...!!!

  • @mickskillstechnology7511
    @mickskillstechnology7511 6 років тому +8

    Hahaaaaha hawana pesa,, tatizo lao ni akil ndogo sasa wakikutana na akili kubwa wanadata kabisa!!!

    • @ahmadikitwana7027
      @ahmadikitwana7027 6 років тому

      Mick Skills TV hawana pesa kina nani sasa!! Weee mrundi nini? Sema hatuna pesa haya ni mambo ya nchi na nchi ni ya watanzania wote bila kujali chama dini wala kabila. Sasa unaposema hawana pesa wewe mnyarwanda nini?

  • @kabodasugwejo1487
    @kabodasugwejo1487 6 років тому

    ushauri wangu wa Tangazo la hiyo app, mumelezea mtu download hiyo app, Lakin munapaswa kumwelekeza mtu sehemu ya kuingia na kupakua hiyo app, musiji elezee nyie, elezea user, wangapi wanajua google play store????? Onesha jinsi ya kuingia google play store na jinsi ya ku pakua

  • @desdelemmanuel227
    @desdelemmanuel227 4 роки тому

    Zitto siku zote hutaki maendeleo ya Tz. Bahati yetu wenye uchawi wao walikufa nao. Tungepata tabu sana.

  • @doctorzero-dj5xg
    @doctorzero-dj5xg 3 роки тому

    Hata Mimi suelewi mpango wa gas umeishia wapi?? Na unajengwa mwingine .

  • @davidichambulia689
    @davidichambulia689 6 років тому

    Mungu amemuumbua

  • @batulemwamwaja6524
    @batulemwamwaja6524 6 років тому

    Zitto wewe na Mimi ndio hazina ya nchi hii ya Tanzania

  • @primordial10
    @primordial10 6 років тому

    Asante zitto

  • @eliamwakalong6160
    @eliamwakalong6160 6 років тому +2

    Kwa nn awa viongozi wanaogopa kusema ukweli na pia wanachukia kuambiwa ukweli kwa namna hii tutapona vipi jaman

  • @hollokubu118
    @hollokubu118 4 роки тому

    Kwel

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 5 років тому

    NASSARI vp huko uliko unaenda lini marekani

  • @jafariakili8762
    @jafariakili8762 5 років тому

    Mh!