Zitto Kabwe afunguka Bungeni “Mnatunga sheria za kuwanyonga wenyewe?”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 141

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 5 років тому +40

    Yaan kama unamkubali zitto kabwe acha majungu gonga like yako hapa

  • @karimujuma7784
    @karimujuma7784 5 років тому +15

    Mbatia ,nape,bashe,katani ,zito mdee ,bulaya mungu awape nguvu zaid

  • @thebaqiyyatullahionlinetv853
    @thebaqiyyatullahionlinetv853 5 років тому +32

    Nakusikiliza MH: Zitto kabwe, nakumbuka kauli ya Kabudi kua sio kila alie bungeni ni mwanasiasa, ila wewe ni mbunge mwanasiasa mkomavu unaakili Sana, unalipenda taifa lako
    mie ni mwana ccm kindakindaki ila nakupongeza Sana katika hili

    • @brysonsabun4657
      @brysonsabun4657 5 років тому

      Mungu amsaidie tuu!!

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 5 років тому

      thebaqiyyatullahi Online TV Wewe ni mwendawazimu ndio maana unamwogopa mjinga

  • @mohamedshabani2263
    @mohamedshabani2263 5 років тому +1

    spika dungai anamkubali sana zito kabwa nandomaana keherehere mumoja anataka kutupotosha katikati ya mda nzuri akamugomeya big up sana spika.

  • @sabraham5308
    @sabraham5308 5 років тому +18

    Zitto ni moja ya hazina ya nchi hii,Serikali itambue hilo,tena imuenzi,hii ni lulu ya nchi,watu kama hawa katika nchi zilizo endelea,wanaenziwa,nasema haya nikiwa mimi si mwanasiasa,na si mpenzi wa chama chochote,ni mzalendo tu wa taifa hili,Mungu ibariki Tanzania.

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 5 років тому

      Saad Mohammed mbona husemi ruzuku inavyoliwa

    • @sabraham5308
      @sabraham5308 5 років тому

      Imma kama unataka mafanikio yako binafsi,basi tizama makosa yako,bila ya kujipendelea,kwani ikiwa utajipendelea bila kutizama uhalisia,siku zote ukijipendele utatengeneza matatizo ama mapya au ya zamani kwa kuyarudia,na yatakuathiri wewe mwenyewe kizazi chako cha sasa au kijacho,uungwana na hekima na kutendeana haki,ni baraka M Mungu,narudia tena kwa kusema sina upendeleo,binaadamu sote hatuko sawa,aliyoyazungumza zitto,ni maneno yenye uzalendo,yaliyokosa chuki,na yana kila dalili ya kulitakia mema taifa hili,Mungu ibariki Tanzania.

    • @johnisrael1968
      @johnisrael1968 5 років тому

      Saad Mohammed wewe unajielewa huo ndo ukweli

  • @daudikassimu4574
    @daudikassimu4574 5 років тому +4

    AKILI KUBWA☝👏 ZZK hakika wew ni mbunge wa tanzania nzima..

  • @wastambuli8039
    @wastambuli8039 5 років тому

    Ushauri mzuri sana usiojali itikadi

  • @ndaukanjello5274
    @ndaukanjello5274 5 років тому +20

    Mimi ni mwana ccm Ila kwa mswada huu usiungi mkono kwasababu tunaonekana km atujiamini maana inaonekana vinalengwa vyama vya upinzani sasa siyo poa.

    • @elphickdesamuel4914
      @elphickdesamuel4914 5 років тому

      Nimekuheshimu,,Nzi akituria kaka anatengeneza asali

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 5 років тому +1

      Ndauka Njello unadanganya wewe hana mwana Ccm mjinga

    • @nurumvungi2210
      @nurumvungi2210 5 років тому +1

      Kama ulichosema kimetoka moyoni basi wewe ni mzalendo...maana tusijitetee kwa vyama vyetu wakati tunaiangusha nchi...ni ujinga...na muswada huu ni hatari kwa vizazi vijavyo..

  • @samwelstanley261
    @samwelstanley261 5 років тому +5

    Kati ya vichwa makini ambavyo sijawahi kuvichoka hata siku moja ni hichi😎

  • @ezapesambili2902
    @ezapesambili2902 5 років тому +3

    Machine ya kigoma hiyoooo

  • @samsonmwankosole375
    @samsonmwankosole375 5 років тому +2

    Asante Zitto Kabwe

  • @NajmahassanMunezero
    @NajmahassanMunezero 5 років тому

    ALLAH Akubariki na Akulinde jembe langu nakukubali sana maana wewe ni mbuge mfano Tanzania nzima badae tutasikia Mazwazwa tanaitisha waandishi wa habari ili kukuchafua na kuhoji uraia wako

  • @jubilatesamweli2874
    @jubilatesamweli2874 5 років тому +3

    Hawawezi elewa kaka haya ni mambo yenye impact mbaya sana kwa Watz baadae!!!

  • @erastomajaliwa7629
    @erastomajaliwa7629 5 років тому +12

    Wasio kuelewa Zitto wenye erimu kama yangu ila wenye uwelewa wanakwelawa bilashaka

    • @nestoryabdallah8144
      @nestoryabdallah8144 5 років тому

      Saf sana

    • @msyangirichard8309
      @msyangirichard8309 5 років тому

      Erasto majaliwa unaambiwa msajili anapewa mamlaka ya kukifta chama chochote kwa mawazo yake wakati katika nchi ambazo mswaada huo umekopiwa wao wana tribunal ambapo itakuwepo kamati ya kuchungza ili kujiridhisha na maazimio ya msajili juu ya chama husika na itaunga mkono au kushauri vinginevyo sasa naamin umeelewa

  • @hajimakarabai4700
    @hajimakarabai4700 5 років тому +5

    Dar yani we jamaaa unaakili nyingi sana upo vizur

  • @mussakizingiti3552
    @mussakizingiti3552 5 років тому +3

    zitto ni kama mwalim kashasha abakie hivyohivyo kwenye uchambuzi siku wakimpa timu anaharibu kila kitu😂😂

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 5 років тому +4

    Wamechanganikiwa CCM hawapo kabisa na hivi sasa wanaumbuka hawana cha msingi wamegonga, Bundi limewaganda hawajuwi wapi pa kuingilia na wapiu pakutokea.

  • @origenlutego6222
    @origenlutego6222 5 років тому +7

    Hakika ubarikiwe sn kwa mchango wenye akili

  • @amanihamidu9213
    @amanihamidu9213 4 роки тому

    Zitto kabeba vyama vyote ♥️♥️♥️

  • @philiposam6684
    @philiposam6684 5 років тому +3

    Zito akili zako zinachaji sana na point zenye weredi wa hali ya juu sana asie kuerewa basi.

  • @bonfasmtafyatumuombeemungu5959
    @bonfasmtafyatumuombeemungu5959 5 років тому

    Mweshimiwa zito tumekuelewa sana

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 5 років тому +20

    Point zto unazungumz lakn mm ninajiuliza iv bila upinzani kweli hii nchi ingekua nahali gan mnao ukataa upinzan mkapimwe mkojo

    • @mrambajulius7819
      @mrambajulius7819 5 років тому

      Mimi niseme tu tukikaa na CCM bila kuwa na wapinzani tutafanywa watumwa. Kila kitu kitakufa ikiwepo elimu, Afya, Viwanda, Kilimo nk. CCM wabunge wake ni Mazuzu kabisa. Wakishapata mishahara yao kila kitu ndiyooooooo.

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 5 років тому

      ngalawekikohi ngalawekikohi Wewe hujui hata ulichochangia zaid ya kumsifia mhalifu zitto. Mbona na hamsemi namna wanavyokula ruzuku

    • @paschalnghomba4671
      @paschalnghomba4671 5 років тому

      ngalawekikohi ngalawekikohi Upo sahihi sana

    • @enockbutane6388
      @enockbutane6388 5 років тому

      Exactly

    • @bungainnosent9061
      @bungainnosent9061 4 роки тому +1

      @@mrambajulius7819 hilokweri hata mimi naungana na wewe kwamfano wanachokifanya kwa zito sio kwer anachosema zitto ni chakwer mh supika wa bunge asiweke fitina kwa zitto??

  • @BenCheck-jx9lo
    @BenCheck-jx9lo 5 років тому

    Safi sana Speaker

  • @smstore5535
    @smstore5535 5 років тому +1

    bright person

  • @bakarijumabakarijuma946
    @bakarijumabakarijuma946 5 років тому +1

    Zitto anatisha bwana

  • @elinazasendoro9951
    @elinazasendoro9951 5 років тому +5

    Napenda kuwa opposition leader cos unakuwa na uhuru wa mawazo. Akili kubwa

  • @awaziernest8000
    @awaziernest8000 5 років тому +3

    Zitto zitoo Zitoo

  • @geraldemmanuel210
    @geraldemmanuel210 5 років тому

    Nakukubali sana Mh. Zitto

    • @sospeterkamala5481
      @sospeterkamala5481 5 років тому +1

      Gerald Emmanuel Mh zito,mbowe,lissu kubnea mnyika msigwa na wengine kweli mnaona mbali can ndo maana hawawaelewi,asante

  • @alwysalehmohamedalammary3507
    @alwysalehmohamedalammary3507 5 років тому +1

    GOOD POINT ZITTO....

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 5 років тому

    salute Mh. unatufundisha

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 5 років тому +5

    Msajili wa ccm,upinzani mkimkubali mmekwisha

  • @calvinmorgan66
    @calvinmorgan66 5 років тому

    Shukran Zizu

  • @paschalnghomba4671
    @paschalnghomba4671 5 років тому +2

    Mh. Zitto mbona unaonge vtu vng vya maana lkn Serikali ya CCM hata hawashituki???? Hakka Chumvi,,Khanga,,,Kofia,,na Tisheti wanazohongwa RAIA wenye uelewa mdogo vitatudidimiza

  • @rosekweka9544
    @rosekweka9544 4 роки тому

    Nnchi bila vyama vyangi akuna maendeleo yoyote hivyo Kama hawatakuwepo bac tumekwisha

  • @brysonsabun4657
    @brysonsabun4657 5 років тому

    "..unapoweka sheria kuna jambo unataka kulitatua.." noted

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 5 років тому +10

    Huyu anafaa kuwa rais

  • @anzurunimakala8416
    @anzurunimakala8416 5 років тому

    Zitto siyo mbunge wa kigoma tu bali watanzania nzima

  • @mataamiry6720
    @mataamiry6720 4 роки тому

    Dawa ndo iyo ni kupita firishani

  • @abdallamsham1074
    @abdallamsham1074 2 роки тому

    ccm wanajifanya kumtumiliya msajili wa vyama kuvifuta nyama kumbe chama chao ndiyo kinatakiwa kifutwe wananchi hawakitaki kifutwe hakifai hahahaha

  • @juriasangelo2110
    @juriasangelo2110 5 років тому +3

    Izi video kuna cku zitatazamwa tenaaa duuuh!!

  • @swedykarongo110
    @swedykarongo110 5 років тому

    jembe kigoma tupambanenie mueshimiwa unaweza kaka.

  • @kamagetakama441
    @kamagetakama441 5 років тому

    safi sana mh spika

  • @brysonsabun4657
    @brysonsabun4657 5 років тому +1

    Taarifa ya nini?? Kuna watu wanaboa kwelikweli, why don't you wait for your chance/session. Alichokua akiongea hakiendani na taarifa ilokuwa itolewe immediately.

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 5 років тому +6

    Wabunge wa upinzani ni wazuri pia spika katulia vizuri sasa miongozo ya kijinga tupa kule

  • @pascalmwendakaz7178
    @pascalmwendakaz7178 5 років тому

    Kwaheli democracy na Tanzania

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 5 років тому

    Aiseee huyu jamaa nimuha mwenzangu nishida

  • @davidkaguru9511
    @davidkaguru9511 5 років тому +2

    Ccm inaturudisha kwenye zama za Giza tunarudi miaka 60 nyuma

  • @pascalprince4408
    @pascalprince4408 5 років тому +1

    Million mbil

  • @wastambuli8039
    @wastambuli8039 5 років тому

    Akili nyingi

  • @hoseamgema9107
    @hoseamgema9107 5 років тому

    Kwanini mpaka waende mwembeyanga badala ya kubaki Hai ...

  • @eliceelly9067
    @eliceelly9067 5 років тому +5

    Utoto wa kiutu Uzima unaimaliza Tanzania.Wabunge wa Ccm mjitafakari mnaipeleka nchi pabaya

  • @khalifanassor5349
    @khalifanassor5349 5 років тому

    Wanafikiri nchi ya kikundi cha watu special,

    • @ngurukatabory6861
      @ngurukatabory6861 5 років тому

      Zitto God bless you. you are so strong ,kip it up man of the people

  • @bakarimashi8711
    @bakarimashi8711 5 років тому

    Zitto mmoja ni wabunge 20 wa fisiem, na ninachokiamini wanamuelewa sana mh zitto lkn matumbo yao na chama chao ndio tatizo

  • @officialmence7896
    @officialmence7896 5 років тому

    Kwann tucmpe huyu mh kabwe nchi eti watanzania wenzangu,,,, gonga like tukubaliane

  • @chiefmk835
    @chiefmk835 5 років тому +1

    unajua kuchambua lakini tatizo lako unakua kama msaliti saa nyingine.

    • @wakatigaudens3884
      @wakatigaudens3884 4 роки тому

      Tena usaliti wake ndo tunauona leo kwenye world Bank

  • @ethanuk9437
    @ethanuk9437 5 років тому

    Democracy ya kujipendekeza kwa wazungu

  • @dastunluswaga5182
    @dastunluswaga5182 5 років тому

    Ndio muache kutukana na kuropoka....

  • @khamisubwabwa5737
    @khamisubwabwa5737 4 роки тому

    Mh zito zuberi kabwe wewe ndio rais wangu mimi unamaono mno sio kama ccm awapo wapo sana kama vile bashe ila kwa upande wa ccm ukiwa msema kweli unatulizwa

  • @manganamanganamanganamanga7313
    @manganamanganamanganamanga7313 5 років тому

    Sasa ivi hakuna uhulu kweri ivi zitto hakili unazo ,umesema tusilaumiane unamanisha unataka kwenda porini,unalijua hilo jambo likitokea utalimudu

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 5 років тому

    Zitto ni mjinga, marekebisho yanasema vyama visituhusiwe kuwa na Ulinzi siyo chadema tuu. Ndio maana ya marekebisho

    • @husseinabdulaziz7314
      @husseinabdulaziz7314 5 років тому

      Imma Mlowe unaonekana ww ni mjinga zaidi na hujui ata kinachoongelewa

  • @jumafandey707
    @jumafandey707 5 років тому

    Mwache aendelee nimeisikia! Yaani Tutakutana Mwisho ili Mmpe Wakati mgumu 2020 kwa Sera Zake

    • @geraldjoshua1555
      @geraldjoshua1555 5 років тому

      Tutaburuzwa Kama mamburura komaeni jamani tunusulike

  • @benjaminbatano3293
    @benjaminbatano3293 5 років тому

    TANZANIA NINAKULILIA DAIMA UWE AMANI UKIHARIBIKA NITAKWENDA WAPI NA UZAO WANGU.

  • @elymollel
    @elymollel 5 років тому

    Kweli India ni wataalamu.. 😃

  • @SUPREMEDIGITAL
    @SUPREMEDIGITAL 5 років тому

    Nimelia,Machozi yamenitoka hakika.

  • @melklee5695
    @melklee5695 5 років тому

    Wabunge Wa CCM wanataka kuwa mfukoni mwa Msajiri na mwenyekiti wao. Hivi Mnatunga Sheria Msajiri amfukuze kiongozi wa chama, au amkatae Mgombea au Mbunge, Je Rais akimtuma Msajili amuondoe mgombea ama Mbunge yoyote wa CCM Mbunge gani wa CCM ata baki ? Mbunge gani wa CCM atapona?

  • @omarysaid5407
    @omarysaid5407 5 років тому

    na kuku bali ila wabunge wa ccm kazi yao ndio

  • @brysonsabun4657
    @brysonsabun4657 5 років тому

    Hili bunge linahitaji wazalendo.

    • @jamesluke2446
      @jamesluke2446 5 років тому

      Mbunge wa kihome hatariii sana gonga like hapa

  • @dicksonlusinde2830
    @dicksonlusinde2830 5 років тому

    Yan taarifa zingine

  • @gabrielgodwin2576
    @gabrielgodwin2576 5 років тому

    Yaan hii channel ni ya wasaliti

  • @melklee5695
    @melklee5695 5 років тому

    Hivi Rais akimtuma Msajili amuondoe Mbunge yoyote wa CCM Mbunge gani wa CCM ata baki ? Mbunge gani wa CCM atapona ?

  • @davidkaguru9511
    @davidkaguru9511 5 років тому

    Ukishakuwa ccm akili zinahama

  • @claverygavana5244
    @claverygavana5244 5 років тому

    Hivi hii nchi inaenda wap kama hamna elimu ya urai

  • @amourajafari2814
    @amourajafari2814 5 років тому

    genius👊👊

  • @chiefmk835
    @chiefmk835 5 років тому

    hizo takwim uchwara

  • @evaristfuko9920
    @evaristfuko9920 5 років тому

    Akiliiii kubwaziiii!!!!! Maneno kuntuuu

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 5 років тому

    Unaongea ujinga kusajili was haimanishi hutaki kufutwa

  • @philimonindinadyo4843
    @philimonindinadyo4843 5 років тому +1

    wewe ulikula mgebuka ukakuingia kwelikweli una akili nyingi sana

    • @deusipatrick9268
      @deusipatrick9268 4 роки тому

      Tunamuomba mungu atuongezee Zittomwingine ili tuwlewe mengi

  • @gabrielgodwin2576
    @gabrielgodwin2576 5 років тому

    Wala Ruzuku za vyama safari hii mta iharisha! JPM hajawahi kufeli! kusoma Sayansi Raha

  • @leonardmwazembe6810
    @leonardmwazembe6810 5 років тому

    Tuvumiliane

  • @davidkaguru9511
    @davidkaguru9511 5 років тому

    Ccm bila police,na tume ya uchaguzi hamna kitu ni kama mkate bila chai kwa wapinzani

  • @gabrielgodwin2576
    @gabrielgodwin2576 5 років тому

    Ayo kasha nunuliwa nae, kuhujumu nchi, interview za Lema na Zitto hakosagi, ila facts zenye evidence za msiba hatokei, you are mad!

  • @lucasabunuas4662
    @lucasabunuas4662 5 років тому

    Hivi bunge haina vitu vya kujadili, mbona kama mnaleta vitu vya ajabu wakati kuna mambo makubw y kujadili jaman

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 5 років тому

    Mbona huongei mazuri?

  • @kapingageorge7635
    @kapingageorge7635 5 років тому

    Zito mtu makini

  • @michaelkinga821
    @michaelkinga821 5 років тому

    UONGO! kaka juu ya JARIBIO/MAJARIBIO

    • @kijokombao5345
      @kijokombao5345 5 років тому

      Kuna vitu vi 2 navihisi kwako Kama ni mtanzania basi hujakua bado au siyo mtanzania maana Kama ni mtanzania then hujui unakua ni mbururaaaa fuatilia history ya nchi wewe

    • @emmanuelmnyonzi7177
      @emmanuelmnyonzi7177 5 років тому

      msenge wewe unajua hujui chochote

    • @kijokombao5345
      @kijokombao5345 5 років тому

      @@emmanuelmnyonzi7177 mimi msenge lakini we ndo umezidi sasa,maana hata kujielewa naona hujielewi

    • @kijokombao5345
      @kijokombao5345 5 років тому +1

      @@emmanuelmnyonzi7177 na urudishe simu ya watu haraka,naona hata kuandika tu ni mtihani

    • @emmanuelmnyonzi7177
      @emmanuelmnyonzi7177 5 років тому

      nyie ni mashabiki uchwara kabisaa wa kisiasa hamjui hata uhalisia, pumbavu wewe

  • @hajimakarabai4700
    @hajimakarabai4700 5 років тому

    Spika upo vizur

  • @mbegesdigita5182
    @mbegesdigita5182 5 років тому

    Hawazi kuelewa wajinga hao

  • @abedinegoelias2660
    @abedinegoelias2660 5 років тому

    oyoooo wewe jembe

  • @patricknyiti5303
    @patricknyiti5303 5 років тому

    Parapanda italiaa parapanda

  • @nujakaambari5599
    @nujakaambari5599 5 років тому +3

    Acha porojo
    Ainisha kitu kipi ktk huo mswaada ni kibovu ili na sisi tusioelewa huo mswaada tuchuje maneno yako

    • @josephmtui7571
      @josephmtui7571 5 років тому +2

      Nujaka Ambari unasilikizaga na nn ww

    • @nujakaambari5599
      @nujakaambari5599 5 років тому +1

      Joseph Mtui
      Hakuna alichokiongea.
      Yeye ni hadithi za zamani na kutabili.

    • @TheLugiko
      @TheLugiko 5 років тому +2

      Kweli we kilaza... kwa maelezo yote hayo hujasikia sehemu alizotaja vyenye nia uovu. Endelea kufikiri kwa kutumia makalio😆😆

    • @emmanuelgeorge2654
      @emmanuelgeorge2654 5 років тому

      @@TheLugiko 😁😁😁😁

    • @meshackkwigize9848
      @meshackkwigize9848 4 роки тому +1

      Kaka zito,ubarikiwe sana kwa maneno ya akili

  • @eliankya3272
    @eliankya3272 5 років тому +1

    Tuondolee umbea mapinduzi nifikra zako potofu

    • @hamisinjinjo1807
      @hamisinjinjo1807 5 років тому

      Elia Nkya ww huna akili acha kujipendekeza vyeo vimeisha Lumumba yani kila kitu kujipendekeza nyinyi ndo mulikuwa munapongeza sheria ya kikokotoa cha wastaafu baadae mh.amefuta sheria hiyo munapongeza tena tumieni akili

    • @amryzubery1051
      @amryzubery1051 5 років тому

      Elia Nkya ww nichoko najuwa ww niccm fara ww sikia hoja zawatu makini