BASHE AJICHANGANYA, AINGIA KWENYE 18 ZA LISSU, WIZI KWENYE SUKARI, RAIS SAMIA ATAJWA, JE KUJIUZULU?
Вставка
- Опубліковано 16 чер 2024
- #TANZANIA: Bashe ajichanganya kwa Lissu, sakata la wizi kwenye uagizaji wa sukari nchini, Rais Samia atajwa, je kujiuzulu?
Zaidi: • BASHE AJICHANGANYA, AI...
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram
Hongera sana mwamba tuombe katiba mpya ipite tu
Ni pamoja na mafuta machafu ya Korie Badala ya kutumia mafuta ya Alizeti!
Shida
Mungu wangu duuu tutakoma
Du! Hatari
Kina Abdul tena! Dah! Ee MOLA utusaidie!
Ccm ni mchwa tusipojiepusha nao watatumaliza ,lkn watanzania sijui nani ametuloga utaona tuawashangilia pamoja na wizi huu ee mungu utondolee ccm inatuangamiza
❤❤❤❤❤
Hivi haya maambwa ya CCM hayana huruma kwa wananchi😢😢😢😢
Shida ni moja, TULIA spika ni moja ya wanamapigo, hadi yamtandike ndiyo akumbuke shuka kama NDUGAI, jamani hii nchi inahitaji jambo fulani lifanyike. MABEYO ulipo Mungu anakuona.
Serkali hiii!! "
Huyu jamaa akili kutwa sana
Wewe mama tuoneee huruma kdg duuuuu
Hii serikari itajifunza lini
Viwanda vyetu viko WAP masikinn hata. Mungu hawaogopi
👍🇹🇿💪🔥
Pambana lissu tunakutegemea
Mkuu kesi ya nyani utampelekea ngedere?
Alipokuwepo Mzee Magu hamkuwa mnakejelikejeli. ILA nyny mlipaswa kukosoa kwa nguvu MOJA lakini sio kutoa maneno machafu
Mbona unakuwa mjinga kwenye suala la kizalendo
Acha ulevi huooo
Soma gazeti la MWANAHALISI LA JUNE 20, UONE UCHAFU WA BASHE NA CCM YAO.Watanzania amkeni, pigeni chini Samia na manyang'au wake .
Hatar kubwa hii
Jamani wanyonge tunapigwa nje ndani! Nchi sijui tutaponea wapi lkn tubadike tu watanzania tuwajaribu na vyama vingine tuwe wapumbavu Watz! No way out Bila hivyo twafaaaaaaaaa!
Sisemi tuandamane,lkn wenzentu Kenya wanaandamana kupinga Bujeti,sisi tunapiga makofi tuu hapa huku wajanja wanakula vyetu
LISSU amekuwa KASUKU tu,kazi kurukia maneno!!
Siasa za kijinga kwahiyo mlitaka afanyeje