Zitto Kabwe VS Waziri Kabudi Bungeni leo 'Siingii mtegoni ng'o'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • November 9, 2018 mkutano wa 13 wa Bunge la 11 umeendelea Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu miongoni mwa yaliyosikika ni kutoka kwa mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe aliyeihoji kuhusu hatua ya Serikali kufungua kesi dhidi ya kampuni ya Barrick na Acacia ambapo Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi akakataa kujibu

КОМЕНТАРІ • 335

  • @paulmaziku240
    @paulmaziku240 4 роки тому +54

    Waliobaini Kabudi ana akili nyingi..
    Tujuane

  • @nawihadj6674
    @nawihadj6674 5 років тому +16

    Namkubari snaa ,mwalimu wngu wa sheria ple mliman,pro Aidan kabudi

  • @robertndivo382
    @robertndivo382 4 роки тому +20

    I must confess
    Tanzania you are blessed with very humble, respectful, understanding, joyful, eloquent nd articulative foreign minister.
    I swear this guy is the best,talented,clever Nd very loyal.
    I envy you Tanzanians.
    Kudos prof🙏

    • @linkreuben5804
      @linkreuben5804 4 роки тому +4

      The minister is a blessing to Tanzania!
      Thank You God!

    • @papawaroma
      @papawaroma 4 роки тому +1

      He is a presidential material for Tanzania, but I wish to know his views on corruption just like JPM.

    • @elfasijacksosafi9907
      @elfasijacksosafi9907 4 роки тому +2

      Safi zinto

    • @mbwanakivava461
      @mbwanakivava461 4 роки тому

      Rubbish huyo ni PoraPesa wa Majalalani

    • @jixxyjussy4721
      @jixxyjussy4721 3 роки тому +1

      Unaakili sana ww....i read this long time, and here we are........

  • @dausonevarister7909
    @dausonevarister7909 3 роки тому +11

    Kila nikiangalia hii speech waga nacheka Sana....zitto Ana akili Sana ,sema alikutana nondo yenyewee ....kabudi duuuh😎😎😎

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 6 років тому +4

    Du! nilicho kiona hapo kuwa kuna Mmoja amelusha yai bichi juu sana alafu anategemea kulidaga hili lisivunjike kama litafika chini
    Hapo nami nilikuwa najiuliza Je, unaweza kweli kulilusha yai bich juu sana then ukategemea lisivunjike ? wakati unalisubilia kulidaka?
    hilo ndilo jambo lakujiuliza!!!!?
    Salute kwa walio nielewa,
    maana siku hizi Hatari ukiongea tu na mdomo wako unatoa halufu mbaya utaambiwa hujapiga mswaki kumbe inawezekana umetoka kula yai la kuchemsha mda si mrefu.

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 3 роки тому +3

    Palamaganda kabudi oyeeeee

  • @davidroche31
    @davidroche31 3 роки тому +3

    Kabudi anajiamini sana ..... Na nimtakie kila lakheri👏👏👏

  • @charlesmurimi592
    @charlesmurimi592 5 років тому +3

    Zitto uko vizur mzee, upinzani nyie ni juu sana siku zote.

  • @bazilkisibo5811
    @bazilkisibo5811 6 років тому +4

    Prof amejibu vizur kisomi. Sasa mnaompuuza hamjijui. Mambo yaliyoko mahakamani huwa hayazungumziwi.

  • @sylvestrengwelu2012
    @sylvestrengwelu2012 6 років тому +20

    P.KABUDI MUNGU AWE NAWE MILELE;

  • @josephpetermaganga2907
    @josephpetermaganga2907 3 роки тому +2

    Bado Naangalia kabudi hatari sana zito ni bwana mdogo sana

  • @mwljoseph9684
    @mwljoseph9684 6 років тому +2

    Huo ni ukwepaji tu wa technical questions kutoka kwa skilled person. Hongera sana Mh. Zitto, Wakishindwa hukimbilia kwamba wapinzani wanatumwa. Tunataka Majibu ya concrete questions.

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 6 років тому +2

    I like this guy! He’s supper knowledgeable justice minister. I think he deserved to be a prime minister

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 років тому +4

    Mwanashiria wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe

  • @shabanimoneyshabanimoney2145
    @shabanimoneyshabanimoney2145 6 років тому +20

    Wenye akili tumeona zito akicheka hii inamamisha zito kakosa alicho kitegemea...prf yuko vzr

  • @jixxyjussy4721
    @jixxyjussy4721 3 роки тому

    Aiseeeeeeee kabudi anaakili mazeeee

  • @davidlucas5445
    @davidlucas5445 5 років тому +7

    Mh: Waziri Kabudi upovizurisana,huyu Zito katumwa iliwapige dili sasahivihakuna waziri wakupaniki iliavuruge mambo.

  • @godfreypaul2551
    @godfreypaul2551 6 років тому +13

    adi zito kacheka kumbe alimtega yooooo ndo maana jpm alikupa nafasi hy sawa wazili

  • @nuhumabondo9101
    @nuhumabondo9101 4 роки тому +1

    Zitto unajua... Mti wamatunda hupigwa mawe kaza zitto.. Sana Tanzanian nitajili hatuhutaji msaada

  • @hasionshekiondo6680
    @hasionshekiondo6680 4 роки тому +9

    namkubar sana huyu mzeee kabudi

  • @stevenilevensoni2227
    @stevenilevensoni2227 6 років тому +10

    Zito mnafiki

  • @justinejoseph1701
    @justinejoseph1701 6 років тому +9

    Wote mnaosema Mh. Waziri kashindwa kujibu hoja ya Zitto aloiweka bayana mwishon, musiwe mnacoment tuh bila hata kupitia sheria na mashariti ya mahakama na kesi za kimataifa.
    Ni kweli huo ulikuwa mtego na Prof. Kaugundua kama mwalimu wa sheria Hongera sana, najua zitto alisubiri utoe japo neno kuhusu swala hilo apeleke ushahidi kwa mabeberu.

  • @dosidamas4140
    @dosidamas4140 6 років тому +3

    Professor nakuelewa sana achana na hao vibaraka

    • @frankhaji1387
      @frankhaji1387 6 років тому

      Dosi Damas kweli we we zwazwa nimeamini.

    • @dosidamas4140
      @dosidamas4140 6 років тому

      @@frankhaji1387 wewe ni zuzu. Don't reply my comment. Na wewe toa comment yako. Huna akili wewe. Stupid

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 6 років тому +14

    Mheshimiwa Zitto Kabwe hupo vizuri sana watu hawataki kuku elewa

    • @saidseif9000
      @saidseif9000 6 років тому

      Johnson Zuma kuwa na akili huyo zito ni bogazi anawatetea wazungu pumbavu tz itabaki kuwa tz

    • @abdalahfarida2074
      @abdalahfarida2074 5 років тому

      Mtawasema wapinzani sana lakini kesho mtawashangilia kwa wanayoyaibua nchini na ndio maana hasira za Serekali ya CCM na Magufuli wake zinaishia kuwateka, kuwapiga, kuwafunga, kuwanyanganya majimbo kwa nguvu, kuwafilisi na kuwapiga risasi. Kama sio speed ya Magufuli kuwafanyia Watanzania wenzake vitimbwi na kuwaaminisha Watanzania walio na elimu duni kuwa anaijenga Tanzania upya wangemtia aibu sana. Anavyofanya ni vizuri kwani anatumia kodi za Watanzania waliopo CCM, ACT, CHADEMA, CUF, TLP, NCCR, CHAUMA na vyama vingine vya Siasa, lakini je Watanzania wanajua ni kodi ngapi zinaibiwa. Kama Hazina ameweka ndugu zake mtajua saa ngapi ni fedha kiasi gani zinapotea. Ameweka ndugu zake takribani kwenye maeneo yote zinakoingia fedha katika nchi hii. TRA, Bandarini, Mipakani, Air Tanzania, Tanapa, Ngorongoro, na kila mahali penye uzalishaji fedha. Siri za huyu Magufuli wanazo wapinzani lakini wamefungwa midomo wasiseme subirini kipindi cha Kampeni za mwaka 2020 ndio mtajua mengi. Huyu Kabudi ndiye anatayarishwa na Magufuli kuwa Rais mwaka 2025 lakini Watanzania kuyajua haya kwa akili zetu finyu itachukua muda. Hata wana CCM hawalijui hili na ni makubaliano yaliyofanyikia Ikulu ili amlinde na mali zake. Huyu ndie atakuwa Dikiteta kuliko huyu Dikiteta Uchwara tulie naye.

  • @yunushamis4839
    @yunushamis4839 4 роки тому +1

    Ubabe wa kibwege huo mtu kauliza swali unakodoa mijicho na kuropoka mzee Zimaa hovyoo

  • @tonymnyamatv8483
    @tonymnyamatv8483 6 років тому +3

    😂😂😂😂😂😀😁 💪💪💪Zitooooo Wanatetemeka waliyataka wenyewe leo Wanakuona mchawi kwa kuanza kuwachunguza Najivunia Zito kabwe Chama kubwa ViVa zito viva.

  • @bujagajeremiah4308
    @bujagajeremiah4308 Рік тому

    Zitto yuko makini sana, linajua

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 6 років тому +14

    PALAMAGAMBA KABUNI OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 6 років тому +9

    point sana mzee zito

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 6 років тому +1

      Young sacha furniture wewe unasifia mwizi Zitto nawewe ni mwizi na japo medial magna atawamaliza

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 6 років тому +1

      +Imma Mlowe ujitambui wewe tatizo usisiemu huo unawasumbui

  • @alvangidion9366
    @alvangidion9366 6 років тому +4

    Big up prof,

  • @bellenicerwiza7645
    @bellenicerwiza7645 5 років тому +1

    Jibu swali ww LA professor koko

  • @zachmaselle6635
    @zachmaselle6635 6 років тому +2

    Jibu la Professor na kicheko au tabasamu ya Zitto inathibitisha kwamba kuna kitu. Maneno ya Professor Kabudi yana uchungu "kama umetumwa" amerudia mara mbili. Siku moja tutayakumbuka. Pesa ilimuuza Yesu itakuwa mwanadamu!

  • @youngsachafurniture5482
    @youngsachafurniture5482 6 років тому +2

    na mtadanganywa sana hadi mtakufa kinachofuata tugawane buku buku tuame

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 6 років тому +1

    Mh Zitto nakukubali sana

  • @nsodyaphilimon9153
    @nsodyaphilimon9153 4 роки тому +1

    Hapo mnafiki kaumbuka alichotumwa na waume zake kakosa majibu

  • @EvelyneChacha9
    @EvelyneChacha9 3 роки тому

    Huyu Kabudi nimempenda sana
    Awe rais siku moja

  • @justinecleophas6299
    @justinecleophas6299 6 років тому +6

    Nakuheshim sn mwanasheria....

  • @bibukaelias9900
    @bibukaelias9900 6 років тому +2

    Ukiwa genius kwenye wasiojua just kaa kimya

  • @angellarobert3892
    @angellarobert3892 5 років тому +1

    I love your explation

  • @AbduRahman-os2vx
    @AbduRahman-os2vx 4 роки тому +1

    Mm namuunga mkono zitto coz haiwezekani hizo fedha za msaada zinatolewa tangu kipindi hicho halafu serikali yetu ya ccm bado wanachangisha watu madawati hizo hela tunataka bakeji ya matumizi yake raia tujue....na hiyo elimu bure imekuja juzi kumbe mlikua mnapiga hela za misaada sasa hv mnatumbuliwa ccm msiturudishe kwenye ukoloni mambo leo,uzalendo kwanza..

  • @petersynto8634
    @petersynto8634 4 роки тому +2

    Zitto nikibaraka wa makaburu

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 3 роки тому +1

    Akili nyingi

  • @arolamarco6999
    @arolamarco6999 6 років тому +3

    Wakati wa escrow, epa na Richmond kuna wabunge waliitwa kima nyani lakn majibu tumeyapa na pia kuna wabunge walipigania mikataba mibovu iliyokiwa inasainiwa waliishia kutukanwa na nwishowake tumeuona tusubiri na hili watatukanwa wataitwa vibaraka lakni ukweli utabaki pale pale

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 6 років тому +1

    Zitto ni Intelligent sana.

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 6 років тому +6

    Jambo liloulizwa ni la kisheria. Hujasoma sheria utaiingiliaje sheria. Sheria na siasa ni tofauti.siasa hata akina bwege na msukuma wanapeta tuu.

  • @nengajr7253
    @nengajr7253 4 роки тому

    We uko vzr kwenye habar

  • @sojaman7825
    @sojaman7825 5 років тому +1

    naamini sana upinzani

  • @andreajeremia436
    @andreajeremia436 6 років тому +3

    Zitto we,huna elimu hiyo,huyu Waziri si mchezo,!

  • @Butondo
    @Butondo 6 років тому +9

    Zitto leo amekutana na pro. Kabundi unawezaukanifanya nianze kusoma sheria

  • @muganyizikamafa3555
    @muganyizikamafa3555 6 років тому +1

    Zitto mpuuzi tu..

  • @kinglance6365
    @kinglance6365 6 років тому +5

    Majibu huna mtego gani swali very open jibu

    • @mohammedmnasi3228
      @mohammedmnasi3228 4 роки тому +1

      Wew kama umeiva kwenye sheria uwezi kusema swari liko openi tatizo mihemuko inawasumbua inaonekana umeferi darara la saba ndo maana ujui unalo uliza.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 роки тому +8

    Kumbe hawa kina zitto wana agenda zao za siri!!!! Sasa naanza kupata mashaka na mtu huyu!!!!

    • @davidcurtis8556
      @davidcurtis8556 4 роки тому

      Jiulize ameuliza swali amejibiwa alafu anacheka maana yake ni kweli alikuwa anamtega je kama waziri kilaza ndio basi ikngeingzwa kwenye hansadi ingekula kwetu watanzania, halafu eti anataka awe raisi labda wa wanyama pori.

    • @kudraomar7053
      @kudraomar7053 4 роки тому

      We usiwe mpumbafu anatakakutuingiza wap we sema kamaunataka kuingizwa

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 4 роки тому

      @@kudraomar7053 bwege wewe!!!

  • @benbranco3688
    @benbranco3688 4 роки тому +1

    chaliii nw sijui nw utaongelea wapi

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 6 років тому +11

    Zitto anataka ajue serikali imejipangaje ili akawambie wale wahujum washinde kesi

    • @samsonmathiac6408
      @samsonmathiac6408 6 років тому

      non sense

    • @bockernyarusahi3655
      @bockernyarusahi3655 6 років тому

      Kawaida yenu mkibanwa kihoja nyie mnakuja na hoja nyepes,mpaka kuwaona wanaowakosoa wmetumwa,lakin wenye utimamu wa akili wanawapuuza.

    • @fednarndmosh7068
      @fednarndmosh7068 5 років тому

      kaz kwel

  • @abdillahmbinga7050
    @abdillahmbinga7050 6 років тому +3

    Zito upo vema zaidi

  • @eliahiluka830
    @eliahiluka830 2 роки тому

    Acha uwoga jibu swali

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 6 років тому +2

    kweli mwasiasa yupo kimaslay binfsi nakama ujaelewa kinacho endelea ndani yabunge utaendelea kuwa mpumbavu ila kwass makonki tushajuwa

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 5 років тому +1

    Mh SUGU MUNGU akubarik na akulinde ! Ubunge ni haki yako !

  • @jerryrobert1049
    @jerryrobert1049 6 років тому +2

    watanzania tusikubari kutumika na mataifa ya nje

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 6 років тому +1

    Zitto alivo msenge anafrahia kutetea wale wazungu waliokuwawanaiibia nchi yetu

  • @josephmasenga7718
    @josephmasenga7718 6 років тому +3

    Mwalimu anapozidiwa na mwanafunzi

  • @mako331
    @mako331 6 років тому +5

    Yani wanasiasa wa Tz serikali inapigana kutetea mali zetu wao wanapigana tushtakiwe ili tuendelee kuibiwa

    • @kyandohtulambona1166
      @kyandohtulambona1166 5 років тому +1

      Wezi Ni wengi Sana na MUNGU atawalaani mashambani na watoto wao a wataishi katika Laana milele na milele wanashirikiana na mabeberu kutunyonya E YESUshusha mkono wako utuponye

    • @makalikuwili6889
      @makalikuwili6889 4 роки тому

      @@kyandohtulambona1166 Amina

  • @mwemezinnosentrwamafa6088
    @mwemezinnosentrwamafa6088 4 роки тому +1

    Umeulizwa jibu kwa kile ulicho uliza na so kugomba

    • @mohammedmnasi3228
      @mohammedmnasi3228 4 роки тому

      Sio kila swali linajibiwa bwana mengine ni kutegwa alafu unaingia mkenge kabudi sio wa mchezomchezo bwana

  • @mkapatv777
    @mkapatv777 4 роки тому +1

    Kaogopa moja hana majibu

  • @fredreckmwakalinga3475
    @fredreckmwakalinga3475 6 років тому +12

    Hana majibu Mzee wa makimikia

  • @filbertchulla9873
    @filbertchulla9873 6 років тому +7

    safi sana prof.Kabudi!Wewe ni jembe la ukweli!

  • @allywabike6327
    @allywabike6327 6 років тому +3

    Maprofesa wa bongo hao

  • @emmydzoo8729
    @emmydzoo8729 4 роки тому +1

    Kama wanamajibu kwanini wanauliza maswali? Mana nilizoea toka shule mtu anae uliza maswali ni mtu asie jua, ila nikiangalia bunge siku zote wabunge wanapouliza wakijibiwa wanabisha utasikia sijajibiwa niwazima hao wanauliza majibu wanayo sio swali niubishi tu

  • @masoudymichael1434
    @masoudymichael1434 6 років тому +2

    Mbona profesa unapanic jibu tu kiprofesional

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 років тому +5

    fundi wa Shelia huyo huwezi kumpeleka kama hujasoma

  • @posolythabity110
    @posolythabity110 4 роки тому +1

    Nakubal

  • @franceyaraby4342
    @franceyaraby4342 4 роки тому +1

    Subjudice respect much

  • @MusaMusa-dq3hd
    @MusaMusa-dq3hd 6 років тому +1

    hayo macho hayaoni

  • @mohammedhusseinmorawej5667
    @mohammedhusseinmorawej5667 6 років тому +1

    The minister has accused MP of serious crime. Any legislative way to see the way it should be handled by Mbunge?

  • @DanielChacha-p1t
    @DanielChacha-p1t Місяць тому

    😊Okoo

  • @allymsuya6655
    @allymsuya6655 6 років тому +5

    Hahahahaha Kabudi agoma kuingia mtegoni

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 4 роки тому +1

      anaogopa kusema kweli inavyosrahiki huyo chezea Magufuli Wewe akiwatizama tuu kwenye bunge lkatiba kawapa vinono wamefyata midomo yao wanatetea dhulma tu

  • @awadhthabit8832
    @awadhthabit8832 6 років тому +4

    Jamaa yupo vzr zitoo kibaraka wa kimataifa

  • @evaristmandilindi6147
    @evaristmandilindi6147 3 роки тому

    NIMEAMIN HAYA MAMTU YANATUMWA KWELI LIMECHEKA LIZITO KHAAA NA HYO KESI TULISHINDA TUKALIPWA HIZO PESA NA ACCASIA HUYO NDO PROFFESSOR KWEL

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 6 років тому

    Kabuki Zitto hakuwezi

  • @eng.sibanganyalbjse9600
    @eng.sibanganyalbjse9600 6 років тому +4

    Hoja inapaswa kujibiwa kwa hoja ndugu zanguni. Na mawaziri wamshauri Vizuri Mh. Rais wasimwingize mkenge wakati Nchi ina matatizo mengi.

    • @furahamwajeka3708
      @furahamwajeka3708 6 років тому

      ENG. NDYAYUGUSUMA LBJSE ,sio Mara zote

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 6 років тому

      ENG. NDYAYUGUSUMA LBJSE nchi haina matatizo labda nyinyi chadema mnamatatizo. Nchi imepata dereva Magufuli inaenda mwendo kaz kwel kwel

  • @matovumatovu643
    @matovumatovu643 6 років тому +1

    Kenya wana akina Prof Lumumba,sisi tuna prof marefu.Ndio maana Udsm grads wengi ni mediocre

    • @iskiji5584
      @iskiji5584 6 років тому

      Matovu Matovu kama wewe umeona Jibu la profesa ni mediocre basi wewe una tatizo. Amejibu vizuri Sana na kama hujamwelewa basi kuna shida katika elimu yako au akili yako ni antigovernment by default .

  • @raymondmalimamkutta8059
    @raymondmalimamkutta8059 6 років тому +4

    Unajua elimu inapaswa kukupa maarifa kuwa hekima na busara ktk kutambua nini cha kutenda na kusema.
    zitto anataka serikali ijibu kuwa imekubali ilikosea hapo ni kukubali mashtaka yaliyo mahakama za nje na tutakuwa tumeshindwa kesi moja kwa moja

    • @prosperdeogratius4888
      @prosperdeogratius4888 6 років тому +2

      Hii n kweli sana,Zitto katumia akili nyingi na Kabudi katumia akili kujibu,hii ndo siasaa sio kupigana mabundukii

  • @suleimanbakar1271
    @suleimanbakar1271 5 років тому +2

    profesa mpumbavu

  • @bujagajeremiah4308
    @bujagajeremiah4308 Рік тому

    Kabudi hatar

  • @amirihamisi6913
    @amirihamisi6913 5 років тому

    Waziri Kabudi mimi kama mwananchi sipendi unavyojibu maswali kwa paniki.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 5 років тому +1

    HUYU Zitto hanaga maswali yanayohusu KIGOMA kweli ? Anazungumzia kesi TU za serikali yeye NI wakili wa wakoloni .... ? Je kigoma na Madini toka lini ? Kesi kesi TU Kila akisimama..... Maslahi CIO kitu kizuri

  • @venantmhagama6776
    @venantmhagama6776 5 років тому

    Mimi sijui sheria ngoja nipige kimya. Ila ninachojua waziri anawajibika kujibu maswali ya wabunge. Sasa kama anakwepa sijui.

    • @mohammedmnasi3228
      @mohammedmnasi3228 4 роки тому

      Sasa kama aujui sheria unashangaa nini mijitu mingine bwana ina kela

  • @maxmilianjoseph8065
    @maxmilianjoseph8065 6 років тому +16

    zitto umesikia Hilo jibu la subjudice?? na mtego uwe wa kuku au ndege haingii hata urushe mahindi ndani😁😁😁

  • @swaleheamri2303
    @swaleheamri2303 4 роки тому +1

    Ok

  • @shadiyaedwin1320
    @shadiyaedwin1320 6 років тому +10

    Asitudanganye mtegomtego,huna majibu tuu

    • @malickmakatta6089
      @malickmakatta6089 6 років тому +1

      Shadiya Edwin mjinga mwingine huyu ,unahisi kila kitu cha kisheria kinazungumzwa popote tu,Waziri kajibu kuna mambo ya kisheria hayawezi kujibiwa katika mazingira anayotaka huyo Kibaraka Zitto

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 6 років тому

      Shadiya Edwin msenge wewe. Hujui Zitto anapeleleza ili wazungu washinde kesi wana wana hela? Tuoju nawenye akili tunajua tunampongeza sana labuda kutojibu

    • @mustaphermdetele6120
      @mustaphermdetele6120 6 років тому

      Huyu mzee si ndo alisema ACACIA wamekubali kulipa na mikataba yao hawa watu sio wakuwaamini ata kidogo.

    • @issayajuma9787
      @issayajuma9787 6 років тому +1

      Jibu wewe

  • @eng.sibanganyalbjse9600
    @eng.sibanganyalbjse9600 6 років тому +15

    Mimi nina hoja tofauti wandugu, km mwaweza nisaidia kuipost mahali sahihi naombeni MSAADA.
    NB: Ni suala la nssf na sheria Mpya iliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kupata baraka za Mh. Rais, ya kufuta FAO la kujitoa, inawezekana walilenga kuwasaidia watanzania lakini hawakutafakari sana undani wa suala lenyewe na linavyowanyanyasa na kuwadidimiza watanzania maskini walio wengi.
    Anglia;
    Kijana anayeafanya kazi ya malipo laki 2 hadi 4 akiwa na umri wa miaka 20-30 ameachishwa kazi baada ya miaka let say 2, hapo anakua na sh.480000....+ kwenye hifadhi, halafu hiyohiyo sheria inataka atimize miaka 50-60 ili aweze kuchukua pesa/malimbikizo yake toka nssf, kweli sheria hiyo inamtendea haki mtanzania huyo?
    Ikumbukwe familia nyingi ni maskini na hivyo kijana huyo hawezi kutunza pesa toka posho ya laki 2 hadi 4 kwa mwezi, anaitumia kuhudumia familia kwa mahitaji mbalimbali.
    Hiyo iliyotunzwa angeweza kuitumia kama mtaji wa biashara mara akosapo ajira kujikwamua na maisha haya yenye changamoto lukuki, lakini imetungwa sheria kandamizi ya ajabu, eti ya kuwasaidia watanzania maskini, huku nssf wakiitumia pesa hiyo kufanyia biashara.
    Wabunge wote elimu zao wameweka mfukoni na kujifanya hawaoni wala kuelewa madhara ya shera hizo kandamizi huku wao wakila pesa ndefu na kuwasahau waajiri wao.
    Hatuwezi kuwa wanasiasa wote jamani, ajira hazionekani ktk nchi hii, ukiritimba mwingi sana kila kona, hasa kwenye kada zinazohitaji interview ndiyo MTU aajiriwe yaoneshwa waziwazi mpaka kuwa na MTU juu Serikalini wa kukusemea vinginevyo hutoboi, nafasi 2-10 interview wanaitwa vijana watanzania 800--1500 what do you expect, sasa mnataka watoto wa masikini wasiokuwa na watu Serikalini wa kuwasemea ama kuwashika mkono wafanyeje? Waende wapi? Wajinyonge?
    Mbaya zaidi kijana huyo akiwa na miaka 25-30 akiwa na salio la 480,000/= nssf, mpaka afikishe umri wa miaka 50-60 atachukua pesa hiyohiyo 480,000/= ambayo ukilinganisha thamani baada ya miaka 25-30 ijayo haitakuwa ikilingana hata na Tshs. 1,000/=, hii ni nini kama siyo wizi wa hadharani kumuibia na kumdidimiza mtanzania mnyonge huyu asiye na ajira? Halafu watu wanaogopa kusema ukweli, kufa na kuishi kwa sahivi km hauna pesa yote ni sawa tu.
    Kama kweli wana nia njema ya kumkwamua Kijana mtanzania kwa maisha ya baadaye mbona hawakuweka riba ya Ongezeko ili pesa hiyo iwe inaongezeka kila mwezi hata kwa 1-2% ya pesa hiyo iliyotunzwa NSSF kwani wanaitumia kuifanyia biashara?! Ili walau iongezeke na baada ya hiyo miaka 25/30 kutimiza umri ulioamliwa kwa sheria husika MTU huyo awe hata na 10M au hata 40M?!! Wakaona Vizuri ibaki ileile miaka yote hiyo? Mnaiona dhamila yao wanayoisema kuwa njema juu ya suala hili?
    Chonde chonde suala hili litazamwe kwa umakini na mabadiliko yafanyike mapema iwezekanavyo kuwanusuru watanzania wanyonge km Sera ya serikali ya awamu ya 5 inavyosema, vinginevyo Bomu hili linalotengenezwa la kuichukia Serikali likilipuka mtawaelewa Vizuri watanzania wanyonge mnaowaimba kila siku ni watu gani?!
    Naomba kuwasilisha.

    • @ugaboy4736
      @ugaboy4736 6 років тому +1

      Jadili suala la kujitoa mmewaacha vibaya wanyonge

    • @mohamedyusuph1321
      @mohamedyusuph1321 6 років тому

      uko sahihi Sana kiongozi

    • @nzunguhjeremiyah3550
      @nzunguhjeremiyah3550 6 років тому +1

      Hili tayari ni janga la taifa.. binafsi hili swala nishaliwaza sanaa. Ila hyo ndo seliakari ya wanyonge.. wabunge wao mafao yao wanayapata soon baada yakutoka madarakani

    • @eng.sibanganyalbjse9600
      @eng.sibanganyalbjse9600 6 років тому

      @@nzunguhjeremiyah3550 Ukisikia double standard ndiyo hizo mkuu! Wengine wanatumika km ngazi ya kupandia.

    • @shadrackfidel809
      @shadrackfidel809 6 років тому

      Hakika hii ni changamoto kubwa wala sioni Kama ina lengo la kumsaidia mwananchi kiufupi hii ni sheria kandamizi inapaswa iangaliwe upya

  • @sudaissoud3670
    @sudaissoud3670 3 роки тому

    Hujajibu swali lapropesa

  • @abdillahmbinga7050
    @abdillahmbinga7050 6 років тому +3

    Zito ana hoja za msingi mno

  • @ejtjr2647
    @ejtjr2647 6 років тому +3

    Hivi ukishindwa kujibu jibu sahihi ni alieuliza KATUMWA?

  • @dastanfyondi2159
    @dastanfyondi2159 6 років тому +6

    Mwalimu kakkmbia swali la mwanafunzi..stand up tz

  • @lusajoyuda442
    @lusajoyuda442 6 років тому

    Tatizo letu ni kudhani kila mpinzani si mzalendo WA nchi yetu au kila mpinzani anatumiwa siamini hivyo kwani wapinzani hawajawahi kusaini mikataba mipovu inayotusumbua sahizi Kama nchi inatupasa kuungana pamoja kutatua changamoto zinazotukabili si kunyooshea vidole huu utengano ni hatari sana .Cha Msingi waziri hakupaswa kuyaongea hayo ye angeishia kwenye haya mambo hapo mahakamani hazungumziki si kuonyesha kama kuna watu wametumwa .Sijawahi kuwa mpinzani lakini niamini sana utanzania wangu. As a national we need to come together bila kuangalia tofauti zetu za kisiasa .Zitto ni konk master kwenye hoja na bashe ni vijana hatari sana .Tanzania kwanza hii kauli imepotelea wapi rais wangu aliianzisha mi nikajua viongozi wengine wote wataifata lakini wao wengi uangalia stomach zao.

    • @sobiborexaud3016
      @sobiborexaud3016 6 років тому

      Mpinzani hana uzalendo hata kidogo hilo lijue huyo kibalaka

    • @lusajoyuda442
      @lusajoyuda442 6 років тому

      @@sobiborexaud3016 si kweli mi siamini hivyo na sija amino hivyo kwani hawa ndo walipigana na Richmond, hawa wamepigana na epa hawa wapigana na escrow so nahisi huo ndo UZALENDO pure .Mi si mpinzani lakini naamini hoja jengefu juu ya nchi yangu aijalishi imetoka KWA nani au CHAMA gani

    • @bellaraphael9783
      @bellaraphael9783 6 років тому

      Lusajo Yuda: Walio wengi brother wako hivyo ukitoa Mbatia. Wengine wako kipesa zaidi

    • @lusajoyuda442
      @lusajoyuda442 6 років тому

      @@bellaraphael9783 narudia Tena hayo ni Maneno tu ya WANASIASA .Hawa wapinzani toka nianze kuwajua wametusaidia sana kuvijua vitu vinavyoendelea juu ya nchi yetu.Tukiweka SIASA na uvyama pembeni hawa jamaa ni muhimu sana . Zitto,Bashe ni moja ya vijana wenye akili na makini sana kwani hoja zao ni nzito japo uwaga zinapuuzwa. Mi naona mzalendo wa kweli si yule mpiga mkofi tu muda wote kwa chochote.Ila yule anayehoji na kuishauri serikali bila woga wala unafki

  • @kassimdinar3835
    @kassimdinar3835 6 років тому +3

    mheshima zitto upo vizur San tena San mubunge wote wa kgm

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 6 років тому +4

    Aliyasema haya Mh Lissu kuwa mikataba yetu itatushitaki!!!!!????
    Lkn walimwona kama ni mpinzani
    Haya ni majuto kama ya wa Libya😀waliona kuwa gadafi anawasaliti leo wanamkumbuka🚶🏻‍♂️

    • @nawihadj6674
      @nawihadj6674 5 років тому

      Lisu aongere mbo ya jimboni mwakw aache umbea

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 6 років тому +2

    katumwa

  • @ramadhanihassani256
    @ramadhanihassani256 6 років тому +3

    zito mamboni💥💥💥💥💥💥