Zitto Kabwe 'ACHARUKA' Bungeni "Tusije Kulaumiana, Siasa Itakuwa Ngumu"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 січ 2019
  • Zitto Kabwe 'ACHARUKA' Bungeni "Tusije Kulaumiana, Siasa Itakuwa Ngumu"
    Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, amesimama Bungeni leo Januari 29, kuchangia hoja katika muswada wa mabadiliko madogo ya sheria ya vyama vya siasa uliowasilishwa Bungeni hapo Na Waziri Jenista Mhagama.
    #ZittoKabwe
    Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram: globalpublishers Twitter
    GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK www.youtube.com/watch?v=L4UGw.

КОМЕНТАРІ • 562

  • @amanimusenyi8217
    @amanimusenyi8217 4 роки тому +6

    Zitto Kabwe ni kiongozi anaeongea kwa kutumia vifungu vya sheria,I appreciate to him.

  • @josepharon1338
    @josepharon1338 5 років тому +10

    Namkubali sana mh zitto apewe maisha marefu mtetezi mzuri sana wasisi wanyonge

  • @NyumbaniHabariMedia
    @NyumbaniHabariMedia 5 років тому +33

    Asante Mh.Zito......ww ni zaidi ya Vibajaji vyao Elfu nyingi

    • @gablielturuka9576
      @gablielturuka9576 4 роки тому

      Awa jamaa wanaelewesha sanaa watu na wanaeleweka sana kama walimu vile

  • @ayubusanga3796
    @ayubusanga3796 5 років тому +16

    Zito kabwe!!! Heshima kwako mkuu!

  • @rhiophiri9645
    @rhiophiri9645 5 років тому +24

    zito kabwe you are a precious asset 4 Tanzania and a Tanzania's parliament ' s pride.they'r luck to have a person of yo calibre,very brilliant,intelligent and driving points home when speaking

  • @neemaemmanuel4942
    @neemaemmanuel4942 4 роки тому +12

    Zitto Zuberi Kabwe, akili kubwa ❤🇹🇿

  • @juliaslaizer341
    @juliaslaizer341 5 років тому +16

    Kweli Mungu akubariki sana Tanzania yetu hii tunaelekea wapi

  • @tindotanzania
    @tindotanzania 5 років тому +128

    Gonga like kama ume mwelewa zitto kabwe

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 5 років тому +23

    Uzuri kwasasa wabongo huwa hawasahau😃
    Ipo siku ikiwatokea puani tutawakumbusha maneno yako

    • @jumannerama8756
      @jumannerama8756 5 років тому

      Daaaaa!!!!!zito ni shidaaa!!!!nakuelewa sana!!!!

  • @jumannemfaume
    @jumannemfaume 5 років тому +7

    Ndo mbunge pekee wa upinzani ninayo mkubali zaidi anajua vitu vingi na anajua kufuatilia na anakwenda na nyakati huwez kusikia kashuka big up sana bro

  • @mfaumeseif5872
    @mfaumeseif5872 5 років тому +13

    Mungu akulinde Mwami Zitto Kabwe... Hoja zako zitaishi milele....

  • @ramahhouzzer2342
    @ramahhouzzer2342 5 років тому +8

    Mungu akulinde zito Uko vizuri

  • @godhelpkimaro6742
    @godhelpkimaro6742 5 років тому +32

    Mungu akubariki kwa mchango mzuri mh mbunge

  • @mudhakirudauda7933
    @mudhakirudauda7933 5 років тому +73

    Sijawahi juta kumfuatilia Zitto

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 5 років тому +47

    Ndiyo maana mm upenda Sana upinzani kwa kutuelewasha mambo Kwa ufasaha

  • @cosmassquintine1320
    @cosmassquintine1320 5 років тому +13

    Pole kwa kujua ukweli na kumweleza MTU ambaye hayuko tayari kukuelewa na kutekeleza mapendekezo yako mazuri. If you failed to fight join it.

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 5 років тому

    Nakuombea kwa Mungu siku moja uongoze taifa hili kama raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania (AMEEN)

  • @macmax7767
    @macmax7767 5 років тому +1

    Zitto ni Mzito sana kwa Hoja na mpangilio wa namna ya kuweka mambo sawa. Anaushawishi mkubwa sana

  • @dorcasmruma1238
    @dorcasmruma1238 4 роки тому +1

    Safi sana kabwe zito zuber
    Umeona mbelen
    Mungu akuongoze zaid

  • @alfredmbasa2415
    @alfredmbasa2415 5 років тому +4

    zito kabwe we ni wa sayari nyingine hakika

  • @erymwazembe7369
    @erymwazembe7369 5 років тому +26

    Yani ccm na mtt mdogo hamna tofauti wao wanaangalia apoapo. Kisa nini wao wanajua eti watatawara nchi hi mpaka mwisho wa dunia ndomana wanatengeneza sharia zakuzibiti vyama vya upinzani kwanjia yoyote ile

  • @ismailimusa6640
    @ismailimusa6640 5 років тому +164

    Ndo mbunge anaeleta maana halisi ya nn kazi ya bunge anaongea kwa hoja at ukimsikiliza huwezi kujuta kwann ulimpa kura yako Mungu.akuhifadh san mh zitto Kabwe.

    • @japhetmwamlenga7078
      @japhetmwamlenga7078 5 років тому +1

      Ismaili Musa kuna siku mbuge wenu ikisimama kuchangia mkakosa kumsifia wenu sifa was ccm pumba.

    • @kulwakicheko5102
      @kulwakicheko5102 5 років тому +2

      Zitto unaongea vitu vya muhim kwa taifa ni letu sote.

    • @paulmnama9405
      @paulmnama9405 5 років тому +2

      wasio muelewa zitto ni vilaza vya upande wa pili maana ni mijitu ya kupelekwapelekwa tuu

    • @mudhakirudauda7933
      @mudhakirudauda7933 5 років тому +2

      Fact

    • @AcklandackyMichael
      @AcklandackyMichael 5 років тому +1

      Amin

  • @IbrahimIbrahim-kq3iq
    @IbrahimIbrahim-kq3iq 5 років тому +9

    full of logic, I always appreciate you brother, live longer

  • @sadickd_knuckle5456
    @sadickd_knuckle5456 5 років тому +6

    Good brother, MTU mmoja hawezi akawa ni final say

  • @georgekigufa9554
    @georgekigufa9554 5 років тому +8

    Safi sana ndg yangu Zito. Unaona mbele.

  • @peterkatete5645
    @peterkatete5645 5 років тому

    Mh. Job Ndugai kuna kipindi huongozwa na roho wa Mungu kama hivi!

  • @isdorykiwale
    @isdorykiwale 5 років тому +3

    Keep preaching my MP may b one day they will understand.

  • @sefaniandabila8604
    @sefaniandabila8604 5 років тому +7

    talented man

  • @dr.djshigongo4927
    @dr.djshigongo4927 5 років тому +1

    Ako na respect sana.... Kasikia tu "taarifa "..akakaa chini,,,,He's so wise... Big up Zitto.

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 років тому +2

    Zitto ana GB100

  • @helmanikomba576
    @helmanikomba576 5 років тому +13

    Kinga nibora kuliko TIBA. Nyepesi vipi!!

  • @bernadinangasi7664
    @bernadinangasi7664 5 років тому +10

    Kiukweli ndugai amekuelewa ila basi tu nahapo alipo hayo maneno yamemuingia ilatu hana jinsi mheshimiwa wetu ndugai tuna miomba Mungu akupe nguvu Mpya ya huruma ya mawazo ya watanzania wenzako

    • @bonifacesanga8691
      @bonifacesanga8691 5 років тому

      naomba uwaelekeze hao wabunge Wa CCM maana wamezoea kukaririshwa maneno

    • @rommy7kihuriko452
      @rommy7kihuriko452 5 років тому

      NILICHO GUNDUA UPINZANI KUNA WATU WENYE AKILI SANA

  • @asajilejohnmwakapinga1065
    @asajilejohnmwakapinga1065 5 років тому +1

    mungu aku
    barik zitto kabwe tuko pamoja

  • @jamesabdizo7581
    @jamesabdizo7581 4 роки тому

    Zitto ubarikiwe

  • @younginspired3899
    @younginspired3899 5 років тому +3

    Akili mingi sana 🔥🔥🔥🔥💯

  • @juliasmollel5176
    @juliasmollel5176 4 роки тому

    zito kabwe stoway kukusahau katika elim yako katika bunge la Tanzania mungu akulinde kiongonzi

  • @samwelimoshi5614
    @samwelimoshi5614 5 років тому +46

    Leo zito amechangia kwa usikivu mkubwa mno na spika Leo amemsikiliza kwa umakin tena sana naona zito ameaza kueleweka sema ubishi tuuu

    • @agnesipetro3663
      @agnesipetro3663 5 років тому

      Wapinzani wako makini siku zote

    • @faustinelubago7498
      @faustinelubago7498 4 роки тому

      Huyo jamaa anaitaji kutuvuruga tu.
      Anaitaji Taifa libaki nyuma kila Leo?
      Boya tuu

  • @jesusfirst8464
    @jesusfirst8464 4 роки тому +1

    Mtu makini sana nchini hapa!! Youthful wisdom genius man 👨 💜💜💜

  • @tousihhhh6765
    @tousihhhh6765 4 роки тому +1

    tanzania haipendi haki usikauke mate zito tulia tu

  • @kashindembugano3467
    @kashindembugano3467 5 років тому

    nchi inakutegemea sana mh.mbowe.pambana kwa masilahi ya taifa letu.

  • @V24hrs
    @V24hrs 2 роки тому

    Zitto hapa uliona mbali sana

  • @aflahali7487
    @aflahali7487 5 років тому +17

    This man should b the president of ,Tz

  • @jackyjosemworia1063
    @jackyjosemworia1063 5 років тому

    Naomba Mungu usk na mchn awasimamishi viongozi wenye hofu ya Mungu na hekima Tz na dunia yote, Mungu awabariki wote wenye kutumia hekima
    na busara daima ameni

  • @mwidausaid5701
    @mwidausaid5701 5 років тому +72

    Huyu jamaa yani ata ukimsikiliza unainjoi Jinsi gani anaongea Pont yani hii ni hazina ya nchi mtake msitake

    • @africatanzaniatours5980
      @africatanzaniatours5980 5 років тому

      Chiz tu

    • @rinovatkazimili7362
      @rinovatkazimili7362 5 років тому +2

      Watanzania hamtaki kuwasikiliza Wabunge wa upinzani lakini Tanzania inazama. Shillingi inazidi kuporomoka kwanu uchumi ndani ya CCM ni hakuna kitu. Tunaongozwa na makanjanja. Fedha zinatumika tu bila mpangilio.

    • @paulmnama9405
      @paulmnama9405 5 років тому

      kweli kabisa

    • @AP-uk3mq
      @AP-uk3mq 4 роки тому

      @@africatanzaniatours5980 sijui chizi ni nani hapa

  • @wilbertmmole4412
    @wilbertmmole4412 5 років тому +16

    Nimekuelewa sana kijana

  • @isayaorongay7053
    @isayaorongay7053 5 років тому +8

    Alizaliwa awe kiongoz....

  • @shomytventertainmenttanzan7842
    @shomytventertainmenttanzan7842 5 років тому +2

    Point Yani Tanzania inaelekea pabaya sana eh mungu tusaidie sisi

  • @furahanowa3420
    @furahanowa3420 5 років тому +75

    Hakika kama tungepata wabunge 40 kama ww tungesonga mbele

  • @jordankivuyo9477
    @jordankivuyo9477 3 роки тому

    Inaumaa sanaa mungu awe pamoja nao

  • @anzurunimakala8416
    @anzurunimakala8416 5 років тому +10

    Zitto umesomea wapi na nipeleke mwanangu

    • @renatusrenatus5262
      @renatusrenatus5262 4 роки тому

      daaah,mh zito hv umesomea wapi Kaká na mm nmpeleke mwanangu,,?

  • @furahanowa3420
    @furahanowa3420 5 років тому +121

    Zito zuber kabwe nitafuatilia mijadala yako mpaka mwisho

  • @adinaniadam7314
    @adinaniadam7314 3 роки тому

    Daaaa sasa level yako kaka ni ulaisss na sio ubuge wakupe nchiiiii

  • @lennygeorge9165
    @lennygeorge9165 5 років тому +8

    Leo nimekuelewa ,zito uko mzito kwa leo

    • @lucystanley2641
      @lucystanley2641 4 роки тому

      Mungu aendeleee kukutunza Zito niko mbioni tu ACT

  • @hemedwow8802
    @hemedwow8802 5 років тому +8

    Waswas wangu ni 2020,wabunge wengi kama hao.huenda watafanyiwa mizengwe wasirudi hapo.ili tubaki na wale wanaoshtuka usingizini na kupiga makofi!!

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 років тому +13

    Zitto yupo vizuri tatizo lake huwa anajiongeza kupita kiasi. 😂😂😂😂😂😂

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 5 років тому

    ASANTE ZITTO WATANZANIA TUKO NAWEWE NA VYAMA VYOTE VINAVYO WAKILISHA MASLAHI YA WA TANZANIA WANYONGE!! BIG UP ZITTO!! BIG UP UKAWA!!

  • @kulwakicheko5102
    @kulwakicheko5102 5 років тому +19

    Zitto ni sawa na wabunge 100 ccm

    • @KVPONLINETV
      @KVPONLINETV 5 років тому

      Kama wabunge wenu waongo waongo wa ukawa sawa sawa ila huyo zito ni ccm kama utamsikiliza

    • @gabrielmpanda9709
      @gabrielmpanda9709 5 років тому

      Ni sawa na wabunge woote wa ccm + mwanasheria mkuu

  • @ramadhanmanko4614
    @ramadhanmanko4614 5 років тому +2

    Zito bashe tundulisu hawanimashine watz nawakubalisana

  • @kizurikinaua2242
    @kizurikinaua2242 5 років тому +1

    Yupo vizuri zito kabwe hongera sana hatutajuta kukuchagua

  • @tedlema8105
    @tedlema8105 5 років тому

    wabunge was chama cha kijani wawe making sana,hii in vita inaandaliwa na vita haichagui chama,ohoooooo!

  • @salummatumla5652
    @salummatumla5652 5 років тому

    zitto nimemkubari sana yani kama ayupo bungeni linapooza sana mungu akuweke sana

  • @nathanmapunda1052
    @nathanmapunda1052 5 років тому +13

    natamani kuwa kama wew kaka zito

  • @katapaj2336
    @katapaj2336 3 роки тому

    nawaerewa sana kazi juu ya kazi amna maneno kama mido simba

  • @joshuayengu3624
    @joshuayengu3624 5 років тому

    Ahsante MH ZITTO, Mimi nadhani ni vyema ccm wakajua kuwa njama nyingi wanazozifanya ili kudumaza siasa ya Tanzania tumeshazibaini. Pasipo kuwa Na jicho LA tatu Tanzania itadumbukia kwenye dimbwi baya.

  • @abdillahichicha8366
    @abdillahichicha8366 5 років тому

    Big up ZZK Watanzania tunakuelewa mungu akupe umri mrefu sana amiyn

  • @gloryjoo6475
    @gloryjoo6475 5 років тому +1

    zitto umeongea vzur sana.. nakukubali mno mbunge wangu

  • @regiuskitosi7101
    @regiuskitosi7101 3 роки тому

    Kinacho endelea sasa hivi 2021 ndo kilitabiriwa na zito wapinzani wanaonekana kama waasi 😂😂 Tz bhana

  • @francmnzava7513
    @francmnzava7513 5 років тому

    Dah kakaangu zito umeongea vitu konki sana ila sasa anaye sikiliza anajikuta mungu mtu hana haja eti duh

  • @josephmtepa9552
    @josephmtepa9552 4 роки тому

    Zinto wewe kweli mugu akujalie maishaalefu

  • @rockcittymail9978
    @rockcittymail9978 5 років тому +10

    Waambie baba CCM elim yao ni felia hata hawaon

  • @abdulseif4093
    @abdulseif4093 5 років тому +2

    Kuna watu hata kama huwajui ukiwasikiliza utajua kuwa kuna watu bright sana

  • @bernardbenedicto1373
    @bernardbenedicto1373 4 роки тому +1

    Zitto mwana wa ruyaga.

  • @mwaramiissa3553
    @mwaramiissa3553 3 роки тому

    Mawazo yangu yanaweza kuwa tofauti kidogo. Tanzania ni nchi inayoendelea, mazungumzo ya zitto ni makubwa na yanahusu demokrasia iliyokomaa sana. Ushauri wangu ni kwamba wabunge wajadili miundombinu na maendeleo ya wananchi na huduma muhimu kwa wananchi

  • @naishimbilinyi3373
    @naishimbilinyi3373 5 років тому

    Zitto ni Pasua kichwa sana ndani ya bunge

  • @josephatnyambi62
    @josephatnyambi62 5 років тому +8

    Wangekuwepo hata watano tuu nchi ingesogea

  • @hamisbulabo389
    @hamisbulabo389 4 роки тому +1

    Uyu jamaa very thinker

  • @richardpondo5139
    @richardpondo5139 5 років тому +37

    Nuaomba sana wataalam wa technology, chondechonde itunzen hii video ya Zitto ili ije itumike kama reference kwan alichokiswma ndio kitakachotokea,,

  • @sinclairmosha809
    @sinclairmosha809 5 років тому +3

    Akawaambia wanafunzi wake, Makwazo hayana budi kuja, lakini ole wake mtu yule ambaye yaja kwa sababu yake! Ingemfaa zaidi mtu huyo jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake, akatupwe baharini, kuliko kumkosesha mmojawapo wa wadogo hawa. Jilindeni;
    LK. 17:1‭-‬3 SUV
    2019-2020 itakua ngumu kweli watanzania wenzangu, tujifunge mikanda Mungu yupo pamoja nasi hajatuacha....🙏🙏

  • @moslihimhamad5541
    @moslihimhamad5541 5 років тому

    Hawa wabunge kwa kweli wapo wa aina mbili wabunge wanaowakilisha wananchi na wanaowakilisha matumbo yao

  • @alawibanda82
    @alawibanda82 5 років тому

    tatiz xio km hawaon au hawaxikii wanaon xn na wanjua wanach fany kwakuw wao wanadola ndo man kil kt kwao ubabe xix wanyonge tunamxhtakia mungu kila m 1 mungu atampa Lana
    ya milele

  • @tumainrenatus3572
    @tumainrenatus3572 5 років тому +13

    Wape somo hao Mh zitto,,maana hawajielewi hao Ccm

  • @oscarobed7900
    @oscarobed7900 5 років тому

    Mh Ndugai kweli nasema kutoka moyoni sasa hivi umekomaa kuwa Spika wa bunge... Nimependa sana

  • @loishiyemollel8071
    @loishiyemollel8071 5 років тому

    Pole zito ,kweli wewe unaona mbali Mungu akulinde

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 років тому

    THIS GUY IS WISE

  • @williamludovick5143
    @williamludovick5143 4 роки тому

    Zitto akili kama tembo yaan unatsha braza!big up

  • @ibrahimdabo7163
    @ibrahimdabo7163 3 роки тому

    hawa ndio viongozi wenye akili wanaosimamiya ukweli zito kabwe yuko vizuri sana mungu akubarik kaka duuuuu

  • @sifuelinyaki3341
    @sifuelinyaki3341 4 роки тому

    Huwa kuna kitu najifunzaga San kwa wabunge hawa wa upinzani. Zitto kasimama 2 hapo dakika chache tayari somo lishaingia MTU anataarifa🙋

  • @eliasalamunyaki7684
    @eliasalamunyaki7684 4 роки тому

    Baba uko vizuri ulitabiri y'a kwel

  • @notomumvile8349
    @notomumvile8349 4 роки тому

    safi saaana

  • @idrisamngagi284
    @idrisamngagi284 4 роки тому +2

    2020 . you are genious bro

  • @zabibubashiri3034
    @zabibubashiri3034 4 роки тому

    Mimi nnapenda sana Zito kwakweli big up Mh

  • @johnbugenyi2555
    @johnbugenyi2555 5 років тому

    Jamani wabunge wote eleweni ojaii yazito

  • @ezekielmwadomba4675
    @ezekielmwadomba4675 5 років тому

    MANYWA DAMU YA KIJANI YAMENYWEA NYWIIII!! SHUBAMITI!!! BIG UP ZITTO!!!!

  • @temesjames8867
    @temesjames8867 5 років тому +6

    Safi spika kwa kujua umuhimu wa kila mbunge.

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 5 років тому +8

    Hivi kati ya Zitto na Musiba ni nani anayeeleweka zaidi samahani kama kuna sehemu nimekosea.

    • @masudinusura7073
      @masudinusura7073 5 років тому +2

      Eng ZUBERI R.A KILENZA huja kosea upo sawa msiba ni shoga

    • @marijanimohamed7619
      @marijanimohamed7619 5 років тому +1

      Mwisiba mbele ya zito mtoto kwa siasa zito yuko vizuri kielemu pia kisiasa anasema ukweli lakin ukweli tu huwa unauma

    • @AP-uk3mq
      @AP-uk3mq 4 роки тому

      Ukiwa na akili utamsikiliza Mh. Zitto la ukiwa kifuu tundu basi utamfuatilia musiba

  • @marrymagwiza5496
    @marrymagwiza5496 5 років тому +16

    Uko vzuri jembe

  • @bekamabenga1363
    @bekamabenga1363 5 років тому

    Nc umetumwa na mungu utete wanyonge

  • @abdallahidd2278
    @abdallahidd2278 5 років тому +1

    Watakuelewa tuu mheshimiwa!!

  • @victorsanga2229
    @victorsanga2229 5 років тому +5

    Jenister the monster is back

  • @mfukunyuzi8335
    @mfukunyuzi8335 5 років тому

    Nampenda sana huyu jamaa ,yuko vizuri sana kwenye kutengeneza hoja za msingi