Zitto Kabwe Arudi Kigoma, Aongea Mazito: "Nimejiandaa Kuwa Rais wa Tanzania"
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- ACT WAZALENDO Wanadhimisha miaka 10 toka kuanzishwa chama hicho na kupewa usajili rasmi mnamo Mei 05,2014. Mkutano huu wa hadhara unafanyika katika viwanja vya Mwami Ruyagwa Kigoma.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Hongereni ACT
❤
King of kigoma
Not only kigoma, whole Tanzania 🇹🇿
Hongera kaka zinto
❤❤
Together front act wazalendo ❤
Nikweli
Zito ni msaliti kote kote kasaliti chadema na amesaliti CUF yaani huyu ni fala kweli
Aliwahi kuwa cuf pia?
Alukugonga akakunyima pesa zako
Kweli mwamba
Labda kama mlengo wa Dola ni kwako upewe pale mambo yakiwa magumu kwetu CCM!lakini hivi hivi ngumu sana!
Huyu jamaa siasa zake ni kigoma tu
Ana ukabila sana😂😂😂
Yuda
Mbowe mtafuna milungi na mvuta bangi ,pia kin'gan'ga wa cheo cha umwenyekiti kwenye chama cha kikanda cha chadema ndo Yuda
Ulipo Toka chadema pengo rako tunaliona
Unaongea vizuri zitto
Kuna watu wanaamua kukurupuka ili mradi kuwafurahisha watu.
Huwezi kuchaguliwa kuwa Rais hata wewe unajua Zitto
Mkutano huu umehudhuriwa na wanawake
Ukiona mkutano wanaume wanaonekana mbele ujue huo ni batili, huu mkutano umekuwa verified bcz wanawake wamakaa mbela woote , Our next president of tz🇹🇿
Huyo akigombea anatumia pesa ya sisiem ni mzee wa Fulsa labda agombee urais wa kigoma
😂😂😂😂😂😂
Huyu msaliti awe rais wa nchi gani!
Atatuuza wote kama mwafulan
Alikulamba akakunya pesa zako acha uvhaga dema aps
Zitto atakuwa Raisi. Make msitake
@@ourearthmatters5206 labda awe rais wa wabembe
@@thelivingwordchannel9027 wewe ni mjinga sana. Ko unahisi wanembe sio watu?
Mpumbavu huyu Yuda🙂🙂
Hizo zote ni kura za CCM... Katika uchaguzi mkuu ujao...
XD
6:25
Huyu mtu hata Chadema au ccm waweke jiwe na huyu zito basi jiwe litashinda na hana wa kumlaumu kwani kajiuwa kisiasa yeye mwenyewe kwa usaliti wake
Siku nikichagua chadema au cuf , namuomba mungu nife apo apo😅. Kura zangu zoote zitakua zinawekwa kwa CCM NA ACT WAZALENDO. Chadema hata imsimamishe Mungu siwezi kuipigia kura ever
@@HamudaniSalumu wewe mpuuzi mkubwa kabisa
Mwamba huyo
Wa Tanzania 🇹🇿
kura yangu unayo baba
Nilihisi na imetokea kuwa hiyo alama yenye kiganja cha mkono hakiwezi kutolewa kwa sababa waliingia nacho kwa trik ya kuwa kinawakilisha nguzo tano za uisilam na akawa ndio kampen yao. ndio maana hawawezi kuitoa. kadi ya mwanza kabisa ilikuwa na alama ya nyota na mwezi kelele zikawa nyingi ndio wakaleta kiganja kwa kumanisha lengo lilelile.
Acha hisia tofauti wewe kila mtu ananembo yke
Labda rais wa kigoma
Ni haki yako kugombea, lakini urais hapana kaka
Next president of Tanzania 🇹🇿
Acheni chuki kwani mnataka rais akoje kila mtz mwenye sifa anahaki anagombea urais mbona hamsemi chadema ilialika samia na mbowe kaalikwa ikulu kwahiyo ni msaliti?
Izo comment ni za watu wa kaskazini , Sasa iv yule mtafuna mlungi wao Ambe ndo m/kt wa chadema kachunda Hadi uruma aisee,
Iskariote
Zito ACHA uongo!!
Kasaliti sana
Huyu Ni Nani Kwenye Hii Nchi???
Our next president
Mwamba huyo