Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

WANAUME RUHUSA KUOA WAKE WANNE MKITEKELEZA HAYA (HUBBUL HALAL)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 11

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 24 дні тому

    Acheni kuogopa wake,muogopeni Allah alie waumba na kuwapa ruksa hio😂ati kesi,sibora kesi yamke kuliko kesi kwa Mollah wako! Daa! Innalilahi wainna illahi rajiuun yani mwaogopa wake zenu😂mnatia aibu wallah, sasa unaoa mke au jinamizi la kukutesa moyo wako🤗🤗

  • @mwanaidkhamis
    @mwanaidkhamis Місяць тому

    Mashaallah mashaallah kipindi kizur sana❤

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 24 дні тому

    Mwanamke anae jiweza kiuchumi hategemei mume ndoa ya siri inawafaa! Na mume akifarikia kwako ndo imeandikwa,hakuna siri tena hapo!na kujulikana na familia ya mume Sio lazima ati'muhimu ni maisha yako yanafuraha,alifariki ndo watajua hawajui

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r Місяць тому

    Mbona somo hii mada umeizungumza Kwa ukali

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 Місяць тому

    Maa shaa Allah kipindi kixur Sana, nashkur alinmbia mapem kuw mkewe anapenda na Hana Kasoro ila anaoa kisheria, sas nashkur tunaish vxur alhamdulillah

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 24 дні тому

      Alhamdulillah, mashaallah Allah akuzidishieni mapenzi na wema, unapepo yako kwa Allah

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 24 дні тому

    Somo unauhakika gani ni uongo'Sio wake 1 wote wako vizuri, wengi ni wanamapungufu ndo hupelekea waume zao kutafuta wenza! Usiusemee moyo wa mtu,waume kuongeza mke sababu kubwa ni mke hajiwezi,nimechoka ni nyingi kupigwa tarehe mume atavumilia mpaka lini? aende kuzini?

  • @MeswalehShaban-mg5kk
    @MeswalehShaban-mg5kk Місяць тому

    Mashallah mashallah kipind nakipend snaa2 ❤

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 24 дні тому

    wake wakubwa nyie mtaenda kujibu kwa Allah,mna dhambi zenunabado mnabeba naza waume zenu kisa tu'mume kuongeza mke Astaghafirullah muwe na hofu ya Allah

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 24 дні тому

    Wewe somo acha harara zako,mbona unahasira?naongea kama ni dhambi kuongeza mke?

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 24 дні тому

    Wake hawana kheri, hawaridhiki hata ukampa roho yako bado akuchukulia na haqi zako!hataki kusikia unaoa!😂Ila yeye kukuweka amri kukupangia hodari!dawa yao unaoa wanne kwa siku moja