Mashallah madam tuseme tu ule ukweli nakupendaga saana na laiti ningepata mwanamke mwenyewe swiha yako yalabh ningeweza hata kuweka kiapo juu ya kumsaliti mkewangu.❤❤❤🤝🙏
Bass haya ishaalah wapo wasaliti wengi ni wanaume mimi kulikuwa na mwaname nipanga kila kitu kwangu baadae alibadilikiya aposhapata mtono bass kajenga nyumba bass nimemuwachiya mungu ishaalah mungu yupo anamuona atalipa hapa hapa dunia kabla ya khera
Mimi mtu mzima ndoa yangu na mke wangu ina miaka 30 na ushee. Nimeshastaafu ila mke wangu bado anafanya kazi. Hayo ya kuambiwa nimechoka, nishaambiwa sana kiasi mpira naumulika na tochi siuoni. Mwisho wake nimeinua mikono kwa Mwenyezi Mungu nikimuomba azidi kumbariki mke wangu aendelee na isimu hiyo ya kuihamisha haki yangu ya ndoa na kuipeleka kusikojulikana.
Mwanaume huwa hasaliti bali kaumbiwa kumiliki wanawake wengi. Ila njia bora kuongeza mke kwa kuoa. Na mawaume haitwi msaliti kwa kuwa anapopenda mwingine haimaanishi hampendi mkewe bali katamani sifa nyingine kutoka kwa mwanamke mwingine ili awamiliki wote.
Kiasili mwanaume hasaliti bali hupenda kumiliki wanawake wengi wenye sifa tofauti tofauti.Hivyo ukiona mmeo anatoka nje ya ndoa ni bora umwambie aoe rasmi ili muwe wawili.
Usaliti nyakati hizi limekuwa janga maana wengine tunaumia saana lakini aaah ndo hivo tena ukiuliza tu kesi mbona kunichunga sana hutaki mimi niende hata kwa rafiki zangu hata kutembea kidogo basi unaacha maana ukiendelea kuhoji ugovi
Masha Allah madam. Wanaume tunachangamoto nyingi sana lakini nyingi tunasababishiwa na wanawake. Mfano sisi mara nyingi husaliti kwasababu ya tamaa na wanawake ni hisia. Sasa mwanamke unakosana nae unamtaka mzungumze yaishe lakini anakataa na badala yake anakunyima unyumba miezi 6. Unadhan mwanaume atafanyaje hapo? Allah atuepushie
Tumeambiwa tuoe wenye dini ( iman) kama hana iman jaribu kumfundisha dini! Akiwa na imani sawaswa hawez fanya haya yotee lkn ukıoa mke anayejifunza maisha ya ndoa kwa kuangalia mitandaonı ndıo yatatokea haya yote Allah atuhifafh wake zetu na dada na watoto zetu!!! Aminnn
Dah mama kama unayaona kwa mke wangu Hata kuswali haswali tena amebadilika hatuna mawasiliano ya kujuliana hali kma mwanzo nilipo fika nimeamua kutafuta mke ambae atanijali kama mume
Dada hapo weka sawa ,mwanamke kiukweri sekta yake ni mapenzi na mwanamme sekta yake ni upendo.mwanamme anahitajika kupenda na mwanamke sekta yake ni mapenzi.na ndoa za sikuhizi wanawake wanapenda waume zao kama wanawake na wanaume wanapenda wake zao kama wanaume ndio maana mahusiano yanakufa
Yani umeongea mengi sana yamemuhusu mke wangu alienitoroka yani alikua swala tano lakini akaanza kubadirika taratiibu mala naenda Kwa mama mala naenda Kwa shoga yangu hidaya mala siku flani tunaenda shughulini hadi siku ameaga anaenda kwao alafu kukatokea msiba Kisha yeye hayupo kwao kumbe amelala sehem nyingine na cm amezima
Shukrani nakumbea kwa Allah akuzidishie umri mrefu wenye heri na ww uzidi kutupa. nasaha navizazi vyetu vijavyo
Mashallah madam tuseme tu ule ukweli nakupendaga saana na laiti ningepata mwanamke mwenyewe swiha yako yalabh ningeweza hata kuweka kiapo juu ya kumsaliti mkewangu.❤❤❤🤝🙏
Please madam naomba hata uisome tu comment yangu jamani love you so much more❤❤🙏
Kumpata kama huyo nawewe uwe na sifa za mume bora pia 😊
@@jafariabdallahMasukuziAna mume nawe kuwa mstahamilivu😂
Asante Madam Leilah. Ubarikiwe kwa elimu, mawazo na mchango wako katika jamii🤝
Maashallah maashallah dada yangu mola akulipe nini yarab
Mungu akujaalie dadangu ktk maisha yako,uendelee kuufundisha uma mambo ya muhimu katika maisha mwanadamu,barikiwa sana.
Bass haya ishaalah wapo wasaliti wengi ni wanaume mimi kulikuwa na mwaname nipanga kila kitu kwangu baadae alibadilikiya aposhapata mtono bass kajenga nyumba bass nimemuwachiya mungu ishaalah mungu yupo anamuona atalipa hapa hapa dunia kabla ya khera
Bado hujasema dada Mungu akusaidie wasaliti ni 50% kwa jinsia zote hujawahi sikia maumivu ya mwanaume juu ya mkewe 😢😢😢
MaShaAllah Allah akuongezee ktk Kila zuri unalofanya.
Mungu akubariki sana madam Leilah, mafundisho mazuri.
Yani mungu akupe mema ya duni na khera. Mashallah mashallah
Kweli kabisa. Asante Dada. Mtu akichoka vizuri kutengana. Kuzuia domestic violence
MashaAllah Allah akupe mema utakayo umegonga ndipo
Dada Leilah nakusalute upo vizuri sana kichwani kwako Mungu akubariki sana kwa ushauri mzuri wa ndoa.
Hongera mm kwa mafundisho Mungu akujalie maisha mema
Mke mmoja ni changamoto Sana,
oa kumi uondoe changamoto
Ahsante sana mwalimu wangu mzuri, nakupenda
Mungu ni mwema kwa kweli
Dada huyu ni smart 🧠 brain. Kizazi chemistry hiki.. mama wa family bora
😅😅😅😅
hakuna lolote, she is just a human being nothing new, smatter people are not found in medias Abdallah
Masha llah Mungu akubariki da Laila
Mungu atusamehee kwakweli
Madame Leila, Allah akulinde In Sha ALLAH
❤ni kweli watu Hawa hawamwogopi Mungu
Asante sana umenipa mwangaza zaidi
Swadakta doctor lyleila allah azidi kukupa kipaji na watu waeze fanikiwa kwa maisha na kuwa na imani kwenye ndoa inshallah jaza yako kwa allah
Mimi mtu mzima ndoa yangu na mke wangu ina miaka 30 na ushee. Nimeshastaafu ila mke wangu bado anafanya kazi. Hayo ya kuambiwa nimechoka, nishaambiwa sana kiasi mpira naumulika na tochi siuoni. Mwisho wake nimeinua mikono kwa Mwenyezi Mungu nikimuomba azidi kumbariki mke wangu aendelee na isimu hiyo ya kuihamisha haki yangu ya ndoa na kuipeleka kusikojulikana.
Pole sana,umefanya jitihada zozote?
Hili cm ndoo kisanga cm zimeua+kuvuja ndoa,acha kuchunguza cm oooh,kama hujupendi Allah atakupenda Zaidi cm jamaa zitawamaliza,
Huyu dada mjanja sana hilo ni kweli kabisa
Mashaalah Kwa mawaidha mazuri. Mmungu akupe majazo mema.@@kalamuMedia
TV TV@@HamisMghuna-fj3vz
Hongera madam, kwa mafunzo mazuri
Mungu akuweke u unaelimisha ndoa zetu au mahusiano yetu nivituko v2pu Ila kiukweli unatuweka sawa tutajitambu kaz kufanya maamuz.
Dada umenena ukwel kabsa
Ukwel ni kwamba Siri za mwanamke anajua mwanamke mwezie 💯💯
Hongera.sana.umetufunuwa.macho.mengine.hatuyajuwi
Nimeipenda busara yako, Mungu akubariki uendelee kutujuza
Mama Mungu akibariki nimelioenda sana ushauriwako
Alhamdulillah dah Allah akuongoze dada yangu
Mungu akubali🤲🤲
Mash Allah tabarak Allah kheri Madan Jazzak Allah kheri
Hii saikologia imeegemea upande moja wa imani.
Dada Leyla umetisha sana, nimekusiliza narudiarudiarudia clip yako WONDERFULL
Allah barik madam
Asante sana hata mimi nyumbani nih ivo
Mwanaume huwa hasaliti bali kaumbiwa kumiliki wanawake wengi. Ila njia bora kuongeza mke kwa kuoa. Na mawaume haitwi msaliti kwa kuwa anapopenda mwingine haimaanishi hampendi mkewe bali katamani sifa nyingine kutoka kwa mwanamke mwingine ili awamiliki wote.
Kiasili mwanaume hasaliti bali hupenda kumiliki wanawake wengi wenye sifa tofauti tofauti.Hivyo ukiona mmeo anatoka nje ya ndoa ni bora umwambie aoe rasmi ili muwe wawili.
Kama anafanya na huyo mwanamke mambo ya chumbani kabla ya kumuoa je?
@@mutomubayani usaliti na zinaa kama ni muislam hukumu zipo wazi.
Sure, mwanamke ndio msaliti sio mwanaume
kar❤@@mutomubaya
Nataman mke wangu ackilize huwenda ukamfundishaaa zaidiiii
Mtumie link😂😂😂kwan wamuogopa?
Asante.dada.yalinikuta.hayo
Tatizo ni kuonja onja Kwa wanandoa kunaleta kizazi kiovu.uovu wa watoto unanzia Kwa wazazi.mandiko yanasema mle mtoto ktk njia impendezayo mungu.
Very smart Mashallah
Mash Allah mungu akulinde hapa dunia na kesho akhera lelah
Sister upo very very smart hongera kwa darasa zuri,
Hakika kuna jambo kubwa sana la kujifunza kupitia mazungumzo yako God bless you 👏👏👏🔥🤝🤝
Jazakah Allahu khair
Uko vzur sana dada angu
Nimekuelewa sana dada yangu umeelezea vyema
Usaliti nyakati hizi limekuwa janga maana wengine tunaumia saana lakini aaah ndo hivo tena ukiuliza tu kesi mbona kunichunga sana hutaki mimi niende hata kwa rafiki zangu hata kutembea kidogo basi unaacha maana ukiendelea kuhoji ugovi
Dada yangu unatisha mungu akujalie sana akupe maisha mema
Elimu hii nzuri sana.....
Dada mungu akubariki umenena
Wanawake mungu awasamee
Jazakallah khayran
🎉🎉🎉❤nakupenda sana Dada angu
Masha Allah madam. Wanaume tunachangamoto nyingi sana lakini nyingi tunasababishiwa na wanawake. Mfano sisi mara nyingi husaliti kwasababu ya tamaa na wanawake ni hisia. Sasa mwanamke unakosana nae unamtaka mzungumze yaishe lakini anakataa na badala yake anakunyima unyumba miezi 6. Unadhan mwanaume atafanyaje hapo? Allah atuepushie
Poa dada mungu ni mwaminifu tukitenda alilo litaji pia atatutendea
Ubarikiwe mama
Mungu akubariki dadangu kwa mawaidha mazuri
Mamangu ❤ KilA la heri kwa Mambo ya hekima Musa kutoka Kenya🇰🇪🕊️💘
Ahsante dada🙌🏽🤍🤍🤍
Mungu Nisaidie
Asante sana
Dada leila hongera kwa mada hii! Ni vyema utoe mada kwanini wanaume au wanawake uchukiwa ukweni?
Hahahahahaaaa😂😂😂😂😂ila maadam Leilah ban Et, Huna Nyimbo
Asalaam aleyhum,katika madhui yako ni ya kheri kwa jamii, wake zetu ndiyo wakwanza kuchafua ndoa zenu sisi wanaume nikama watoto shida ipo kwenu
Umefiria au umekurupuka
Sibure kuna kipengele kime kungusa😂😂😂😂
Maashallah Baarakallahu fiik
Nakukubali dr
Allah akuzidishie elim na hekma
Mungu wangu weeee duh
Shukran dada nimejifunza kutoka kwako
Tumeambiwa tuoe wenye dini ( iman)
kama hana iman jaribu kumfundisha dini!
Akiwa na imani sawaswa hawez fanya haya yotee
lkn ukıoa mke anayejifunza maisha ya ndoa kwa kuangalia mitandaonı ndıo yatatokea haya yote
Allah atuhifafh wake zetu na dada na watoto zetu!!!
Aminnn
Wewe ndio bure Kabisa, ungejua hao wenye dini hovyo kabisa. Kwanza mwenye dini ndio nani?
Umeona ee, @@yesseikungu7828
mashaAllah dada
Maashaallah Swadacta
We mama unakufuru mungu sisi ni 4 in 1= love
Amiin amiin inshaallah
Nimekuelewa dana my dear sister
Sawadactha hili ndilo wimbi lilo nipiga mm paka mfuoni wabahari 😭
Polee
Allah Akibar
Ni kweli .wameliwa sana
Dada asante.masshallaa
Eti maisha yetu jeshi, siijapenda 😢
😂😂😂! Ma MP😜
Haaahah
Jamaa cm zimeua kuvuja ndoa acha kuchunguza cm oooh kama hujipendi Allah atakupenda Zaidi cm jamaa zitawamaliza,
aki umeongea nkanakwamba umeniongelea mm ALLA akujaliw
Vitimbwi vya wanawake ni vingi sana
daahhhhh Ina Uma sana kusali Tiwa na mtu unae mpea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Allah akuzidishie kheri
Hongera
Dah mama kama unayaona kwa mke wangu Hata kuswali haswali tena amebadilika hatuna mawasiliano ya kujuliana hali kma mwanzo nilipo fika nimeamua kutafuta mke ambae atanijali kama mume
Darsa zuri sana linafunza
Dada hapo weka sawa ,mwanamke kiukweri sekta yake ni mapenzi na mwanamme sekta yake ni upendo.mwanamme anahitajika kupenda na mwanamke sekta yake ni mapenzi.na ndoa za sikuhizi wanawake wanapenda waume zao kama wanawake na wanaume wanapenda wake zao kama wanaume ndio maana mahusiano yanakufa
Nikweli kabisa Dada unajua vzuli kuhsu away wanawake uko vzuli
Upo sawa
Mashaaallah
Nikweli kabisa
Kwa kweli dada tunashukuru na tunafidika saana Wanamaker wanasumbua sana khasa kwa ajili ya simu zao zinasumbua saana mi.i niko drc
00
Kweli, hisia za mwanamke zaonekana wazi, akisaliti hafichiki, dharau itajitokeza na hajijui kama amebadilika, ...
Atayeyeuyo, anauzaifuwake, ridhika, nauliyo mpata, usipende kutamanitamani, mambo,,ombo,,simama, usiku mlilie mungu, nataka mwanamke mwema,,
Duuh hii hali naipitia mimi naombeni mnishauri jamani mke wangu hataki kushiriki na mimi days hajisikii.
Tafuta mwanamke mwengine uoe
Sababu ni nini
Kitumbua kishaingia mchanga hicho achana nacho mkuu wangu
Yani umeongea mengi sana yamemuhusu mke wangu alienitoroka yani alikua swala tano lakini akaanza kubadirika taratiibu mala naenda Kwa mama mala naenda Kwa shoga yangu hidaya mala siku flani tunaenda shughulini hadi siku ameaga anaenda kwao alafu kukatokea msiba Kisha yeye hayupo kwao kumbe amelala sehem nyingine na cm amezima
Barikiwa dada yangu.
Nikweli lakin hapa sisi wanaume kusaliti ni ngumu sana kuacha.. ila ni bora useme tufanye ila kwasiri sana
Wewe aliye kuoa awe na kazi sana wewe hakili nyig sana,
Madam Leila uko Top, Mashallah tabarakallah