HIVI NDIVYO MITANDAO INAVYOZIVUNJA NDOA (HUBBUL HALAL)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 5

  • @mithlaabdulrahim8566
    @mithlaabdulrahim8566 2 місяці тому +3

    MashaaAllah kwa mafunzo mema....Allah awahifadhi 2pate mengi mazuri kutoka kwenu....somo ❤

  • @mwanaidkhamis
    @mwanaidkhamis 2 місяці тому +2

    Mashaallah elimu ya kila siku tunaipata hapa Allah awabariq

  • @MialiiMohamed-m9l
    @MialiiMohamed-m9l 2 місяці тому +1

    Kweli somu ❤ zamani ilikuwa twasoma na macho tukiwa jikoni

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 2 місяці тому

    "Wilaayah" au "Uwelii" wa mzazi 'baba, babu, kaka' ... kwa mtoto, mjukuu, dada ... hubakia katika masafa ya Qasri "kupunguza/kuunganisha sala." Welii akiwa nje ya masafa hayo, uwelii wake huondoka.

  • @theteacherchance6750
    @theteacherchance6750 2 місяці тому

    "Wilaayah" au "Uwelii" wa mzazi 'baba, babu, kaka' ... kwa mtoto, mjukuu, dada ... hubakia katika masafa ya "kupunguza/kuunganisha sala." Welii akiwa nje ya masafa hayo, uwelii wake huondoka.
    ***
    Welii wa mwanamke ni baba yake, halafu baba wa baba yake (babu yake), halafu mtoto wake wa kiume halafu mtoto wa mtoto wake wa kiume (mjukuu wake wa kiume), halafu kaka yake wa baba na mama mmoja halafu kaka yake wa baba mmoja halafu mtoto wa kiume wa kaka yake, halafu baba mdogo (ami) halafu mtoto wake wa kiume halafu baba mdogo wa baba yake halafu haakim. Angalia: al-Mughni (9/355).