BIBI KIZEE PEMBA ALIA NA WANAUME WASIO NA NGUVU ZA KIUME (HUBBUL HALAL)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

КОМЕНТАРІ • 46

  • @user-io3xw4yr3t
    @user-io3xw4yr3t 28 днів тому

    Mashaallah Bibi Allah akulinde duniyani na kesho Akhera Ya Rabbil Alamin. Bibi mimi nime pata mitihani mbali mbali hatimai nika shikwa na Maradhi nikawa natizamwa ni mume asiye kuwa na thamani hstimae Ndoa yangu ika farakishwa na kadhalika.
    Alhamdulillah

  • @mussasaid5534
    @mussasaid5534 8 днів тому

    Umekosea kusema bibi kizee hiyo sio heshima tulivo lelewa wapemba jirekebishe tunaipemda al fatah sema tu bi fulani au mama fulani.

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 28 днів тому

    Mashallah bibi mafunzo Mazur san Allah akujalie kipaji chako bbi

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 25 днів тому

    Ni bibi tu wa kawaida, c bibi kizee, asanteni kwa somo zuri

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 28 днів тому

    Bibi mashallah tabaraqah.
    Kanikumbusha aliposhema atoneshwa na mke apatafute.
    Kuna mwimba wakiimbiwa zamani. Unanichooma eeh unanichooma Kijiiba cha mmteema wapii hapa patiee dawa sanaa pasije pakabana pakamkera bwana usiku na mchanaa .😂

  • @aasatt78
    @aasatt78 28 днів тому +1

    Kwani hana jina mama etu mpaka mumwandike bibi kizee jamani mwandikeni bi fulani si bibi kizee haijakaa vizuri

  • @mohammedhamadomar5884
    @mohammedhamadomar5884 26 днів тому

    Waandishi wacheni kupotosha na kudhalilisha wazazi wa wenzenu huyu mama sio kizee kweli ni mtu mzima lakini sio kisee chungeni kauli zenu

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 28 днів тому

    Ntakaaaa bibi anapo mapatikana nimpekee wakengwaa alooo tena woseee haaaa wakaijue iyoo mishipaaaaaa waje nkandaaaaa

  • @rahmarashid1670
    @rahmarashid1670 29 днів тому +1

    Jamani hamuwachi huyo ndo bibi kizee

    • @SaidHassan-ot3un
      @SaidHassan-ot3un 26 днів тому

      Kwa sisi na yeye mtangazi ni bibi yetu,kuhisia huwezi ata macho hayaoni?

  • @gadonassir4261
    @gadonassir4261 28 днів тому

    Hahahhaha mashallah bibi masomo yanahitajikaa ayaaa

  • @rahmarashid1670
    @rahmarashid1670 29 днів тому +1

    Si mwanamke wa makamo jamani

  • @ChainesBoufee
    @ChainesBoufee 28 днів тому

    Shekhe rashd ufanye mazoezi .😅😅

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 27 днів тому

    😂😂😂😂😂apo paaaa paaa wawapaka mafuta nimecheka😂😂😂bi.mother unamaneno kuntujeeeee

  • @mohammedhamadomar5884
    @mohammedhamadomar5884 26 днів тому

    Tatizo la vijana nyie wa Sasa akili zenu hazichaji ipasavyo na ndio Mana watu wote Sasa ni vizee kwenu Hali ya kwamba wakati huu tulionao humuoni kijana watu wote ni vizee KWA matendo mfanyayo wacheni jeuri na mjifunze lugha na upambanuzi wa Rika za watu

  • @user-cj2kl7cd9k
    @user-cj2kl7cd9k 28 днів тому

    Bibi ana madini hatari

  • @mohammedhamadomar5884
    @mohammedhamadomar5884 26 днів тому

    Mtangazaji nae lugha yetu aitupa badala ya kusema lugha asema luga hee mushakuwa wabongo wazanzibari amkeni kilichobakia kwetu Zanzibar KWA mambo ya utaifa ambalo hatuja nyang'anywa kabisa kabisa kabisa na hio inawaniwa KWA Hali zote na ndio mabwana wanao tutawala wakasema kwamba ikifundishwa wanafunzi maskulini kiswahili waambiwe ni kibantu Hali ya kuwa sio kweli ni upotoshaji tuu zungumzeni lugha yenu na sio kua muige huo ni kujidhalilusha

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 28 днів тому +1

    Tukijaliwa Insha Allah mara hii nikipata mume lazim nimfanyie ivo mume wngu 😂😂

    • @MasnamussaPp
      @MasnamussaPp 28 днів тому

      Inshallah Allah atakupa au wanitaka mimi

    • @hamidakhatib9777
      @hamidakhatib9777 28 днів тому

      @@MasnamussaPp CIO mbaya mm shida yangu mume Bora t ataye weza kunitunza na kunifanya niyasahauu yatonikuta uko nyuma

    • @OmarAmran-t7k
      @OmarAmran-t7k 28 днів тому

      Toa namba au vipi

    • @ShankarMohd
      @ShankarMohd 28 днів тому

      Inshallah nakuombea upate mume mwema iwe ni sbb ya kukutuliza mshipa wako

    • @OmarAmran-t7k
      @OmarAmran-t7k 28 днів тому

      @@hamidakhatib9777 usiombe mungu we just toa namba tu kisha upate mume au

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 28 днів тому

    Bi mother ana maneno yaukweli kweli vyakale dhahabu kanifurahisha alivyofyekwa nywele😂ha pamkwendeka😂

  • @hamidakhatib9777
    @hamidakhatib9777 28 днів тому +2

    Shekhe Rashid nahitaji mume mwema uko pemba uliko niangalizie ukipata bc niambie Insha Allah 😢😢

    • @salumissa6118
      @salumissa6118 28 днів тому

      السلام عليكم ورحمة الله وبركاته.

    • @abumutwaira4892
      @abumutwaira4892 28 днів тому

      Mimi nipo kama uko Tayari...

    • @hamidakhatib9777
      @hamidakhatib9777 27 днів тому

      @@abumutwaira4892 jmn mm cipo kwenye utani hapana nahitaji mume Bora wala CIO kunivunjia heshima hapana

    • @sharifmuhidin-kz8kp
      @sharifmuhidin-kz8kp 26 днів тому

      Tyr ashapatikana

    • @hamidakhatib9777
      @hamidakhatib9777 26 днів тому

      @@sharifmuhidin-kz8kp uyo mume au vp