HII NDIO TAMU YA MAPENZI BAINA MKE NA MUME (HUBBUL HALAL)
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Amin kwa wote inshallah
Jaman nimeipenda sana❤
Jaman nimependa
Power of papernote wanajua wanafunzi tu🤗
MashaaAllah shukran
Speechless Rashid leo 😂😂😂
We love u somo
Mm sijapata kizazi miaka 20 lkn duuh! Niko vizur kumtendea haki mumewngu mpaka ameshindwa kuongeza mke mwengine kw sababu ninamuhudumia ipasavyo,mpaka ndugu zake wanasema mm nimemroga, hahaaa wanawake tubadilike mbona tunaweza sana tu
MashaAllah😊
Mashaa Allah
Manshaallaah ❤
Asimkope mwenzake eeeeh
❤❤❤
Naona Leo umeachwaa nyumaa Rashid 😂😂😂 hayaa kamataa zako tatu uzifanyie kazi
Wanataka iyo kuandaliwa kwani kila kt ukiwaambia mahasira
Nahitaji namba ya
Waume wengine wanashikiliwa maskio na wazee wao wake huwa hatuna kauli yyt kwao je waume hawa tuende nao vp nlikuwa najitahid lkn ukumuekea chakula anabeba sahani anaenda kwao kw iyo sjui nimfnye vp
Jamani kwani lazima ziwekwe picha za watu weupe
😂😂😂 unamakasiriko na ww
@@mithlaabdulrahim8566 ndio kwani watu weusi si wazuri wa kuwekwa
@@fatmasaid9765uko tayari tuweke picha yako!? Tutafurah sana 😊
Jaman nimeipenda sana❤