NAMNA YA KUREJESHA LADHA KWA MWANAMKE ALIYEJIFUNGUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @user-vi4rv8kv1v
    @user-vi4rv8kv1v Місяць тому

    Rashd salum hongeren kwa vipindi vizur lakn ukianza kipindi Anza na salaam ya kislam sio hujambo

  • @MeswalehShaban-mg5kk
    @MeswalehShaban-mg5kk Місяць тому +2

    Mashallah tabarak Allah...kipindi kizur sna ,nakipend ajab ..Mungu hawajalie all team hubul halal utajiri wa afya njema daima ili muzid kutufunza...❤❤❤

  • @KuluthumMwemtelo
    @KuluthumMwemtelo Місяць тому

    Nataman sana kujifunza kutoka kwako somo Je nawezaje kupata darsa zako??

  • @user-pw2dv9fr6r
    @user-pw2dv9fr6r Місяць тому +1

    Kipindi kizuri mashallah,ila mi mchango wangu mabadiliko ni hormones ndizo ambazo zinaleta impact ya mabadiliko ni kisaikologia zaid na ndo mana tunakosea tunaona ni kawaida lakin ni jambo kubwa sana ambalo linahitaji elimu kubwa zaid.

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 15 днів тому

    Darasa lako lipo wapi

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 Місяць тому +2

    Tatizo wavivu na munapenda kula ila kama munafanya mazoezi mwili unaka vizuri Tu.machuzi ya mafuta na mimaji baridi munapenda ndio maana matumbo makubwa kama baadhi ya mijamaa mengine

  • @kulthum8335
    @kulthum8335 Місяць тому

    Mashallah

  • @mwanaidkhamis
    @mwanaidkhamis Місяць тому

    Mada tamu sana ❤❤❤

  • @user-yb2nb2ep2n
    @user-yb2nb2ep2n Місяць тому +1

    Tunakupata vp kutoka kenya

  • @mealiipafu-wg7dx
    @mealiipafu-wg7dx Місяць тому +1

    Je kama hauna mama

  • @user-jv1ch4tr8q
    @user-jv1ch4tr8q Місяць тому

    Mtangazaji mwambie mkeo 😂😂Eti nyama Inarudi sw

  • @user-yb2nb2ep2n
    @user-yb2nb2ep2n Місяць тому

    Lakini tunaambiwa karafu ukitumia unapata ujauzito haraka itakuaje jemeni

  • @user-jv1ch4tr8q
    @user-jv1ch4tr8q Місяць тому

    😂😂😂Nimecheka kwa sauti Eti km anajifanya km hajaowa sw

  • @reformerthrone972
    @reformerthrone972 Місяць тому

    Kipindi ni kitamu

    • @munirarh
      @munirarh Місяць тому

      Haya mambo ya ndani hayafai kuhojiwa na Mwanamme . Kama unataka kuyafahamisha atafutwe Mwanamke mwenzako akuhoji .