Nondo za Rais Mstaafu TLS Upatikanaji wa Katiba Mpya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 чер 2024
  • #ijuesheria #katibampya #constitution

КОМЕНТАРІ • 14

  • @briankatani6770
    @briankatani6770 Місяць тому +3

    Mzee unajuwa kutoa elimu ulikuwa wapi miaka yote hiyo

  • @JOHNMAGOMA-ye6lz
    @JOHNMAGOMA-ye6lz Місяць тому

    Ahsante sana kaka kwa elimu hii.

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 Місяць тому

    Katiba mpya ni muhimu sana
    Katiba mpya ni sasa.
    Asante sana Mwanasheria wetu mstaafu lakini ujuzi h a u z e e k i. God bless you 🙏 ❤

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Hayo maneno na mazuri san asante kwa kuwakumbusha hao CCM wanaona KATIBA hii bado iko valued. Asante kutukumbusha tutaanza kwenda kuidahi hiyo haki hasa mambo ya afya ambayo kwa sababu hatupi matibabu ya bure siku hizi. Serikali ya CCM haifuati KATIBA lakini haiwajibi kwetu siku hizi. Wenyewe siku hizi wanakuja kutukemea mpaka hata kufukuza wafanya kazi

  • @merumount5988
    @merumount5988 Місяць тому +1

    Ana nini huyu, mamluki tu..s among lawyers who have failed this nation! Hana kitu chochote sitola..

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Mkuu hongera sana kwa elimu maana siku hizi wamefeuza wao ndiyo wanatuvuruga ovyo ocvyo ili sisi wanainchi tuawasikilize wao tu.
    Mamlaka siku hizi wajipa wao mamlaka sisi siku hizi kutishwa tishwa tu.

    • @justinmnkeni7691
      @justinmnkeni7691 29 днів тому

      Ingefaa elimu hii ambayo ni ya kikatiba itolewe wakati wote ili kuweka usahihi na ustawi mzuri wa taifa letu.

  • @froma3732
    @froma3732 Місяць тому

    Ni vzr umewapa watu Elimu lkn
    Wakati mukiwa kwenye Madaraja huwa hamuyaoni kuwa Kuna tatizo
    Kuhusu kuchaguliwa kuendelea na Masomo hayo tunayajuwa Kwa Kuna watu wa Jami fulani huwa wanatolewa

  • @JOHNMAGOMA-ye6lz
    @JOHNMAGOMA-ye6lz Місяць тому

    Kila jambo Lina wakati wake.huu ndiyo muuda haswa wa elimu hii,ingetolewa huko nyuma uusinge changia chochot
    e

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому +1

    Muheshimiwa wengine tumefurahi kutuelimisha. Hii KATIBA kwa upande inagadaa wanainchi lakini kwa upande inatuumiza wanainchi vibaya sana ukiiangalia kwa makini sisi ni watumwa wa Raisi wa Inchi bila kujitambuwa. Kwa kusema ina maana tumekuwa watumwa wa mwalimu Nyerere tangu 1983. Kweli hii siyo KATIBA bali ni kufanywa watumwa kabisa.

  • @madreks253
    @madreks253 Місяць тому

    Katiba lazima ibadilishwe na viongozi pia wabadilishwe. Bila katiba mpya hawa viongozi wataendelea kuibia wananchi na kuuza maliasili...Tanzania imeshauzwa kwa wakoloni na viongozi wa hii serikali lakini wengi wamelala...hatuwezi kuendelea kuongozwa na wezi majambazi walevi mashoga...

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Місяць тому

    Hata tumeiomba kuandika KATIBA mpya pia hawataki kweli hao serikali hii wanatuburuza kwa kufanya sisi kama mazuzu. Sasa msingi gani tuliyonayo?