Kigogo CHADEMA: Rais Samia Alikua na Nia ya Kupata Katiba Mpya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • #ijuesheria #katibampya #constitution

КОМЕНТАРІ • 20

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 2 місяці тому +5

    Hata uwe na nia vipi, bila kufuata misingi hutuwezi kupata Katiba mpya. Msingi Mkuu na muhimu ni kufahamu kuwa Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hivyo turudi kwa wenye nchi Watanganyika na Wazanzibar wapige kura ya maoni kuhusu je Muungano uendelee au la. Kama Muungano UENDELEE ndio hapo turudi tujadiliane Katiba iwe je. Katiba ndio mkataba wa Msingi wa Muungano hivyo kujadili mkataba mpya bila kwanza kufahamu huo mkataba unakubalika au la ni vigumu.

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 2 місяці тому +1

    Well

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 2 місяці тому

    NYERERE NA KATIBA MPYA
    LENGO la Julius Nyerere kuiburura ZANZIBAR na ILANI ya CHAMA CHA MAPINDUZI kulinda MUUNGANO ni tatizo kubwa la KATIBA MPYA.

  • @mertus.nestory.bishirangon4624
    @mertus.nestory.bishirangon4624 2 місяці тому

    Mungu aingiliye kati.ampe.afya.nautashi.mwema.

  • @saulmwalubunju1076
    @saulmwalubunju1076 2 місяці тому +1

    Kama rais hatatoa katiba mpya kipindi chake kikiisha ajue k@bisa zanzibar itaumia sana ni wakati wake kutafakari sasa uamsho unaweza kurudi tena

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 місяці тому

      UAMSHO hawakuwa na kosa lolote, kilichotokea tu ni kwamba walitoa maoni yao tena wakati wa maoni lakini Tume ya Warioba ilikuwa na maelekezo kwamba maoni LAZIMA yaukubali Muungano, kitu ambacho kimaoni sio sawa hayakuwa huru. Hivyo hata wanaotaka Serikali 3 ni mlango tu wa kutokea kwa vile direct haukuwepo lakini 95% yao HAWATAKI MUUNGANO, hakukuwa na platform ya kusemea. Hivyo ni vigumu sana na HAIWEZEKANI kupata Katiba Mpya bila kuujadili Muungano na tukaridhiana na uwezekano wa kuridhiana HAUPO.

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 2 місяці тому +2

    Tupige kura Sasa yakuwa na katiba mpya au tuendelee na katiba ya Zamani.

  • @levissamweli9005
    @levissamweli9005 2 місяці тому

    KATIBA SI MALI YA MTU AU KUNDI FULANI,; ISIPOKUWA INAKUWA MALI YA AKINA FULANI IWAPO WANAWAKATALIA WENGINE WALIO WENGI MAONI YAO. . USHAUR WANGU: : WAKUMBUKE HISTORIA YA VING'ANG'ANIZI, MUNGU ANAVYOWAJIBU,

  • @evelina9621
    @evelina9621 2 місяці тому

    Tuondoe.ccm
    Kabisa
    Nabi.musa.aliwatoa.wasilaeli.misiri.k.farao.kwa.yamungu.tanzani.a.tutoke.sasa

  • @martinmlunja
    @martinmlunja 2 місяці тому

    Kama CCM hawataki katiba mpya mnaona tunaelekea wapi?

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 2 місяці тому

    Kwani CCM ndiyo wenye Inchi ya Tanganyika pekee yao sisi wanainchi hatuna cho chote. Kwahiyo tunaishi kama watumwa wa CCM? Kwa sababu tukiomba cho chote CCM wanakwamisha. Sisi hatuna party yo yote katika hii Inchi? Inatufanya wanainchi kuchukia sana CCM Kabisa hata na watawala wake kwa sababu ya kutumikishwa na CCM kiutumwa.

  • @andrewmarijani5096
    @andrewmarijani5096 2 місяці тому

    Kariba ni haki yetu , wataichelewesha kwa sababu ya maslahi yao binafsi ya viongozi wetu, 'shamba la bibi waendelea kufuja utajiri wa nchi hiii, lakini watanzania wameshaerevuka wakumbuke kuwa nguvu za giza zitashindwa na nguvu za wakati ! Nyie viongozi wa vyama vyote siasa msituchanganye akili zetu na mambo ya hovyo hovyo, swala la katiba sio ombi bali ni haki yetu kuidai vyovyote vile tunavyojua

  • @evelina9621
    @evelina9621 2 місяці тому

    Kweli.hali
    Mbaya.ccm.kibaya.sumu.yake.inapenya.polepole.kuua.nchi

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 місяці тому

    TUIN'GOE CCM TUIPATE KATIKA YETU

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 2 місяці тому

      Watu wabaya sana CCM. Wameiharibu maisha yetu.

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 2 місяці тому

      BAADA YA RAIS KARUME
      ​@monicamwita7865 Wana CCM wanafuata nyayo za Nyerere baada ya Karume kuondoshwa na ikaundwa Chama Cha Mapinduzi.
      Rais Karume alikuwa na Uzalendo wa Zanzibar kuliko wa Muungano.
      KOTI LA MUUNGANO✝️
      Alisema Muungano ni Koti linalowabana Wazanzibari. Alikataa hadharani ombi la Nyerere la kuvunja Afro-Shirazi Party (ASP)
      kuimarisha Muungano.
      WAZANZIBARI WAMEKOSA
      JAMADARI MTETEZI

  • @emanuelurio-ok8yl
    @emanuelurio-ok8yl 2 місяці тому

    Ukweli ni kwamba tumewekwa maharishi pagumu kuimba kariba mpya miaka na miaka. Walioko madarakani hawahitaji kariba inayolinda mislaid ya watanzania