🔴LIVE: Mjadala wa Wazi Mchakato wa Upatikanaji wa Katiba Mpya Tanzania - Mbeya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • #ijuesheria #katibampya #constitution

КОМЕНТАРІ • 25

  • @user-so8fm4jm3v
    @user-so8fm4jm3v 2 місяці тому

    Nyerere ameacha ameharibu nchi

    • @albertkamala6843
      @albertkamala6843 2 місяці тому

      >Kigezo cha kuharibu ni kipi? Tumwache mzee apumzike kwa amani!
      >Mwlm aliweka msingi imara wa taifa..uharibifu umekuja baada ya yeye kuondoka na kubomoa kabisa msingi bora wa taifa uliosimikwa!

  • @YOUTHPOLITICALFORUM
    @YOUTHPOLITICALFORUM 2 місяці тому +1

    Tunahitaji katiba mpya

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 місяці тому

    HUWEZI

  • @begumisachristopher4697
    @begumisachristopher4697 2 місяці тому

    Katiba mpya iliyo huru na haki

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 місяці тому

    HII NI KATIBA INAYOPULIZA NA KUUMA TUIPÀTE KATIBA MPYA SASA

    • @YOUTHPOLITICALFORUM
      @YOUTHPOLITICALFORUM 2 місяці тому

      Hii katiba inalinda;
      01.Ushindi wa ccm kuendelea kiutawala -ibara ya 74 ambapo inampa mwenyekiti wa ccm ya kuchagua watumishi wa tume ku-engineneer ushindi wake na wa chama chake
      02.Maslahi ya kujitajirisha
      Mwenyekiti wa ccm amepewa kinga na wateule wake dhidi ya kushitakiwa aidha jwa jinai au madai

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 місяці тому

    Mh.Mr.Kibamba hakuna viraka vyovyote vilivyowahi kupachikwa kwènye katiba vilivyotunufaisha wananchi. Vilikua kwa faida ya wachache wenye katiba hii tu. Mpaka leo wameamua kutawala milele, hawasikii chochote hata baragumu! Mijadala hii inawafanya waendelee kunoa silaha zao na kujihami zaidi. Nchi za magharibi zinaComplomise na waþawala hawa wa afrika kwa kuwapa misaada nà mikopo kwasababu wamepewa wavune kila thamani nchi hii pamoja na ardhi kwa hiyo sasa tutazame muelekeo mwinge duniani badala ya kuendelea kujadiliana na kiziwi huyu jeuri kama mugabe!... kupata katiba mpya kunahitaji sauti kutoka nje ya ulaya na marekani...

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 місяці тому

    Sasa tume huru na katiba mpya lin. Tutaipata mijadala Kila siku

  • @bakermusa9033
    @bakermusa9033 2 місяці тому

    Tuna Kiongozi jeuri kuliko yeyote aliewahi kutokea . Tunahitaji jitihada za ziada kupata katiba mpya

  • @StevenMtambo
    @StevenMtambo 2 місяці тому

    Hatukatai historia ,,midahalo ,, tunachohitaji ni katiba mpya na Tanganyika yetu mwaka huu fikeni mwisho wa mijadara ,,hitaji letu ni katiba mpya vinginevyo watajua hawajui uhuru wetu umechezewa vyakutosho

  • @zakariakanyeka8024
    @zakariakanyeka8024 2 місяці тому +1

    Historia na mijadara yote ya nn. Wekeni ratiba ya utekelezaji wa kupata KATIBA MPYA . Why waste all this time and money kujadirijadiri mahisyoria tu. Wekeni mipamho ya kutekeleza mchakato wa kupata Katiba Mpya.

  • @YOUTHPOLITICALFORUM
    @YOUTHPOLITICALFORUM 2 місяці тому

    Tunataka katiba mpya

  • @jumannentimizi9000
    @jumannentimizi9000 2 місяці тому

    KATIBA MPYA NI SASA SIYO KUFIKIRIA,UNAJUA KATIBA ILIYOPO NI KWA AJILI YA WATAWALA TU SIYO WANANCHI NDIYO MAANA WATAWALA WANALAZIMISHA KUBAKI NA KATIBA HII.SISI WATANZANIA TUNAHITAJI KATIBA MPYA HASA ILE YAWALIOBA KWANI NDIYO MAONI YETU YAMO WATAWALA WAACHE KUDANGANYA WANANCHI KWASASA TUNAJITAMBUA

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 2 місяці тому

    KATIBA MPYA NI SASA

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 місяці тому

    Hapo ni kupoteza muda katiba ipo wanganganizi ni hao ccm wanaouza na kuiba rasilimali za inchi na kulindwa na katiba ya mwaka 1977

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 місяці тому

      Acha kushabikishwa, inalindwa na Ibara ipi? Tutofautishe baina ya katiba mbaya na katiba isiyotekelezwa au kuheshimiwa. Tatizo letu ni Ukatiba, sio Katiba.

    • @YOUTHPOLITICALFORUM
      @YOUTHPOLITICALFORUM 2 місяці тому

      Wanafanya mijadala kuendelea kyla kodi zetu....kikwete na genge lake lilitumia 40 B's na katiba haikupatikana
      Tume ya kina mkandara wanaenedelea kutafuna kodi zetu maccm ni manyonyaji hayo

    • @YOUTHPOLITICALFORUM
      @YOUTHPOLITICALFORUM 2 місяці тому

      ​mbona hueleweki?@@hajihassan5433

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d 2 місяці тому

    Tatizomwanzo walianza vibaya kwa tamaa yao

  • @SundaySteven-bz4yq
    @SundaySteven-bz4yq 2 місяці тому

    Tungekuwa na Marais wasitafu na viongozi mbalimba ambao wanaositafu na kumalizia miaka Yao wakiwa gerezani Kwa wizi wao hizi tozo zinazotia kichefu chefu zisingekuwepo

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 місяці тому

      Kwa Katiba ya Tanzania Ibara ya 46 Rais hatashitakiwa Mahakamani hata akimua asubuhi akule wewe kama chai na mchana amle mkeo kama lunch na usiku ale watoto kama dinner. Hivyo Marais watakwenda je jela. Isitoshe Ibara ya 45 inampa mamlaka Rais kuondoa adhabu yoyote iliyotolewa Mahakamani ikiwemo kutoa Wafungwa gerezani.

    • @YOUTHPOLITICALFORUM
      @YOUTHPOLITICALFORUM 2 місяці тому

      Tutawafunga baada ya kupata katiba Mpya, pona yao wafe

    • @YOUTHPOLITICALFORUM
      @YOUTHPOLITICALFORUM 2 місяці тому

      Ndio maana wanakwepa kutupa katiba mpya😊