LIVE: Mdahalo Juu ya Utendaji wa Mahakama na Matamko ya Kisiasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 36

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Місяць тому +5

    Hakuna haki mahakamani na mawakili wamekuwa madalali

  • @mkanjimamkanjimamkanjima2043
    @mkanjimamkanjimamkanjima2043 Місяць тому +2

    Hongera sana ndugu madereka kwa kujitowa kwa wengine Allah awe na aipe afya mzuli familia yako ili nawe imara kwa kusimamia khaki

    • @revjoshualugendo8344
      @revjoshualugendo8344 Місяць тому

      Mungu akubariki Sana. Nimependa msimamo wako wa kusimama kweli na haki, watu wa Mungu wapate haki bila kuonewa.

  • @user-qv4jb7mt5q
    @user-qv4jb7mt5q Місяць тому +2

    Kweli wewe ndugu Madeleka ni shujaa na mtetezi wa wanyonge; hongera sana: Mungu akubariki.

  • @MasterPetro-oj1fd
    @MasterPetro-oj1fd Місяць тому +2

    Nimependa sana mdahalohuu. Natamani sana kuijua sheria

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 Місяць тому

    Madeleka Mwenyenzi Mungu akupe maisha marefu na yenye Baraka uendelee kuwasaidia watanzania. Ninapinga mbinu zote ovu zinazopangwa kumdhuru mtu huyu. Wenye kutengeneza mbinu hizi namwomba Mungu apite nao, wasiendelee kuishi!!!

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Місяць тому +1

    Ni mbaya sana mawakili wengine wamekuwa machawa wa ccm ovyo sana

  • @georgemahenge
    @georgemahenge Місяць тому

    Madereka.mungu akurinde.huwa tunaona juhudi zako.kira Kona.

  • @user-jt4lo1og8w
    @user-jt4lo1og8w Місяць тому

    Mawakili wengi wamekuwa machawa ,ndio rais wa mawakili ,asilimia 70 ,utakuta chawa, wa watawala,❤❤❤❤

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Місяць тому +2

    Wakili msomi Madeleka usikate tamaa wakati mapambazuko yamekaribia pambania haki Mungu hataacha kukulipa juhudi zako,na atakulinda popote kwa mkono wake wenye nguvu kuliko hawa wanaovuta pumzi yake ya bure kutumia nguvu kuwaumiza wengi wala hawajui ni lini BWANA atatwaa uhai wao na kuacha vyote wanavyojikusanyia!

  • @winniefridamutakyawa5943
    @winniefridamutakyawa5943 Місяць тому

    Safi sana mawakili.Ila TLS wanatuangusha.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Місяць тому +1

    Kwa kweli sasa tunaona juhudi za chama cha mawakili wasomi TLS,tunafarijika sana tunapofuatilia mabaraza yenu haya katika midahalo ya kukosoana wenyewe,na kuifunua mfumo wa utawala unaopindisha sheria kwa kukanyaga katiba katika maamuzi yao ya kudhulumu wananchi kwa faida yao binafsi.

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Місяць тому

    Madeleka Mungu akupe maisha marefu na akulinde

  • @norbertmbena5896
    @norbertmbena5896 Місяць тому +2

    Tatizo ni ulevi tu ,
    ukiwa madarakani unajizima data kwamba hautakuwa madarakani milele, lakini pia siyo ukoo wenu nyoote mpo madarakani
    Mnachokipanda mtavuna tu
    hata kupitia wajukuu zenu ,
    WATAUMIZWA NA WAKANDAMIZAJI WENZENU NA MTAPIGA KELELE

  • @emanuelmaraki9758
    @emanuelmaraki9758 Місяць тому

    Hio yakuvuliwa nguo nimekutana nayoo mkuu nilitaka kuzimia duu mungu alinisaidia unapiga kichuraa ukiwa mtupuuuu mita70au mia watu wanakutizamaa matesoo matupuu

  • @user-qv4jb7mt5q
    @user-qv4jb7mt5q Місяць тому +1

    Watanzania kwa ujumla wao kwenye sanduku la kura mwakani ndio watakao ondoa mfumo huu mbovu wa katiba ya 1977 Mungu yupo pamoja na wapenda haki, watanzania lazima watafanikiwa kupata haki zao.

  • @sospeterodhiambo6869
    @sospeterodhiambo6869 Місяць тому +1

    Namkubali mno huyu Mwamba Madeleka

  • @bmdele5816
    @bmdele5816 Місяць тому +2

    Hongereni sana Mawakili na mawakala wa sheria,
    Kwa sisi wapenda haki na mifumo tunafurahia sana mijadala hii.
    Tunamuunga mkono Wakili Mwabuksi,
    Haki haiombwi, haki inapiganiwa🫡

  • @nereisyara5056
    @nereisyara5056 Місяць тому

    Please msikilize Madeleka vizuri

  • @user-vg6dw6li7n
    @user-vg6dw6li7n Місяць тому

    Fatuma fatuma punguza kiingereza dada daaaa hatukuelewi

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Місяць тому +1

    Kweli hiyo Mahakama ipo nimeshawahi kwenda kumlipia mtu faini ya uzembe na uzururaji .Kitu ambacho alikutwa barabarani akienda Bilcanas usiku saa nne .Dar kuna mambo ambayo huwezi kuamini yanafanywa kwa uonevu tu .

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Місяць тому +1

    👇🏿
    #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍🏿

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Місяць тому +1

    Ndiyo,ni deal ya mfumo wa katiba hii ya 1977 inaendelezwa na aliyeingia sasa! Heko wakili msomi Fatma...

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Місяць тому

    ✌️👊👍.

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Місяць тому +1

    Tatizo ni mfumo

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Місяць тому

    Watu wa mahakama hamta nwona Mungu

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 Місяць тому

    TLS ni tawi la ccm

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Місяць тому

    Ufumbuzi wa kimkakati ni KATIBA. Hii iliyopo ndiyo mkoroganyo uliopo!

  • @user-vg6dw6li7n
    @user-vg6dw6li7n Місяць тому +1

    Fatima punguza kingereza wengi hatukusoma hatukuelewi mara nyingi inatumia sana kiingereza unaboa

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 Місяць тому

    Ccm inaharibu nchi na watanganyika halafu wanaogopwa ujinga mtupu ccm kitu gani ktk nchi hii?

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 Місяць тому

    Kwani Kuna Mahakama Tanzania? Mahakama , Binge,. Serikali si ni MTU MMOJA TU? Katina, Katina, Katiba!!

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 Місяць тому

    Tatizo la Shangazi huwa anapenda sana kuogea kizungu, sasa si watu wote wanaojua kizungu. Hebu naomba uwasaidie watu hawa manake ni wengi wanaofuatilia midahalo kama hii.

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 Місяць тому

    Tls ni MAJI TAKA IMEJAA MACHAWA TUPU, ISIPOKUWA MADELEKA, FATMA, LISSU NA MWABUKUSI PEKEE!

  • @esuthoby7865
    @esuthoby7865 Місяць тому

    Hata nyie mawakili mnayomatatizo.mbona maamuzi ya kesi yanatolewa kwa lugha ya kizungu?
    Hamuwatendei haki watanzania.hamtaki kuandika sheria kwa Kiswahili, Kweli mnaruhusu mahakama iwahukumu watanzania kwa lugha wasioielewa,mna jambo lenu ninyi mawakili ambayo sitaji. Hamjali watanzania dhambi inawarudia.Hivyo tesekeni mpaka mwisho.

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 Місяць тому

    Kwanini kuna edit za kijinga kutokutaka watu wasikie kila kinachochagiwa???