Vita Vya Kagera 1977 1978 Sehemu Ya Pili

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 627

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 7 місяців тому +46

    Wanaoangalia 2024 like ❤❤

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 9 місяців тому +67

    Tunaoangalia 2024 tujuane kwa like 😊😊😊

  • @rahabunyamsenda5064
    @rahabunyamsenda5064 3 роки тому +32

    2021 tu like hapa. Nimependa sana mwalimu nyerere alivyo sema..nguvu ya kumpiga tunayo, sababu tunayo na Nia tunayo ni maneno mazuri sana ya kutia moyo na kuleta ushindi

  • @chaulachaulaya5259
    @chaulachaulaya5259 5 років тому +19

    Nipo naitazama video hii November 2019, itaishi milele. Ahsanta kwa wanajeshi wetu na wote walioandaa makala hii...

  • @hosearioner3637
    @hosearioner3637 3 роки тому +7

    Much love from kenya...uzalendo ulidhirika katika hii vita vilivyo.

  • @alexandrea4403
    @alexandrea4403 7 років тому +67

    Daaaaah! baba yangu alikuwepo kwenye hii vita mungu akulaze mahali pema Amina...

  • @kelvingrison7039
    @kelvingrison7039 4 роки тому +7

    Watu hawa wengine wapo hai mpaka mda huu wanaish maisha magumu sana, serikali ifike hatua iwakumbuke hawa wazee wetu walioikomboa Tanzania kutoka kwa nyemela Nduli Amin

    • @williamnathan4630
      @williamnathan4630 4 роки тому

      kelvin Grison Ni kweli, lakini walishatumika wakatupiliwa mbali

    • @AsaniZubeli
      @AsaniZubeli 3 дні тому

      nikweli blow Mozambique wanalipwa kwa kila mwezi wengine adi m1 inafka

  • @isssidd9565
    @isssidd9565 7 років тому +58

    polen sana kwa kutuangaikia ss tuish katika maixha mazuri tunawashukuru jaman

  • @petermwantole9433
    @petermwantole9433 4 роки тому +22

    kweli huu ulikua uzalendo wa hali juu,,hongereni wote mlioshiriki vita hii,,na pumzikeni kwa amani mliotangulia mbele ya haki...

  • @nyzerjnl7960
    @nyzerjnl7960 4 роки тому +173

    Wanao angalia 2020 kama mm niwaone like

  • @rahmaoman5122
    @rahmaoman5122 5 років тому +14

    Babu yangu alipambana vikar kwenye hii vita Allah ampe kauli xabit 😭😭🤲🤲huko aliko pia amuepuxhie adhabu zakaburi Amiin

  • @mpelienock
    @mpelienock 6 років тому +52

    Mwalimu Nyerere heshima yake itasimuliwa vizazi vyote. Big Salute.

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 4 роки тому +6

    Hiki ni kipindi pekee ambacho kiwango cha uzalendo kilikuwa cha hali ya juu sana, Hongereni sana mliojitoa kulitetea Taifa letu, Mungu azipumzishe kwa Amani roho za mashujaa waliopoteza maisha katika kipindi hiki kigumu, Mungu ibariki Tanzania na Jeshi letu la ulinzi la wananchi.

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 6 років тому +3

    Naipenda sana Nchi Yangu Tanzania...Mwenyenzi Mungu awape nguvu wafiwa na awapokee wote waliotangulia mbele za haki wakiipigania Nchi yetu na kutokana na vita hii ambayo iliturudisha nyuma sana kiuchumi kama Taifa la Tanzania..

  • @issahamisi4066
    @issahamisi4066 3 роки тому +1

    Kama unaangalia 2021 double tap apo chini wanajeshi wetu wanafanya leo hii tunakula raha duniani full aman kwa msaada wa mwenyezi mungu .Julius kambarage nyerere💪

  • @hafidhikasimu7436
    @hafidhikasimu7436 Місяць тому +1

    Nikuona hii clip ya vita ya kagera wallah namkumbuka Marehem baba yangu mungu amlaza pahala pema amin😢

  • @mohdkley7366
    @mohdkley7366 7 років тому +66

    Naahidi hatutoitupa nchi yetu tutaipigania Kwa kila hali mimi nipo Zanzibar mungu atusaidie

  • @patrickpondamali5615
    @patrickpondamali5615 5 років тому +21

    Mungu awalaze pema wailopigania nchiyetu na, waliobak wasaminiwe,

  • @venancenkuwi768
    @venancenkuwi768 5 років тому +18

    Tanzania itajengwa na wenye moyo na sio wazalendo wa siku hizi!!! Mungu ibariki Tanzania

  • @Christia-07
    @Christia-07 5 днів тому +3

    Tunaongalia 2024 gonga like hapa

  • @seifhamad9817
    @seifhamad9817 4 роки тому +35

    2020 tu like hapa

  • @samuelimori5711
    @samuelimori5711 4 роки тому +2

    Nakumbuka mbali sana nikiangalia picha hizi.
    Nawakumbuka wenzangu waliotangulia mbele ya haki.
    Namshukuru Mungu aliyenihifadhi na kunirudisha salama.

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 років тому +10

    babu yangu alipigana kwenye hii vita, mungu aipumzishe roho za mashujaa wetu pema peponi, walijotoa muhanga ili tuishi maisha ya Amani kwenye Ardhi yetu, nakupenda Tanzania hawa walikuwa wazalendo wa kweli

  • @masshele4438
    @masshele4438 11 днів тому +3

    Watakao angalia mwaka wa 3000 mjue tulikuwa hapa 2024

    • @jiiwolf2900
      @jiiwolf2900 6 днів тому

      .wajukuu zetu

    • @OmaryMchana
      @OmaryMchana 2 дні тому

      Dah umewaza mbali sana.. hapo tutakua tumeshasahaulika km tuliwahi kuishi.. so sad😢

  • @saidimpologomyi382
    @saidimpologomyi382 4 роки тому +3

    Babu yangu ALLY SAIDI alikuwa katika hili kundi la mashujaa,ALLAH akuwekee wepesi katika makazi yako ya milele

  • @aridiyahya8049
    @aridiyahya8049 5 років тому +47

    Kuna watu kati ya hawa sasahiv wanaenda maofisini kuudumiwa wanaikutu mijitu iko kwenye kiti cha kuzunguka full ac afu yanadharau na kuwacheleweshea huduma.

  • @selemaningulyavyangu7425
    @selemaningulyavyangu7425 5 днів тому

    Baba angu Allah amsimamie inshaallah Allah amuondolee adhabu ya kaburi ,Alikuwepo vita hii

  • @anithashembilu7732
    @anithashembilu7732 5 років тому +2

    Tumetoka mbali. Rais wetu na wale wote walioipigania nchi yetu, ninawaombea na kuwakumbuka daima. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa.

  • @saidmanjanjagara55
    @saidmanjanjagara55 3 роки тому +1

    Wakati huo nchi ilikuwa na umoja na upendo, japo watu walikuwa maskini lkn walikuwa na mapenzi kwa nchi yao! Sasa tofauti, viongozi wanadhani wao ni first class! Tunabaguana kivyama na kubambikizia wapinzani kesi nzito! Sasa si wamoja tena!

  • @ZakeoVitus
    @ZakeoVitus 10 місяців тому +1

    Uzalendo huu ni ujenzi wa Tanzania ambayo Leo tunajivuni Mungu bariki Tanzania hope kubwa ipo kwakuwa tuko kwenye nchi ambayo walio ipigania walituaminisha

  • @aminajackson8119
    @aminajackson8119 4 роки тому +1

    Siku hizi tunapenda tuvae gwanda tuonekane wanajeshi lkn duu Mungu atusaidie tumebaki masharobaro tuu uhalisia haupo

  • @tabumasumbuko2909
    @tabumasumbuko2909 3 роки тому +1

    Hongereni sana wapambanaji wetu kwa kutukomboa hii kazi ilikua ngumu

  • @neemamliga539
    @neemamliga539 7 років тому +36

    My daddy fought on this war too en he's still alive!!
    May z soul of those who dieD in z war REST IN PEACE

    • @mpelienock
      @mpelienock 6 років тому +1

      Neema Mliga hongera sana Mshukuru Mungu kila unapokumbuka.

    • @damianmakala2913
      @damianmakala2913 6 років тому +1

      Neema Mliga even my dad fought in this war and still a live till now

    • @simonchihongwe8489
      @simonchihongwe8489 5 років тому

      Neema Mliga

    • @oscarbundalla6352
      @oscarbundalla6352 5 років тому

      Amen

    • @williamnathan4630
      @williamnathan4630 4 роки тому +3

      Kipindi Hicho nilikuwa na umri wa miaka 8 Std One, my Daddy was a soldier but did not go there ,walibaki Kama Askari wa Akiba. Nakumbuka baadhi ya watoto wenzetu enzi zile wakati wa kwenda kuwapokea , hawakuwaona baba zao. May their soul rest in peace!

  • @josephabel2503
    @josephabel2503 7 років тому +5

    I see the spirit of the nation, mungu awape amani mliotangulia mbele za haki

  • @rizikizakaria8044
    @rizikizakaria8044 2 роки тому +3

    Hawa watu wengine bado wapo hai ila wanamaisha magum sana selikali ifike hatua muwakumbke jamn msikalie tu kula bata na familia zenu.

  • @vicentzamberiwarioba6468
    @vicentzamberiwarioba6468 4 роки тому +1

    2020 mungu awabaliki kwa kazi mzr hatuna cha kuwalipa

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 9 місяців тому

    Nimemkumbuka baba yangu, R I P kwa kupambania taifa ila serikali haijawahi kumuangalia kwa upande wa pili mpaka anatoka duniani tarehe 7/1/2017, rest in peace my father

  • @RoseMary-hp5bz
    @RoseMary-hp5bz 8 років тому +20

    naipenda Tanzanian nchi yangu,,r,i,p,wote mlotanglia mbele za haki😥, mungu ibarki Tz to Africa

  • @saitotilucumay594
    @saitotilucumay594 7 років тому +8

    for sure they was done a very very big work God blessed them wherever theyare

  • @patrickkessy3912
    @patrickkessy3912 7 років тому +7

    Je ingekuwa ni miaka hii tungeonesha uzalendo kama huu .....jibu langu mimi ni hapana uzalendo na nchi haupo tena kwa sababu ya ufisadi uliokithir na unaozdi kuwakandamiza wananchi

  • @nyambirotrueinformation7500
    @nyambirotrueinformation7500 3 роки тому +15

    Wanaoangalia 2021 kama mimi like zenu tujuane

  • @elimondvoiceboy7383
    @elimondvoiceboy7383 3 роки тому +15

    Wanao angalia 2021 kama mimi gonga like apa

  • @isaacmwaipopo
    @isaacmwaipopo 4 роки тому +12

    Kama wewe ni mzalendo, usipite hapa bila kugonga like. Nimerudi toka Ulaya sababu naipenda Tanzania. Ndo mana wakati natoka Tanzania kwenda ulaya nilibeba DVD za hotuba ya Mwalimu Nyerere ili niuendeleze uzalendo.

    • @eliahmunna1482
      @eliahmunna1482 3 роки тому +1

      Kweli nimeamini ushirikiano na umoja wa watanzania ni wasiku nyingi sana na ndiyo maana tunaushi kwa amani bila kujali ukabila

  • @ivanmarcela1209
    @ivanmarcela1209 7 років тому +16

    mungu ibaliki tz mungu wabaliki wote walioshiriki kuikomboa tz amina

    • @hinetadacres2618
      @hinetadacres2618 7 років тому +3

      eeh mungu wapumzishe mahala pema pepon mashujaa wetu waliotutangulia

  • @vedastosama4548
    @vedastosama4548 7 років тому +1

    Majemedari wetu walifanya kazi ngumu kwa ajili ya kuikomboa nchi yetu kutoka kwa gaidi iddiamini Dada Mwenyezi Mungu awape pumziko la amani wanajeshi wetu waliotufanya tuwe salama mpaka Leo

    • @meshackmoyo7397
      @meshackmoyo7397 6 років тому

      Ndotuige mifano hii jamani lakini nashangaa saizi tuna windana wenyewe kwa wenyewe tens kwasraa kar jaman inaumalakin

    • @rajabumwongozo9817
      @rajabumwongozo9817 4 роки тому

      Baba yngu Kama angelikufa vtani Mimi nisinge kuepo nashkuru mung baba alrudi Dalia ingawa kwasasa nimarehem mung amlaze mahalapema pepon aaamin

  • @khameiskibabu4469
    @khameiskibabu4469 4 роки тому +1

    Yaan hapo unaaga nymbn kma ukipta nafx kurudi ni maajaliwa tn.Mungu aziweke roho za walio tangulia mbele ya haki mahali pema peponi.Amin

  • @johnwangare3024
    @johnwangare3024 4 роки тому +4

    Babaangu bwana mwamed wangare kashiriki vita hivi kwanzia daraja la kagera mpaka mtukula na babaangu mkubwa chalesi wangare wote Mungu awarehem nakueapa panapo stahiki 😭

  • @taofiqconscious7408
    @taofiqconscious7408 5 років тому

    Mungu aibaliki tanzania kwamaana walimwaga damu kwaajili yakuikomboa tanzania hakikalani kwao nyelele. alemaha pema peponi Amin

  • @maulidrehani
    @maulidrehani 7 років тому +9

    mungu awapumzishe kwa amani hakika they fought for our country

  • @sirilimichaelpamojasana2033
    @sirilimichaelpamojasana2033 5 років тому +2

    watu wa zamani wanaupendo sanajaman mungu awabariki

  • @mutalemwagabrie9791
    @mutalemwagabrie9791 4 роки тому +5

    Wanao angalia mpaka muda huu rarehe 14/8/2020 agonge like😍😍

    • @adamssaid4392
      @adamssaid4392 4 роки тому

      Mimi naiangalia video hii leo tarehe 17/8/2020 najifunza mengi na kuona inatupasa kulinda Sana amani tusidanganywe na akina tundu lisu wao wanasehem ya kukimbilia

  • @ojasoojaso9479
    @ojasoojaso9479 5 років тому +1

    Nyerere hana mfano kwani kila mara alikuwa mstari wa mbele katikati ya vita akiangalia na kukagua kwa macho yake mwenyewe na kuongoza mapigano.mwl hakuogopa kufa wakati wa kuipigania nchi hii ,hakujali uhai wake ,wala mali za dunia,hii.RIP mw JK NYERERE mwana halisi wa Afrika.

  • @mosesfrancis3946
    @mosesfrancis3946 3 роки тому

    Asanteni sana wote mliochangia ushindi huo.

  • @joelrugano6517
    @joelrugano6517 5 років тому +3

    Tulilelewa katika umoja,mshikamano. Kipindi hicho tulikuwa na wanasiasa wa kweli na siyo kama sasa ambapo wanasiasa wetu wako kimasilahi zaidi.

  • @jandaboytzz4794
    @jandaboytzz4794 4 роки тому +2

    Tanzania💗💗 na wish mpka ningekuwa mmojaWapo ktk hao Vijana

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 4 роки тому +1

    Mungu awape nguvu our heroes mlio hai na walaze mahali pema peponi waliopoteza maisha.

  • @jennipherray7001
    @jennipherray7001 3 роки тому +1

    Mungu ibariki Tanzania I love you my country

  • @annamusembi9885
    @annamusembi9885 4 роки тому +13

    They were true heroes I salute you. I am a Kenyan

  • @chrisbee7876
    @chrisbee7876 6 років тому +7

    ukiangalia unagundua wengi walikua vijina hapo lazima tujue sikuzote sisi vijana niwatu tutakao jenga nchi yetu kwakumpa ushirikiano raisi wetu viva Tanzania

  • @fredmwaijande9411
    @fredmwaijande9411 2 роки тому +1

    Naipenda sana Tanzania nafarijika kuitwa mtanzania love sana Tanzania

  • @starboyisack1001
    @starboyisack1001 7 років тому +5

    Mungu barik jesh letu TANZANIA

  • @BarikiTheonesti
    @BarikiTheonesti Місяць тому

    Nawapongeza sana waliojitokeza kulitetea taifa la TANZANIA Asanteni sana

  • @rajmatola8611
    @rajmatola8611 4 роки тому +6

    Amakwel nyerere ni simba wa afrka naipenda nchi yangu

  • @jojo_linkissabiny5238
    @jojo_linkissabiny5238 5 років тому +10

    Rip babu ulipoteza maisha kwenye iyo vita ingawa nilisimuliwa mana sikuzaliwa

  • @pamelanyanduga5102
    @pamelanyanduga5102 Місяць тому

    Daaah wamenikumbusha kitambo...nilipewa mjegeje niliivuruga kagera na Uganda vibaya mnoo.....senene walikimbia kwa miaka 3 ndo wakarudi Tena kagera wakifikia kaitaba.....nipongezeni jaman nilipambana sana kwa ajili ya nchi yangu

  • @matokeombugano1324
    @matokeombugano1324 7 років тому +43

    sijui kama hawa vijana wangeweza hii shughuri...hawa team kiba na dimond

    • @fistonkyuing9888
      @fistonkyuing9888 6 років тому +3

      Labda wangeweza kuimba nyegeza na muvumo wa radi

    • @joharimaunga6127
      @joharimaunga6127 5 років тому +1

      kabisaa Allah awape pumzko mashujaa wetu kizaz cha leoo ni team kiba mond zar na wema

    • @racheldauson9471
      @racheldauson9471 4 роки тому

      Ndomana Kila nikiwa njiani kwenda ug Nashua kuwaombea pale makaburi ya mashujaa aamen

    • @nicomwasaga1368
      @nicomwasaga1368 4 роки тому

      Hahahahahahahahah hahahahahahahahahahahahaha

  • @mackeykonji5175
    @mackeykonji5175 7 років тому +14

    hakuna kizaz cha kufananishwa na Mwl Nyerere.....
    Wanajesh wa sasa hawana tofaut na wazaman TATIZO niviongozi wetu

  • @shukuruilomo768
    @shukuruilomo768 5 років тому +1

    Dah poleni sana ukweli mlifanya kazi kubwa sana one love Tanzania

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 років тому

    Mama na baba angu walinihadisia ichi kipindi kwao kilikuwa kigumu sana yani sikifikiria hi storia niliopewa na wazazi wangu hakika vita sio kitu cha mchezo

  • @mariamushafii4775
    @mariamushafii4775 7 років тому +6

    mungu akupe mapumziko mema mwalim j k nyerere amini

  • @eliazephania7633
    @eliazephania7633 4 роки тому

    Kwa hakika mungu awalaze mahalo pema peponi wote waliohusika kupigana Vita vya kagera

  • @mpandaboy2279
    @mpandaboy2279 4 роки тому +2

    Hii video imenipa hamasa kubwa kuitetea na kuisemea nchi yangu kwa mema popote nilipo.... Hakika hii vita ilituletea heshima kubwa vilevile ilisababisha hasara kubwa.. Nahakika bila hii vita na zile za ukombozi za kusaidia mataifa mengne yapate uhuru leo hii TZ ingekua ni moja ya developed countries kama SA,,,Mungu awalaze mahali pema wote waliopigania Taifa hili na awalinde wote ambao bado wapo hai🙏🇹🇿

  • @shaabans.marijani9659
    @shaabans.marijani9659 6 років тому +5

    1978 only i was still very young with two years,i was born in 1976 so when the war was fighting I didn't have any to copy because of youngest.

  • @abdulkalim2033
    @abdulkalim2033 7 років тому +41

    Hawa wanajeshi wengine wapo mpaka sasa na awakusaminiwa mchango wao kitika Taifa hili

  • @janemwakapesa5569
    @janemwakapesa5569 8 днів тому

    Baba yangu nimekumbuka mbali alipigana hii vita na sasa hayukoo😢oooh God 2024

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 5 років тому +6

    Daaah inafikia muda inabidi ujitolee kwa hali na mali kuhakikisha unailinda nchi yako, haikuwa rahisi kujitoa hawa leo hii tunaishi vizur sana.

  • @happysoka2043
    @happysoka2043 5 років тому +1

    Daaa mungu awabark Hawa watu hatuna cha kuwalipa kabsa walijitoa Kwa moyo bla kujal

  • @jumarajabu4795
    @jumarajabu4795 4 роки тому

    hii video nikiangali huaga machozi yananitoka mungu awabarki wote waliopigana hii vita

  • @DavidMgimba-z8o
    @DavidMgimba-z8o 4 дні тому

    2:33 Tazama watanzania hawa walivyo jitoa wakati wa vita vya kagera lkn sasa watu wamegeuza nchi hii kuwa ni mahali pa kuvimbisha matumbo yao na wao wakitangaza uzalendo
    Hawa ndio walikuwa wazalendo
    Mungu awabariki sana

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA 5 років тому +26

    Naapa naahidi mbele za Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa

  • @neemaruttaiwa6202
    @neemaruttaiwa6202 5 років тому +4

    Pumzika kwa Amani mzee wetu umetufanya mkoa wetu Kagera kuwa huru

  • @emmanuelymakwawa2539
    @emmanuelymakwawa2539 4 роки тому

    Kwa kweli mliotupigania hadi kupata uhuru Mungu awalinde sana pia wale wote ambao walipoteza maisha kwa sababu ya uhuru wetu Pia Mungu azilaze roho za marehem mahali pema Amina,. Mb zangu zina tumika kihalali kabisa leo naitwa Emmanuel Makwawa bila hata ya kugasiwa hii yote ni kwa sababu Ya Babu Au Baba wa Taifa Mwalim Julias Nyerere

  • @jacquelinemabula2519
    @jacquelinemabula2519 7 років тому +17

    mwalimu hakuwaacha watz jaman mwalimu Mungu akupe pumziko la milele na wengine wote walio poteza maisha

  • @yonamakali8371
    @yonamakali8371 5 років тому

    Jaman achani tuishia kwa aman wengi waoo haoo wana jeshi hawapo dunian mungu awalinde huku walipo

  • @ernestmarcoshiminzi68
    @ernestmarcoshiminzi68 3 роки тому

    Kszi nzuri ilfanyika

  • @amanimoisan6380
    @amanimoisan6380 6 років тому

    Were mwenyezi mungu wakumbuke wapiganaji wote waliopigania Tanzania

  • @tanzanianchiyangu8984
    @tanzanianchiyangu8984 4 роки тому +1

    Babu yangu pia alikuwemo katka vita hio mungu amlaze mahali pema pepon

  • @frankmdoma3528
    @frankmdoma3528 3 роки тому

    Hqkika nitakukumbuka baba angu kwa kazi mliyofanya

  • @annazablon8406
    @annazablon8406 5 років тому +1

    Baba yangu alipigana vita japo 2006 ndo kafariki apumzike kwa amani .... amen

  • @ziadamkinga5254
    @ziadamkinga5254 5 років тому +9

    Kwakweli wenzetu waliumia kwa ajili yetu, hatuna bud kuumia kwa ajili yao

  • @AthumanNdalanga
    @AthumanNdalanga 7 місяців тому

    Mungu arikuwa tunae kwamengi nakuturinda sana

  • @khalfanshahabakar7439
    @khalfanshahabakar7439 8 місяців тому

    Pumzikeni waliotangulia kwa amani kabisa.hakika mungu akufutieni madhambi yenu amin

  • @womenmuungano881
    @womenmuungano881 4 роки тому

    Jaman muwathamini BC na hao bado hai jaman wameteseka sana .eee baba wetu wa taifa Allah ailaze roho pepon naumia baba kuona hiv mungu katulipia kwa rais wetu makufuli raid wawanyonge..

  • @AguliSimchimba-fq7ep
    @AguliSimchimba-fq7ep 9 місяців тому

    Huu ndio uzalendo.Hongereni sana wote mliopambana kuleta amani katika taifa letu Tanzania

  • @jandaboytzz2755
    @jandaboytzz2755 2 роки тому +1

    Roho Inaniuma Sana Watanzania Wenzetu hao Mjue Walikua Na Famlia Zao😢😢

  • @juliuszellah1004
    @juliuszellah1004 5 років тому +7

    Mimi nashukuru wamerudisha JKT , lazima iwe compursory kama kipindi kile. Vijana wa siku hizi wamelegea sana, wanafikiri kuongoza nchi ni rahisi. Waende huko wakajionee 1+1 = 0

  • @elisamehecharles5432
    @elisamehecharles5432 6 років тому +6

    ogaaah! ukimsikiliza msimuliaji ndo unaamini siku hzi hatuna watangazaji kabsa

    • @johnimarko5646
      @johnimarko5646 4 роки тому

      Mungu aibarki afrka mungu aibarki tanzania

  • @felixmagulu6142
    @felixmagulu6142 3 роки тому

    Huu ulikuwa Morali wa hali juu sana wa kuikomboa Nchi yetu, Kipindi hiki kilikuwa kigumu sana Kila Mwananchi mawazo yake yalikuwa ni kuikomboa Ardhi ya Tanzania iliyovamiwa na Nduli Idd Amin Dada.

  • @mdunguupdates4779
    @mdunguupdates4779 3 роки тому +1

    Wanaoangalia 2021 like hapa

  • @leahmnkeni7466
    @leahmnkeni7466 4 роки тому

    Jamani hongereni leo tunaishi vizur