The Story Book ADOLPH HITLER Dikteta Aliyetikisa Dunia na Kuua Mamilioni Ya Watu (PART 1)
Вставка
- Опубліковано 8 жов 2020
- 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
Watching from +254,si Leo nipate ata likes mbili angalau nifurahie
Pewa zote😂😂😂😂
❤️ ❤️ ❤️ ❤️ 🔥🤣Chukua zote👍👍👍
Mnisaidie kusubscribe kwa Chanel yangu kwa kubonyeza picha yangu ya kushoto kwa kupata update kila wakati kuna mengi yanakuja mazuri na naomba support yenu na sitawaangusha kuna mengi mazuri
@@hamambuka5616 🤣🤣🤣
@@richardedwinn1291 🤣🤣🤣kwendaa
Asante jamal mustapha kwa kulifanyia kazi ombi langu niliomba uniletee historia za camps mbalimbali za wajuruman haswa niliomba story ya sobibo camp lkn naona umeamua kutuletea full package asante sana🙏🙏
Kama wambenda Professor Jamal gonga like... From Moçambique (Msumbiji) WCB4Life
Adi teacher wetu alitufundisha kumbe ni kweli!
Hakika tunaweza na tunajuaa acha tuzdi kukuombea dua Inshaallah khery professor kama professor jamal April💥💪
Mnisaidie Ku subscribe kwa channel yangu kwa mengi mazuri
Nakubali sana hili jamaaa
kama unamkubali huyu jamaa kwa kupekenyua vitabu na internet ili kutuletea story book iliyo makini gonga like hapo
Mtaalam
Nazi party founder's
🐱🐱
Wasafi média wow 👑👑👑 nakukubali Jamal the profesa
Akika jamar ni Danger.... nipate like za jamar.tuendelee kumsaport..
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇
ua-cam.com/video/kYqwzEktA8E/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥
Mnisaidie jameni Ku subscribe kwa channel yangu kwa mengi mazuri
Waomba likes mpogi kama wasenge wasenge
Kama unamkubali Profesor JAMAL APRIL gonga like twende sawa
Kwa mengi mazuri naomba m subscribe kwa channel yangu ya hassan mapenzi kwa mengi mazuri huu mwaka
MBABE WA VITA ALIYEITIKISA MAREKANI|ALILIPUA VIFARU VINGI ZAIDI VYA WASOVIET|MAREKANI ILISHINDWA.
MAKUNDI YA KIJASUSI YALIHAHA.
Tafadhali naomba support yako kwa kutazama,kusubscribe, like na ku comment!!
Ahsante.
ua-cam.com/video/qFbbNny4Q6Y/v-deo.html&feature=share
😍😍😍😍😍
@Hb Leaders UnionTM q
✊
Anaitwa master wa master Jamal April, your a wise man respect brother, just keep going, am from 254
Excellent nlikuw ckuelew ila kwasas nmekubali umechimbua, i name you "The great author "
Who else like first before whatching the video
Mbona hii story haikutoka nikiwa bado nasoma😂😂😂pengine ningeishika😁
Wajumbe Wenzangu huyu professor Jamal yuko on 🔥🔥🔥🔥💪💪
ilaa wee jamaa ni hatari sana, hongera Mungu kakujalia kipaji kizuri sana, yan una sauti fulan amazng sana, mtu akiwa anasikiliza story yako ata hawezi kuchoka kwa kweli
Kazi nzuri san professor WCB 4 LiFe
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇
ua-cam.com/video/kYqwzEktA8E/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥
Professor jamal mtu atari san king of story in Africa 🌎
Umekuwa mtu unaeifanya ijumaa kuwa siku nzur ya kuikaribusha weekend katika good mood kutokana na simulizi za kuburudisha na kuelimisha....lakini hofu ni kw wale wasioweza kusikia angalau mngewawekea subtitle ya kiswahili ili nao wasingojee kuhadithiwa.....kazi njema wasafi media...all de best🙏🙏🙏
Jamani naombeni like zenu Mimi kama mm chuse boy
Nakubali mwanangu
love from cambodia🙏🙏wishi i could understand much swahili,i love too much the story book but still i catch somewords🙏🙏
Watching from +44 nakukubali sana professor. Poga like kama nawewe unamkubali kama mimi
Myamaaa professor
I love the story. Do us the story of Benito Mussolini
Jamal April nomaa sana nakubalii endelea kutupa uhondo
Gonga like kwa professor Jamal 👍👍👍👍👍
U will remain my friend forever.good work brother.
Like kwa professor jamal jamn
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇
ua-cam.com/video/kYqwzEktA8E/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥
Kama like kwake si tusha like ktk post au... Acheni umama wa kuomba upuuz
Namkubali professor jamali yuposawa sana ktk history
Jamal na mimi fan ya kutangaza vzr pamoja nakuimba naiweza sn lkn nilikuwa naitaji nianzie mbali zaidi kwenye kutangaza naitaji naitaji nipeleke maombi ya kazi katk vituo vya radio vya Manila Indonesia
Sio ntapata kazi🤓🤓🤓🤓
Hongera Prof. Jamal upo vizuri mno. Unapaswa kuwa Lecturer wa History katika University
I never get tired of listening to this story forever
Both part one & part two. ,,
I just love it😎
Thank you Jamal April
Jamani mwenye atasoma huu ujumbe naomba Sana tumufikishie Jamal
Plz I am your Kenyan fun na nataka Sana kulewa theory ya THE BLACK HOLE
na history ya proffesor Hawkins
Naomba imufikikie jamal
Nawaomba like and share mpka imufikie
Nipewe likes tatu pekee leo.. straight outta 254
Kwan ukipew like inakuaje
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇
ua-cam.com/video/kYqwzEktA8E/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥
Kaka jamar kazi nimezuona mungu akufanyie wepesi
Uko poa broo mungu akupe afya njema uendelee kutupa stori nzuri zaidi
Daah...cjui nieleze vp, ila jamal April ww Ni mkali Sana kwenye haya maswala yaani historia ya advance umeifanya iwe laini kabisa ikiwa imejaa facts, details, analysis na evidence za kutosha..big up sana, huwa sichoki kurudia rudia kusikiliza simulizi zako Kama ya Alexander the great Mara kwa Mara unajua Sana...👍👋..
Hahaaaaaa
watching from Munich🇩🇪
Ich auch
@@collinscarter5927 super..we should link up😁😁
Nakubali Sana Jamal April
Ndo maana siachi kuipenda wasafi ❤️❤️❤️❤️
Huyu ndiye gaidi aliyewaumiza kichwa wamarekani,pamoja na makundi yote ya kijasusi.
ua-cam.com/video/qFbbNny4Q6Y/v-deo.html
Tafadhali naomba pitia channel yangu pia.Ahsante!!
Inshaallah Jamal Alla akupe uwezo mkubwa Amen❤
So u can become what you want,as we dwell in negativity let's bravo the positive Side,believe in uaself
Prof jamal, tuletee simulizi ya ghengis khan 💪💪💪
I had to learn swahili just to be able to watch the story book
Unatishaaaa jamal👏👏
I have to learn English so we can be friends
does it mean hujui kiswahili
Mutuku wacha wewe in Kenya wakamba husoma Kiswahili
@@BeyHappiness Ukona ubaya
Dah Mungu tu akutunze napenda sana kukusikiliza
Dah History 2 ya advance imegeuzwa laini, ikisimuliwa na Professor
Sana
Sure an
Jamal the story teller .good job
Na leo tena nimekuwa wa mwisho kuangalia mmmh jamani mbona naishi mbele ya mda mimi like zangu basi kama umeenda mimi kuwa mtu wa mwisho kuangalia
FULL STORI: USIYOJUA KUHUSU MBU, VIFO VIMEONGEZEKA 👇👇👇
ua-cam.com/video/kYqwzEktA8E/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING SANA🔥🔥🔥🔥
MBABE WA VITA ALIYEITIKISA MAREKANI|ALILIPUA VIFARU VINGI ZAIDI VYA WASOVIET|MAREKANI ILISHINDWA.
MAKUNDI YA KIJASUSI YALIHAHA.
Tafadhali naomba support yako kwa kutazama,kusubscribe, like na ku comment!!
Ahsante.
ua-cam.com/video/qFbbNny4Q6Y/v-deo.html&feature=share
Naangali ii video niko miami 😂😂😂😂 Florida 😂
@@wiziink3844 Huyu ndiye gaidi aliyewaumiza kichwa wamarekani,pamoja na makundi yote ya kijasusi.
ua-cam.com/video/qFbbNny4Q6Y/v-deo.html
Tafadhali naomba pitia channel yangu pia.Ahsante!!
Asante sana wafasi media kwani ndio media bora kwa vijana, nimekuwa excited sana kwa kutuandalia nakara hii but naomba tena utuandalie nakara ya Martin Luther King
Daah anko unajua hostoria Leo nimeelewa sana .naomba unitafutie historia ya rumi empire nashukur sanaa
The professor nakushukuru kwa jitihada unao endelea kufanya unaendelea kusisimua vizuri nakupongeza sanaa kwa sababu una kipaji
Kama we ni fan story book like
Jamal simulia story kama hizi sio kutishana tishana tuh...
Tuletee na Ya Mr bean
OMG💞
le professere🏆
Umenikumbusha movie ya money heist....le professel
Safi sana kazi njema
Amazing 👏watching from new Orleans
Jamarii we ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This is absolutely good watching from Kenya
I'm a Kenyan and I enjoy listening to your stuff, keep up bro
umetisha nakubali sana
Jamani ww anko unasauti nzuriii😍😍😍
Jee mm
Leo mapeeema nasikiliza kwenye live stream
dadeki Jamal we ni genius mkuu :)
Akili kumkichwa ndiyo hizi hongera professor Jamal❤️
We we ni profesa @jamal Mstapha
This is incredible, watching from Frankfurt🇩🇪
Hello
Jamar ana bala yani naijoi kumu sikiliza❤❤❤❤❤❤
Katika vipindi vyote ambavyo navikubali wasafi iki no kimoja wapo pamoja sana
Ahsante kwa kutuhabarisha habari kemukemu ..
Jamal n bonge la designer maan anajua kanpelk ktmb kwny topic z form 4 mwnzon ple ✌️✌️✌️
✌✌✌
Kama una,mkubali jamali gonga like hapa fasta
I always use to watch ur stories
Bless kk unajuwa cnaaa
Watching from Kenya.Amixing story
Nomaah kwel na endelea na kazi professor jamal
fantastic100%
Teacher maisha marefu sana kwako🙏🙏
Big up jamal april ❤️❤️❤️❤️
Jamal 🤗🤗 Santeeh
Jaman hata kama nimechelewa nipeni hata like 50 tu.
Thanks dear
Jomny.... Muendelezwa... tafadhali....
Jammar nakuelewa sana yani nimepnda sana hii story part2 itakua. Nzr sana
❤❤ we noma kaka
please do a video about whitney houston and aaliyah jinsi ambavyo ulifanya ya MJ.
Wadau wamelala hv unaanzaje lala ujamsmkiliza jamal kila ifikapo ijumaaa
Thank you for teaching us much history
Professor Jamal April yupo vzr xaan
Like ziwe nyingi kama mmekubali story jaman
daah tishaa sanaaah
Nmeipenda
I watching from Dortmund 🇩🇪
From Berlin
Sasa unaelewa nini 😂🤣
Mwenzenu nampendaga tu ni kwasabab Tyu uandishi wake ni umetulia😘😋
Naisubir Part 2.
Hiyo movie inayo onekana inaitwaje wadau tuitafute.
Nmeipenda sanahiyo
Kaliiiiiiiiii sanaaaaaaaa
Saf sanaaaaa hitra.maan ulikuwa unawauw mayaud yaliomping Kristo.
Ever Best 👌,, The story book
Nakupendaga bureee wew unaweza sana hngren sana
Kwanini wazungu wakipigana wao wanasema vita ya dunia wakat nchi nyengine hazimo katik vita Yao
Sababu wababe wa dunia wamepgana vita hua ni kal sana
Muafrika anamsapoti mkoloni wake hvy kila colony litapign na adui yake
@@spicot21archnid61 pamoja mwana history
Zilipijana nchi nyingi ndomna ikatwa vita va dunia
Hata TZ na nchi nyingi za dunia ya 3 tulishiriki kwa namna 1 ama nyingine kwa sababu tulikua makoloni ya super power countries zilizoshiriki vita..
Daaaah ww kwel profesa haupingwi
I like it
iyo nimeipenda