"Baada ya kusema hayo, Ndugu Nais nashukuru nimepata nafasi kidogo, Ahsante".... Hakuna habari ya majina makubwa makubwa ni "ndugu Rais" inatosha, Warioba sio mnafiki.
Mzee kichwa sana huyu Warioba...ndie makamu wa Rais mstaafu, waziri mkuu mstaafu ambae humkuti na misafara na rundo la walinzi... simply because hana baya na mtu wala mwananchi yeyote
Mh. Jaji Warioba huwa ni mkweli na haogopi mtu, muda umeenda lakini alistahili kuwa Rais wa nchi hii naamini angeongoza kwa kufuata Sheria na angesimamia haki. Mungu akupe maisha marefu mzee wetu.
"Namimi naami kwa kua tulikua tunafanya nae kazi pamoja,angeendelea....alikua anajiandaa upya kupambana na ufisadi..." hii sentensi ndio muhimu zaidi na kwa mujibu wa Wikipedia inaonekana Sokoine alikua anakwenda kuchukua kijiti cha Mwalimu na angewanyoosha mafisadi ila wakampoteza....
@@adkajisi4536 Sio international airport. National Airport. Kama ule uwanja wa Serikali pale Washington, ni Reagan National Airport.. Msalato ndo itakua international
Kwa sasa Waryoba ndie Tanzania one japo sitting leaders hawafuatishi philosophy zake. Wanamshangilia usoni tu kimatendo wapo opposite directions..so true!!😢
Hakika,Mzee Warioba amesema ukweli mtupu.Kama alivyokuwa Mwalimu Nyerere,Sokoine naye alikuwa Kiongozi aliye jali sana ustawi wa maisha ya wananchi.Hakujilimbikizia mali hata kidogo.
Historia ya Viongozi wa leo wataandika nini hawana mambo mapya, hawana uthubutu wa kufanya mambo makubwa 'eti' yawekwe kwenye Historia! Yote yangefanywa leo yalifanywa kwa uthubutu wa viongoze wale, sioni mapya, sioni uthubutu wa viongozi wa leo.
@@tumainimalulu7708 ni kweli ila naona km ameanza kubadilika mskilize kweny baadhi ya mamb kadha alowah kutokea kuanzia mwaka jana , ananyooka sana adi nashindwa kuelewa kuna nn apa kati kati kimembadilisha uyu mama
@songeza nahata kama akiwa chadema katika hili nadhani atakuwa anakosea sana kama akileta upinzani katika hili. Kwanijuavyo mimi upinzani kazi yake nikutujulisha the best alternative au njia mbadala yenye tija zaidi tofauti na ile inayochukuliwa na serikali. Kumuenzi mtu kwa kazi njema alizofanya hakuhitaji kupingana. Inatakiwa kusikiliza na kuamini tu kuwa kwa kiasi chake na kwawakati wake alijitahidi kulijenga taifa lake. Na kwa hayati Sokoine alijitahidi sana.
Waliozeshwa wanawake wa kichaga balaza zima la mawaziri aliyekuwa na mke akapewa nyumba ndogo warioba na bob makani ndio walikuwa wa kwanza wakafuata kina mkapa wakakabidhi ofisi kwa shemeji zao kina mtei wakaweka watu wao kwenye maofisi wakafilisi nchi hovyo kabisa huyu
Kweli Mzee walioba tutakumbuka sana pro kabudi washauli viongozi wote wa ccm na selikali tupate katiba mpya na wewe utakumbukwa kama nyelele na sokoine na walioba
Ungelikuwa wewe ungekwiba na kujinunulia vitanda vya dhahabu, migari kibao ya kifahari huku wananchi wakikosa huduma za elimu, afya, maji nk. Tunawajueni sana. Ndiyo mnaotuingiza kwenye mikataba mobovu si kwamba hamjui ni kwasababu tu mnapata pesa binafsi. Shame on you.
Kwa kweli uongozi uliwashinda hawa wazee,na waliiharibu haswa nchi yetu kiuchumi. Hizi store anazozileta hapa ni dalili tosha kuwa walishindwa na watanzania waliishi kama wanyama,hawajui sabuni,chakula,mavazi n.k. Baba yangu alivunjiwa duka la nguo kwa hoja eti uhujumu uchumi. Tuombeni msamaha kwa kipindi kigumu tulichopitia
Hapana, ila nihivi, baada ya kupata uhuru Mwalimu na hawa aliyokuwanao ndiyo kwanza walianza nchi haikuwa na kitu, wakoloni walituwekea figisu nyingi za kiuchumi. Kwakweli ilikua shida. Nikweli kwa wakati ule kuna maamuzi viongozi waliyafanya ilikua mistake, kwa mfano kuchagua mfumo wa kijamaa kuwndesha uchumi tulikosea. Bahati nzuri ya viongozi wa wakati ule yote waliyoyafanya au kuamua waliyafanya kwa nia njema ya kusaidia nchi. Hata kama walikosea lkn walifanya kwa nia njema. Nia njema kabisa. Kwa mazingira ya wakati ule wakiwa bado na majeraha ya ukoloni walihangaika sana kutoa elimu bure kwa waliobahatika kuchaguliwa, wakatoa huduma za afya bure. Elimu ya chuo kikuu ilitolewa bure, waliokuwa vyuo vya kati na jeshi lakujenga Taifa walilipwa posho ya kujikimu kila mwezi na nchi ilienda. Sitaki kulinganisha hali ya wakati ule na sasa ila kwa mtazamo wangu viongozi wa wakati wao hawa wazee pamoja na mistakes katika maamuzi yao lakini naona wao walikua ni wazalendo zaidi. Wazee hawa waliobaki ni tunu kwa Taifa letu, watusaidie kuwashauri viongozi wetu waliopo wakubali tuweke misingi mipya (katiba) ili tuwe na Tanzania mpya iliyo salama, imara, yenye kuzingatia haki za raia na demokrasia ya kweli.
Kaka umejitahidi sana kudadavua mada,ila kwa mm nilieishi hicho kipindi inanipa shida mno kwa kiongozi kushindwa kushauriana na wenzie badala ya kuwaweka ndani kama akina kambona. Unavunja maduka ya watu na kuwarudisha nyuma kwa hoja za ajabu ajabu,unawahamisha watu kwenye maeneo yao na kuwapeleka kwingine bila ya miundo mbinu.ili mradi utawala wa mtu mmoja ulileta shida kwetu. Tanzania lau ingefuata siasa safi ya kiuchumi leo hii tungekuwa mbali mno.
Sokoine alikuwa kiongozi mwenye maono na taifa hili laki hakuwa na hekima ya kuwasikiliza ushauri kutoka kwa wenye upeo wa sheria . Mimi wakati wa utekelezaji wa sheria ya uhujumu uchumi nilikuwa na umri wa miaka 14 kwa kweli watu wengi waliumizwa sana.Mungu marehemu.
@@walidmgonja3644Matajiri ndio walikuwa wahujumu uchumi. Na wapo viongozi wengi wa chama walikuwa wanahusika na uwindaji haramu na biashara ya za magendo. China wanakuua kabisa ndio maana wameendelea Tanzania inabidi tuwe na Sheria Kali za kunyonga ndio selikari itaweza kuudumia wananchi wake.
Kumtegemea,kumtii na kumtumikia Mungu kuna faida sana.Faida hii wanaipata tu wale wanaomcha Mungu sio kinafiki ila kwa dhati❤.
Uyu mzee yupo vizuri sana pamoja na umri but kichwami bado yupo vizuri inshallah Mwenyezi Mungu ampe umri mlefu..
"Baada ya kusema hayo, Ndugu Nais nashukuru nimepata nafasi kidogo, Ahsante".... Hakuna habari ya majina makubwa makubwa ni "ndugu Rais" inatosha, Warioba sio mnafiki.
Kanyooka sana huyu, hii story tu unapata picha ni mtu wa aina gani, smart
My God, you Tanzanians you are a lucky people the foundation you got was exemplary 👌
Jamani mkae mkijua pamoja na yote Yesu yuko karibu sana
KabiSa,,,
@@amosdaniel1327 Amen maana uheshimiwa maisha mara utakapokufa , hapo sasa ni pastor ya mbinguni ndio itahitajika
Mzee.nimekuelewa sana mungu akufanye taa ya sisi tulio gizan
Safi sana mzee warioba mungu akuweke sana
Mungu akujalie uishi miaka mingi sana
Brilliant brain Mr Sinde Waryoba.
Jaji Joseph Sinde Warioba namkubali sana ... Hana kona kona ... Amenyooka kama rula
Mzee warioba anatia hamu ya kumsikliza
Mzee Warioba ni mzima sana kichwani
Simulizi nzurii Sanaaa kwetu kama Vijana.
Mzee kichwa sana huyu Warioba...ndie makamu wa Rais mstaafu, waziri mkuu mstaafu ambae humkuti na misafara na rundo la walinzi... simply because hana baya na mtu wala mwananchi yeyote
Uko sahih kabisaa sio Hawa mafisad wa siku hizi
Mungu akupe Maisha Marefu tufaidi hekima zako
Hatuna viongozi siku huzi bali ni waeshimiwa tu😂😂
I lov this Man
Mh. Jaji Warioba huwa ni mkweli na haogopi mtu, muda umeenda lakini alistahili kuwa Rais wa nchi hii naamini angeongoza kwa kufuata Sheria na angesimamia haki.
Mungu akupe maisha marefu mzee wetu.
"Namimi naami kwa kua tulikua tunafanya nae kazi pamoja,angeendelea....alikua anajiandaa upya kupambana na ufisadi..." hii sentensi ndio muhimu zaidi na kwa mujibu wa Wikipedia inaonekana Sokoine alikua anakwenda kuchukua kijiti cha Mwalimu na angewanyoosha mafisadi ila wakampoteza....
Mungu wetu yu hai aendekee kutujalia haki Amani na uhuru wa jweli
Natamani Uwanja wa Ndege wa Dodoma unaojengwa uitwe
" JS Warioba International Airport"
mzee Huyu sioni chochote kimewekwa kumkumbuka
Samia amesikia tunaamini atalifikiria hilo. Mama ni msikivu
Hawa wazee ni tunu ya taifa...hekima zao tuzizingatie...
Well said 🎉🎉
Kadhfa sio nzuri daima hekima itumike tunaootoa maoni himu .Heshima ni kitu xha bure
Hakuna nchi Duniani imeendelea kwa kubembeleza wahujumu uchumi ,mafisadi na wakwepa kodi, mfano Wachina tulianza nao sasa wametuacha mbali
Mimi NASHAURI UWANJA WA NDEGE WA DODOMA MJINI UITWE :
SOKOINE NATIONAL AIRPORT.
SOKOINE INTERNATIONAL AIRPORT (SIA) umefikiri mbali ndugu
@@adkajisi4536 Sio international airport.
National Airport.
Kama ule uwanja wa Serikali pale Washington, ni Reagan National Airport..
Msalato ndo itakua international
@@ABM1963 Vipi Msalato haiwezi kuwa international kwa nini? Wakati Songwe ni international airport
@@adkajisi4536 Msalato ndo itakua international.
Airport ninayo zungumzia Mimi ni Hii ya mjini Dodoma inayotumika Sasa hivi
Kwa sasa Waryoba ndie Tanzania one japo sitting leaders hawafuatishi philosophy zake. Wanamshangilia usoni tu kimatendo wapo opposite directions..so true!!😢
Saadi hiyo
Pamoja
Hakika,Mzee Warioba amesema ukweli mtupu.Kama alivyokuwa Mwalimu Nyerere,Sokoine naye alikuwa Kiongozi aliye jali sana ustawi wa maisha ya wananchi.Hakujilimbikizia mali hata kidogo.
Ndiye mshauri pekee aliyebakia ccm lakini hawamwelewi wanajifanya viziwi
MZEE warrioba ndio angesimamia kamati ya masdili ya viongozi
Brilliant old man!
Safi sana
1st and only kurian AG since we parted from vongo
Huyu mzee anamadini balaaaaaa lejea kwenye uongozi wake
Nukta ya muhimu niliyoondoka nayo hapa ni "..usivunje Sheria hata ikiwa mbaya, mnachoweza kufanya ni kuibadilisha."
Tumpe urais
Hakuna sehemu amemtaja kama Mh Rais, Bali ndugu Rais hata jina la Rais hakulikumbuka🫡
❤
Uhujumu uchumi ulikosewa na haukufuata sheria na ndicho kilicho muuwa Sokoine
Hivi kumbe kiswahili ni kujihuzuru na sio kujihudhuru😢😢😢😢😢
Kujiuzulu
Kwa Sasa hayupo kiongozi kama sokoine, Utajiri ndiyo dira ya viongozi leo
Historia ya Viongozi wa leo wataandika nini hawana mambo mapya, hawana uthubutu wa kufanya mambo makubwa 'eti' yawekwe kwenye Historia!
Yote yangefanywa leo yalifanywa kwa uthubutu wa viongoze wale, sioni mapya, sioni uthubutu wa viongozi wa leo.
Mzee Sinde Warioba kaupiga mwingi bila kupepesa macho
Kweli Kiongozi wa watu
Kwa sasa viongozi kama hawa hawapo tena,toka Asaad aondolewe❤
Asaad mwenyewe fisadi acha hizo ndugu yangu.
Wazee
Mh Warioba alikuwa na busara na hekima sana
Je Wana kuelewa?
Swali la maaana kabisaa
Pamoja na yote MUNGU ndo Kila kitu hapa duniani
Tunu Ya
Wanacheka cheka tu. Hawapati somo hawa watu
😊😊😊😊
Makongoro na utumbuaji
Zee jeuri kweli halitaji jina la mtu ispokuwa Kabudi tu
Ujumbe umfikie TUNDU LISSU
Vijana wa zamani walikuwa na akili sio wa sasa hivi machawa na walafi wa madarak
7:09
Uyu dingi na yeye inabidi azindue kitabu chake kabla hajaondoka duniani ana madini sana
Hicho kitabu kitumike kwenye mitaala ya Elimu
Utawala wa mwalimu viongozi waliokuwa vijana na ndio walijenga nchi leo tunaongozwa na wazee ndio maana tupotupo tu
Mzee.wariba.uwemshari.wa.rais.unawezo
Kuna mtu alitska kumpiga huyu mzee
Mzee ana madini
Sasa ivi kuna warioba , makinda ,tibaijuka naona km mwelekeo wao uko tofauti na ccm ya sasa ivi
Muondoe Tibaijuka kwani yeye ni kama hawa wasasa
@@tumainimalulu7708 ni kweli ila naona km ameanza kubadilika mskilize kweny baadhi ya mamb kadha alowah kutokea kuanzia mwaka jana , ananyooka sana adi nashindwa kuelewa kuna nn apa kati kati kimembadilisha uyu mama
We salma acha uongo we ni chadema na ndio maana una challeng hotuba ya mzee laana hiyo utalaniwa ogopa kusema sema
@songeza nahata kama akiwa chadema katika hili nadhani atakuwa anakosea sana kama akileta upinzani katika hili. Kwanijuavyo mimi upinzani kazi yake nikutujulisha the best alternative au njia mbadala yenye tija zaidi tofauti na ile inayochukuliwa na serikali. Kumuenzi mtu kwa kazi njema alizofanya hakuhitaji kupingana. Inatakiwa kusikiliza na kuamini tu kuwa kwa kiasi chake na kwawakati wake alijitahidi kulijenga taifa lake. Na kwa hayati Sokoine alijitahidi sana.
Waliozeshwa wanawake wa kichaga balaza zima la mawaziri aliyekuwa na mke akapewa nyumba ndogo warioba na bob makani ndio walikuwa wa kwanza wakafuata kina mkapa wakakabidhi ofisi kwa shemeji zao kina mtei wakaweka watu wao kwenye maofisi wakafilisi nchi hovyo kabisa huyu
Falsafa za vijiweni hizo baada ya kunywa kahawa chungu
@@FahadAbubakariSoma hoo ni kweli
@@salehesalehe2967 watz walalamishi kwa kila jambo hakuna kiongozi walowahi mkubali awe mkweli au mwizi wao lawama na uzushi wakipuuzi tu
Mwamba
Kwa Sasa ingeludi lushwa ni ushujaa muzalendo si mtu tena kwenye taifa letu
Kweli Mzee walioba tutakumbuka sana pro kabudi washauli viongozi wote wa ccm na selikali tupate katiba mpya na wewe utakumbukwa kama nyelele na sokoine na walioba
Nyerere, sio Nyelele" Warioba sio" Walioba, wewe ni wa nchi gani hujui majina ya watu.
Pls mrekebishe tu
Wazee hawa ni hazina ya taifa letu ,tuwalinde na tuwatunze kwa manufaa ya taifa letu .
Makonda alimkata mtama ...
Umasikini na kulala kitanda kidogo kwa waziri mkuu siyo sifa ni aibu sana
Aibu yake nini yeye alikuwa tembo?.
Nyie ndio wale mnaowasifia matajiri wanaiba mali za nchi
Ungelikuwa wewe ungekwiba na kujinunulia vitanda vya dhahabu, migari kibao ya kifahari huku wananchi wakikosa huduma za elimu, afya, maji nk. Tunawajueni sana. Ndiyo mnaotuingiza kwenye mikataba mobovu si kwamba hamjui ni kwasababu tu mnapata pesa binafsi. Shame on you.
Mzee we kiboko yaani ulimbishia nyerere na akakuacha salama? kwakweli nimekukubali
Hakuwa chawa aliitendea haki dhamana ya uongozi aliyopewa.
Kwa kweli uongozi uliwashinda hawa wazee,na waliiharibu haswa nchi yetu kiuchumi. Hizi store anazozileta hapa ni dalili tosha kuwa walishindwa na watanzania waliishi kama wanyama,hawajui sabuni,chakula,mavazi n.k. Baba yangu alivunjiwa duka la nguo kwa hoja eti uhujumu uchumi.
Tuombeni msamaha kwa kipindi kigumu tulichopitia
Kwa maslahi mapana ya taifa tunalojivunia Leo, ahsante sana mzee Warioba ,.Rip mwanamapinduzi Sokoine.
Hapana, ila nihivi, baada ya kupata uhuru Mwalimu na hawa aliyokuwanao ndiyo kwanza walianza nchi haikuwa na kitu, wakoloni walituwekea figisu nyingi za kiuchumi. Kwakweli ilikua shida. Nikweli kwa wakati ule kuna maamuzi viongozi waliyafanya ilikua mistake, kwa mfano kuchagua mfumo wa kijamaa kuwndesha uchumi tulikosea. Bahati nzuri ya viongozi wa wakati ule yote waliyoyafanya au kuamua waliyafanya kwa nia njema ya kusaidia nchi. Hata kama walikosea lkn walifanya kwa nia njema. Nia njema kabisa. Kwa mazingira ya wakati ule wakiwa bado na majeraha ya ukoloni walihangaika sana kutoa elimu bure kwa waliobahatika kuchaguliwa, wakatoa huduma za afya bure. Elimu ya chuo kikuu ilitolewa bure, waliokuwa vyuo vya kati na jeshi lakujenga Taifa walilipwa posho ya kujikimu kila mwezi na nchi ilienda. Sitaki kulinganisha hali ya wakati ule na sasa ila kwa mtazamo wangu viongozi wa wakati wao hawa wazee pamoja na mistakes katika maamuzi yao lakini naona wao walikua ni wazalendo zaidi. Wazee hawa waliobaki ni tunu kwa Taifa letu, watusaidie kuwashauri viongozi wetu waliopo wakubali tuweke misingi mipya (katiba) ili tuwe na Tanzania mpya iliyo salama, imara, yenye kuzingatia haki za raia na demokrasia ya kweli.
Kizazi kipya ndio Mzee Mwinyi
Ulikuwa Waziri Wa Sheria kivuli wale sio wanasheria walikushindaje jamani tuache porojo
Kaka umejitahidi sana kudadavua mada,ila kwa mm nilieishi hicho kipindi inanipa shida mno kwa kiongozi kushindwa kushauriana na wenzie badala ya kuwaweka ndani kama akina kambona.
Unavunja maduka ya watu na kuwarudisha nyuma kwa hoja za ajabu ajabu,unawahamisha watu kwenye maeneo yao na kuwapeleka kwingine bila ya miundo mbinu.ili mradi utawala wa mtu mmoja ulileta shida kwetu.
Tanzania lau ingefuata siasa safi ya kiuchumi leo hii tungekuwa mbali mno.
Hii ya lini mkuu?
Ya leo
Huyu mzee ni bora akabakia nyumbani kucheza na wajuu wake!!kila jambi lina wakati wake na wakati ni ukuta,ukimbana nao utaumia!!
Hueleweki una maanisha nini kwani kasema nini kibaya hadi umshauri abaki nyumbani kucheza na wajukuu
@@danielmarwa5122 ndo mafisadi wenyewe
Another bastard
By
😂
Sokoine alikuwa kiongozi mwenye maono na taifa hili laki hakuwa na hekima ya kuwasikiliza ushauri kutoka kwa wenye upeo wa sheria . Mimi wakati wa utekelezaji wa sheria ya uhujumu uchumi nilikuwa na umri wa miaka 14 kwa kweli watu wengi waliumizwa sana.Mungu marehemu.
Ni kweli, badala ya kupambana na wahujumu uchumi alishindwa kuwatofautisha na matajiri waadilifu
@@walidmgonja3644Matajiri ndio walikuwa wahujumu uchumi. Na wapo viongozi wengi wa chama walikuwa wanahusika na uwindaji haramu na biashara ya za magendo. China wanakuua kabisa ndio maana wameendelea Tanzania inabidi tuwe na Sheria Kali za kunyonga ndio selikari itaweza kuudumia wananchi wake.
❤l
L
We Mzee muongo mbaya sana tena mjinga kubwa la wajinga uliomba kujiuzulu lini wewee
Angalau ungeheshimu umri wake kuliko kutoa lugha ya ukakasi.
@@songombingo108 heshima ipi hapo wakati alipewa madalaka na alishindwa kutusaidia watanzania Sasa hivi atasaidia Nini zaidi ya kujipendekeza tu
Aisee tuheshimu wakubwa jamani.
Tujuze di vibaya wewe wakati huo ulikua na miaka mingapi kama walikua wenyewe wawili unajuaje labda aliandika barua
Bila shaka wewe ndo zile dizaini za tuma kwenye namba hii