Hotuba ya Mwl. Nyerere Mwaka 1958, Jangwani DSM iliyoamsha Vuguvugu la kudai Uhuru, Sehemu ya II
Вставка
- Опубліковано 18 вер 2024
- Hotuba ya Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere Mwaka 1958, Jangwani DSM iliyoamsha vuguvugu la kudai uhuru
SEHEMU YA PILI
Ni hotuba ya Baba wa Taifa ya Mwaka 1958 ukiisikiliza utajua kwanini tulidai uhuru wetu kutoka kwa Waingereza kwa jazba.
Historia ndio kiini na msingi wa uzalendo kwa Waafrika
Hakika ulikuwa zawadi baba. Pumzika kwa amani, I love you so much... The special one!
Wote hao karibu washakufa, dunia inatukimbia
Hotuba na picha haviendi pamoja. kwani ilipotolewa hakuwa amevaa Shati la aina ya nusu shingo. Ni kweli Jangwani ndipo alipotoa hotuba hiyo. Kwani Jangwani palitumika kuwa eneo la mikutano. Picha ya mwanzoni ipo sawa, lakini nyingine siyo.. Shati la muundo wa duala shingoni. alianza kuvaa enzi ya Ujamaa, tukiwa na urafiki na mwanzo na Wachina. Hotuba hiyo ni kabla ya Uhuru.
Hadi rahaaaaaaaaaaa
Mijanasiasa ya siku hizi mioga michawa ya chefuuuuu
Hii elimu nyeupe ktk nchi zetu za kiafrica Haina faida sababu raia wa nchi zilizoendelea anaweza kuwa na thamani kubwa kuliko PhD ya Africa sababu elimu ya Africa wazungu walichagua aina ya elimu gani tunaitaji Africa ndio maana Kuna watu wakiajiriwa nchi zilizoendelea wengine hawana. Faida na elimu yao huko njee kwa nn ujinga wetu Africa mpaka kesho tunazani kutengeneza vitu tunaiji elimu sana kubwa kuliko tulio nayo kumbe sisi shamba la wajinga ndio maana wazungu wako bise kuleta misaada ya madaftari vifaa vya elimu nyeupe isio na technology sisi tunataka kusoma sana elimu nyeupe isio na fiucha ktk nchi zetu za kiafrica
Uongo siyo kweli hapo alikuwa na miaka 36 unamaanisha na mvi zimekua za muongo mkwabwa
Lakin video zinazoonekana haziendani na sauti video hizi ni za miaka ya 70 na 80
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, nakupenda kwa moyo wote. Tungekutana ana kwa ana tungeongea mengi. Moja, ningekupongeza kwa kuwa msomi pekee Africa uliyeandika nadharia ya Serikali, hadi leo hakuna nyingine bora zaidi duniani. Kule Chuo Kikuu cha Harvard, Shule ya Kennedy School of government, walirudufu yako ikaitwa 'nadharia ya haki'. Imetumiwa Billy Clinton na Barack Obama kugombea na kuombea kura. Hivyo ningefurahi sana kujadiliana nawe. Nina yangu pia nimeandika.
Nilikua sijui Bora umesema
Asante
kipindi hicho babu zetu walikua wanajielewa sio kama sisi
Nyerere mwaka huo hakywa Mze hivyo
Urithi wa Ukombozi, Fahari ya Afrika 🙌🙌
What did Nyerere first tell Kwame Nkurumah vis Avis our Relationship with the outside world We still much do not live in isolation
Kalibia wote hapo ni marehemu hapo
Karibia sio kalibia
Johnson Jennifer Clark Eric Walker Maria
Johnson Jessica Martin Joseph Hernandez Brenda
Jones Frank Young Michelle Perez Mary
Taylor Eric Anderson Kimberly Thompson Daniel
Ivi baba wa Taifa muda wote alikuwa na mvi TU?
Kumbuka hapo alikuwa na umri wa miaka 36 tu, nywele nyeupe zilimuandama mapema sana.
😂😂😂😂 Yaani dhahabu almasi gas misitu na Mali chungi nzima iliyope Tanzania mpaka kitu kidogo umeme unakuwa shida. Vipi namna hii?
Mikutano hii ndio iliyozalisha ujinga tuliokuwanao hivi sasa tanzania , kwakweli hakuna nchi ya kijinga afrika kama tanzania ,
Mjinga ni ww
@hassaniulende wewe ni mmoja ya wapumbavu katika wapumbavu mnaojazana upumbavu wa ubaguz flani kisiri siri, hongera kwa kuwa mpimbavu mwelevu uliyeshika vizuri upumbavu na kuwa tayar kuuongea upumbavu pasipo shaka.
Tutafakari tulipotoka,tulipo na tunakoelekea.,jibu ndio muhimu