Mama unashangaa tena na wakati wewe, ndo komando namba moja 😂kwan hayo mazoezi kwako c mepesi tuh umewafunza mwenyewe au nimeelewa vibaya kuhusu komanda mkuu wa majeshi..
Nimefurahi Sana KUONA nchi yangu tukufu ikiwa imejiimarisha kijeshi zaid! Natamani ningekuwa KATIKA vikosi hivyo, Lakini Bado nilipo Nina wajibu wa kuilinda nchi yangu dhidi ya adui YEYOTE
Nakubal sojaz wote mliofanikishahljambo salut kwenunyota nakupenda TANZANIA
Daaaaa hongereni saaaana naipenda kazi hyo hatariiiiii sababu sna uwezo wa kifedha duuuuu
Nice example. Ongereni sana
Kwelii moo kazin makomred
Allaah alihifadhi jeshi letu
Pumbav njooni Somalia,mjipime
Asante studio 🎙️
Mhh si kazi ya mchezo hongera jwtz
mungu awalinde makomandooooo
Mama unashangaa tena na wakati wewe, ndo komando namba moja 😂kwan hayo mazoezi kwako c mepesi tuh umewafunza mwenyewe au nimeelewa vibaya kuhusu komanda mkuu wa majeshi..
Chukuen hii nchi bas
Jeshi laakba simiyu
No Hun
💯
Hao cjui wanawake zao wanakuaje😂
Nimefurahi Sana KUONA nchi yangu tukufu ikiwa imejiimarisha kijeshi zaid!
Natamani ningekuwa KATIKA vikosi hivyo,
Lakini Bado nilipo Nina wajibu wa kuilinda nchi yangu dhidi ya adui YEYOTE
😏😏😏😏leten wakongo mani kumi tu uone kama mtatoboa eti imejiimarisha😏😏😏😏
Magogo karne hii
Ulitaka waende GYM?
@@shaameshaame2837yahni