Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Shujaa aliyelala chumba cha Idi Amin wa Uganda aeleza mazito

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лип 2023
  • Brigedia Jenerali Ambros Bayeke, aliyeweka shoka kwenye mnara wa mashujaa kwenye uwanja mpya wa mashujaa unaojengwa eneo la Mtumba Jijini Dodoma leo Jumanne, Julai 25, 2023 akieleza anayoyakumbuka kwenye vita vya Kagera vya mwaka 1978 hadi mwaka 1979.

КОМЕНТАРІ • 76

  • @madaiincubationcenter4947
    @madaiincubationcenter4947 5 місяців тому +5

    Brigedia Jenerali Ambrose Bayeke,hongera sana kwa busara mzalendo wewe uliyejitoa kwa ajili ya Tanganyika yetu

  • @OswardMadege-gd7yo
    @OswardMadege-gd7yo Рік тому +6

    Nimeipenda hiyo jeshi ni kazi ngumu ya kijitolea hasa kizarendo SI kutajilika Mungu awatie nguvu makamanda wetu wote

    • @christopherkiswaga9270
      @christopherkiswaga9270 6 місяців тому

      Iam very much blessed with this speech, or Lord help this speech to dwell in our hearts .

  • @gadielshedaffa3333
    @gadielshedaffa3333 Рік тому +3

    Mzee Brigedia General Bayeke Hongera sana na una hekima kubwa! Tunafurahi kusikia historia mwaka 78 nilokuwa darasa la 1! Duh Mungu amekupa baraka za kuishi! Ubarikiwe

  • @jumamohammed2748
    @jumamohammed2748 5 місяців тому +1

    Da! Nimejifunza mengi kwa muda mfupi sana.shukran mzee

  • @lucaskanyamaha4885
    @lucaskanyamaha4885 5 місяців тому +6

    Mwamba ana kumbukumbu sana anakumbuka tr. Mpaka na no za vyumba alivolala 🎉

  • @user-vy8tb2hq9w
    @user-vy8tb2hq9w 5 місяців тому +1

    Serikari iwajari sana watu kama Hawa na iwatafute iwenaokaribu kwajiri ya kuwahudumia wamejitorea maisha ❤🎉🎉🎉

  • @gracesamike8927
    @gracesamike8927 2 місяці тому

    Hongera Sana baba wengine wapo huku kwetu wapganaji wa idiamin

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 5 місяців тому +2

    Mzeee yupo vzr sn kichwani👏👏👏

  • @cosmasmilanzi7117
    @cosmasmilanzi7117 Рік тому +2

    Historia inaandikwa lakini pia inasomwa; hongera sana kwa kuandika historia itakayosomwa na vizazi vyote!

  • @saleheluvanga9929
    @saleheluvanga9929 5 місяців тому +1

    SALUTE bregedia General 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 5 місяців тому +1

    Hongera Baba yetu

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia Рік тому +2

    Kavalishwa Suti. Umenielewa? kavalishwa suti. Huenda atakumbukwa tena mwakani majira haya. Salute Mzee wetu

  • @AmbeleJames-cb1el
    @AmbeleJames-cb1el 5 місяців тому +1

    Tunapenda sana kutuletea historia za wazee wetu wazalendo ambao wanaongea ukweli.Mfano Mimi nilikuw sijazaliwa nimejua kwa kifupi historia ya amini.

  • @UzalendoNaUtu
    @UzalendoNaUtu 5 місяців тому +3

    Mzee kichwani yupo vizuri na hazeeki

  • @NassonEvarist
    @NassonEvarist 5 місяців тому

    mungu AKUBARIKI sana

  • @allynayomo485
    @allynayomo485 4 місяці тому

    Mzee bayeke namkumbuka alikuwa jirani yetu pale NACHINGWEA Mtaa wa Kilimani road akiwa CO aa 41kj majimaji,nakumbuka watoto wake akina Digna

  • @mayombomajenga9778
    @mayombomajenga9778 Рік тому +4

    Huyu mzee anamadini mazuri wajukuu na watoto wake wanafaidi sana

  • @mgeleka2378
    @mgeleka2378 Рік тому +2

    Very smart old man ✊

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 6 місяців тому +1

    ALHAMDULILAH MZEE MKRISTO LAKINI KASEMA UKWELI KULIKUA NA PROPAGANDA KUBWA KWAMBA ALIKUA IDD AMIN KULA NYAMA ZA WATU MZEE UMEWAFUNGUA MACHO ASANTE MUNGU ATAKULIPA. GOOD AND SMART VERY SMART 😅HAO VIJANA HAWAWEZI KWENDA MGAMBO WANAPENDA STAREHE 😅

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 5 місяців тому

      Mzee amenifumbua akili wanapotosha sana kuhusu Idd amini

  • @hassanabdulrahman9380
    @hassanabdulrahman9380 5 місяців тому +1

    IDD Amin dada Allah aiweke roho yake mahali pema peponi alikuwa mtu mwema sana propaganda hazitufanyi tuamini kuwa eti alikuwa akila nyama za watu tafuteni uongo mwengine kisa hasa alikuwa muislamu hakuna jengine

  • @alphoncenestorybishirangon1836
    @alphoncenestorybishirangon1836 6 місяців тому +1

    Safi sana

  • @liebechapuga7804
    @liebechapuga7804 6 місяців тому +2

    Mipakani ulinzi si mzuri sana Dar Wamalawi wajazana sana inamaana wanapita bila shida mtuambie kama mpaka wa Malawi uko wazi kabisa ?

    • @peterkariuki9073
      @peterkariuki9073 5 місяців тому

      Wewe hutaki wageni au? Wacha za ovyo!

    • @SurprisedDaffodils-jp3xi
      @SurprisedDaffodils-jp3xi 5 місяців тому

      Tembea uone ndugu yangu wa bongo wamejaa Malawi Kama kwao nenda Zambia Mozambique tumejaa watz

  • @marcominja8850
    @marcominja8850 Рік тому +6

    Serikali ni vema kufanya documentary ya vita vya uganda na wazee adimu kama hawa ambao wanazidi kupotea, ili kupata utajir wa historia ya vita ilivokua kutoka kwa wahusika wenyewe

  • @kijazi6506
    @kijazi6506 Рік тому +3

    Mzee aandike kitabu cha maisha yake...ana vitu vingi vya kusimulia, matukio ya kuvutia...

  • @EvaristoMlowe-yp3pu
    @EvaristoMlowe-yp3pu 6 місяців тому

    BIGUP MZEE.

  • @sebastiankilongo2052
    @sebastiankilongo2052 5 місяців тому

    Mungu ni mwema DC WETU jamani. Nafurahi kukuona bado kichwani upo vzr baada ya vita mwalimu hakukuacha akakuteua na ulitutumikia vizuri hakuna aliyekufahamu atakayekusahau. Binafsi nilikuwa primary school.

  • @salimmatitu5984
    @salimmatitu5984 6 місяців тому +2

    Watu waongo kweli,eti alikuwa anakula nyama za watu,tupo wengi tuliamini hii

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 5 місяців тому

      Wazungu ndio walitengeneza c aliwafukuza ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya

  • @ramsonhudson4013
    @ramsonhudson4013 Рік тому +2

    Chuma hiki 💪💪💪

  • @mathayomwashambwa1238
    @mathayomwashambwa1238 5 місяців тому

    MZEE YUKO FIT UFAHAMU NA MWILI, HONGERA SANA KWA KAZI YA KULITUMIKIA TAIFA

  • @user-ue3yv1or9c
    @user-ue3yv1or9c 6 місяців тому

    Very smart

  • @cairoshampeny
    @cairoshampeny Рік тому +3

    AFU ANATOKEA MAREHEM MMOJA ANASEMA JESHI LA TZ HALINA NGUVU

    • @jeffhard5773
      @jeffhard5773 6 місяців тому

      Hata mi nasapoti halina nguvu lingekuwa na nguvu utumbo na upumbavu wa ccm usinge fumbiwa macho na kuwepo Hadi leo

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 6 місяців тому

      Hapo Unataka jeshi litende matakwa yako Unataka jeshi lifsnyeje kama hari ya U salama ikopoa

  • @user-ly2tv5og1n
    @user-ly2tv5og1n 5 місяців тому +1

    Hongera sana. Umeweka wazi Propaganda za chuki dhidi ya Idd Amin. Hakika u mcha Mungu.

  • @hassankalwelamseya2562
    @hassankalwelamseya2562 Рік тому +1

    safi wewe mzee ndiye umeongea ukweli sio wale wanoa potosha watu kuwa Idd amin alikua anakula nyama za watu ,ukweli utajulikana tu muda ukifika

    • @mwlpierre
      @mwlpierre Рік тому

      Gaddafi alikuwa anajiona yeye ni bora sana kuliko Waafrika website kwasababu yeye ni mwarabu hataki kupingwa hadi na viongozi wenzake

  • @yasinmwegamile8329
    @yasinmwegamile8329 Рік тому +1

    Jeshi letu ndio imani yetu na usalama was nchi na bara letu.

  • @OswardMadege-gd7yo
    @OswardMadege-gd7yo Рік тому

    Ushauri kwa serikali kwa makamanda wetu ni kuwajali stahiki zao ili wakumbuke zaidi kazi waliojitoa mhanga maana nao ni wanadamu sio vyuma

  • @dottomatola5905
    @dottomatola5905 Рік тому +3

    Alafu linajitokeza jitu linasema nchi hii hakuna kilicho fanyika

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 Рік тому +1

      Huna akili ya kujifunza toka kwa shujaa huyu, Uzalendo wao ungeendelea kwa viongozi kama ilivyokuwa kwa wapambanaji hawa tungekuwa na maendeleo makubwa ni huu udwanzi unaoridhika nao bila kukokotoa muda kiasi gani umepita

    • @christopherkiswaga9270
      @christopherkiswaga9270 Рік тому

      Be blessed!

    • @mirajihassani2952
      @mirajihassani2952 6 місяців тому

      Kwanituko kwaajili ya vita alafu vile Vita vimetugharimu sana

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 5 місяців тому

      ​@@bcozhenry2698nchi gani hapa afrika mashariki inamaendeleo kusema wananchi wake Hawana shida tena kwamba cc tuwaige, shida mnataka kujifananisha na mbele wenzenu wanazaidi ya miaka mia mbili alafu aoao ndio walikuwa watawala wetu wanachuma malizetu wanakwenda kutengeneza kwao na ata nguvu kazi ya rasilimali watu wametuchukua cc kama watumwa wao tumeafanya kazi ngumu kwa mateso kwaiyo angalia majirani zako sio ulaya kwa mzee kama uyu hawezi ongea ujinga kama huo coz anajua tz ilipotoka mapaka sasa kunamabadiliko makubwa

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 5 місяців тому

    Hakuunashujaa kwenye kjmpiga iddi amini mana haikuwa vitaya kumuondoa etikwakikele kinacho ongelewa

  • @muhammednassor690
    @muhammednassor690 6 місяців тому

    Wasngereza au wamarekani nao wanaonekana wamehusika kutusaidia kupigana na Iddi Amini

  • @user-mr3fn1hc2y
    @user-mr3fn1hc2y 5 місяців тому

    Huyu ni shujaa.

  • @EphraimWekesa-je7gy
    @EphraimWekesa-je7gy 5 місяців тому +1

    Saba Saba

  • @meddixempire292
    @meddixempire292 Рік тому

    8:30 mzee umeongea pwent sana😂😂😂😂😂

  • @elevenfebo1372
    @elevenfebo1372 5 місяців тому

    hii ni CALL OF DUTY BLACK OPS kabisaa yaani 😂

  • @user-ie5ob7ue9r
    @user-ie5ob7ue9r 7 місяців тому

    Busara zaidi

  • @DeoKimbe-gt4op
    @DeoKimbe-gt4op Рік тому

    Mzee huyu na mfaamu nimwadilifu sana amesitafu hana gali hana shumba dsm nimwadilifu sawasawa mwl nyelele

  • @makhanguwakhutu2408
    @makhanguwakhutu2408 6 місяців тому +2

    Idd amin alitolewa kwa musada wa wamagharib Tanzania ilikuwa tu kivuli

  • @AyubuMbaga-hn1lq
    @AyubuMbaga-hn1lq 6 місяців тому

    Jeshi ndio kuna uzalendo

  • @DeoKimbe-gt4op
    @DeoKimbe-gt4op Рік тому

    Naalikuwa akipangiwa safari aliakikisha anabana bajeti pesa inabaki anailudisha selekalini.

  • @Wastara001
    @Wastara001 6 місяців тому +1

    Wazungu kwa kueneza propaganda hawawezekani

  • @mnamamnama2732
    @mnamamnama2732 Рік тому +1

    Nawashauri kama hamjafanya mgambo kafanyeni mnafanya kazi huku mnalinda nchi

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Рік тому +6

    Mashujaa babu zet walijitoa mhanga kupigania Taifa leo mtu anauza kwa waarabu??

  • @cairoshampeny
    @cairoshampeny Рік тому

    Nouma sana

  • @zambanirockfirefightingsupplys
    @zambanirockfirefightingsupplys 5 місяців тому

    Yuko chojo

  • @user-ks8oy9lt7z
    @user-ks8oy9lt7z 6 місяців тому

    Huyu mzee anakumbukwa mfukoni? au kila mwaka tu?

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 5 місяців тому +1

    Makosa kutoa mtu kwenye taifa lake kwajili ya utiifu kwa wazungu

  • @inukauleunywe5717
    @inukauleunywe5717 6 місяців тому

    Huyu mzee anaitwa nani....ni vyema kuwafahamu Wazee hawa walifanya kazi kubwa

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 6 місяців тому

      Anaitwa Brigadia jeneral Ambrose BAYEKE. muwe mnasikiliza mpaka mwisho kataja jina lake.

    • @inukauleunywe5717
      @inukauleunywe5717 5 місяців тому

      Ilikuwa kwa faida ya wengi.... Black mamba

  • @EliaMbise-el7hl
    @EliaMbise-el7hl Рік тому

    Safi sana