BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • #wasafi #thestorybook

КОМЕНТАРІ • 931

  • @mdigokhan8227
    @mdigokhan8227 5 років тому +619

    NYIE MNAOSEMA WA KWANZA KILA SIKU BASI LEO NIMEWAWAHI SEKUNDE 32 TU NIKO HAPA 😂😂HAYA NIPENI LIKE ZANGU ZA KUMWAGA YANI MNIPE LIKE KAMA ZIMELETWA NA UPEPO WA KISULISULI

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 роки тому +19

    Haya wahenga wenzangu mpo, maana kipindi cha hyu mzee tulikuwa wadogo ila kwasasa mhm sisemi sana gonga like twende pamoja wale mnaojijuwa ni wahenga 😅😅😅

  • @saadahamimu7596
    @saadahamimu7596 3 роки тому +63

    Nimekuj tena kuangalia baada ya kifo cha jembe letu maguful🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😭😭

  • @selemaniseja6328
    @selemaniseja6328 5 років тому +107

    jaman mnaoombaga LIKE mnakera kwel lengo la comments ni kutoa maoni juu ya kipindi ili kizidi kuboreshwa
    wabongp bwana...
    like mnafanyiaga nn...?

    • @geraldpallangyo7726
      @geraldpallangyo7726 5 років тому

      Like ni za kutangaza bei

    • @Being_Hussein
      @Being_Hussein 5 років тому

      Masenge sana

    • @hallin9561
      @hallin9561 5 років тому +4

      Hii ndio bongo zozo,, hawana maoni kazi likes tu.. Akili hakuna

    • @tiktokreposted12
      @tiktokreposted12 5 років тому

      zinaogeza hamu yakuingia yutube

    • @allykutenga2862
      @allykutenga2862 5 років тому +1

      Selemani Hamudu:
      Wanataka KUFIRWA tu labda,,ktk ki2 kinachokera kwny youtube bac ni hili jambo la kuomba like..,,M2 unafunguwa comment ili usome maoni yenye kuelekeza unakutana na huu upuuzi(ETI LEO NIMEKUWA WA KWANZA KWA HIYO NAWAOMBENI LIKE ZANGU!!!) Mwache m2 akawaombe wazazi wake huko...,,
      SMS SENT.

  • @chambotz9352
    @chambotz9352 5 років тому +420

    Nani Anayetoaga Hii Hotuba Namkubali sana Nilisahau Kumwambia Gonga Like Kwa WASAFI TV

  • @carlosbrayan5779
    @carlosbrayan5779 5 років тому +16

    Bado tunamkumbuka baba wa TAIFA. Siku zote kwa Wema, Haki na Utawala mzuri katika TAIFA LA TANZANIA. Rest in Peace.

  • @likevery3498
    @likevery3498 5 років тому +70

    Badala ya kutoa comment zenye maana mnaishia kuomba like.
    How come???
    R.I.P BABA WA TAIFA

  • @PAULMAKONDA-TV
    @PAULMAKONDA-TV 5 років тому +56

    kama unamkubali mtiga naomba like 50 apo chin

  • @karimabdallah3296
    @karimabdallah3296 5 років тому +351

    Wanao mkubali mtiga abdallah gonga like twende sawa

  • @happykimario8145
    @happykimario8145 3 роки тому +6

    Kama unaangalia hotuba hii baada ya kifo Cha magufuli tujuane 😭😭

  • @khamissathumany8392
    @khamissathumany8392 5 років тому +32

    Story nzur sana pongezi kwako mleta story ALLAH akujalie uendelee na huo moyo

  • @eunicejoseph3870
    @eunicejoseph3870 5 років тому +37

    Sjaanza ata darasa LA kwanza... duuuh busara nyingi na uwoga wa kufuja mali za nchi yake

    • @victormtani7170
      @victormtani7170 4 роки тому

      Una maanisha nini kufuja mali?
      Nani aliyefuja mali za nchi yake?
      Utoe na uthibitishe

    • @richiecharles2301
      @richiecharles2301 3 роки тому

      Nakumbuka nilikuwa chekechea..

  • @stephenmusyoka3938
    @stephenmusyoka3938 3 роки тому +14

    Mungu anaipenda Tz Sana, Watanzania Mungu amewapatia viongozi wenye Hekima lakini nyinyi hamuoni hivyo ila kuwaangamiza tu. Tuuma za bure tu badala muwashike mikono kukomboa nchi yenu. Mungu abariki Tz. Am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @joharhamisi9140
    @joharhamisi9140 5 років тому +12

    mtiga Abdallah 😘😘😘😘😗😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😗😗😗😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😗😍😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘😍😍😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @haburamidousady6166
    @haburamidousady6166 5 років тому +47

    Mtiga una jua uku burundi kwetu tuna kuku bali kinoma!!

  • @princenewton
    @princenewton 5 років тому +79

    Much Love From KENYAN'S 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 We love our Brothers Tanzania's 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Forever

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 3 роки тому +7

    R.I.P baba wa Taifa, R.I.P Sokoine, R.I.P Mkapa & R.I.P JPM.hakika nyinyi ni wazalendo wa taifa hili la Tanzania. Tutawakumbuka sana😪😭😭😭.

  • @officialmao
    @officialmao 5 років тому +73

    Nyie mnao omba like vipi tukishawa like mnafaidika Nini 😣

  • @armylee360youtube
    @armylee360youtube 5 років тому +12

    Unaweza kusimulia kama unampenda jamaa huyu
    👇

  • @augustmj4573
    @augustmj4573 5 років тому +64

    aliyesubriya kwa hamu kama mm naomba like zetu tuztengee hapaa 😋😋😋

  • @ramadhanmuhongo2271
    @ramadhanmuhongo2271 5 років тому +11

    W
    A
    140

  • @otegakamala645
    @otegakamala645 4 роки тому +4

    Mwalimu alitumwa na mungu aliyo yafanya hakuna atakae weza ķwani hakuwa na roho ya kibinadamu alikuwa na roho ya kimungu

  • @gibemarco5875
    @gibemarco5875 4 роки тому +16

    Wakongwe tuliohudhuria msiba wa JK NYERERE gonga like apa bado ya kwako tu R.I.P. the founder of our Nation###

  • @professorchurchillms1439
    @professorchurchillms1439 3 роки тому +49

    I don't know why Tanzanians are always lucky to have visionary leaders. God bless TZ from Kenya 🇰🇪

  • @masigejose429
    @masigejose429 5 років тому +85

    Wan musoma gonga like twende sawa 💪💪💪

    • @sultanmbogo701
      @sultanmbogo701 4 роки тому +1

      nadhani unakosea sana kumwita baba wa taifa hakuna zuri lolote alilowafanyia watanganyika au watanzania mm naamini bb wataifa niyule anaetawala sasa huyo bepari alilia kwa kuacha mali za nchi alizo faidi pekeyake bora alipo kufa maana angefedheheka kwa maendeleo ya pombe

    • @sultanmbogo701
      @sultanmbogo701 4 роки тому

      angekuwepo leo angeona aibu kwakukandamiza watanganyika amba wAlikombolewa na wazalendo kisha ikafutwa historia zao aliinyonya nchi leo ipo sawa inarangi yakijani yaneema

  • @derickkalinga5358
    @derickkalinga5358 5 років тому +10

    Kama ulikuwa unaisubili story hii kwa hamu ...tujuane

  • @queenkikoti49
    @queenkikoti49 5 років тому +46

    Nimeisubirisana ya leo

    • @godlistenmariwa2707
      @godlistenmariwa2707 4 роки тому

      Amepambania ya ile yate sema uyu mzeee niwachuga siyo butiama

  • @fasanitzfasanitz9631
    @fasanitzfasanitz9631 5 років тому +27

    Tulio zaliwa April pita APA👍

  • @dominicikuja7392
    @dominicikuja7392 3 роки тому +4

    Nyerere magufuli mkapa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿 nothing to say

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 років тому +38

    Kwan? Baba yake mzee
    Nyerere alikuw muislam?
    Nijbu mtangazaj

    • @richardtv8339
      @richardtv8339 5 років тому +2

      Kwn hujaelewa au hujackia???

    • @jotamhamis8625
      @jotamhamis8625 5 років тому +17

      Alikua na dini asili Kwan uislam uliletwa na waarabu na ukristo uliletwa na wazungu na kabla ya hao wote waafrica tulikua na dini zetu

    • @hajjiqasim5977
      @hajjiqasim5977 5 років тому +2

      @@jotamhamis8625 nikweli lakini ww kupitia dini hizi umejifunza nn?

    • @luganomwambulukutu5311
      @luganomwambulukutu5311 5 років тому +1

      Alikuwa hana dini

    • @luganomwambulukutu5311
      @luganomwambulukutu5311 5 років тому +3

      @@hajjiqasim5977 nimejifunza kuwa asili ndo muhimu kuliki kurithi

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 роки тому +3

    Maskin.....MKAPA na wewe jana tumekuzika kweli kifo hakina huruma
    Kama unaangalia hii simulizi..ukiwa na majonzi ya kumpoteza...RAIS wetu mkapa
    Like zenu😥

  • @trevanThis
    @trevanThis 5 років тому +15

    Axa nyie mmeambiwa muombe like au mtoe maoni ya kipindi aah mnafeli😈😈

  • @mikidadichande9488
    @mikidadichande9488 5 років тому +77

    Majira yetu haya yangekua wap sasa utumwa wa nchi Nyerere ameukomesha.Kama nko sawa nakukumbuka mtetez wa taifa langu

  • @thomasclemence8636
    @thomasclemence8636 5 років тому +15

    Iliumiza xana hyo hutuba. Gonga like

  • @kwizeraelly9261
    @kwizeraelly9261 4 роки тому +5

    Nilimlilia Rais wangu mwaka ule nilihisi km.Tanzania yooote tumekwisha ila nikakumbuka Yesu hajatuacha Watanzania.

  • @MyName-wd8cp
    @MyName-wd8cp 5 років тому +67

    Ukwel nakumbuka nilikua mdog ila nililia sana dah,, ufaham wangu ulikua mdogo sana ila cjui kwa nn machoz walitawara macho yangu! Mungu akupumzishe kwa amani🙏

    • @keyakeya8911
      @keyakeya8911 4 роки тому +1

      Pole Sana mm nilikua bado hata sijazaliwa

    • @MyName-wd8cp
      @MyName-wd8cp 4 роки тому +1

      @@keyakeya8911 🙏🙏

    • @fatumachombo5450
      @fatumachombo5450 4 роки тому

      keya Keya kweli zote zilikuwa juhudi za mwenyenzi mungu kuitoa Tanzania kwa mabepari

    • @tonyjohn8419
      @tonyjohn8419 4 роки тому

      Wacha uongo wew

    • @gervasjustn2842
      @gervasjustn2842 4 роки тому +1

      Mimi nilikuwa na miaka 14, hivyo nilikuwa naufahamu sana na nililia sana kwani kijiji kizima kilikuwa kinapiga mayowe ya vilio, na Mimi nikaungana nao Kwa kulia.

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 5 років тому +74

    Mbona hata usipoomba like Kama comment yako ni nzur wata like tu

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 4 роки тому +3

    Mwl.Nyerere Lala Pema Peponi Daima Unakumbukwa Na Tunakuenzi .

  • @prettynana6580
    @prettynana6580 5 років тому +17

    R. I. P 😢😢😢😢Baba Mwl Julius Kambarage Nyerere😭😭😭😭😭😭

  • @simonfilbert7008
    @simonfilbert7008 5 років тому +42

    Jamani leo nimekuwa wa kwanza kuisikiliza story book ya baba wa taifa rip mwl j.k. nyerere😭😭

    • @mohamedimganga1481
      @mohamedimganga1481 5 років тому

      mtiga elim yako kidato cha ngapi?

    • @creativetv989
      @creativetv989 5 років тому

      Simon Filbert subscribe @vanessamdee youtube chanel 🙏

  • @jisamjoseph4558
    @jisamjoseph4558 5 років тому +24

    Hivi Likes zinatumika kukopea bank maana kila mtu naomba like utahira unaanzaga taratibu

  • @franciskomba8057
    @franciskomba8057 5 років тому +15

    Wanao homba like washamba sana

    • @allykutenga2862
      @allykutenga2862 5 років тому +1

      Francis Komba:
      Wantk KUFIRWA..hapa kinaelezewa ki2 cha mcngi sana wao wanaleta USENGEEE!!!!!?,.

  • @CHALTV
    @CHALTV 5 років тому +51

    Kama kawaida big up mtiga kwa story kali, wasafi mpo juuu

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 5 років тому +31

    Nakumbuka
    Ule mwaka
    Nikitaka kwenda jando
    Wazee wangu
    wakagailisha
    year 1999
    Amen

  • @mawaidhatv8557
    @mawaidhatv8557 4 роки тому +12

    Oyoooooo
    One million
    Ambae ameshuhudia pls gonga like

  • @jacksonmeck80
    @jacksonmeck80 5 років тому +6

    Saiz mnazngua sana

  • @ismailismailmwaluseke2111
    @ismailismailmwaluseke2111 5 років тому +26

    Nomaaa aiseee.. Watu wanadai likes kama zinageuka pesa

  • @maesryclassic456
    @maesryclassic456 5 років тому +19

    Mtigaa unajuaa aiseeh ila unaniboaa kidg tuh.... Story zinachelewa kujaaa UA-cam aiseee yanii wikii nzimaa nimekaa naisubl uku etiii mana uko kwa redio cna time nzurii badoo 😢😢😢 But all in all Jamaaa weh ni balaaaaaa 🙆🙌😀💪💪💪💪💪

    • @eddyboi8476
      @eddyboi8476 4 роки тому +1

      Bro kumbuka kuna uandaaji wa story

  • @meshackkangwe7744
    @meshackkangwe7744 5 років тому +20

    Ila we jamaa sauti yako n tulivu haswaa hongerah kwa hlo.

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 5 років тому +10

    Dah I miss you Nyerere 😔 story ilivyoanza vimachoz vilinilenga kidogo asee pumzika kwa amani baba always in our hearts ❤️Shoutout to Jamal April shoutout to Mtiga Abdallah mko vzur vijana

  • @nassebabdul3786
    @nassebabdul3786 5 років тому +16

    Uwe unatoa kila cku story bado ya diamondplatnumz

  • @queen-vc6de
    @queen-vc6de 5 років тому +7

    Bibi baria anazidi kuwa mrembooo tu 😍😍😍

  • @hancpoper3470
    @hancpoper3470 5 років тому +26

    Wasafi ipo juuuu na itakuwa juu milele

  • @chizimndalu8537
    @chizimndalu8537 5 років тому +39

    Mtiga njoo uone tatoo kwa paja langu nakupendaga bure

  • @sk-wj9or
    @sk-wj9or 5 років тому +8

    Sauti nzuri katika mtindo wa documentary.
    Sehemu ya simulizi ipo sawa.
    Lakini inamapungufu mengi sana.
    R I P comrade. J K Nyerere.

    • @rashedabdalah1981
      @rashedabdalah1981 5 років тому

      Kama yapi kaka

    • @sk-wj9or
      @sk-wj9or 5 років тому

      @@rashedabdalah1981 kuna clips nimeunganisha hapo angalia

  • @stefanontandu2041
    @stefanontandu2041 Рік тому +11

    R.i.p Nyerere and Magufuli living legend in my mind

  • @foergivenessrupia7560
    @foergivenessrupia7560 5 років тому +5

    Jamani humu kila MTU yeya wa kwanza kusikilza mnaomba like imekuA chakula au pesa duuuh mnatia aibu

  • @fadhilbreez5781
    @fadhilbreez5781 5 років тому +7

    Nice

  • @sumillohabdallah3259
    @sumillohabdallah3259 5 років тому +14

    J.K WAKWANZA AKILI NYINGI SANA HUYU JAMAA, MIMI NAAMINI IVYO

    • @raymondnyami6815
      @raymondnyami6815 4 роки тому

      Mh ujumbe mzurii kwakwer uishi ktk mioyo ya watanzania

  • @akibamajaliwa2193
    @akibamajaliwa2193 4 роки тому +2

    Nyie bana haya matangazo yenu yanaleta kero bana, si muwe mnayatoa bana aaaaaaaaah....!!!!!

  • @sarahismail2968
    @sarahismail2968 5 років тому +10

    We kaka nakupendaga hatari😍😍😍😍

  • @dedancaleb153
    @dedancaleb153 5 років тому +19

    Wana musoma tujuane hapa kwa like zenu

  • @khalidsimiyu8075
    @khalidsimiyu8075 2 роки тому +15

    Tanzania is really blessed from nyerere to magufuli

  • @towerodispensary3255
    @towerodispensary3255 5 років тому +29

    Duuuh tanganyika nzima kumbe nae alikua (TO) Tanzania one basi tunamwita Tanganyika one oyooooo

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 5 років тому +25

    Story Book.... Asante kwa Kutuletea Story Ya Mwl J K Nyerere....
    Asante wasafi

  • @herryblobby7323
    @herryblobby7323 4 роки тому +1

    Nimesikiliza historia mwanzo mpaka mwisho ila dah kuna mambo mengi sana yamejificha kuhusu Uhuru wetu! Kuna mambo mengi sana yamejificha kuhusu harakati za kudai Uhuru! Naomba cku moja umuelezee Abdul Sykes ambae ndo aliyekuwa kinara wa harakati za kudai Uhuru! Bila ya huyu nyerere si lolote si chochote! Historia iliyoandikwa imewapotezea hawa watu muhimu!

    • @fikirinidominick2984
      @fikirinidominick2984 4 роки тому

      Uko sahihi, kuna wengi wamefichwa katka harakati za kudai uhuru

  • @mussaally1499
    @mussaally1499 5 років тому +99

    Rest in peace jembe mwali nyerere

    • @onesmokigomba8182
      @onesmokigomba8182 4 роки тому +1

      kwa wema wako hautokawia kuwa mtakatif baba yetu upumzike kwa aman

  • @fadhilmartin1419
    @fadhilmartin1419 5 років тому +10

    Hakuna kama mwl nyerere
    Hafanani na Rais yeyote

  • @Wixiboy224
    @Wixiboy224 5 років тому +4

    Wakwanza leo

  • @mbwambondimangwamichael6761
    @mbwambondimangwamichael6761 5 років тому +29

    12 minutes naombeni like zangu

  • @diacynthedia6295
    @diacynthedia6295 5 років тому +47

    Napenda Story zenu nikisikia nakua muturivu

  • @hancpoper3470
    @hancpoper3470 5 років тому +49

    Wasafi ipo juuuu na itakuwa juu milele

    • @nurdynhamidu9377
      @nurdynhamidu9377 3 роки тому

      aiko juu ipo chini alie juu milele ni mwenyezi mungu

  • @safarichui8551
    @safarichui8551 5 років тому +7

    Dah, yaani Baba wa Taifa alijinyima riziki na kuacha kufanya kazi yake ya ualimu ambayo ilikua ikimpatia riziki na kuchagua siasa ili kuikomboa nchi yetu Tanzania. Mungu amrehemu na amjaalie pepo, Amen

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 років тому +17

    Hao ndugu wengine wa wake 23 wako wapi

  • @shabaniramadhani4109
    @shabaniramadhani4109 5 років тому +55

    mwalim mwalim mwalimuuuuu R I P 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 naumia sana nikikumbuka msiba wako nililia sana aseee

  • @safnetpanea3860
    @safnetpanea3860 5 років тому +53

    Gonga like kama umependa

  • @akikamurua3622
    @akikamurua3622 5 років тому +21

    Wasafii nawakubali sana

  • @bakamuubakamuu1556
    @bakamuubakamuu1556 5 років тому +19

    Kwan like zinasaidia nn waomba like nataka kufahamu

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup1353 4 роки тому +3

    Ogopa sana watu wenye vimwili vidgo, nyerere na mange kimambii😁😁🙌

  • @macdonamasali
    @macdonamasali 4 роки тому +1

    Nashauri hii stori ihakikiwe,inavitu vingi vinaleta ???? .Hii inamhusu baba wa taifa so ingefaa ihakikiwe maana itasikilizwa na watu miaka yote ijayo

  • @joycefredrick2244
    @joycefredrick2244 4 роки тому +11

    R. I. P our hero....Bila Nguvu yako ww Tanzania tulikuwa Bado kwenye mikono ya wakolon.... Tunakukumbuka daima vizazi na vizazi hautatoka kwenye kumbukumbu za Watanzania... Pumzika Kwa Aman

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 Рік тому

      Sasa wewe mmekomboka nini nawakati bado wakoroni wapo

  • @queenkikoti49
    @queenkikoti49 5 років тому +76

    Ndo maana imechelewa kumbe ya baba wa Taifa

  • @kagileman5798
    @kagileman5798 5 років тому +4

    Sasa km nyerere alikua wazil mkuu wa kwanza Raisi alikua nan?

  • @franknamkoko8228
    @franknamkoko8228 4 роки тому +1

    BAB ULIE JUU WEWE NDIO BABA WA TAIFA.. HUYU ULIETUACHIA HANA LOLOTE NI SIFA......

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 4 роки тому +41

    Huyo ndio JULIUS bana a.k.a the brain! The hero and icon number one in the history of our continent.

  • @nurualli5441
    @nurualli5441 Рік тому +1

    Jemedarinyerere..tutakukumbuka.daimanadaima
    munguakupumzishe.kwaamani

  • @djfiremoto3429
    @djfiremoto3429 5 років тому +29

    MTIGA UNAJUA SANA MWANANGU🔥🙌

  • @fahimsungura775
    @fahimsungura775 5 років тому +7

    Mtiga leta story ya jengo la Taj mahal

  • @mwanzalimajmashimba
    @mwanzalimajmashimba 5 років тому +9

    Nyota njema huonekana asubuhi, pumzika kwa Amani baba yetu mpendwa.

  • @amosgaston8400
    @amosgaston8400 3 роки тому +1

    ASANTE BABA UMENIKUTANISHA NA BABA YANGU MAKONGORO JULIASI KAMBARAGE NYERERE

  • @hemedibabdallah125
    @hemedibabdallah125 5 років тому +41

    Rest in peace baba yetu ulitujenga kuwa na umoja bila kubaguana kimakabila najivunia kuwa mtanzania tutakukumbuka daima mungu hailaze roho yake mahali pema

  • @barakasamson7752
    @barakasamson7752 3 роки тому +1

    Akumbukwe Baba wa taifa mwl JULIUS KAMBARAGE NYERERE

  • @dinnahnyoni6301
    @dinnahnyoni6301 4 роки тому +6

    Haya ndiyo yakujifunza Safi Sana wasafi mtiga na hiki ndicho kipaji chako ambacho MUNGU amekupa 💞

  • @christopherlusendeka5557
    @christopherlusendeka5557 4 роки тому +1

    tumshukuru huyo mzee alie mshauri baba ake mwalim julias kumpeleka shule maana tungekua bado watumwa na hii korona tungetumika kama sample za chanjo ya corona

  • @kassimluzwiro3368
    @kassimluzwiro3368 5 років тому +26

    Daaah hamna ktu nachopenda kama hch kipindi naomba hata kwa weak kiwepo mara5 au 4

  • @gabrieljesus1018
    @gabrieljesus1018 5 років тому +3

    Mwitongo siyo mwitogo

  • @mohammedkibombe7361
    @mohammedkibombe7361 5 років тому +18

    Kama unampenda baba Wa taifa gonga like

  • @vixvicent9631
    @vixvicent9631 4 роки тому +3

    Daah kumbe nyerere alikuwa muislamu wazungu nyie

    • @abdunewton6376
      @abdunewton6376 3 роки тому

      Kwel ww chiz baba yak alikua ana din jinga ww

  • @happymaiko5121
    @happymaiko5121 5 років тому +8

    Msomi wa kizazi hiki anaechanganya simenti ajenge anyooshe mkono juu

  • @rammietv4907
    @rammietv4907 5 років тому +41

    WE GONNA MISS YOU DADY SO PAIN