Malkia Karen - Washa (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 18 жов 2018
- #KAREN #WASHA
Singer:Karen
ProducerMan Water
Video director: Joowzey
You can get in touch with Karen through
Instagram: t.co/RNslqlMwgR?amp=1
Twitter: malkiakaren?s=09
Email: kgardner094@gmail.com
DONT FORGET TO SUBSCRIBE!!
tuliorudia kutizama wimbo 2024 mpoo?
Beautiful and talented.... kapendezaje bila kukaa uchi...👍🏾👍🏾👍🏾🌺🌹💗 MashaAllah
Tujuane tulionza kuusikiliza huu wimbo in 2020 na kuurudia rudia 🔥🔥🔥🔥
Mm 2021 nimeurudiaa mara kumimumi
Finally, a great dark-skinned, soft-singing, fully-dressed, lovely-looking, GORGEOUS African singer comes along...PRICELESS❣️
@Lynn Anderson There are more singers like her, it's just that the singers that bleach get more attention
Kama unamkubal Karen gonga like twende Sana na Ana anikosha hatari
Nakukubali sana Karen
namkubali
Namkubali tena sana
ua-cam.com/channels/G1FZ7DTsz0NAh8IM6nNh_g.html
Safi sana, hatareeeee
CHONDE CHONDE CHONDE USIIHARIBU HIYO RANGI ....NA MIKOROGO....INAZEESHA MAPEMA..wimbo mzuri na wewe mwenye mzuri ..
Sina cha kusema hizi ndio ngoma za kitanzania mahadhi ya pwani tanga, Zanzibar, comoro, seashell
Alikiba kanileta hapa baada ya kuutaja wimbo wake bora anao ukubari. Na wengine waliokuja kwa kusikia kiba kautaja On Air with Millard Ayo Tujuane hapa.
same here
Huu mziki mkali saana
3 years later. I still love this song
hiyo tangiii tumeosave isiaribiweeee jmn careen acha like yako hap kama umekubali ngoma
Unajua kuimba hongera sanaa👌👌👌👌👌👌 bay vick
Ngoma Kali sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ndaga fijo kareen wangu
video kali mamy na mapambo nimepamba mimi thanks so much KAREEN
Gonga Like Kama Umeikubali, Umesikiliza au Kuitazama zaidi ya Maramoja! #Geof.CK
Geofrey Castory Safi
Hii nyimbo nimeijua baada ya marehemu lucky mashine kufariki mungu alaze roho yake mahali pema
Nimependa uvaaji wako siovizuli kukaa uchiii hongera sana
Kama unakubali Karen ni zaidi ya luludiva gonga like.
💯💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😍😍😍😍this song is on repeat 💯💯💯
Kali sana uko sawa sana malkia karen
Duh,yaani wakwetu kabisaa jirani yako hapa kwa Mzee mashiba duka la ngazi, mwanza nyegez,,,tunakukubali wamwanza nyegez wapi ma like yetu hapa
Nyimbo hainishi hamu jamani midundo ya kipwani 😍😍💃🏾
I really love this song,, I watch it every month,, congratulations Karen
Ila. Anaimba jamn kha sijawah mfatilia wa Moto Sana uwiiiii Milad asantee kunileta kuja ona kipaji
Heeeee hii yenyewe sasa wambie wajipangeeeee umewashaaaa
Nimepata mwandani wangu ndagha fijo wanyakyusa wekeni like hapa
Mungu aendelee kukusimamia mamiii
Mshike nga nga asije kuchomoka doze dozee❤❤❤
Je ne comprends pas comment certaines chansons ne recueillent pas des millions de vues. Iyi mwimbo mzuri sana. Nayi penda saaana.
Zile ngo ngo......kazi nzuri kadada
Sauti nzuri kama wew, wimbo haukwish utamu
balaaaa bongela ngomaaaa mpate habariii hatakama hamnaa bandooo
hongera Karen kazi nzuri
Mtowe nyimbo pamoja ata mimi nimeipenda sana nipo Canada 🇨🇦
Sweet song❤️
Unique voice ❤️
Congrats my lady
Napenda huu wimbo. Wajua kuimba ...
Kiba kanifanya nije sikiliza huu wimbo tena,eeeeee ndaga fijooo
Pole kwa kumpoteza baba 😭
Nyimbo nzr,hongera
Wimbo muzuriii na mahadhii ya pwan.... Umeua malkia karen
Tanzania lazima nizuru kabla nife, naeza enda missing kama mkenya. Huu ni utamu mtupu, ladha ya maisha ndio hii sasa.
Washaa ni wimbo mzuriii saaanaa saanaaa Karen umejuaa kuvaa uhusika mpaka kwenye video🙏🙏🙏🙌🙌🙌
Yani anapendeze
Ushauli usije badili muonekano
Ukavaa nusu uchi may
Nimepata mwenzangu ndagha fijo mm hapo tu umenimaliza Karen
Pamoja Wa kukaja mwenzangu
Yuko vizur wa kumyetu
Raphael Burton sanaaa
dogo yuko vzuri sijui mnyakusa
Kweli king kiba anajua mziki kanileta huku na mimi nishakuwa shabiki yako tena namba moja
Yule shoga amefariki ndiye kanileta hapa..wimbo mtamu sana
2021...... mapenzi bidhaa isiyo isha thamani 💖💖💖💖
Very nice ..big up lady ..go on ..never give up ..utafika pazuri sana..you have a guud song sound lady
Love you Caren, napenda unavyo vaa.. unajiheshimu 😍😍
Badae mkikosa kuolewa mnalalamika wakat mnakuwa mmeshaolewa kwenye music zenu anyway nice song karen like kama ww sio mchaw.
Wallah maneno yahii nyimbo n qonk an ✌✌✌moooo than 🔥🔥🔥🔥 big up san dada
aaah huu mwanamke nimzuri sana wallah😍😍
Nakutabiria kufika mbali Karen, with discipline and hardworking success is on ur way, usitake kuishi kistaa zaidi ya unavyoishi inatosha , wimbo mkali sana
Nan kaja apa baada ya king kiba kusema anaupenda huu wimbo aweke like hapa kwangu
Nilijua tu nitakutana na comment hii haafhahaha
🤣🤣🤣🤣yani nimeusakanya hadi nimeupata🤭🤭🤭🤭
Kweli ngoma Kali ongela mm
Mie moja
Hongera sana Careen! Wimbo mzuri sana!
Duhhh washa kwelii big up madam washa imenikuna voice km yote 👏👏🙌🙌🙌
Nyimbo zako zote🔥🔥🔥🔥🔥
Huyo wa kusasambua naye daah😲😲😲😲
uuuuh wow!! washa washa mamaa!!!🙌🙌 such a wonderful song!!
Nakukubali sana #karen uko na talent nice song
Napenda kila kitu katka muziki wako mdogo wangu
Pendeza!! mamy iko vizuri
Simply the best! Keep up the good work Karen.
Ebanaeeee kichupa kikaliiii!
Big up sanaaaaa
Mwimbo mxuri kwann view chache? Where is my Tanzanian peoples? Show some love to her plz. I'm here to support wa tz wenzangu. Love this GIRL
From New York
Dope tune...Moto sana
Daaaah karen mbonge la dude nakuelewa sana mdogo wangu
huu wimbo umeniwasha kweli,inspiration song God bless you Karen
Awwwwww yaaani video traam balaa kweli ni #WASHA....keep the gud music alive Karen🔥👌
Una kasauti kazuri kabisa♥
Malkia kweli umewasha moto wa mahaba...you're song iz good .na haichoshi.....love it....stress lazim ipungue...
Good Musik! Keep on being GREAT!! I penda this song sana sana.
Makin Sana ngoma love🌹🌹
Jicho jichoo😀! Nyimbo nzuri Karen
Aiseeeeee my dada umetishaaaaaaa yaaani umewashaaaaaa washaaaaaaaa big up nyc voice, good looking beautiful face your perfect
karen ukwel ngoma kaliii
We! Malkia Karen, unatubamba kivileee!
si watu wa mbeya tumesikia NDAGA FIJOoooo 👍👍 ngoma kali 😀
waoo careen unajua Sana nasema hivi watapata tabu Sana watakaojifanya kushindana na wewe wewe ni 🔥 tena wakuotewa mbali mungu akubariki
Nakwamn totoooooo,,, nimelike kabla cjaangalia... Qal #👑
Nice congratration hard work hard
Uwiiiiiii!!! Pressure sasa imeshuka. Maana nilikuwa naona maruweruwe. Karen wangu
Washaaaaa.....Fireeeeee
Hi kichupa ni hatar
God bless you...
Ufike mbali. Umekuja na Moto...
uko sawa malkia, always foward
kazi mzuri mdongo wangu
Qalii! Nmecklza zaid ya Mara moja nkaamua kabsa kuipakua!.. 👏💪
Ila ngoma imedamshi 👍good job #Kareen love you 😘
Tamu tamu 😍😍😍😍
Mrembo uko na uwezo saana, Super HOT Jam
Kazi nzur
Inapendeza, ndangha fijo
Kama umekuja baada ya clip ya lacky moyomashine gonga like
Mi pia aisee
Kama umekuja baada ya intaviu ya Millard ayo tujuane
😀😀😀😀😀
ivi ulijuaje maan nmekuja kwa hilo tu
Haaaa tupo wengi
Nipogo
0
Uwiii kinyaki onfleek 😘😘
Ndagha fijho
SOOOOUH !!!!! ...STILL LOVE THIS HOT ONE,,, ....NOW & FOR EVER....Love u KAREN
Wow nice song love you careen ❤❤❤🍓🍓
Ngoma kali sana nakubali 💯✅🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Good song. Ubarikiwe mdada mzur wewe.
Kichale cha moyo wangu 😍😍 zile ngongo zimepata( )
Kali sana hii karen...it's a huge progress the future is bright mama keep shining
Reeeeeplay!! Wimbo mtamu! 💗💗💗💗
hongera sana ngoma kali sana