wakati unajiuliza ni nani katoa hit Tanzania wambie ni best vocalist wa east Africa na siyo wa bongo natafta ndugu zangu wakenya APA +254 na nyinyi mwenyew wa tz +255 naomba like please kama umependa maneno ya hii ngoma yetu.
huyu jamaa anajua sana yani bongo huyu ndio msanii bora kabisa sema sijui nyota hawo wakina mond na kiba hawafiki kwa huyu, Kama unakubali gonga like twende sawa
hii ni hit nyingine kutoka kwa best vocalist in Tanzania ngoma inaitwa washa na ni washa kweli bro ngoma usha tupatia mashabiki natangaza lasmi hii ngoma siyo ya kwako niyetu sisi mashabiki😹😹 wasoma comment wapi twende na like apa👍👍👎☝
YOHANA MOHAMEDI hahahaha aya bn ujue uyu jamaa ni muda ajatoa hit song kwaiyo alivyo itoa hii ngoma nikasema hapahapa maana siyo kwa mistari hii kiukweli kanikuna sana uyu barnaba
Yaga Don’t be selfish baby (aha yaga) Abbah! Niliye naye hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa) Mie jiki.... (washa) Maji mwenzake koo oh Tucheze kidalipo oh Huko ulipo oh Salamu zikufikie Yameandikwa maandiko Usiibe mboga usilambe mwiko oh Kurudi kwako ni ndoto ah Usitake ajirudie Nile naye kwa siku mara tatu Kama mgonjwa wa homa Nikiumwa na pona Dozi nzuri yaani ile kuona Penzi ukalivika ngozi ya chatu Vya kupika ulichoma Penzi ukaliunguza Unataka kurudi hapana Maana Niliye naye hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa) Mie jiki.... (washa) Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa) Mie jiki.... (washa) Nah nah nah... Nah nah nah nah... Hmmmmmh…. Nah nah nah... Ukiachwa achika Ukimwagwa mwagika Ukitemwa temeka Penzi mbovu ya nini kung'ang'ania Roho unaisononesha Moyo unaukondesha aah Wakati hujapendeka Wako wengi wanaokutamani Kaaga kaenda kwa mama (mdogo) Waja kumfuma gaba (majogoo) Ya nini kujisononesha Mtoto mdogo wajipaga pressure bure Nile naye kwa siku mara tatu Kama mgonjwa wa homa Nikiumwa na pona Dozi nzuri yaani ile kuona Penzi ukalivika ngozi ya chatu Vya kupika ulichoma Penzi ukaliunguza Unataka kurudi hapana Maana Niliye naye hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa) Mie jiki....(washa) Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa) Mie jiki.... (washa) Read more at: afrikalyrics.com/en/barnaba-washa-lyrics
Ngoma classic kutoka kwa barnaba classic.producer habba process classic, kwetu studio classic mashabiki wa barnaba classic, team good music classic wasoma comment classic hata wew classic.
Huyuu anayetengeneza hizi beat yuko vizur balaa hata beat ya maua sama ya #Iokote ilibamba balaaa hata hii ya #Washa itabamba balaaa,aisee huyuu the mixing killer abaaaa ni hatariii
Ujawai niangusha mzee baba!ni mmoja kati ya kati ya mashabik wako wa muda wote ila fanyeni mambo ili ugonge collaboration na king kiba kaka💪💣🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
My favorite Tanzanian artist. Always singing sense. Kenya pia Tunakubali mashairi yako bro. Hii tutaila mara tatu kwa siku. Pongezi bro, hii kazi ina#washa!
Wow kumbe ni hii file song ukiachwa achika ukimwagwa mwagika so nice aki big up sana barnaba imeweza kama umeikubali hii ngoma kama mm naomba gonga like apa penzi kiberiti washa from Kenya 👌👌👌👌👌👌👌👌💃💃💃💃
I heard this song play at a local joint. Thought it was harmonize. The only word I could get is washa. Googled it entering harmonize as the artist but it brought barnaba. Clicked the video and boom it was the correct song. Damn the song is everything. Mad love from Zambia.. ❤❤❤❤
They say French is the most romantic language, they obviously havent heard Swahili. Ukiachwa achika, Ukimwagwa Mwagika, Ukitemwa Temeka...Penzi ukalivika ngozi ya chatu, Vya Kupika ulichoma!! Kali sana.
Wimbo huu mtamu mpka basii nasikilizaaaa siuchoki beat Ilo hatari mashairi yake ndo nashindwaaaa hata kuzima redioooo Mr B.C. hii song umenikamata @%%%%%💪💪💪💪
I heard this song for the first time in a matatu today.... and I was like mmmmh dope song! Why is it that I haven't heard of this guy!!! Mimi mbiyo kwa you tube Napata kumbe kuna Barnaba!!Awesome stuff!! Now my finger is on the replay! Washa!254
this is the best song barnaba classic has ever released...ask me why? coz he comes out differently but it turns out being different is an amazing thing...this song is a 🔥 🔥 hit
Who is here 2024? Tunakiwasha full force💥💥 Kenya well represented....guza like tukisonga
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Bongo songs⁰0⁰⁰⁰⁰0⁰⁰@@margaretachieng3083
nipo hapo baibe
@@faithmurunga3766m jutkk k it
Hii 2024 wimbo kama umetoka leo hivi..
Gonga like yako hapa aisee
This guy is always underrated,
Wakenya like hapa kama unamkubali..
binben martin He's not bwana, sisi hatuunderrate artist wetu, Barnaba yuko juu.
Imeweza
THhis guys is good jamaa ako poa ametulia ki mziki
Yea I think he is too but he's so good...
Ok
2023 tuko wapi,,,, likes tafadhali.....alaf mniskume nifikishe 200subs please 🙏🙏
This song helped me heal after heartbreak😢 aki mapenzi wewe 💔
wakati unajiuliza ni nani katoa hit Tanzania wambie ni best vocalist wa east Africa na siyo wa bongo natafta ndugu zangu wakenya APA +254 na nyinyi mwenyew wa tz +255 naomba like please kama umependa maneno ya hii ngoma yetu.
mfalme wa muzik
Tupo sana
Fatuma Kadute nakubali sana
philipo shilingi mamb fireeee
Umetishaaaa
Nilie naye Hana kasoro jamani 🌹🌹🌹🌹humwimbo na hipenda sana
Daah 2024 , nakumbuka kipindi niko advance soya high school chemba ,soya Dodoma ,kambini much love to all people over there😊😊
Barnaba uko vizuri 🎉🎉🎉🎉🎉 good job
Ukiachwa achika,ukimwagwa mwagika, ukitemwa temeka😅😅,,Ngoma iko juu Barnaba Classic❤
Wamboh Penainah ahahhahahaa imechomaaa hiyoooo
😀😀😀😀👍🙏
Tammmmmmh 👌
😂😂😂😂❤❤
Nimuelewa sana
Jamani sijachelewa na washa huku🔥⚡ nami kali nakuambia.. wa kuachika achika wa kumwagwa mwagika wa kutemeka temeka... na wa kulike tulike hapa🙄😅🇰🇪🇷🇼🇹🇿
ndio maana wadada wengi huwa wana data na sauti yako bro kiukweli unajua kupangilia mashaili siwezi choka kusikiliza hii ngoma ya taifa.
Huyu jamaa kitambo anajua sema nyotaa ndo tatzo#hii ngoma qalee saana
ramah Jr kwa nafasi aliyo nayo inamtosha tu kwani hauwez taja wasanii bora 10 Tanzania ukamuacha barnaba kwaiyo yuko juu sana
Barnaba hakika hii ndo tunaitaga #UMEKUA 100% uko updated kaka ......gonga like kama umemkubali......#BARNABA
Don't be selfish Baby 🦉💚🇰🇪🌍
huyu jamaa anajua sana yani bongo huyu ndio msanii bora kabisa sema sijui nyota hawo wakina mond na kiba hawafiki kwa huyu, Kama unakubali gonga like twende sawa
Moto kwa Barnaba classic ngoma nzuru sana kaka gonga like yako hapa
hii ni hit nyingine kutoka kwa best vocalist in Tanzania ngoma inaitwa washa na ni washa kweli bro ngoma usha tupatia mashabiki natangaza lasmi hii ngoma siyo ya kwako niyetu sisi mashabiki😹😹 wasoma comment wapi twende na like apa👍👍👎☝
philipo shilingi duuuuh! kweli ww team Barnaba co kwa comments izi🐒mpaka nimechoka Ku...like
YOHANA MOHAMEDI hahahaha aya bn ujue uyu jamaa ni muda ajatoa hit song kwaiyo alivyo itoa hii ngoma nikasema hapahapa maana siyo kwa mistari hii kiukweli kanikuna sana uyu barnaba
tisha sana kaz nzuri
endelea na huo moyo
Salute kwa #Msafiri Director kwa Shooting kali Na Big up kwa #Barnaba kwa Nyimbo kali Sana
Naomben 👐 like kama pongezi wadau
#washa.....👍
@KWETU STUDIOS #appreciate Mkuu
Barnaba fundi dogo yaani umegusa moja kwa moja mmmmh juuu xaana
Yaga Don’t be selfish baby (aha yaga) Abbah! Niliye naye hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa) Mie jiki.... (washa) Maji mwenzake koo oh Tucheze kidalipo oh Huko ulipo oh Salamu zikufikie Yameandikwa maandiko Usiibe mboga usilambe mwiko oh Kurudi kwako ni ndoto ah Usitake ajirudie Nile naye kwa siku mara tatu Kama mgonjwa wa homa Nikiumwa na pona Dozi nzuri yaani ile kuona Penzi ukalivika ngozi ya chatu Vya kupika ulichoma Penzi ukaliunguza Unataka kurudi hapana Maana Niliye naye hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa) Mie jiki.... (washa) Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa) Mie jiki.... (washa) Nah nah nah... Nah nah nah nah... Hmmmmmh…. Nah nah nah... Ukiachwa achika Ukimwagwa mwagika Ukitemwa temeka Penzi mbovu ya nini kung'ang'ania Roho unaisononesha Moyo unaukondesha aah Wakati hujapendeka Wako wengi wanaokutamani Kaaga kaenda kwa mama (mdogo) Waja kumfuma gaba (majogoo) Ya nini kujisononesha Mtoto mdogo wajipaga pressure bure Nile naye kwa siku mara tatu Kama mgonjwa wa homa Nikiumwa na pona Dozi nzuri yaani ile kuona Penzi ukalivika ngozi ya chatu Vya kupika ulichoma Penzi ukaliunguza Unataka kurudi hapana Maana Niliye naye hana kasoro Ya nini nipashe viporo Uliniacha totoro Bila ya godoro Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa) Mie jiki....(washa) Mpenzi kiberiti (washa) Siwezi kumsaliti (washa) Yeye sabuni mie jiki (washa) Mie jiki... (washa) Mie jiki.... (washa)
Read more at: afrikalyrics.com/en/barnaba-washa-lyrics
umetisha
Thanks for posting
H
K
Kwel
Great poetry......big tune❤❤❤
Barnaba hii song ni kali sana bro ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🌹🌹
leo nimetanguliza nyote....nipee likes jameni kama unamkubali barnaba classic
Amazing song
TRENDING hatari sana
TRENDING balaaa tupu Broo hujawah kosea asee nakukubali maishaaaah
TRENDING jeshi yamtu mmoja
Ata mie namkubariii saaana kwa kaz ake nzr aise
Kama ulikuwa kwenye mausiano alafu waka kusaliti gonga like hapa.
Umetishaaaa
Umetish bro anaungana nam kua barnaba nimoto mwingne alike twende sawa
Who's here 2020??? Love from Nairobi Kenya ❤ +254...
Twaipenda Sana💖
⚘
love love
Iko tamu
2024 Kenyan here lazima tuwakilishe
Kenyans let's subscribe for this gus wachaneni na diamond
Penzi bovu ya nini kung'ang'ania... Wangapi tunatemeka with immediate effect.? I am inspired 😋
haha we are here
Chero Koskei very true experiencing that..how I wish ungeni in box kwenye face book account yangu kevin arwa
You are stupid
Tumeachika😩
This carried my emotions. Hope such love is available
Ngoma classic kutoka kwa barnaba classic.producer habba process classic, kwetu studio classic mashabiki wa barnaba classic, team good music classic wasoma comment classic hata wew classic.
Umetishaa sanaaa bro awakuwezi penz kiberitii washaaaaaaaaaa aaaaaaa aaaaaaa!!!!!
One of the most underrated bongo Artist of all time. Mad tune here and tonnes of talent.
He is kenyan
Exactly 🙌🙌🙌
Am from Kenya and I've been his fan for the past 12yrs.He is surely underrated
Nkbl
2023 and we and still here, thumps up for Barnaba😍
Duuuuuh nimechelewa ila nimekuwa wa 91 sio mbaya ukanipa na mim like kwa ajil ya BC
@@SilverMediaOnline vip mbona wacheka
@@SilverMediaOnline Kwa nin usianze ya kwangu then mim ntasubscribe2 bila wasi wasi
@@SilverMediaOnline ok tayali na kwako
@@nellyjakobo9214 majanga yapi tena
Huyuu anayetengeneza hizi beat yuko vizur balaa hata beat ya maua sama ya #Iokote ilibamba balaaa hata hii ya #Washa itabamba balaaa,aisee huyuu the mixing killer abaaaa ni hatariii
Ni Abba mwenyewe fund sana
Penz kiberiti washaaa
Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz nasema hivi HII NI YENYEWE KBS 🔥 👐
Barnaba kiboko
hahaha. kweli penzi kiberiti Washa kabisa
Barnaba umeweza I love the song
True I love it❤❤❤❤
Safi sana bro always we need soul touch musics achana na masebene yao.
walai mm nakukubali sana bro am your big fan mungu akupe pumzi zaidi,uzidi kutesa.
team barnaba naona like zenu hapa twende sawa
sawa
haji khamis team barnaba 😍😍
Nice
Noma san
napenda hiyo song
Daaaah hii ngoma kali sana aiseee daaah penz kiberit #washaaaa
Kiukwer ngømã iko xawa ñice project jaaaah!!!!
Kama unatumia mashairi haya kumjibu ex wako aliekuacha kisa Huna mtonyo saivi anakuona na mawe anajileta leta.. Gonga like
Akiiii mtonyooo😂😂😂😂❤
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂nakubali sana barnaba
😢😢🎉🎉🎉 TT 😢😂😅😮😮😅😅😅😮😅 0:58 😅😅😅😅😮😮😮PuesiPuesi
wimbo mzuri. video queen nae ameutendea haki huu wimbo. nani anipe jina la huyu dada??
Nakupeda
Washaaa
Hâta Mimi amenipendeza kweli yuko kawaida sio wengine huleta mashauzi taka
neema lkiswaga true
G
Tisha saana.. Gonga like twende sawa.
cwez kusaliti washa penda sana barnaba
Nice
Mmmmmmm ngoma za jamaa huwa zinanitibua hakili aisee
Nyc song I lyk it
Nice
Aminini nawambieni kua barnaba sio bidadam wa kawaida,
Huwez amin nikiwa nasikikiza huu wimbo napata matumaini kama kwel nmeachana na mtu ambae akinitesa sana
Imagine Sina ata mtu ata kama ni mkisii aniimbii hii Ngoma🥰🥰🥰
Mkisii niko hapa
Ujawai niangusha mzee baba!ni mmoja kati ya kati ya mashabik wako wa muda wote ila fanyeni mambo ili ugonge collaboration na king kiba kaka💪💣🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ukiaachwa achika
Ukimwagwa mwangika
Ukitemwa temeka
Pezi bovu yanini kungangania
Roho unaisononesha
Moyo unaukondesha
nimefeli sana mwenzio kwenye sekta hii boy...
@@saleheinnocent7636 ukiaachwa achika. wapo wengi wanakutamania kaka
Song ni nzr sanaaaa!!!!hakika imetisha,
Wapo wengi wanokutamanii, mtoto mdogo wajipa pressure bure, big up Barnaba
Nice
Maufundi kama yote hivi!ni bonge ya ngoma!
I have been Barnabas' fan for the past 10 years..the guy is talented. 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Kazi safi sana kaka...hongera...all the way from Nairobi....can't help but replay....kudos!
My favorite Tanzanian artist. Always singing sense. Kenya pia Tunakubali mashairi yako bro. Hii tutaila mara tatu kwa siku. Pongezi bro, hii kazi ina#washa!
Calm Media Official waambie jua kali na khaligraf wafanye mzikimzuri waache wivu
Barnaba umeuwa
Kazi nzuri kaka barnaba yaan ni mwendo wa kuwasha !!!!!
Shikamoo Mwl
Kibongo bongo sioni wa kumfananisha na Barnaba
You're the best artist
Sana ukiachwa achika bonge la songi😍👌👌🔥🔥🔥 naipenda sana hii nyimbo daah
Dah bongo hakuna goma kama Hilii✌️heshima kwako my bro classic
Bado kama naona huyu jamaa hapotei "classic" 👏👏
Kama unaangalia video pamoja na Mimi na unamkubali Barnaba weka like yako hapa twende sawa
Tupooo
Nom san
👎
Nimeielewsna
2024 bado hii ngoma iko juu sana❤❤❤💪💪
Naeza taka sana ex wangu auone huu wimbo Jamani
Nakukubali sana kweli ww ni muimbaji
🔥👌👌
Barnaba is good. Very classic guy. Always coming out with nice songs. Love the girl too.
hii ngoma ni moto TEAM ANT WASAFI semeni hii ni moto
Yachomaaaaaaa
Wow kumbe ni hii file song ukiachwa achika ukimwagwa mwagika so nice aki big up sana barnaba imeweza kama umeikubali hii ngoma kama mm naomba gonga like apa penzi kiberiti washa from Kenya 👌👌👌👌👌👌👌👌💃💃💃💃
Nimerudi tena can't tired of this diamond anasikiza hii iliweza sana shairi kama yote weka like tukisonga
Akianani....wooooi ngoma kali....254 semeni Barnabas ni krimimoo
Exactly
Kriminoooooooooo....
Yaga
Napenda mpaka basi sichoki kusikiliza.Hongera sana kaka nyimbo zako huwa ni kali sana hazina mbwembwe kila wakati zinasikilizika popote na muda wowote
BONGE la dude barnaba classic....what a beat,what a melody...
bonge la song aseeeeeee..em tupia like lako la nguvu..maana washa kweliii..
WAngap wanamwagwa hamwagiki kama mm like apo chini kama zotee twendeee sawa mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Penzi kiberiti washa🎶🎶💃💃💃😅😅
Very talented! Mungu akuvushe mipaka,go and seee the world!🌍
Huyu ni fundiiii hapa bongo wachache sana mmojawapo no barnaba
nimeupenda sana huu wimbo nimeusikiliza zaid ya mara 10 big Up bro
I heard this song play at a local joint. Thought it was harmonize. The only word I could get is washa. Googled it entering harmonize as the artist but it brought barnaba. Clicked the video and boom it was the correct song. Damn the song is everything. Mad love from Zambia.. ❤❤❤❤
Nakuelewa sana king of bongo flava unajua kuimba kuvaa pia pigo zako safi
They say French is the most romantic language, they obviously havent heard Swahili.
Ukiachwa achika, Ukimwagwa Mwagika, Ukitemwa Temeka...Penzi ukalivika ngozi ya chatu, Vya Kupika ulichoma!! Kali sana.
Barnaba kaweka mashairi mujarabu sana kwenye huu wimbo
Wimbo huu mtamu mpka basii nasikilizaaaa siuchoki beat Ilo hatari mashairi yake ndo nashindwaaaa hata kuzima redioooo Mr B.C. hii song umenikamata @%%%%%💪💪💪💪
woooooww😍😍😍😍😍😍 love you barnaba the best tz vocalist 😘😘
Who is here 2025??
I usually never comment on those SONGS but when it comes to my inspirational artist I comment. Barnaba Classic am your number one from the word Go
Ben 10 wowngoma tamu xex
Wanaume wote mikono juu,kwa pamoja viporooo hatuliiiii
Barnaba kaka mzito mwenyewe, "Ukiachwa achika, ukimwagwa mwagika, ukitemwa temeka penzi mbovu ya nini kung'anga'nia, still enjoying ngoma zako 2020 June Quarantine
I heard this song for the first time in a matatu today.... and I was like mmmmh dope song! Why is it that I haven't heard of this guy!!! Mimi mbiyo kwa you tube Napata kumbe kuna Barnaba!!Awesome stuff!! Now my finger is on the replay! Washa!254
Actually he's the one who inspired diamond but it's like He has a different T.A (Target Audience).
2024 anyone?? This man has always got taste and class❤❤❤
11 Dec❤❤❤❤🎉
The brother Barnaba keep dropping BANGER after BANGER...I 💙this song, is on repeat like everydayyy...East Africa is locked in
Tc so splash Bruda kama tupo pamoja acha like yako hapa big up always ma fanny b boi
Mm personal
Nimeipendaaa sanaaaaaaa audio uwiiiiiii
Unawezaaaa ikula tamu tamuuuu
Ujumbe mtamuuu mnooooooo#washa
I love it brother BIG UP bro naikubali 100%
Wewe siyo msanii ni mwanamziki wakuelewa wataelewa...big up barnaba boy
Mr classic.. Penzi povu ya nini kung'ang'aniaaa
Barnaba always on point,my all time favourite...watisha Sana Kuliko jina lako kwa bible.. Sitaki likes
Mpenzi wangu hananichka heti cjawai kupata like hata kma unaamini ujamaa ana tarent achia like yko
Unaishiwap
Ngoma kali kinoma
Hujawahi kosea nakukubali sana brow
Nyimbo nzuri sana ,video safi,lyrics meaningful ,pongezi zetu Barnaba kutoka USA twaburudika😍🥰
Tumewasha na Tigo Wasafi has brought me
I just subscribed and liked
Tigo performance wa fire
Polé saana na msiba barnaba wangu...na umiya ku kuona una liya kwenye msiba wa Ruge!!!from DRC.
Mambo
Hlw
this is the best song barnaba classic has ever released...ask me why?
coz he comes out differently but it turns out being different is an amazing thing...this song is a 🔥 🔥 hit
Always ukoseagi bro hii nayo 💥💥💥🤙
Kiukwel hii vyimbo tamuuuuuu daaah yan siichoki 👏👏🔥🔥🔥
🔥🔥❤❤
Penzi kweli kiberiti,,, my favorite ❤️❤️❤️
One Africa 🇸🇴🇸🇴🇸🇴 from Somalia, I rly love African music and I am proud to born in this continent
L
❤❤❤