Dah kiukweli jolie iinyimbo inaniliwaza Sana ktk nyakati za mawazo naipenda Sana nimeamua ku give up ktk mpnz niwe single mpnz yanaumiza Sana ACHA NICHUNGE ULIMI WANGU USIJE UKAPONZA KICHWA
wimbo ulionifanya nikawa chizi kipindi unatoka na nilikua very stress za x 😩😩😩😩🥺🥺ulinipa nguvu na kuanza upya kweny mapenzi asante jolie 😫😫😫😫😫acha nichunge ulimi wangu nisije nikaponza kichwa 😩😩
Mama sasa tumalize maana akuna binadamu asielewa mziki wako kwa sasa mchawi pekee ndio atakae shindwa kuuelewa mziki wako maana mpaka wanyama wanatikisa mkia. Unatisha sana
Jolie nakupenda napenda sauti yako napenda kila kitu unakipaj sana mungu akutangulie na akuongoze katika kila kaz zako wewe n star nakuona mbali sana 💕 💕
Hongera sana Dada, Kazi nzuri..Ombi langu ni lile lile USILEWE USTAA MAVI MAVI, you are just one of our very own future female artist tunayekutegemea dear.
Few years i was here crying 😅😅😅now 2024 am here laughing after knowing love is a scam 😂😂😂...mapenzi i hate you 😂😂🤣...in short mapenzi yana wenyewe... anyway life must go on😊😊😊
NILITOKA MACHOZI MWANZONI SASA NIMESHAZOEA.......... NIMEAMUA NIACHE MAKERERE MPAKA SIKU UKAE UNIELEWE KWAMBA MIMI NDO YULE..... Nakukubali sana sister angu.
Huu mziki ni mzuri sana Jolie, jitahidi usome comments za watu hapa, wana ushauri mzuri, utakufikisha mbali. Kamatia hapo hapo aisee. Angalau sasa nimepata msanii Wa kike Wa kumkubali, maana kwa mda mrefu sana nimekuwa na Wa kiume
kwa Mara ya kwanza kabisa nmekufata you tube kuchek hii ngoma maana nmependa melody yake na jinsi ulivoimba actually unastahil support yetu Dada jolie kaz nzur umefanya. big up.
Km mtu humtaki bora uondoke fuata huyo unayempenda kuliko kukaa na kumuumiza mtu innocent ,Jolie big up Dadangu Kuna watu wenye tabia km hyo yamekaa tu they don't care about others feelings ,
Daa THT aijawai kumuacha mtu slama jolie unajuaa mziki mama daaa ila nimeumia kifo cha Dada ako Jessie q daa asee nayy alikuw anaimba kama ww lkn leo amesha achana na yadunian daa rest in piece Jesse q 😢😱😱
i wish nothing but alwys best for you...!! pure melody... full mashmash kama umenitungia mie aka kajimbo...!! sema unaanza vizuri usituvuruge uko mbele...!! love you so much
@Jolie official keep up the good job ,it's a decent and a classy video that u didn't have to go naked for pple to appreciate u.....Lots of love from kenya💞💞
Wale ambao tunaskiliza 2024 tugonge like hapa
Dah Ii htr sn
Huyu dada yukowapi jaman 😢
Nyiee Hii Nyimbo Ni kali Wangapi Tume i search 2024 ? Like here
Uwa haichuji kali saana
Hata leo hapa naisikiza❤❤❤
Dah naskiliza sana
Niko hapa naisikiliza leo tareh 26 April 2024 😊❤
Yani sauti yake haiboi kuisikiliza sijui yuko wapi jamani twammisi sana
Kila nikiingia ndani mke wangu anaweka hii nyimbo sasa nimeelewa nini anamaanisha
Ahahahha,,
Inafundisha sana
😂
😂😂😂😂😂
Hongera mungu awalinde
Leo hii 02/03/2024
Bado naisikiza kwa hisia kali naona inaenda na tukio linaloendelea na Baba watoto wangu😥😥
❤❤❤
Tuko hapa 2024😊
Inafundisha Sana wallah tena tunazmia na ii nyimbo wanawake
😭😭😭😭
Dah kiukweli jolie iinyimbo inaniliwaza Sana ktk nyakati za mawazo naipenda Sana nimeamua ku give up ktk mpnz niwe single mpnz yanaumiza Sana ACHA NICHUNGE ULIMI WANGU USIJE UKAPONZA KICHWA
Here 2024 still nice to listen
Meeee😭😭😭
dah! hatimaye its out...like kama unafikiri huyu dada atafika mbali kimuziki
niceeeee😍😍😍😘
Namuombea kwamungu azid songa mbele
pp
good mam
Nakupend aaaa jolie na ww ndo queen w bongo...
wimbo ulionifanya nikawa chizi kipindi unatoka na nilikua very stress za x 😩😩😩😩🥺🥺ulinipa nguvu na kuanza upya kweny mapenzi asante jolie 😫😫😫😫😫acha nichunge ulimi wangu nisije nikaponza kichwa 😩😩
Ahhahhhhaa
Sasa umepata umpendae
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
This is obviously one of the biggest tunes of our lifetime. Mad L❤️ve for Jolie.❤️❤️❤️❤️💋🌹💐
Pole mpenzi
Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi😢Dont give up baby🎉
Mama sasa tumalize maana akuna binadamu asielewa mziki wako kwa sasa mchawi pekee ndio atakae shindwa kuuelewa mziki wako maana mpaka wanyama wanatikisa mkia. Unatisha sana
😂😂😂😂ww fara kwl haahaha
Nakuelewa sana jolie
ase jolie hii nyimbo kwa siku moja huwa naiplay mala mia from 🇨🇦🇨🇦 we love u
RIP JOLIE😢😢
Hadija Angura 😳😳😳
@@hadijaangura6572 weee n Jessy ndie alifariki uyu n mdogo ake
Ntumie audio kipenz kwangu nikidonwload inzngua +255 679076886
Ah mm lazima kila siku niskilize huu wimbo naukubali kinyama
Nyota ya jolie imeng'aa hapa kwenye huu wimbo
Jolie...I love u gal..hutumii nguvu kwenye kuimba kwako and it's just perfect...go girl
Jolie nakupenda napenda sauti yako napenda kila kitu unakipaj sana mungu akutangulie na akuongoze katika kila kaz zako wewe n star nakuona mbali sana 💕 💕
saut nzul xn nikiwa bunju
Good job
@@karumegood9190 nyimbo kubwa sana hii sema mziki wa bongo hauna thamani.ingekuwa ulaya kwa single hii moja ingempa hela za kutosha sana
Video kali mke wangu😍😍😍
Nimeamua niache makelele mpka cku ukae unielewe kwamba mm ndo yulee haimanish
Jolie nakupenda
Ila we dada ni noma 🔥🔥🔥🔥🔥Unaimba napenda nyimbo zako uwiii 😍
nampenda sna dda angu huyu nae mashaallah unasauti
Khadija Mbuta Nipe sub back tuwe marafiki
nakukubali ngoma🔥🔥🔥
No shiida
Kama kawa
I love you jolie
2024 n damn gal is talented 😊👏🏻
eebhana ee uko vzr dada angu, sauti hiyo daaah ``.....`` naipenda kazi yako.
Nimeingia kwenye ndoa leo week ya pili na uyu mwanaume amekuwa mshenzi toka tuje huku sweeden nimechanganyikiwa 😢😢😢😢
Huyu mdada yuko wapi. She's talented. It's been too long
Wimbo wangu pedwa😢😢😢
🇲🇿❤️🥺
hongera sana ...bora niuchunge ulimi wangu isije ukaponza kichwa
Huu wimbo mi unaniliza kila ninapochitiwa
Kiukwel nakukubali xana jolie, na napenda xana ngoma zako!! Kaz nzur keep it up ma sister
Mmmh Mbnaaa kuimbaaa mim
Aimaanisii
kusoma sijui hata picha nisione kazi nzuri sana sana Julie
Umenifariji sana na maneno yako dada anguu
Daaah jolie unaweza ngoma yako ni kali, suchokii kuingalia hii video
Kumbatia uongo ila ukwel utakuponya
Da, penda sana nyimbo hii
Hongera sana Dada, Kazi nzuri..Ombi langu ni lile lile USILEWE USTAA MAVI MAVI, you are just one of our very own future female artist tunayekutegemea dear.
Wimbo mzurrriiiiiiii Sana❤️❤️❤️❤️😍😍😍
Ujumbe mubashara.
Angesoma huu ujumbe wako man @Godwin Benedict
Aaaa iii mav mav haaaaaa
Well done Jolie...
Kazi tamu kabisaaa hii.... Asante kwa kutuletea good music...!
Sauti nzuri sana, with love from Bagamoyo
mangesani kiukweli huyu dada anajitahidi ila sijui kwanini havumi sana
Nadhani wakati wake umefika, support muhimu
Ebana ee wemdada unajua San keep it up ngoma kalii 🔥🔥🔥
Beautiful music, Nairobi tunaikubali sana
Few years i was here crying 😅😅😅now 2024 am here laughing after knowing love is a scam 😂😂😂...mapenzi i hate you 😂😂🤣...in short mapenzi yana wenyewe... anyway life must go on😊😊😊
Wema tupo mama uskate tamaa
@@aminsalum5731 I know wapo ila ngumu kuwatambua...
Ninacho kuomba Dada j usivimbe kichwa kama wale wengine bonge la zuku lumba hili hakyamungu.
nakupa bigup zanaa Jolie,bt naamin ukijulikan zaid utajishebedua kua we ndo zaid ya wote usifanye hvyo dadang,gonga kama ndo kwel
nice song
Nimeitafuta kwa muda mlefu uu wimbo nakupenda najikuta naliya nayano endeleya kwa ndowa yangu
NILITOKA MACHOZI MWANZONI SASA NIMESHAZOEA.......... NIMEAMUA NIACHE MAKERERE MPAKA SIKU UKAE UNIELEWE KWAMBA MIMI NDO YULE..... Nakukubali sana sister angu.
Its so amazing nc song
sio makerere ni makelele, makerere ni chuo kipo Uganda!!
BROWN WAYA niceeeeee
@@allenkalalu6006 hahahahah bg up
BROWN WAYA nice
WIMBO MTAMU SANA ,,UYU DADA SIJUI YUKO WAP?2024
Otile brown brought me here...this is perfect stuff.❤
Nimeiangalia hii karibia mara 50 na bado napenda kuisikilza kaz nzuri baby uko juu kaza buti
Wewe dada sikujui ila u kill it sooo nice song.yaani siuchokii kila siku naugalia
Ukiachana na ujumbe uliowekwa katka mashaili ebu sikia saut iyo love you jolie
Huu mziki ni mzuri sana Jolie, jitahidi usome comments za watu hapa, wana ushauri mzuri, utakufikisha mbali. Kamatia hapo hapo aisee. Angalau sasa nimepata msanii Wa kike Wa kumkubali, maana kwa mda mrefu sana nimekuwa na Wa kiume
unaweza dada chamusingi usizalau wasani wadog watakaokuomba ufanyekazinao
Donatus Medard Bifandimu hata Mimi aisee
Ma Jojo nakupenda😘❤sana unajua kuandika nyimbo nzuli
kwa Mara ya kwanza kabisa nmekufata you tube kuchek hii ngoma maana nmependa melody yake na jinsi ulivoimba
actually unastahil support yetu Dada jolie kaz nzur umefanya.
big up.
Aziz Aza
Safi sana wanawake mnafikisha ujumbe kwa wanaohivuna
ngoma kubwa sanaa
Mwenzenu nimekapenda haka kamdada
hongera sana mdogo wang......kichupa Kiko vzr kinoma noma
Naipendaa san
joliee sichoki kusikiliza wimbo wako hongeraa
Jolie unafanana na Sza ukipata make up na nywere kama zake please jaribu uone❤❤❤❤ tafadhali huo mtanzania wangu 😂😂😂❤
Hii nyimbo kali kama imetoka leo ❤
Naipenda Sana hiiii nyimbo coz kukaa kimy ndy jibu la Maanaaaa Sana
Kumbatia uongo ila ukweli utakuponya aaaaah 💜💙💛💚💓💝
Nakupenda San ❤️❤️
Jolie_tz hakika atafikaa mbalii saanaaa kwenye muziki
Jolie Umenigusa dear Naupenda xna wimbo jaman dah nkiwa na mawazo ndo faraja yangu 🥰🥰
nilikuwa nasubri sana hii video 🙏🙏🙏 asante sana
naikubali sana hii ngoma 👏👏👏👏
Uko wap jolie. Mashabiki wako tumekumis sana
Kwann hii ngoma Aina views 1m
Daah mama ur on fire nyimbo Kali sana ila views wachache km wewe una amini km mm gonga like hapa Jolie anajua
wewe ni maana ya mziki mzuri✌👏👏👏
nakupnda ww na mzki wakoo
Ni music nzuri Sana Jolie
The next big thing.Napenda nyimbo zako.much love from 254
Dear Lord.... Tumebarikiwa🤲
This is what i was looking for the past 2 weeks, i was just listening to the radios.........i love this song Guys Thumbs up 🤪😚😍
Arnold Alphonce love
Km mtu humtaki bora uondoke fuata huyo unayempenda kuliko kukaa na kumuumiza mtu innocent ,Jolie big up Dadangu Kuna watu wenye tabia km hyo yamekaa tu they don't care about others feelings ,
Exactly 💯 wana cheza na hisia ni mbaya Sana
Can't get enough of this song...Mob love from kenya😍😍😍
Duuuu jolie ameimba vizuri sana na anaonekana kua atakuja kua mwingine apo mbele naipenda sana uu wimbo god bless #jolie
I listened this song many times, nice song
Daa THT aijawai kumuacha mtu slama jolie unajuaa mziki mama daaa ila nimeumia kifo cha Dada ako Jessie q daa asee nayy alikuw anaimba kama ww lkn leo amesha achana na yadunian daa rest in piece Jesse q 😢😱😱
Mambo n moto..... Mambo n fire. Luv u #JOLIE
Una sauti nzuri,usikate tamaa kuwacha mziki 🙏🏿🙏🏿🇰🇪🇰🇪
Wht a beautiful song
naikubali sana Song yako kaliiiii.....
i wish nothing but alwys best for you...!! pure melody... full mashmash kama umenitungia mie aka kajimbo...!! sema unaanza vizuri usituvuruge uko mbele...!! love you so much
Sawa sana siz from +254 twakupokea kazi safi,sauti waaaaaa
super talented she's the next big thing in the 255
umetoboaa tayaliii duuh next level
nimependa xn wimbo wako na sichoki kusikiliza
dah wimbo fantastic saan like ka zotee kama unamkubali
the song is dope mama....the kitenge thing thou its amazing🔥🔥
Verry song jolie mdogo mdogo ndo mwanzo wa safari hatareeeeeeee sana
You’re amaaaazing 🙌🏾
Me mpka nakufa nasikiliza mzik huu❤
keep up the spirit lady,ur tone of music is lovely and sweet....
Huu wimbo ulikosa promo tu nibonge langoma sijawahi kuuchoka
Keep it up @jolie💪
mimi niltok machoz mwanzon nw nilishazoea🔥🔥🔥🔥 lol....jolie nkupnda buree....haimanishi....
Nakupenda sana dada mungu akujaalie ufike mbali na uwe na mafanikio kwa mziki wako mmwaaaa.....!"
I love this song to the moon n back...
am here again July, 2019
Walio dis like hawana akili kabisaaa🤣🤣👍👍👍🙏🇰🇪🇹🇿
Jst came across over this....don't understand the language (kiswahili)BT she sounds so sweet.....straight away 4rm Uganda😍💯
mwandishi wa hii nyimbo ni nani?? ❤❤❤
I'll view and enjoy this beautiful song everyday and i don't know when i 'll stop...!!! Ts now 3am ila mpk Dawn 🌇 nta review 😊😊😊
Watoto siku iz wanatoa ngoma kali balaaa 👏👏👏
@Jolie official keep up the good job ,it's a decent and a classy video that u didn't have to go naked for pple to appreciate u.....Lots of love from kenya💞💞
Jolie hakika wewe nimzuli jaman hongela kwa nyimbo nzuli
I'm still listening to this awesome Jam. You've got a great voice 😍😍😍.
Haimanishi nsiangaike nawe Kenya akili yangu ....
Hii nyimbo jolie aliwaza mbali Sana good 2024 🎉