Bright Ft. Khadija Kopa & Juma kakere & Karen - Ndoa (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • #Bright Ft. #KhadijaKopa & #Jumakakere & #Karen - Ndoa
    Audio Produced By Mocco Genius
    Video Production By Mr Ligo
    Follow Us
    / brightmusictz
    / brightmusictz

КОМЕНТАРІ • 774

  • @sigitinjandi6014
    @sigitinjandi6014 4 роки тому +1

    Juma kalele duuuuhh nakubali mzeeeeeee kwa kakaz yak

  • @AbiTech96
    @AbiTech96 Рік тому +1

    Combinaison nzuri saaaaaana produ kukua african. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🐆

  • @esthergambi8058
    @esthergambi8058 Рік тому +1

    uyu kaka anajua ❤❤❤❤❤❤❤

  • @omboks
    @omboks 3 роки тому

    “Wanaume wa sasa surwali ku shuka wanataka kuvuana Nguo..... that’s deep some real teachings here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ephraimrichard6701
    @ephraimrichard6701 4 роки тому +43

    Daaaaaaaaahhh ngoma kali sana bright ma mzee wameua kwani bright anakwama wap ngoma kali sana hii mpaka nimeidownload et Kama unaokubali gonga like twend sawa

  • @aminatasongoro9592
    @aminatasongoro9592 4 роки тому

    Ngoma nimekaa nairudiya mara zote yani haiishi kiwi istosti imeimba wa sanii wangu niwapendao Kareen na bi Hadidja kopa hongera sana imetuliya ngoma yenu

  • @FourTeen_Kiid
    @FourTeen_Kiid 4 роки тому

    Yaani huyu Mzee Juma Kakere alivyoanza kuimba nimetamani angemaliza mwenyewe😋❤

  • @hancybinho665
    @hancybinho665 4 роки тому +1

    Eeeh baba ifunga kz kichupa kiboko

  • @meloaunt2593
    @meloaunt2593 4 роки тому

    Wimbo mzurii...Caren kafanana na Khadija Kama mama yake kweli na Bright kanana na juma kakere

  • @maryviverlucas9182
    @maryviverlucas9182 4 роки тому +1

    Jamani khadija kopa kafanana na Kareen macho yao rang utasema mama Na mwanae

  • @mbarukgude5335
    @mbarukgude5335 4 роки тому

    Dooh vipawa vyakuimba mungu kawapa nawapenda nyote

  • @nalingacomedian3848
    @nalingacomedian3848 4 роки тому +57

    Angekuwa Mond Like Kibao Views 2M
    Ila kwa kuwa Bright Ila ngoma Kali Mno

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 4 роки тому

    Twende mbele turudi nyuma hawa wazee wanasauti nzuri sana Mungu awabariki

  • @diacynthedia6295
    @diacynthedia6295 4 роки тому

    Bright hongera sna kwa hili unapata bahati ya Khadija kopa

  • @ignatusjacob583
    @ignatusjacob583 4 роки тому

    Daah Bonge la ngoma! Maana nilichoka na kujidhuru na kufanya mazoezi, mara chuchumaa, timua vimbi nk. Ujumbe kwenye hii ngoma ni konk. Kama nawaona wale wanaojuana Leo na wanataka kuvuana Nguo!!

  • @danielburuna8409
    @danielburuna8409 4 роки тому

    Wimbo mzuri Sana, nausikiliza ht hauchoshi, kwa sisi mabachala unatuhusu Sana.

  • @geelblessedone6071
    @geelblessedone6071 4 роки тому

    Yani mziki mzuri siku zote huwa watu wachache sana ndio tunaoelewa tuuh..

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 20 днів тому

    Mzigo wa kwenda sana kaka

  • @barikimaluli5836
    @barikimaluli5836 4 роки тому

    Ngoma kali sana ni ya nyumbani kabisa tanzania mafundi wa muziki wamekutana

  • @omarykingo5744
    @omarykingo5744 4 роки тому +1

    Ubunifu wa hali ya juu

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 4 роки тому

    Kareen uko vzr mwanangu umependeza haki kipande yko mko vzr kwa kweli

  • @kilungodionizi1865
    @kilungodionizi1865 4 роки тому

    Wimbo mzr sana unaelimisha kwa jinsia zote 😘😘😘

  • @sophierashdy8716
    @sophierashdy8716 4 роки тому +1

    Kaliiiiiii mnoooo narudia mara ya pl 👌👌👌

  • @edwardkairithia2651
    @edwardkairithia2651 4 роки тому +13

    Wimbo wenye maadilili. 🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥

  • @shabanadnan4443
    @shabanadnan4443 4 роки тому +1

    Mbona uyu mzee anazeeka na utamu wake kama na wewe umeligundua ilo weka like twende sawa juma kakere upo vizuri mzee 1/4/2020 corona janga la dunia kikubwa dua

  • @fatumamtepa3163
    @fatumamtepa3163 4 роки тому

    Sikuizi hamna mapenz .. mwapendana wakati washida akipata wasalitiwa live ..

  • @jacklinibrahim8805
    @jacklinibrahim8805 10 місяців тому +1

    Hizi ndonyimbo jaman skuiz hamna mziki wakufindisha mabint nikuharibu tuu

  • @yvetteyvette202
    @yvetteyvette202 4 роки тому +3

    Nyimbo nzuli sana eeee mola wangu nisaidie na mm n8weze kumupata atakae nistili

  • @vidahemmanuel8049
    @vidahemmanuel8049 4 роки тому

    Nampenda sana bright yuko vizur na kareen

  • @happyeugen468
    @happyeugen468 4 роки тому

    Jamaa hajawahi kuniangusha Yani ni noma big up Bright

  • @janethmwanga7963
    @janethmwanga7963 4 роки тому +1

    Khadija na Karen utasema mtu na mamake kweli kweli. Wako na sura flan hivi nzuriiii, baby face yani. Ngoma nimeipenda sana kwakweli.

  • @jovitasaimon8744
    @jovitasaimon8744 4 роки тому

    Nice nimeipend sana kukaza roho ipo siku chaguo sahihi litakuja

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 роки тому +14

    Nzee JUMA KAKERE nampenda huyu baba. Nyimbo inawatu wenye masauti mashaallah. Nimeipenda.

  • @fetyalmasi8916
    @fetyalmasi8916 4 роки тому

    Ngoma Kali saanaaaaaa

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 4 роки тому

    Khadija kopa we ni fundiiii aiseeee

  • @hassanomary2491
    @hassanomary2491 4 роки тому +1

    Bright nyimbo Kali sana iiii kaka daaaa

  • @saumuhajivuyaa6656
    @saumuhajivuyaa6656 4 роки тому +187

    Nimeipenda inamafunzo mazuri,wazazi wanaotamani wawaone watoto wao wakifunga ndoa,mola tujaalie nasie tuje tuzishuhudie ndoa za watoto wetu inshallah

  • @drizzyromeoscraface2442
    @drizzyromeoscraface2442 4 роки тому

    E bhana e hii nyimbo ni nzuri sana wasanii wamepita vizuri pia producer kafanya mix na beat nzuri hongereni

  • @user-zw1vz7or8v
    @user-zw1vz7or8v 5 місяців тому +1

    Love it❤❤.

  • @sulemanabdulaziz3682
    @sulemanabdulaziz3682 4 роки тому +1

    nyimbo kama hii uwezi kukuta inapewa tunzo yaani sijui hao watu wamuziki cjui wanajua nn. what a lovely song❤️❤️

  • @jacobathanas995
    @jacobathanas995 4 роки тому

    daah bonge la ngoma congregation bright

  • @wishjuniortz7714
    @wishjuniortz7714 4 роки тому +63

    Hii ngoma ni ya heshima kwa bright umefany Kaz kubw na wat wakubw safi,🔥💪

  • @abouawladsanzesanze429
    @abouawladsanzesanze429 4 роки тому

    Nyimbo kubwa sana...Ndani yake kuna ujumbe mkubwa

  • @kenjunior3443
    @kenjunior3443 4 роки тому

    Nyimbo nzuri sana big up kwa bright

  • @bongotown1495
    @bongotown1495 4 роки тому

    Safi sana bright umetisha sanaaaaa

  • @kusinimediatz6747
    @kusinimediatz6747 4 роки тому +3

    Duh mbona ngoma kali ni-like mara ngapi

  • @nestorcolonel7943
    @nestorcolonel7943 4 роки тому +1

    Jaman dah ngoma hii tamu hataree..kila kitu on point na Mzee wetu kakere long tym sana aisee,naipendana sana nyimbo yangu ya February

  • @almunirmaulid5502
    @almunirmaulid5502 4 роки тому

    Kazi nzuri na yenye ujumbee Safi Sana

  • @johpesa_the_money
    @johpesa_the_money 4 роки тому

    Blood nakubal sana ngoma Kali vbaya collaboration bomba

  • @abdallahally194
    @abdallahally194 4 роки тому

    Daaàaaah ngoma limekaa poa sana

  • @manyweretv5177
    @manyweretv5177 4 роки тому +154

    Likes kwa wingi tumsaport bright jamaa yuko vzuri

  • @orestleon50
    @orestleon50 4 роки тому

    Shikamoo mzee wangu Juma kakere

  • @manonimayala7070
    @manonimayala7070 4 роки тому +1

    Sana msukumaaaa

  • @jaxplatnumz203
    @jaxplatnumz203 4 роки тому +3

    Ni bonge la nyimbo kama umelikubal twende na like

  • @paschalboniface8319
    @paschalboniface8319 4 роки тому

    Daa bonge ngoma dogo anajua sana

  • @hellenalibaliwo5965
    @hellenalibaliwo5965 4 роки тому

    Jamani nimeukumbuka wimbo wa huyu mzee safari ☺☺☺☺

  • @joselinejoseph9632
    @joselinejoseph9632 4 роки тому +15

    Sichoki kuusikiliza huu wimbo duh, u killed this 💓💓

  • @theresiandasuya1849
    @theresiandasuya1849 4 роки тому +7

    Ngoma tamu sana ina viungo vyote muhimu, wamekutana wasanii wote mahir na ninaowapenda, hingeren sana kwa kazi nzur

  • @selekidau.kidau.3939
    @selekidau.kidau.3939 4 роки тому

    Dah katika nyimbo Kali kwangu hii ipo top 3 walahi walahi

  • @gerishownraphael1059
    @gerishownraphael1059 4 роки тому +1

    Kaz nzuli sana

  • @aminaali446
    @aminaali446 4 роки тому +66

    Inshallah pia mm ombi langu nipata mume mwema

    • @sportplatform4318
      @sportplatform4318 4 роки тому +1

      Nipo hapa mume mwema

    • @aminajuma1435
      @aminajuma1435 4 роки тому +4

      Mungu atatijaaliatu wajina… tuzidishe subra.

    • @hannahsanga5647
      @hannahsanga5647 4 роки тому +2

      Mungu akupesawa na hitaji lako maanausipompata aliyesahihi nichangamoto katika ndoa

    • @salumkatembo4441
      @salumkatembo4441 4 роки тому

      Allahumma amin

    • @aminahasan4250
      @aminahasan4250 4 роки тому +1

      Aminaa kikubwa uzima mume mungu atakuonesha

  • @scovianangami
    @scovianangami 9 місяців тому +1

    Great song 👍👍👍👍👍

  • @giddyyunky7025
    @giddyyunky7025 4 роки тому +1

    Nice one bright

  • @mayyadamatimbwa8744
    @mayyadamatimbwa8744 4 роки тому +69

    These are the kinda songs we need sio matusi kila siku, tekenya, chuchuma, zibua mtaro, chuchu saa 6 seriously.. wat a lovely song!!

    • @azizaalwan8686
      @azizaalwan8686 4 роки тому +3

      Yeah fine as hell, these are all ages songs man!! Story telling beautiful. Atleast watu wazima wanaweza wakaburudika.

    • @finah791
      @finah791 4 роки тому +2

      😂😂😂😂😂

    • @ariphkimani3790
      @ariphkimani3790 4 роки тому +2

      Nakuunga mkono ndugu,matusi ya rejareja sasa basi

  • @dizzohtz5025
    @dizzohtz5025 4 роки тому

    Aixeeeeeh umetxha xana had nakoxa neno la kufananixhwa na ubora uliopo

  • @saimonwoundermosses5118
    @saimonwoundermosses5118 4 роки тому

    Saf Sana nyimbo imeniburudisha Sana hongera kwenu

  • @deus8629
    @deus8629 4 роки тому +205

    Kama uko single kama mm pls weka likes hapa tumuombe Mungu 😥

  • @o.o.8074
    @o.o.8074 4 роки тому +2

    Nyimbo nzuri sanaaaa..... Nimeikubali tuu sanaaa.... Kazi safi Sanaa... ✔️

  • @nasrikileo7291
    @nasrikileo7291 4 роки тому

    Mdogo wangu. Umefanya kitu kukubwa mno humu

  • @rafikimswazi6930
    @rafikimswazi6930 4 роки тому

    Nuksi mbayaaaaaaaa,umetisha bright

  • @ombakihundo9526
    @ombakihundo9526 4 роки тому

    Wow ...wow.... kali sana 🔥🔥

  • @totoozebingwatshumani4642
    @totoozebingwatshumani4642 4 роки тому

    Woow mzee wangu Mungu akubariki Sana

  • @kautharmasoud8806
    @kautharmasoud8806 2 роки тому +2

    Jaman me nmependa alipo imba juma kakere .

  • @chembejohn9605
    @chembejohn9605 4 роки тому

    Nice nice nice.....mixer gud gud gud.....song

  • @wardmilanzi600
    @wardmilanzi600 4 роки тому

    Kazi nzureee.... Kila mtu kaitumia vyema part ake

  • @rajabukulala6669
    @rajabukulala6669 4 роки тому

    Kazi nzuri sana ,ina ujumbe

  • @reginamsungu7806
    @reginamsungu7806 4 роки тому

    Tam sanaaaa

  • @deogratiasyagomba287
    @deogratiasyagomba287 4 роки тому

    Bright wewe unajua tulipo sapotiana hii ngoma nouma

  • @singlebaba1271
    @singlebaba1271 4 роки тому

    Hujawahi kuniangusha kijana mwenzangu

  • @ibrahimabubakary8760
    @ibrahimabubakary8760 4 роки тому

    Ngoma nzuriii I Sana

  • @sophishebby9678
    @sophishebby9678 4 роки тому +12

    Kama umemuona aloimba pole sana mama kwa safar bibie tuonane hapa

  • @ashamasaza4096
    @ashamasaza4096 4 роки тому +3

    Ni nzuri kama umeilewa kama mi hebu nipe like

  • @kimlorahkimlorah
    @kimlorahkimlorah 4 роки тому

    Safi sana ngoma ni motooo

  • @yussuphmadende6895
    @yussuphmadende6895 4 роки тому

    Daaah ngoma nimeikubali

  • @jemmylove100
    @jemmylove100 4 роки тому

    Hii ndio maana halisi ya fasihi !!

  • @vivianrichard9096
    @vivianrichard9096 4 роки тому

    Huu wimbo mzuri sana sana

  • @amossamwel2266
    @amossamwel2266 4 роки тому +1

    Hatari sana

  • @mohammedsaidmtumwa5172
    @mohammedsaidmtumwa5172 4 роки тому

    Nimekubalii hii ngoma 100%

  • @anethanicet4786
    @anethanicet4786 4 роки тому +1

    Mama niombeee kwa Mungu nipate sitirikaaaaa.........safi sana hicho kipande

  • @legawayz6093
    @legawayz6093 4 роки тому +7

    Muda unaendaaa Hilo uzingatie muweke Maulana da!! Bonge la ngoma big up bright & karen na wakongwe hao

    • @adbellar338
      @adbellar338 4 роки тому

      Mungu atusaidie kweli mda aisubiri.

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 4 роки тому

    Mzee juma kakere katishaaa sana

  • @praygodkweka3951
    @praygodkweka3951 4 роки тому

    Gud idea #nice_song

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +1

    Mziki mzuri😘😘

  • @abdicousin5991
    @abdicousin5991 4 роки тому +26

    Bonge moja la ngoma, Like hp km umeielewa hiii ngoma

  • @samsonrais8599
    @samsonrais8599 3 роки тому

    Cool music# Bright from 254

  • @hafidhchoi3186
    @hafidhchoi3186 4 роки тому

    Good idear bright nice sms

  • @latifalatifa2837
    @latifalatifa2837 4 роки тому

    Nimeilewa sana hii ngomaaa

  • @mnyamwezitv382
    @mnyamwezitv382 4 роки тому +187

    WaTanzaNia Hatupendan HII NYIMBO NI KALIII JAMAN LAKN LIKE CHACHE HAPA JAMN

    • @maryammaram2612
      @maryammaram2612 4 роки тому +2

      Hawapend nyimbo zenye maadili kama hii unasikiliza hata na wazaz na watoto imafunza washazoea matus ndio wanalike upuuz

    • @mnyamwezitv382
      @mnyamwezitv382 4 роки тому +3

      @@maryammaram2612 yeah mama wanapenda yope na dochido

    • @salumkatembo4441
      @salumkatembo4441 4 роки тому +2

      Nimeipend xan

    • @salumkatembo4441
      @salumkatembo4441 4 роки тому +2

      @@maryammaram2612 kwel walo weng matus ndo nyimbo ila hii hainag matuc lakin balaa

    • @Offical_neyvoice
      @Offical_neyvoice 4 роки тому

      Saanaaaa

  • @jacquelineminja8769
    @jacquelineminja8769 4 роки тому +4

    Juma kakere ana sauti nzuri sanaa, imejaa u legend... Khadija Kopa ndio sisemi... They should do a song, Juma & Kahadija

  • @ferzyprincetz9352
    @ferzyprincetz9352 4 роки тому

    hatari sana mwanangu hii ni ngoma ya taifa