Lomodo Ft Nandy - SINA UJANJA (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 27 сер 2024
- Lomodo Ft Nandy - SINA UJANJA
Directed By Joowzey
connect with . Instagram:https:www.instagram.....
BOOMPLAY www.boomplaymu...
Catch Up With Lomodo_Tz On:
Instagram:https:www.instagram....
Facebook:https:www.facebook.c...
Twitter: Lo...
Channel Managed & Administered by Chezaa Networks ©️2022
Who is here 2024???🎉🎉🎉
Sina ujanja nimenasa kwa huu wimbo😍🙌🙌
Lomodo ulipotelea wapi 😢
Nimeutafuta huu wimbo dah
Naomba like za Nandy hapa kama unamkubali
Nyimbo tamu sana😋
Safi sana ❤️
Jameni mdogo wangu umeimba mpk nakunywa soda ya coca . Basi naomba ukirudi #KIGOMA kwenu uniletee trey ili ninywe vizuri nikikaangalia kavideo ... #kigoma✊✊✊✊✊✊✊✊✊
Upo vizuri
Hatari Sana Aiseeee Noma Sana 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️
Hongera Sana mdogo wangu
Aiseee hii Kali sana
Sauti hiyo nandi
Mozambique tumeikubali hiyo. Gonga like ka umependa pia
Twenden sawa kwa goma la hatari la lomodo ft na nandy
Jmn penda sana hli song la nandy na lomodo like kama 💛💜💓
Wimbo unanitesa huu jamani mapenzi jamani naumia mwenzenu nilikuwa nadekezwa sana huku naimbiwa wimbo huu jamani kumbe nilikuwa nafanywa mjinga bila kujijua wanaume Mungu anawaona
Wanipa raha sana wee kaka nje ctamani unavyo nipa masham sham
kali saaana
narudia kusikiliza
ngoma kali sauti zimepangwa hakika sina ujanja kwenye hii flavor
Lomodo is the male version of Nandy voice wise mashallah una sauti nzuri sana kama bi Nandy
hiii tamuuuuu ..................pia mimi sina ujanja
ouuu eeee kwako sinaujanja jimbo tamuuu
Safi san hasa sauti zilivo2lia maneno yanatoka yananichoma mpk kumoyoo n sichoki kuiskiliza 😍😍😍😍😍😍
Tamu sana jamani sina ujanja big up
hajatoa ngoma kali toka ilivyotoka hii
Yani nampnda mumewangu uyu mziki ni speshow for you @ibrahim maana mapenzi unayo nipa kwa mwwngine sijaona wanipa raha sana wew kaka inje kitandani penzi lako tamu tamu💞💞💞💞💞💞💞💞
Heellllooo Kaka nakubali Sanaa wimbo huyuu unanifanya Nafurayii Sanaa kijana una sauti nzuriii kabisaaa kabisaaa kaza kazi hii inaitaji watu wenye sauti nzuri kama yakooooo
My g 🕷️🕷️🕷️
Nandy killed it with her part. kiswahili kitamu sanaa. Being in love with the right person always feels good😍
Naweza kua nakosea ila nahisi mkono wa Aslay kwa mbali ndani ya ngoma hii. Kama sio m'moja wa waandishi wa nyimbo hii basi pengine kijana Lomodo kapata inspiration kutoka kwa Aslay. Kazi nzuri.
Rashid Rai 🤣🤣🤣🤣 unaweza ukawa fundi lakini ukawa hukupata nafasi ya kutangaza ujuzi wako
aiseeee kwa utamu wa hii nyimbo #sina ujanja wa kusikilizs nyimbo nyingine
Daaaaaah dogo umeweza sna cfa upewe umejua kuchza nakioo pia umejua kula laha zako kwanandy wngu nikweli huna ujanja safi sana
Lomodo umeua saaaaana mwamba big up.....nandy hukukubali kubaki nyuma...bonge la ngoma
Tamu sana lomodo n nandy
254🇰🇪 gongeni like hapa kama pia wew hauna ujanja
carol Praise kweli sina ujanja
Kawoya Saidi 😘😘😘 hapo safi dadii
carol Praise Vpy kisuura
Hassan Babake Sonia swafi saana babake😍
so pouwaaaa
Bonge la ngoma mwanangu. Komaa kwenye game.
Nakumbuka hii ngoma ikitoka 2018 nlikua napitia wakati mgumu niliona kwa vedio saa naangalia kupitia simu yangu❤
Lomodo mbna hujamfollow nandy are you guys not in good terms mumetoa ngoma Kali anyway it's life people change
Daaa hiiivimbo nikisikiriza inanituriza kichwa mpaka akiriinaturia naipenda sana hongera kaka na dada kazinzuri
Who's still crazy about dis song, I can't get enough of it..!
Ngoma Kali sana
Nasipaparikipapariki mimi kwako nimefika❤👌👌👌
🖤🤍❤️🤍💚🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪... I can't get enough of it... Too much sauce ...2020!!!
poa poa sana lomodo umetisha sana daaaaaaa?
Hatarii atamimi kwamumewangu huwa sinaujanja ngoma Kali
Dah! nimetafta sanaa huu wimbo hatimaye nimeupata
Nyimbo nzuri video Kali piah
Kenya tumekubali
jomooon wooow nmewapenda bureeee
kaza tu unaweza @lomodo
Sichokag kuwaangalia jaman kwakwel mnawezaaaa
#The African Princess ...
Asate sana nandy mungu akulinde nakupe wepesi uyafikiyemalengo🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Duh lomobo nic style na pozi kbsa saw sawa na video na musuc na Nandy ❤❤
Sina ujanja jamani nandy jamani umetisha
Angekua kashirikishwa aslay....hii ngoma ingekua ina trend vbaya sana............nice work lomodo.....👏👏👏👏👏👏👏👏👏 keep it up
sf saaahn nand nalomod
umetisha ngoma kali
Nandy is a total package voice,body,beauty she is indeed an african princess ❤❤ i just broke the reply button
Sina neno ningekuoa ilasinakitu waachewenenazo nandi
Wimbo huu unapenza kusikilZa na mpenz wako
napenda sana hii nyimbo vizur sana lomodo
Nandy nandy nandy once again you have kill it Jamani sijui niseme aje nandy is too best you have kill it big up my love I love you so much GOD Bless you
Lomodo thanks for loving my comment nice song big up bro
Nandy anajua kujishongondoa big up Afican princess
Uko Vizur sana Lomodo Muziki Mzuri mtaamu tunajiliwadha tuliosingle..
Umetisha sana
lumino baba pamba uko vizuri nakutabiria ngoma na kwevo migos
#kituu cjala na nenepa
Kwakweli iyo nyimbo inaninogesha sana video na audio tamu sana wallah yani naiskia mcana kutwa usik duh Mungu awajaliye kbsa ❤❤❤
anna bella Hakizimana ameweza Sana nimkali za idi
lomodo ...kali sana sauti...candle light
uko vizuli...nipo mombasani
onger
Lilian Godfrey subcribe ma channel i'll do back
gud sana lomodo and nandy
dah tamu kweli asee gafra nimenasika hahahaaaa chezea nandy ww hapana chezea
nice song,, sinaunjanja kweli😚😚
The video Finally. the lyrics are 🔥🔥na sauti zenu tamu tamu
Bvd dd hi
Piga kelele kwa Nandy ake.. furaha yangu mimi,💋💋
wanipa Raha San wee Dada gonga like twend sawa 😂😂😂😂😂👍👍👍👍👍
Mmetisha sana hiki ndicho kitu moyo wangu huwa unataka Safi sana bonge moja la kichupa 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
mauwa tego
Kwel
Sanaaa
nandy upo vizur sana,,,, mm penda ww
karisana
#Lomodo pacha kwani hii ngoma alikutungia nani mana Haipiti cku Bila kuicheki Mimi daah
Tanzania we are proud to have such many amazing music talents
Thank you broh
Imeweza kbxa
Proficiat. !!!......! 👏👏👏
Billnenga hapa ulikua utam asee..katoto nandy katamuuuu
daaaa sijawahi kuisikiaga ndio leo 2019 augaust hii ni nyimbo bora sana nashangaa huyu jamaa hasikiki.producer nae kaua sana humu
Hapa lomodo kaimba aisee
Dah nahipenda sana hiii song bg up my bro and my sist nandy 🔥🔥🔥❤
imekubali,...sina ujanja jamaniii mie
very nice brother na wish siku nifany na we video
Jamani hii ngoma nikickilza adi nacnzia 😚
hakiya mungu hii ngoma sichoki kuitazama kweli kazi nzuri sana
I just like the song no matter how time passes 2023 still here for it🥰
Ata Mimi umeniweza sitaman pengne Sina Ujanja
nandy hujawahi kosea ndo maan nakupendag
nakupenda san dada
Nandy bby... Much love mombasa kenyaa
Wow ngoma yenyewe tamu
Nandi mbona umembania mwenzio mnavyocheza kama kaka na dada yake na huyo
Noooouuuuuuma saaaanaaa
Lomodo kaza mzee unajua sanaaa hongera kwa ngoma kali
napendasana nyinyi
wanipa Raha saana wee kaka...nje sitamani🔥🔥🔥🎤🎤🎶🎸🎸🎼Nasipapaliki Mimi kwakooo sina ujanjaaa
Kal sanaa
Lomodo we ni htr Nand wallh umetish😍😍😍
ahsanteee
muziki mzuri Sana....Fanya kazi
Nice music ❤
Kweli naipenda Sana hi nyimbo in ujumbe mzr
Muhaaaa umeuwaaaaaaaaa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏 🔥 🔥 🔥 🔥 🏃🏃🏃🏃
Kumbe jamaa n Muha
Nakuba mzee
twasubiri ngoma na mbosso