Malkia Karen X Meja Kunta - Sina (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 27 сер 2024
- #MalkiaKaren #Sina #SlideDigital
(C) Slide Digital
Malkia Karen Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/malkiak...
Written & Performed by Malkia Karen
For Bookings: mxcartertz@gmail.com
Follow Malkia Karen on:
/ malkiakaren
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Meja na Karen Hawakuwahi niangusha ✊🏿
malkia umetisha dada yangu meja amekueka sehm nzuri kwenye mziki .umetisha dada yangu
Karen una sauti nzuri sana na mziki unauweza Big up🎉
hongereni kwa kufanya kazi nzuri mnajuwa kuimba kelel ya kwanza meja kunta wewewwee kelele ya pili kwa malikia wake wewwwww
Malkia $$ meja mmeweza💃💃💃💃 wangap wameipenda km mm like hapa
Me piah nimeikubali sanaa
😊😊@@nasrajuma9218
Meja kunta kaota jino jaman kumbe alikuwa bado mdogo sasa kakua gonga like twende sawa
mashaallah mremb
Kazi nzuri.
Ngoma kali sana❤❤❤❤❤❤
Si meja tena yule tunayemjua kwa pengo ,huyu ni meja 2021 mpyaaaa 💃💃🔥🔥
Kelele ya kwaza kwa Meja Akeeeee
Kelele ya Pili Kwa Malkia Akeeeee
Kelele ya Tatu Kwa Like Zenuuuuuuu
ilove official ilda keys
DIAMOND AMCHANA HARMONIZE WAZI WAZI: ua-cam.com/video/EhmI49JzV28/v-deo.html
ua-cam.com/video/2VaZl_PxUeM/v-deo.html
*Fake Promise*
Mmb
Mwaaaaa mchumbaaaa
Dogobalaa
Mejaa kunta sio mfalme wa singeli
@@triphonechami1037 bac mama yako
@@lotvnguyummajidincutsonda9436 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤷♂️🤷♂️🤣🤣
Mfame ni dulla makabila
MaashaAllah nyimbo nzuri
Malikia anafananaga Na nandi sura kwambalii kama naww umeiona gonga like apo
Kweli mpaka sauti inafanana
Kabsaa
Kafanana na nadiaaa
Nimeipenda sana
Exactly
Daaah ngoma hii imetulia inaskikaa kwa umakin saana tena inautulivu mkuubwa saana meja umetulia hii nimeielewa dj kaitendea haki dadaa sauti iko vizur
Mashalah sauti zipo mwaaaaa
Dah meja kunta ameua kinyamwezi kwa hii kolabo
Ngoma kali sanaaaaa👌nimeyipenda sana❣❣❣❣
Bonge la song.yaan....saut ya Karen balaaa meja ndo kabisaa 100%%
Never disappoint malkia 💃💃💃💃💃💃💃💃
Vya kale vinapsua anga...
Kareen nakupenda
Kumbe Karen ukivaa Dera unakuw mzuri hvo nmekupenda bure mwaaaaaa!!
Kama unamkubal meja kunta gonga like hapa👎
Uyu dada ni mzuri alaf anasaut nzur kuliko hata nandy yaan huyu ndio alipaswa kupewa cheo cha kuitwa African princess na ktk ulimwengu wa singeli meja kunta anaongoza jahazi kwakwel yupo vizuri huyu mwamba
Nakupenda kipenzi menja hunaga baya
bonge la nyimbo
Nakubali sana
We meja wewe duuu nyimbo zako nzuli Sana ,akuna fujo yani mziki taratibu utumii nguvu iyo NDO sengeli Sasa inaenda na stsili
Usapotini jaman music mzur kutoka nyumban tanzania ngoma kali sana
Meja ume nenepa kweli pesaaa
Chefu
Mbn km umepanki ndug
ngoma kaliiiiiiii sanaaaaaaaaa👍👍👍👍 pamoja mani uko vizuri manigahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
I’m your new fan from Sweden 🇸🇪 Nakupenda musiki huu Tanzania 🇹🇿💎❤️
kihulamark@gmail.com can you check me please
welcome
Ulivo meka jino ulipendeza
Thanks for appreciation
Nice
Nai❤ pia mm umetulia meja
Careen Umeua Sanaaaa
From #kitanda na fobby na zooote napenda sauti yakoooooo karen spika saut ad mwisho nawakera majiraniiiii😜🥰🥰🥰💥
Usichoke et endelea kuwakela Raha jipe mwenyewe
Kelele kwa Meja ake Na Malkia
Nyimbo nazipenda San hii jamn
Wangap hawajaonaa pengo la meja kunta gongen like
Limezibwa
Pesa kidogo tu ameenda kuliziba
@@alexandrinadomaino9868 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mambo
@@agustinoamos5917 vp
Tunaomkubali meja naombeni like zenu
Binge la ngoma Meja kunja
imependeza hiyooo balaah
Tuliokuja kuangalia pengo la meja kuntah mgonge like hpa🤣🤣🤣🙈
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃💃💃nmetoa machooo clioni
@@rachelchelango941 alifanyiwa replacement 🤣🤣
Wajua sikuamin nilipona insta akona meno 😂😂nimekuja kuhakiksha
@@luqash_luqman9744 hahahahha ndo ivyooo😂😂😂
Kazi Nzuri Sana!🔥🔥🔥🔥🔥
Aaa Meja pesa kidogo tu umeenda kuweka na jino cheeefu. nimekuelewa mdada uko vizuri singeli ya kufungia mwaka 🔥🔥🔥
Piga kerere kwa meja akeweeeeee
Ngoma Kali sanaaa 👊👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
mamaeee mko wapi njooon uku Ngoma LA moto ili
Nipeni namba ya malkia Karen jamani nampenda mpaka nahisi kukosa punzi
Keep up the good work🎉🎉🎉
Aseeee malkia Karen love you xn big up xn meja kunta sema bonge la ngoma aseee 👊👊👊nataman kila time nichek 2🔥🔥🔥
Bonge la ngoma.big up mejakunta🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Jamani mtaniuwa
Meja kunta shikamoooooooo sanaaaa yaan hapoo cna cnaaaa shkamoo tena
naomba like zenu bila sababu😊
He reminds mih of Aslay akiwa mdogo love from 254 booooooom❤️❤️❤️❤️
Ngoma kaliiu balaaa
Ngoma. Kali sana hii
Kila napopata nafasi nausikilizia huu wimbo😂
Nimeupenda Sana😍
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Weuweueeeeeeeeee jamani hiii kitu tamuuuuuuuuuuuuuuuu
Vp
Mann❤📸📸❤🎶🎶
Mamb 💚💚❤🧡🎶🎶vpi
Ulitisha mwanangu kwenye hii ngoma
Imekaa vizuri
Meja unajua kaka mm naitwa twalha ilanasema kwanini sijaitwa meja unajua mpaka kelo
💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Karen kaniwahi
"pesa kidogo tuu pengo halionekani"
Jamani at Mimi apa kaniwai😃😃🤣😁
😂😂😂😂
P
Yaan sauti zenu MashaAllah😘😍penda sana nyie watu
💯🔥ongeza bidii we ni mshindi hakuna wa kupinga kaulicho kifanya
Pesa kidogo pengo kwisha like 🤣🤣🤣🤣
Hahahaaaaaa hi hi hi hehehe
😂😂😂😂😂🔥🔥🔥
Ahaaaa
Hhhh
Alafu lilikuw linampendeza kinoma yn haha
Daaaah dogo kumbe pengo kilema 😁
Careen 🙌🙌🙌💫🏆
Wajane wauwawe
Meja love ❤️😘
Hit song 🔥🔥🔥🙌
We Queen Mbona htr so kwa dance hizo
Uyu jamaa hatari sana
So sweat voice,karembo sana haka kamdada
Kitendo cha kuziba pengo meja sasa ivi namuona kama binadam wengine tu .
Mmmh we umekamilika
kwan pengo kilema acha kufuru
Hahaha
Kwan mwanzo hakuwa binadamu ata ivo meja handsome
Mwanzo alikuw mzuri ule mwanyya kuuziba kafanya kufuru Mungu akikupa ajali ya jicho usijeweka la kondoo ili watu wakuone unalo sina nia mbaya wajumbe
Kazi safi ndogo zangu
Nakukubali sana
Aaaaah meja pesa kidogo ushaeka na jino 😂😂😂👌💞💞💞💞
Naupenda huu Wimbo kutoka Ndani ya Moyo Wangu❤🔥🔥🔥🔥🎶🎵
Unishindi mimi
Mad love from 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Wow wat a voice tukiachana na baby face alionayo Karen dondosha likes Kama nawew unakubali Karen G Habashi
C. TV
Yes yes yes that kavoice jamani mdada ni balaaa
@@farajamanga886 wOpl
@@farajamanga886 Hugh by out youth thy Hugh thug thy but though h
Mungu akufikishe unapo pataka
My favorite tune on replay👌🤗
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 appreciate this song was my ling tone and my fovarites ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ big up to you meja and love you to bro ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
Makini sana Meja kunta hii ngoma imekwenda shule aseeeee aminia sanaaaaaaaaa
Nzur sana
Internationally....! 🔥🔥🔥
Much love from 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ua-cam.com/channels/V-fmG9wE8dF8nKZShOUBXA.html
Anajua mejakunta
tupo nae nampa tu nampa anaweza buana🇰🇪🇰🇪
Wehuodjh
the same
Star wangu
Meja kunta x karen ht song
Singeri on air
Safi sana Karen majoka umeyaluka pia ngoma Kali sna meja katisha sarut kwenu
Nimependa Hii Come Out ya @MalkiaKaren Ni Mabadiliko Mazuri Sanaaa Aiseee❤️#Sina Ft @Mejakunta
Love from.kenya ....napenda singeli
Jaman @malkiacareen nmemwangalia kwa makini ana bonge la zigo dah ubarukiwe jamn malkia asante mama
Hongera Sana huu wimbo umeniburudisha Sana Hadi sielewiii hongera Sana uko vizurii Sana nakupongeza Sanaa napenda kazi zako
Listen dis song from Kenya nice voice
Xx
Lit 🔥
Nawakubali sana
Meje kiukweli nyimbo zako zinanikosa sana 💥💥💥
Meja kunta jamani kwenye kipande chake kafanya vizuri sana marikia careni dada uko poa sana
Song ni🔥🔥🔥🔥
I LOVE TANZANIA
Sauti ya meja 🙌🏾🙌🏾
Weweeee
Much love from 🇩🇪🇩🇪🇩🇪
Lakisha wie gehts