EXCLUSIVE: Jack wa Gardner Afunguka Ukweli Kuhusu Baba yake | Amwaga Machozi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Mtoto wa Gardner ameelezea kwa mara ya kwanza kupitia The Break kuwa tayari ana mtoto na kufunguka mengi kuhusu namna walivyokutana na Gardner na maisha yake kwa ujumla

КОМЕНТАРІ • 96

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 3 місяці тому +1

    Muongo bhana! Kwa Wachagga tena,yaani m2 haachi mtoto,angempeleka kwa kwa waxaxi wake,mamake alikuwa anatembea na wanaume tofauti,sasa hakujua baba mtoto,akawa anabahatisha.Muache Careen wa wa2.

  • @angelrukyaa5598
    @angelrukyaa5598 4 роки тому +5

    Jamani huyu dada naye kasomea uandishi wa habari ila hajui kabisa kujieleza yani anaongea ongea tu kwa kweli

  • @TheTemba1
    @TheTemba1 4 роки тому +2

    Safi Sanaa Boyfriend umetisha, ukiona mwanamke mzuri Kama huyu anaekuita boyfriend Tena umezaa naye ujue una ngekewa

  • @khalidhamis5811
    @khalidhamis5811 4 роки тому +8

    Napat ukakasi wa jack jinsi alivyokutan na baba yake binafs yang sijaelewa hapo Yan ilitokeaje mpak gadna kujuwa Kam Ni dam yake

  • @belak999
    @belak999 4 роки тому +8

    Mdada anaeleza vitu visivyo na maana

  • @RosemaryFrancis-cc6jp
    @RosemaryFrancis-cc6jp 3 місяці тому +1

    Hata kujieleza hajui sa kasomea uandishi wa habari upi??????

  • @lilyanmongi1946
    @lilyanmongi1946 4 роки тому +6

    Kwa haya majibu sidhani kama ni baba mzazi ni baba wa hiyari

  • @user-zl5mt6lk4n
    @user-zl5mt6lk4n 4 місяці тому +2

    pole mdg wangu😢 nmelia sana.......nakuelewa msrmehe huyo careen siku akiamua kukutafta muwe pamoja sio makosr yenu ni wazazi na maisha nr wazazi muwasamehe

    • @anociatafungameza
      @anociatafungameza 4 місяці тому +1

      Huyu dada ana uwezo kubwa wa kufikiri. Safi sana.

    • @anociatafungameza
      @anociatafungameza 4 місяці тому

      22:07 22:07 22:07

    • @user-zl5mt6lk4n
      @user-zl5mt6lk4n 4 місяці тому

      @@anociatafungameza tena namuona sura na Roho ya upendo Kama marehemu Baba yake hata anavoongea yaan kwa undan ana roho nzur kama Gadner .....

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 4 місяці тому +1

    CAREN .yupo sahihi yupo pekeake .na mjukuu wake

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 роки тому +6

    Mmmhu yaani huyu simuelewielewi .

    • @EmmanuelJoseph-nn2zg
      @EmmanuelJoseph-nn2zg 4 місяці тому

      Huwezi kumuelewa kwasabau wew ni jeuri, watoto hawanaga makosa siku zote wazazi ndio wamekosea.Akili inakosekana pale unapo elezwa kitu alafu hutaki kuelew. Mtoto anajieleza vinzur kabisa

  • @user-ct4jp1ux1z
    @user-ct4jp1ux1z 4 місяці тому +1

    Mbona yeye Gardner anasema wewe Jacqu ndio ulimfuata ukamwambia wewe ni mtoto wake.

  • @hawamussah2370
    @hawamussah2370 4 роки тому +7

    Shida za wanaume izi kulala/au Kua na mahusiano na wanawake tofauti tofauti kwa wakati mmoja...aende kila mkoa uyo mzee baba pengine wako fyuuu🙄🙄🙄🙄🙄🙄watoto ndio wanaoteseka kwa upumbavu wa wanaume

    • @stevenick1204
      @stevenick1204 4 роки тому +1

      Naona umeamua kutukana kabsa😆😆

    • @hawamussah2370
      @hawamussah2370 4 роки тому +1

      @@stevenick1204 😅Aki for sure it is disgusting

    • @stevenick1204
      @stevenick1204 4 роки тому +1

      @@hawamussah2370 Yeah kweli coz playboys weng ndo inakuwa hivyo lakin hiz mambo bhana behind scene yawzekana kna inshu hatuzifahamu pia inaonekana kma kweli au sio kweli

    • @hawamussah2370
      @hawamussah2370 4 роки тому

      @@stevenick1204 💯

    • @mussachief1024
      @mussachief1024 4 роки тому

      Idea ya kuzaa mpk upelek picha kituo cha polis iko gud imekaa vyema🤣🤣

  • @SainabaP-es5me
    @SainabaP-es5me 3 місяці тому

    Kiukweli naangalia hisura nibaba yake kabisa ila carin sora yamama

  • @sarahemmanuel3455
    @sarahemmanuel3455 4 роки тому +4

    Haka nako kaongo sana interview ya kwanz alisema gadna alikuwa anamlipia ada

    • @drrahaburubago6303
      @drrahaburubago6303 4 роки тому +1

      Ni kweli Sarah, anajaribu tu kuficha aibu ya mzazi na wakati unafanya hivyo baada anakumbuka kuhusu baba yake mlezi, anatamani kuwaridhisha wote na hata aliyemuumiza anajaribu kufichia coz wote ni wazazi na ni family na wakati huohuo anajitahidi kuturidhisha sisi, tumsamehe na tumuombee tuu kabeba mzigo mzito sana.

  • @salaita2829
    @salaita2829 4 місяці тому +2

    Kwanini baba yako unamuita Gadner,na mbona hukuonekana kwenye msiba wake?

  • @mwaaang
    @mwaaang 4 місяці тому

    Someni code, Gardner ni baba yake ie sponspor alikuwa anapiga mzigo na hizi pisi ndio mambo yake. Ndio maana alimwambia you are so cute 😂😂

  • @user-py1rs9nc3s
    @user-py1rs9nc3s 4 місяці тому

    Muongo bwana aseme ni baba ake wa Hiyari tu mh careen ni mtoto pekee kwa gadner kwanza hata familia naona haikutambui hata msibani hujatambulishwa

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 4 роки тому +2

    Had hapo kwenye mambo yakushut video sijui kusomea uandishi hii ni kikipyuaaaa sina haja yakuendelea kukusikiliza shoga kumbe unatafuta kk🤔🙄🙄🙄🙄🙄🙄

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 4 роки тому +2

    Gardner alikuwa anakutamani

  • @cydrahope5251
    @cydrahope5251 4 роки тому +1

    Nakuelewa maskini pole sana

    • @cydrahope5251
      @cydrahope5251 4 роки тому +1

      inavoelekea baba yake bado hajamkubali au hataki ukaribu so hataki kulazimisha kuwa accepted binti wa watu inauma sana

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 4 місяці тому +1

    Huyu ni mwanae tena ndiye aliyefanana naye kuliko huyo carene

  • @athumanii
    @athumanii 4 роки тому +2

    Hawezi kum "fuck"😟 ndio maana mnafungiwa😟

  • @salaita2829
    @salaita2829 4 місяці тому +1

    Huyu hajielewi huyu.

  • @michaeldjunior1023
    @michaeldjunior1023 4 роки тому +3

    Coments full of hates, cjui kwann jmn mbna pisi iko pw 😎😎

  • @zuhurakilua7163
    @zuhurakilua7163 4 роки тому +2

    Huyu dada sio mkweli anaongea ongea2 like haji elewi eti kasomea uandishi wa habari mmh

    • @romualdmadeniromuald525
      @romualdmadeniromuald525 4 роки тому

      Wewe ndio unamjua baba yake tuambie

    • @jesusjesus7477
      @jesusjesus7477 3 роки тому

      Kasomea kweli nimesoma nae
      Ila ana tafta kiki tu coz ni video vixsen

    • @angeledesius5590
      @angeledesius5590 3 роки тому +1

      Kwani kusomea uandishi Wa habari ni sh.ngapi?
      U guys be serious jamani

  • @chumuali9468
    @chumuali9468 4 місяці тому

    Yeye mwenyewe na mama yake ndio wanaomjua baba, Mw engine yeyote atatuongopea

  • @DativaMbowe
    @DativaMbowe 3 місяці тому

    Anacho ongea ndio changamoto 😂😂😂

  • @zuleajuma7697
    @zuleajuma7697 4 роки тому +1

    Kwann msimfuate huyo baba ili tujuwe ilikuwaje mpaka tukajuwa

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 4 роки тому +1

    Nimependa nywele yake..sijui wjuzi mtujuze inaitwaje hiyo rasta

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 4 місяці тому +4

    Wanasema ana Mtoto mmoja Malkia Caren Na Msibani Sijamuona

  • @Veni584
    @Veni584 2 роки тому +1

    Du! Hajapita nae kweli?

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 4 місяці тому

    Mbona hukutajwa .kwenywe kuwa GADNA kaacha mtoto mmoja na .ni Malkia CAREN na mjukuu mmoja tuu wewe jack hujatanjwa.

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 4 роки тому +1

    Mzuri

  • @stephenmwaniki2803
    @stephenmwaniki2803 3 місяці тому

    Kindevu kina sema yote huyu H habarsh kambisa

  • @khalifa_wayy1979
    @khalifa_wayy1979 4 роки тому

    Wamefanana sana

  • @gabrielambaruku5452
    @gabrielambaruku5452 4 роки тому +1

    Pisi kali saana

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 4 місяці тому

    Uandishi wa habari baba ake akumpa shavu😂😂😂 ila bongo

  • @drrahaburubago6303
    @drrahaburubago6303 4 роки тому +5

    Huyu binti ana wakati mgumu sana, Kuna vitu hataki kuweka wazi vinahusu familia, au huenda vitamdhalilisha baba au mama lakini hasa pia analinda heshima ya baba mlezi, hivyo anashindwa kuvipangilia vizuri anakuwa na mzigo mzito ambao hakuutengeneza yeye. Ila ukimsikiliza utangundia anapata shida kusema jina la baba yake kwa sababu alipoingia shule aliandikisha Jina la baba mlezi sasa leo anasemaje jina la Gardiner, ni mjasili sana huyu binti na anaumia sana. Hongera binti mtangulize Mungu yote yatapita.

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 4 роки тому +4

      Wewe die ulie muelewa kama mimi na ukizingatia baba mlezi die kamsomesha kapambana nae hadi hapo ameaza kujulikana kuna baba mwengine ni kanzi nayo ningum kutamka jina la babayake mzazi

    • @user-jn6ec7qv5p
      @user-jn6ec7qv5p 4 місяці тому

      Sio baba ake mzazi acha kujifanya mjuaji kwenye familia za watu

    • @jibabaramadhan1712
      @jibabaramadhan1712 4 місяці тому

      Je baba alikutambua vipi kama wewe nimtoto wake
      Namama yako aliwahi kukwambia gardner nibabako

    • @mwaaang
      @mwaaang 4 місяці тому

      Huyu binti anataka kwenda mjini sikia background yake. Angekuwa anajali kuhusu baba mlezi asingethubutu hata kuliongelea hili kwenye media. Anaweza kuwa mtoto wake au sio.

  • @halimarahma7450
    @halimarahma7450 4 місяці тому

    Kwan huyo gadna hakua na kizalio yeye c ndo anawajua wanae

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 4 місяці тому

    Wanefanana na g sana

  • @Officalnaph
    @Officalnaph 4 роки тому +3

    ujasoma bana usitufukeeeeee

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 4 роки тому

      Wewe kama ujasoma una ona nikila mtu aja soma

  • @ibrahimelisha6842
    @ibrahimelisha6842 4 місяці тому

    umesoma Sehem za moshi shule ip?

  • @khadijathani9064
    @khadijathani9064 4 місяці тому +1

    Anafabana mbona

  • @VIVIANEMAKOTO-rl8lt
    @VIVIANEMAKOTO-rl8lt 4 місяці тому

    8:22 8:27

  • @ayoubhussein6625
    @ayoubhussein6625 4 роки тому +1

    Hajasoma muheza Muslim amesoma Mbaramo sec 2008-2011

    • @singanoally4407
      @singanoally4407 4 роки тому +1

      Muheza Muslim amesoma tena nimesoma nae darasa moja anaitwa jack George kinimba

    • @singanoally4407
      @singanoally4407 4 роки тому +1

      Nimesoma nae Muheza Muslim anaitwa Jack George Kinimba

    • @akidajulius1581
      @akidajulius1581 4 місяці тому

      Mbaramo ilikuwa imesha kufa huo mwaka, hajaikuta mbaramo sec ,

    • @jackietogwa7957
      @jackietogwa7957 3 місяці тому

      Basi na muheza muslim kasoma nimesoma nae

  • @barackhuncho2432
    @barackhuncho2432 4 роки тому

    Oooooh....mtotrooo

  • @ibramollel4196
    @ibramollel4196 4 роки тому

    Safi sana Dada

  • @VIVIANEMAKOTO-rl8lt
    @VIVIANEMAKOTO-rl8lt 4 місяці тому +1

    Huna lolote hujasoma mbona husemi baba yako ni nani wewe fara tu amekufa ndiyo unajidai mbona ana mtoto 1 Kareen

    • @samwelerasto7138
      @samwelerasto7138 4 місяці тому

      😂😂 Vivian angalia vizuri hii video ni ya miaka mitatu iliyo pita 😂kwo relax😅

    • @hajishabani6913
      @hajishabani6913 4 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @awazioga1823
      @awazioga1823 4 місяці тому

      Interview ya zamani hiyo kaka

  • @robertyossia8211
    @robertyossia8211 4 роки тому +1

    Wa kwanza

  • @teddymutani856
    @teddymutani856 4 місяці тому

    Mashauzi mengi sana alishindwa kujieleza vzr sasa kaumbuka baba hauyupo tena duniani

  • @CyimSky
    @CyimSky 4 роки тому

    KISA CHA MTU ALIYEUWA WATU 6 WA FAMILIA YAKE KISA KAOTA NDOTO
    ua-cam.com/video/fk-ypuJrAgw/v-deo.html

  • @praisekavy
    @praisekavy 4 роки тому +1

    O level umemalza 2015??? Na advance?? Na kumaliza chuo kiaje?? Mbona sielewi?? Alafu certificate ni mwaka mmoja diploma miaka miwili ujue mbona sielew hapo??

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 4 роки тому +3

      Inawezekana inategemea kam unapesa kuna shule za jion kwa mwaka mmoja na vyuo miezi sita

    • @praisekavy
      @praisekavy 4 роки тому +1

      @@allthingdranabeauty kuna QT najua ni miaka miwili, ila kasema 2015 ndo amemalza na wapi kuna advance ya mwaka mmoja ulisikia wapi ndugu??? Alafu pia diploma ni miaka miwili sio mwaka mmoja kama certificate fuatilia vzr utajua

    • @linahmaxha9005
      @linahmaxha9005 4 роки тому

      Certificate n miaka miwil afu wa tatu ndo wa diploma

    • @praisekavy
      @praisekavy 4 роки тому

      @@linahmaxha9005 anhaa atleast hapo sawa

    • @dorislema2465
      @dorislema2465 4 місяці тому

      ​@@praisekavywew uelew ata, anasema alisoma mwaka mmoja shule ya masista o-level and not h-level means alirudia lasaba nilivoelewa.but h-level ya mwaka mmoja ipo kama ulikua ujui

  • @nurudovino288
    @nurudovino288 4 роки тому +1

    Mtoto wake wa hiyari sio damu yake ila Leo tumeerewa

    • @yudadaniel4867
      @yudadaniel4867 4 роки тому +1

      not tumeerewa is tumeelewa sawa nuru

    • @dainagano3656
      @dainagano3656 4 роки тому +2

      @@yudadaniel4867 😂😂😂😂😂jaman jaman

    • @ukhtyjabutv6368
      @ukhtyjabutv6368 4 місяці тому

      @@yudadaniel4867 ha ha