DIVA THE BAWSE AMCHANA VIBAYA MUME WAKE/YULE SIO MUME/ANALALA NJE/HAJAWAHI KUTOA MATUMIZI HATA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 181

  • @esthermakelemo2864
    @esthermakelemo2864 8 місяців тому +13

    Nimempenda Bure Diva ni mkweli,ameongea kweli

    • @XerinLogistics
      @XerinLogistics 8 місяців тому

      Wew huna akili,upo moyoni mwake uhis anachokisema ni chakwl acha uboya wew

  • @judnesstemba7252
    @judnesstemba7252 8 місяців тому +7

    Diva dada angu angalia maisha yako hyo sio mwanaume nakwambia

  • @sund2553
    @sund2553 8 місяців тому +25

    Hapa hakuna ndoa wanaish kama mtu na dem wake hakunag ndoa ya hivi...raha ya ndoa ukaishi kwa mwanaume akuhudumie sio mwanaume aje ahamie kwako umuhudumie kila kitu mkigombana anakimbilia kwao.....huyu mwanaume atakuuwa na magonjwa

    • @cdeleo9336
      @cdeleo9336 8 місяців тому +1

      Nimeshangaa pia Yaani anajihudumia kila kitu na kaolewa duuh

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 8 місяців тому +8

    😂😂❤❤❤❤Ila NAMPENDA SANA DIVA AKICHEKA AKIONGEA😂😂😂

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 8 місяців тому +12

    Huyo dada mbea anachongoa mdomo kwenye ndoa ya watu na meno yake mafup km sungura huyo Diva mwenyewe dk mbil mbele utaumbuka buree

    • @jescamgallah3809
      @jescamgallah3809 8 місяців тому +1

      😂😂😂😂 meno kama nn

    • @nusurasalumnusura1106
      @nusurasalumnusura1106 8 місяців тому

      😂😂😂😂dah nimecheka na miwani yake sasa😂😂😂😂😂

    • @LeoKinango
      @LeoKinango 8 місяців тому

      Yaani mimi nipo busy na hayo meno mafupi😂😂😂

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 8 місяців тому

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @faidhacute
    @faidhacute 8 місяців тому +7

    Roja mmbea sana 😂😂 yan mpaka karuka ruka yaan umbea kaupenda 😂😂 hatar sana Tanzania sihami ng'oo

  • @uwimanacitegetse9926
    @uwimanacitegetse9926 8 місяців тому +21

    Nihatari kumbe mange hasemagi uwongo

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 8 місяців тому

      Asilimia 99 huwa hasemi uongo

    • @faidhacute
      @faidhacute 8 місяців тому

      Ila mange yule sio binadamu WA kawaida itakuwa jinni yule sio Bure sijui huwaga anatoaga wap stor hzi huwaga anaingia in deep

  • @didah6553
    @didah6553 8 місяців тому +10

    Yupo Kwa mwezio hapo Hakuna mume weka Akili Sawa diva

    • @Divathebawse
      @Divathebawse 8 місяців тому

      na ye ana mwenzie so akae kwa kutulia

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 8 місяців тому +2

    Sema huyu diva anajiona sana😢

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 8 місяців тому +5

    Hyu rafik kanaonekana kanafk ukute kanamchora tu hapo na anatembea na Abdul😂😂😂😂😂

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 8 місяців тому +5

    Uchawaa kazi jamani

  • @gracewairimu800
    @gracewairimu800 8 місяців тому +8

    DIVA can you listen to your self 😢

  • @Chrisscherry
    @Chrisscherry 8 місяців тому +2

    Yaani na huu uzungu wote ukaolewa na mganga dah haya mapenzi

    • @Jane-fi8on
      @Jane-fi8on 8 місяців тому

      Imagine!!! Ama alitupiwa uganga

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 8 місяців тому +5

    wwe ndoa tangu lini ndoa ikatangzwa mitandaon yn ni upuuz na hyo binti mwnye miwan meusi umbea tu yni umekaa hpo unaongelea ndoa za watu

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 8 місяців тому

      Hao ni wasichana wanafik ukisema wewe wa nini wenzako wanasema watampata lini! Si ajabu huyo shogako anakuchochea si ajabu akamchukua yeye😂

  • @ShekhaSalum-y9e
    @ShekhaSalum-y9e 7 місяців тому

    Nakupenda sna diva

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 8 місяців тому +2

    Uyo Abdul mumeo Hana mapenz Tena anakuhurumia TU ana huruma na ww anahis akikuacha utahangaika utaumia coz ww unampenda sana lkn hakutaki Tena uyoo! move diva on your life.

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 8 місяців тому +3

    Diva fanya maisha yako tu mbona upovizuri kimaisha abdul msenge

  • @QatarQatr-n6d
    @QatarQatr-n6d 8 місяців тому +8

    Mbwembwe zote zile za ndoa kma jna vile nakuona Diva walimwengu walikwambia huyo si mume hoooo namjuwa haya salamwaleko

  • @geegee2211
    @geegee2211 8 місяців тому +6

    Dada wa Taifa alizungumza haya yote ukasema anadaganya.

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 8 місяців тому

      Mjinga huyu demu anaona mitandao ndy itampa amani ya ndoa sijui wakati amani unajipa mwenyewe

  • @mishiomarhassan7115
    @mishiomarhassan7115 8 місяців тому +6

    😅diva hashauriki 😂😂mume ama kitungu maji

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 8 місяців тому +9

    Huyu ni chizi sio mzima drama zinamuharibu mno

    • @Divathebawse
      @Divathebawse 8 місяців тому

      mkiambiwa ukweli mnaona watu machizi asa uyo nae mwanaume

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 8 місяців тому

      @@Divathebawse Umwambie ukweli nani ww ushapotea kilinge kimekupoteza na drama zako zakutaka kuolewa M500 kiko wapi sasa ona umeangukia pua kilingeni. Yaani kutwa kumnanga mumeo baadae upo nae unatamba Insta sasa huoni km unajidhalilisha mwenyewe tulioachwa tupo tele na tunafanya yetu miaka inaenda hakuna kusemana mitandaoni wala kurudiana kila leo, ila ww una kiranga na kitakuponza hiko kiranga chako kiufupi tumekuchoka haya tublock na huku maana kule ukiambiwa ukweli unablock watu km sio uchizi nn👌

  • @alsam4881
    @alsam4881 8 місяців тому +15

    Hivi hii miwani ya kuzuwia jua huwa inavaliwa ndani ya nyumba au ni ushamba hawajui matumizi yake 🤔? SUNGLASSES😎☀

    • @naeema8155
      @naeema8155 8 місяців тому

      😂😂😂yan huyo dada ni mshamba sana hadi usiku anavaa

    • @rubbymusa1971
      @rubbymusa1971 8 місяців тому

      Nadhani anapenda kwasababu inamuongezea muonekano na inampendeza

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 8 місяців тому +1

      Usimpangie mtu. Cha kuvaa

  • @florakimaro-vw7qj
    @florakimaro-vw7qj 8 місяців тому +5

    Diva anaongea tu Hila bado anampenda maana angekuwa ampendi asinge ongea hivyo

  • @petersynto2043
    @petersynto2043 8 місяців тому +3

    Daima ndege mjanja hunaswa na tundu bovu

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 8 місяців тому +1

    Muone huyo shost meno mafupi😊😊

  • @youthchanel8612
    @youthchanel8612 8 місяців тому +1

    Huyo shoga akoo huyoooo!

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 8 місяців тому

    Huyo Shem mbona namshuku yumo nae !!! Dunia huwezi amini binadamu !

  • @esthermramba9395
    @esthermramba9395 8 місяців тому +2

    Kumekucha huku 2024 Diva na Dida waliamua tusipumue eeeeh,kaeni single kama boss wenu

  • @hadijasharifu1463
    @hadijasharifu1463 8 місяців тому +3

    Hakuna ndoa hapo

  • @HabibaHassan-t2u
    @HabibaHassan-t2u 8 місяців тому +4

    😂😂😂😂😂😂Diva move on una ela zako siku hizi hakuna mahaba mpenzi

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 8 місяців тому +5

    Huyo kaka hakupendi bwana mko tu kudhalilishana hiyo sio ndoa bali imebaki ndoano, na huyo shoga hapana yuko shadadi mnooo

  • @caesar7745
    @caesar7745 8 місяців тому +4

    Umeachwa diva unafosi tu. Mganga huyo amekupa kitu pole

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 8 місяців тому +10

    Maskini Diva kachanganyikiwa 😢😢😢 anatia hurumaa yupo kama poyoyo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 8 місяців тому +2

    Huyo mwanamme mjanja anajua kucheza na akili za wanawake kaona udhaifu wako kwenye mapenzi ndo maana kakuingia na Uliambiwa huyo mwanaume anatafuta kulelewa ugharamike wewe kila kitu yeye akupe mapenzi tu!

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 8 місяців тому +1

    Ila diva ana kasoro wallah hayuko sawa😢😢 na hyo abdul ana haki yakpitia haya ni macho ya wale wanawake alowaacha vibaya

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 8 місяців тому +3

    Mume yupo kwa bi mdogo😂😂😂😂

  • @PhinaGeorge-o5m
    @PhinaGeorge-o5m 8 місяців тому

    Wew nae diva mumeo king'asti

  • @KamaalAli-w2c
    @KamaalAli-w2c 8 місяців тому

    Pole Diva. Yule si Mwanaume. Naomba unitafute Mimi, Mwanaume anatakiwa awe kwake na ashughulike na Mke wake. Nitafute Mimi utasahau yote hayo Diva. Nakupenda Diva Mimi niko Ulaya.

  • @NUSRATRAJABUMTANDIKA
    @NUSRATRAJABUMTANDIKA 8 місяців тому +2

    BFF ake diva for me 🤣🤣 eti his not husband hawa ndo wanaliwaga na na shemeji Shenzi shoga mboga 🤧

    • @BethiGody
      @BethiGody 8 місяців тому

      😂😂😂😂 yaan ndio wachonganishi wakwanza

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 8 місяців тому +2

    Huyu kaka mbeaaaa jmn kaaah!!! Yani akisikia umbea anachachawaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @jamilajamal1584
    @jamilajamal1584 8 місяців тому +8

    Huyu sio mzima jmn drama na majisifu kha😳😳

  • @claudineali3561
    @claudineali3561 8 місяців тому +1

    Uyo mwanaume mwongo anamapenzi yakuandika sio yamoyoni

  • @tunuurio1031
    @tunuurio1031 8 місяців тому

    Uyo shoga ake anafanana na Chino kaaribu interview

  • @MarcruzOlivares
    @MarcruzOlivares 8 місяців тому +1

    Janel naona kawa chawa wa diva

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 8 місяців тому +1

    Hawa wanawake wanamisura mibovu ndio maana hawataki kuhojiwa bila make up na mawagi na miwani kama vinyago

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 8 днів тому

    Diva huyu mganga amekuloga balaa. U wont move😂 ! Ushawahi ona mtu ameolewa na mganga akaachana nae na akamove ???😂😂😂 open ur eyes!

  • @cellinamuro6872
    @cellinamuro6872 8 місяців тому +2

    Shida ni huyu bwana ni mganga kashafanya yake huyu lulu mzuri aachane nae akaolewe na mwingine

  • @AidahTimothy
    @AidahTimothy 8 місяців тому

    Mmmh yang macho

  • @lugendondago8493
    @lugendondago8493 7 місяців тому

    Wewe dada huna haya na humuogopi Allah, utakuja kulia one day

  • @tbytv878
    @tbytv878 8 місяців тому

    I would like to see her holding the whole interview in English she seem to be good in English... but i do not tuink so.

  • @imaniBez
    @imaniBez 8 місяців тому +8

    The fact that she talks about it soberly means she is moving moved on already. Go Diva!

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 8 місяців тому +1

    Ila Diva abdul hata km ana makosa yake mbona hajawah kukuongelea vibaya hebu acha upumbavu

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 8 місяців тому

      Hamuongelei vibaya ila anamfanyia vibaya so ni 50/50 my dearest

  • @heriethkusigwa7209
    @heriethkusigwa7209 8 місяців тому +2

    Diva you supposed to be mature enough...
    On and off ni nying sana kwako,Jitahid sana kuficha mapungufu ya mwenzako,Wew uliolewa jisitiri bas hat kdg!Huyo Mwanaume anakujua in and out mmeshare nae ngozi anamambo yako mengi sana na siku akilewa ataongea,Huwezi kusema et mumeo Leo ni Boy,😢😢Ushoga wa kipuuzi huu😮😮

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 8 місяців тому +2

    mi naona ndoa ya huyu diva ni maigizo mara hivi mara nini

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 8 місяців тому

    Miwani Sasa jmn km maadui ya kihindi

  • @jankenkasambala7687
    @jankenkasambala7687 8 місяців тому +2

    Kuna wanawake wana uwezo wa kukufanya usitamani kurudi nyumbani na ukirudi lazima upate ugonjwa wa moyo. Na kama hukurudi na pesa masimango yanakuhusu

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 8 місяців тому

    Kuwa tu makini dadangu usije ikiwa unapoteza muda wako chunga.. ila Mimi sioni ndoa hapo

  • @nicolerose5112
    @nicolerose5112 8 місяців тому

    Kweli uyu baba is a boy but not husband. Hata midomo yake na uso wake ya fanana play boy😢.Diva, move on tafuta mtu atakae kuheshimu nakuku thamini kam mwanamke, maan ww ni mke mzuri, romantic etc.. uyo sijui abdu iko nakupotezea mda tuuuu😢😊

  • @ChochoZuchu
    @ChochoZuchu 8 місяців тому +4

    Mbona wana miwani kama wezi usiku

  • @Chaotic-c2p
    @Chaotic-c2p 8 місяців тому +1

    Diva njoo huku Senegal nikutafutie mume mzuri

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 8 місяців тому

      Kwani Senegal hamna wanawake

    • @jescamkemwa9462
      @jescamkemwa9462 8 місяців тому +1

      Nitafutie mimi

    • @Chaotic-c2p
      @Chaotic-c2p 7 місяців тому

      @@jescamkemwa9462 nipatie email adress yako

    • @Chaotic-c2p
      @Chaotic-c2p 7 місяців тому

      @@fahadfaraj6474 hakuna romantique kama Diva

  • @ZaynatyAlly
    @ZaynatyAlly 8 місяців тому +5

    Sifa zinakufanya unaonekana kama zuzu😏

  • @hemedyawadhi2935
    @hemedyawadhi2935 8 місяців тому

    Wakienjoy waseme wao ww ndy unasema mmeenjoy mmekula mh

  • @restypeter1141
    @restypeter1141 8 місяців тому

    Dada Hana kifua unamdomo sn mmmh hapan kwakweli

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 8 місяців тому +2

    Huyu shogaako mnafki mara sio mwanaume mara amtetee

    • @RahmaRashid-lc6nw
      @RahmaRashid-lc6nw 8 місяців тому

      Kweli mashoga kama hawa sio ukute yeye hana ata mume kuingilia ndoa za watu

    • @rahmaarrington9019
      @rahmaarrington9019 8 місяців тому

      Mmh!! Kajuwa kuni lizaaa Leo Diva😭😭😭. ……. Mange ameongea haya , Diva mgonjwa halafu huyo shogaake ndie anaemtowa akili Diva na ana mzunguka atakuwa yy na Abdul kitu kimoja!!! Daa wameshamgeuza msukule mwenzao! Akili ya Diva inaingia na kutoka!! Ahaha

  • @LeonardinaBakuza
    @LeonardinaBakuza 8 місяців тому +1

    Ahhhhh hivi Hawa wote hawako sawa kabisa.hapo miwani mchana,alfu wako kitandanihasala tupu.

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 8 місяців тому

    Mbona amebadilisha kitanda 😂😂😂😂 bora ungejenga hii ni kiki tu tutasubiri siku 3 watarudiana

  • @neemamboya99
    @neemamboya99 8 місяців тому

    Hawa watu🙌

  • @Pretty_Tayana
    @Pretty_Tayana 8 місяців тому +1

    Huyu si alisema hataongea tena kwenye vyombo vya habari atakua busy na kazi😂😂

  • @israelnibigira4990
    @israelnibigira4990 8 місяців тому

    We utazidi kuumizwa

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 8 місяців тому +3

    😂😂😂Na ukubwa wote hujawajua wanaume dada pole wee😂na miwani yako cjuy ni ya jua 😂 ama ya giza😅

  • @MariaShio-oj2id
    @MariaShio-oj2id 8 місяців тому +1

    Love you diva

  • @saummohamedm435
    @saummohamedm435 8 місяців тому

    Huyo mwanamke wapembeni kaolewa

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 8 місяців тому

    Diva hiyo pua yenyewe km kidonge cha sabuni na bado unazidi kuibana na hiyo miwani imeziba tundu zote za pua😂😂

  • @jankenkasambala7687
    @jankenkasambala7687 8 місяців тому

    Sasa akisema akae hapo kwako upo tayari kukaa nyumbani kumuuguza mumeo? Si bora aende kwa maza

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 8 місяців тому

    Wewe Aunty unateseka nini na hiyo ndoa,kazi kumuongelea huyo mumeo,Hujui kama unampa kiki huyo kaka,unaonekana uko desparet sana

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 8 місяців тому +1

    This lady is in denial. Girl that man is only using you

  • @janethmutoka
    @janethmutoka 8 місяців тому

    Yaaan hili jinga hili

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 8 місяців тому

    Kalongwa huyu dada

  • @hamisaabdulhamid529
    @hamisaabdulhamid529 8 місяців тому

    Hamna rafiki hapo

  • @NUSRATRAJABUMTANDIKA
    @NUSRATRAJABUMTANDIKA 8 місяців тому

    Imagine shem anachat na shemej yake eti Ilovee Y’All Wtf 😳😂😂

  • @giztony2009
    @giztony2009 8 місяців тому

    Haya mapenzi ni sarakasi kwa kifupi wamechokana sema huyu demu anampenda jamaa

  • @alhabibsudi7997
    @alhabibsudi7997 8 місяців тому

    Huyo jamaa namjua ni tapeli mbwa

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 8 місяців тому

    DADA WA TAIFA MSEMAKWELI. SKU MOJA ATASEMA KWA MANGI BADO HAJASEMAA😂😂

  • @vumiliakilosa4548
    @vumiliakilosa4548 8 місяців тому

    Diva anampenda sana mumewake

  • @MagdalenaAloyce-l4r
    @MagdalenaAloyce-l4r 8 місяців тому +1

    Maskn pole dada diva embu jipe frah mwenyewe ucjal kumpa furaha mtu mwingine

  • @sidikassim6759
    @sidikassim6759 8 місяців тому

    hyo mwanmke akasomewe kisomo . hakuna mzungu hpa hi inchi ina lugha moja tu ya taifa kiswahili hkna kingreza usituletee kizungu chko cha mbagala

  • @RoverRoom
    @RoverRoom 8 місяців тому

    Mshamba huyu yani nyumba haina AI wala feni unalia joto kwa nini😂😂
    Mganga sheikh WA mchongo amekuroga kweli kweli

    • @Mundi-oz7os
      @Mundi-oz7os 8 місяців тому

      Umeme umekatika labda na hawana jenereta 😊

  • @Miaravibes
    @Miaravibes 8 місяців тому

    Hivi dada wa taifa anasemaje??

  • @amamiss22
    @amamiss22 8 місяців тому +3

    Diva is sick, and Razak is mental, so wanandana

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 8 місяців тому

    Kesho atasafiri Zanzibar na mume wake halafu atakumbe Roga mastori. Jiongo kubwa. Hutakiwi kaa utumiwe pesa zako nyokooooooo

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 8 місяців тому +1

    Diva huyo kaka hakupendi duuh Yaani valentine kakukimbia? hahahaha

  • @FatumaHamisi-pm2py
    @FatumaHamisi-pm2py 7 місяців тому

    Acha nae

  • @AnnoyedEagleRay-us8zt
    @AnnoyedEagleRay-us8zt 8 місяців тому

    Hhm sio kwa drama zauongo

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 8 місяців тому

    Ila diva!!

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 8 місяців тому

    Hajaishika namb ya mumewe😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hii nchi

  • @BerthaModest
    @BerthaModest 8 місяців тому +3

    😂😂😂🙌ila diva khaa siri ana khaaa hapana

  • @ghulamhaji7856
    @ghulamhaji7856 8 місяців тому

    Wewe unauhakika ni mke bora

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 8 місяців тому

    Ndoa za mwendo kasi hizo.😂

  • @queenmollel6739
    @queenmollel6739 8 місяців тому +2

    Diva please look for someone who will appreciate you , you need a man diva.

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 8 місяців тому

      Do u think she worthy a real man ?

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 8 місяців тому

    Hii ndoa ni changamoto