UTATOKWA NA MACHOZI MUME WA DIVA AKISIMULIA DIVA ALIVYO MNYANYASA / TUMEACHANA HAKUNA NDOA TENA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 622

  • @Kidotii
    @Kidotii 9 місяців тому +105

    Nimegundua ukipata bahati yakuwa single usiichezee!

    • @alisalimali8036
      @alisalimali8036 9 місяців тому +2

      Madebe lidai ..msemo sahihi

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 місяців тому +3

      😅😅😅😅😊

    • @hyy4114
      @hyy4114 9 місяців тому +2

      😂😂😂😂Astaghafirullah nacheka kama mazur

    • @rosemilingi7860
      @rosemilingi7860 9 місяців тому +2

      😂😂😂😂😂😂

    • @SkylarkMakundy
      @SkylarkMakundy 9 місяців тому +4

      Kweli kabisa tusichezee hii bahatii

  • @btylove1870
    @btylove1870 9 місяців тому +62

    Katika wanaume dangerous Abdul yupo top 3. Narcissist to the maximum! Katika wanawake wapumbavu na wenye matatizo ya akil Tanzania Diva yupo top 2. Diva ni haulai wala haulai. Abdul ajamalizana na Diva kwa sababu ajamaliza kumtumia na Diva hanajeuri ya kumuacha Abdul. Diva anahitaji kutumia dawa za wagonjwa wa akili. Abdul ugonjwa wake wakua Narcissist hauna dawa yaani kwa kifupi mtu Narcissist ni DEMON👹 😈!

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 9 місяців тому +91

    Ila diva nae kazidi kuweka mambo yake mtandaoni,hii sio poa

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 9 місяців тому +6

      Kweli kabisa diva kazidi sana

    • @zawiynasra
      @zawiynasra 9 місяців тому +3

      Sanaa

    • @RandB_Channel
      @RandB_Channel 9 місяців тому +5

      Ule sio mwana mke hata kama mme wako amekoseya kiasi gani sio poa kuja kila siku kila siku kuanika mmeo mitandao sio poa naye pia namwana damu

    • @zenahbayeh7371
      @zenahbayeh7371 9 місяців тому

      Kabisa Yule c mwanamke wa kuoa mwenye anadhalilisha mpaka wazazi wa mume diva ufuuuuuu

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 9 місяців тому +1

      anajichetuaga sana uzungu mwingii

  • @beauty2239
    @beauty2239 9 місяців тому +47

    Ukweli wa mahusiano yenu mnaowenyw msituchoshe huku mtandaoni bhana

    • @justforfun.20
      @justforfun.20 9 місяців тому +2

      umetumwa na wewe uje ucheck interview ???? 😮😮 si wajichosha mwenyewe kufwatilia mambo ya watu ?? 😂😂😂😂 ebu kaa kwa kutulia 😮😮😂😂

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 9 місяців тому

      ​@@justforfun.20😂😂

    • @mangareentertainment.
      @mangareentertainment. 9 місяців тому

      Usisahau , kipindi kile walifunga ndoa kwanza ndo ikafuata kicheni, party baada ya kuona Ndandy kafanya....😅😅😅
      Ila hii ndoa ilikua Kiki tuu amna lolote, japo kuna muda nahisii ni kunogesha reality show ya diva, kule zamarad huenda ikawa ni business issues

    • @raghad.2801
      @raghad.2801 9 місяців тому

      Kwakweli Abdul Huna ability kumrudia diva kwaku tia ayibu jamani .. diva ya jiyoni kama niwaajabu hajaona wazuri😂😂

    • @raghad.2801
      @raghad.2801 9 місяців тому

      Huna akili kumrudia diva tutakupati watoto wazuri sana wenye faida na ww

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 9 місяців тому +7

    Awa vijana weupe, warefu wembamba awanaga akili walai nakuambia waogope sana😅😅😅

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 9 місяців тому +13

    Si muongeaji hali hiyooo je ungekuwa muongeaji ingekuwajeee

  • @Akauntil
    @Akauntil 9 місяців тому +2

    Mwanaume wahvi simtaki kabsa kwenye maisha yngu.Diva pole

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny 9 місяців тому +14

    Ndoa yenu ilikuwa ya mitandaoni,rudini Madrassa mkasome ndoa silelemama hawa waliowana kwa shoo of, Alhamdulillah bora mmeachana tuliwachoka Jamani

    • @RachelAisha-y3d
      @RachelAisha-y3d 9 місяців тому

      Naona tuta pumuwaaaa sasa uyo mume mongo saaana

    • @Semnyawenda
      @Semnyawenda 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂

  • @furahachuma9039
    @furahachuma9039 9 місяців тому +16

    Yaani hawa wote si DIVA wala ABDUL wote ni lopolopo. Kwa kifupi ni watu wa hovyo sana na hawafai kuigwa.

    • @ramadhanslymdady7979
      @ramadhanslymdady7979 9 місяців тому +2

      Bro i don't know you but umeongea point sana kaka💪💪💪💪

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 9 місяців тому +1

      @@ramadhanslymdady7979 Asante kaka.

    • @Semnyawenda
      @Semnyawenda 4 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂😂😅😅

    • @MaryamSimai-b9f
      @MaryamSimai-b9f 19 днів тому

      Hawana maaadili ata kidogo

  • @RacherBakari-qh2gx
    @RacherBakari-qh2gx 9 місяців тому +15

    Mh mwanaume kama uyu mm apana

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 9 місяців тому +8

    KAMA UNA BANDO LA KUTOSHA ANGALIA MPAKA MWISHO UJIFUNZE MWANADAMU JINSI ALIVYO,,,AFU SEPA FASTA PITIA HABARI ZA MAANA

  • @JacklineNamundengozi
    @JacklineNamundengozi 9 місяців тому +2

    You are truly a real man only legends can understand you .

  • @mwajumamvano9089
    @mwajumamvano9089 9 місяців тому +1

    Assalamu alaikum warrahmatu llahi wabarakatu kaka Abdul Ramadan karim msamehe uyo ajui alitendalo kaka.msamehe saba mara sabin inshaallah mwanamke ni kiumbe dhaifu

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 9 місяців тому +6

    Kaka nakushaur kaoe MWANAMKE mwingne aliolelewa kwenye maadili ya din

  • @UmuHaitham-v3b
    @UmuHaitham-v3b 9 місяців тому +11

    Nyote wawili mapwagu na pwaguzi. Manenoyenu wote hovyoo. Muongo mkubwa upo garage gani? Nyote waropokwaji

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 9 місяців тому +14

    Uy kaka kwer kapotea alivo kua na maneno mazur saiv kawa kama kichaa iv jamani daaaa

    • @geez5076
      @geez5076 9 місяців тому +1

      😂😂😂😂😂😂

    • @Babygirl758
      @Babygirl758 8 місяців тому

      🤣🤣🤣🤣

  • @lelaiddy6856
    @lelaiddy6856 9 місяців тому +19

    Abdul ni Muongo huyu kaka jamani...ana utapeli wa kijanja janja

    • @tibaijukaolevarez6257
      @tibaijukaolevarez6257 9 місяців тому +1

      Anakaa mwongo😢😢

    • @RachelAisha-y3d
      @RachelAisha-y3d 9 місяців тому

      Saaaana wallah simupendi

    • @RachelAisha-y3d
      @RachelAisha-y3d 9 місяців тому

      Saaaana wallah mongo tena tepeli

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 8 місяців тому

      Bora umeona ndugu yangu uyu kaka simsemi kwa ubaya lakini akiacha ujanja ujanjua atakuwa mume mzuri tu

  • @magrethkasabuku1632
    @magrethkasabuku1632 7 місяців тому

    Oooh sio waongeaji hapo unafanyajeee😂😂😂😂😂

  • @ElizabethPetro-th5nn
    @ElizabethPetro-th5nn 7 місяців тому

    Pole sana kaka angu

  • @hemediomari7610
    @hemediomari7610 9 місяців тому +6

    Kweli bwana unasimangwa 😅😅😅😅

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 9 місяців тому

      Kama angeoa asingesimangwa lakini umeolewa sasa na mdomo juu lazima usimangwe kwani ukioa si unamchukua mkeo kule unakoishi? Sasa umekwenda kukaa kwa mke unategemea nini. Acha yakukute umezowea kutesa watoto wa watu sasa umepata kiboko saizi yako wooow!!!

  • @ArafaAbdulrahaman
    @ArafaAbdulrahaman 9 місяців тому +9

    Huyu nae Yani sijawai kuona mwanaume Hana kaba kama huyu diva jasili kuishi kwa muda wote na kiumbe kama huyu

    • @Divathebawse
      @Divathebawse 9 місяців тому

      asante sana ni shida sana kuishi nae i tried na ni muongo mno atoe karatasi za kununua hio nyumba ndio maana nilikataa kwenda ishi nae maana kila siku kuhama

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 9 місяців тому +1

      diva ulizidi kumuongelea mumeo.shame on u...! mie naside na abdul..pungiza ngebe na mdomo unajichulia..hakuna mwanaume timanu atakubali kukuoa wewe

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 9 місяців тому +15

    Ila huyu kaka anajifanya hamnazo akisema kamstir bibi yule Leo anakanusha😂😂😂

  • @hanspop6961
    @hanspop6961 8 місяців тому

    Abdul Nimekuelewa sana😀

  • @lastborn7810
    @lastborn7810 9 місяців тому +6

    Kwenda uko abduli unapenda umaarufu 😅😅sabrina ulimwambia umemuoa diva ili upate umaarufu na ujikwamue kimaisha 😅😅😅😅yule sabrina mungu anamlipia

  • @RAMLATHAJI-ig4pf
    @RAMLATHAJI-ig4pf 9 місяців тому +7

    unapenda kuapa ovyooo viapo vitakufunga si ulisema humuongelei tena diva ww na kiapo kikubwa leo unamsema nani

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 9 місяців тому +1

    Abduli ana kikwapa 😂😂😂😂diva anapenda sana kuweka mambo ya ndn hadharan na masimango juu

  • @rosediria7306
    @rosediria7306 9 місяців тому +20

    Diva hana sifa za mwanamke wa kiislam...hakuna ndoa isiyo na magumu kikubwa ni kuvumiliana...uzungu ni ushamba sisi tuna culture zetu...mbona ma star wengi wameolewa na vijana na wana heshimiana...mwanaume upendo wake upo kwenye heshma ukishindwa kujishusha na kumuheshimu mumeo huna sifa za mke...Diva abadirike...hata marais wakike hujishusha wakiwa nyumbani na waume zao

    • @seifjuma7318
      @seifjuma7318 9 місяців тому +2

      POINT SISTER BAADHI YA WANAWAKE HAWATAKI KUJISHUSHA KWA WAUME ZAO MTIHANI DUNIA IMEISHA HII TUZIDI KUSALI.NA MUNGU ATUPE MWISHO MWEMA

    • @estonsaimon6671
      @estonsaimon6671 9 місяців тому

      Why mwanamke wa kiislamu??

    • @SumaiyaIssa-qh4ct
      @SumaiyaIssa-qh4ct 9 місяців тому

      Naam sahihi kabsaa

    • @msakadoobongeladada-uh3sk
      @msakadoobongeladada-uh3sk 7 місяців тому

      fact @rosediria7306

  • @magrethfrancis1350
    @magrethfrancis1350 9 місяців тому +2

    Ni kweli utapewa tuzo, kutukanwa,kusimangwa,kuongelewa redioni,familia kuzihakiwa ht hivo ulichemka kua diva kweli diva anaongea mno,na kujifanya Mzri, staa, amevunja Ndoa Kwa mikono yake na midomo yake mirefu aende Kwa mzungu wake alietuambia uko akuache shehe anafanya nawewe tunakuona mjinga bure

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 9 місяців тому +6

    Sasa siumuache kwan lazima kuwa nae msituchoshe bhana

  • @abuukilanga2249
    @abuukilanga2249 9 місяців тому +2

    Abdul malizeni tofauti zenu hamna matatizo makubwa please

  • @giftlivingstone9267
    @giftlivingstone9267 9 місяців тому

    Mungu awasaidiee tu🙏🏽mwanamke unapaswa kujishusha n kuwa n stara n uvmilivu

  • @ElinaPoul
    @ElinaPoul 9 місяців тому +6

    Mbona walikushinda ao wadogo unafikiri mchezo kuhudumia, ndio mana unamng’ang’ania diva sbb umeona anakulea anakufanyia wepesi kwenye mambo yako

  • @dianerditto
    @dianerditto 9 місяців тому +1

    😂😂😂hii ndoa jamn input na output zikaoana

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 9 місяців тому +11

    Wewe diva please move on. Wewe ni chizi hapa hauna mume

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 9 місяців тому +9

    Nyie wote hamjamoveaana kaeni chini muwachane kwa amani😂

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 9 місяців тому +20

    Tatizo mnaoa kwa tamaa sio kwa ajili ya Allah

    • @realestatetnz
      @realestatetnz 9 місяців тому

      Na allah amesema tuoe Ili kuepukana na tamaa. Kipi chema kuoa kwaajili ya tamaa au kuzini. Hatuoi kwaajili ya Allah. Tunaona kwaajili ya kutimiza amri yake

    • @SultaniDitopile
      @SultaniDitopile 9 місяців тому +1

      Na bila kutamani na kupenda huwezi kuoa

    • @cheka480
      @cheka480 9 місяців тому

      ua-cam.com/video/J9EZB0rg2Rk/v-deo.htmlsi=xDYQ_H-rVrfNMTvN

  • @vinenswilliam3534
    @vinenswilliam3534 8 місяців тому

    Wakija kupatana haya mambo watawezaje kuyaondosha online?

  • @tabumkingwa6195
    @tabumkingwa6195 9 місяців тому +26

    Bora Diva anaongea kutoa hasira zake kuliko angekuwa Malaya

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 9 місяців тому

      Hakuna ubora wowote hio ni kujidhalilisha .. Kuna watu wa kuwaita na kuwaeleza Ili wawasaidie na kuwatatulia pale mliposhindwana sio kama Diva misifa imemjaa huyo bibi kizee 😅😅😅

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 9 місяців тому

      Hakika kuna wazazi kuna washenga kuna waliofungisha ndoa kwann wasiwaite wakayajenga ? ​@@annasolomon9855

  • @chany9950
    @chany9950 9 місяців тому +12

    Diva ukirundiana na uyo bwana utakuwa mwendabazimu jmn🤣🤣

    • @bakarimohammed9851
      @bakarimohammed9851 9 місяців тому +2

      Wee unadhani huyo diva yuko timamu! Muelewe jaman diva ubongo wake hauko sawa kabisa

    • @KwizeLee
      @KwizeLee 9 місяців тому

      @@bakarimohammed9851kamuroga

    • @hyy4114
      @hyy4114 9 місяців тому

      ​@@bakarimohammed9851😂😂😂😂😂😂mbona hivyo jmn

    • @bakarimohammed9851
      @bakarimohammed9851 9 місяців тому

      @@hyy4114 mim nakusanua tu kama unampenda Diva bac sikiliza kipindi chake ondoka, ukijarib kuiga maisha yake umekwisha

    • @happynathan8226
      @happynathan8226 9 місяців тому +2

      We unaweza shauri mtu wako wa karibu aoe mtu mwenye akili kama Diva

  • @Rachel-n4k
    @Rachel-n4k 9 місяців тому +3

    Abdul move on ! Diva sio type yako kwa tabia yake hataweza kuwa na ndoa mahali popote Aibu gani hii kila kitu kwenye mitandao daa

  • @MaraboyJames
    @MaraboyJames 9 місяців тому +3

    Wanyama atali

  • @OmaryJuma-lo1kw
    @OmaryJuma-lo1kw 8 місяців тому

    Tuweke akiba ya maneno😂😂

  • @BarakaPeter-r4x
    @BarakaPeter-r4x 9 місяців тому +2

    Nyie mkiacha tamaa na kuwa na subra ya mwenyezi mungu mtapata wanawake wazuri

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo 9 місяців тому +7

    Kwa mara ya kwanza naona bdul unaongea point sana khs ndoa.nakuelewa. lkn tatizo mlichukuana ghafla Binti hakupata mafunzo cos ndoa SI kitu Cha kuokota ni zawadi kubwa sana ambayo inatakiwa usia itangulie

    • @jassminemubarak2828
      @jassminemubarak2828 9 місяців тому

      mwenyezi mungu atujaliye hekima ya ndoa wanawake wengi tuferi hapo

    • @FruitfulMpanduji
      @FruitfulMpanduji 4 місяці тому

      Muongo wewe ..umemtumia ulikuwa unataka umaarufi kupitia mkeo...wewe utabaki kuowa owa .na mwisho wako mbaya

  • @enjobw5682
    @enjobw5682 9 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂 atuelewi kabisa diva bado anakupenda bwana

  • @ElizabethArmos
    @ElizabethArmos 9 місяців тому

    ❤pole sana

  • @nyanziratatou5404
    @nyanziratatou5404 9 місяців тому +6

    Kweli unasimangwa na baba yako anasemwa ndani.

  • @witnessromward6875
    @witnessromward6875 9 місяців тому

    Mmmmh sio kweliii

  • @hemediomari7610
    @hemediomari7610 9 місяців тому +13

    Huyu mpuuzi sijui alimpa nini duva

  • @GraceShirima-cl4yx
    @GraceShirima-cl4yx 4 місяці тому

    Kuwa single rahaaa sanaa kah

  • @GoldenchipsChips
    @GoldenchipsChips 9 місяців тому +12

    Limbukeni,mpuuzi,mwenye kukosa ustaarabu,Hekima,na busara,mwenye kujisifu na majigambo mwenye akili zakitoto ndio vitu naviona haraka haraka kwa abdul baada ya kutingishwa na ndoa😂😂😂kabarikiwa tu kujua elimu ya dini ila pia haimsaidi tena 😂😂😂

    • @Bintimrembo-y1v
      @Bintimrembo-y1v 9 місяців тому

      Elimu ipi?? Ya kufira watoto wadogo? Acheni unafiki nyie

    • @africa7479
      @africa7479 9 місяців тому

      ​@@Bintimrembo-y1v wew unafikiri hatuna habar zako kaa kimya

  • @MaiKasimu-xf4fz
    @MaiKasimu-xf4fz 9 місяців тому +3

    Sema pamoj na yote....hakuna MWANAUME anaevumilia masimango....MWANAMKE anayejitambua hukaaa kmy na kujikataaaa mazima...wanawake tunajijua tukichoka huwa tunasep mazima na kukaa kmy😢😢😢😢😢😢

  • @neemamabena-xx5er
    @neemamabena-xx5er 4 місяці тому

    Kibaya ichi kikaka kama sikereton 🤔😁😁😁😁 sjui diva alifata nini apa

  • @Aisha-nt9kh
    @Aisha-nt9kh 9 місяців тому +2

    Kweli masimango si mazuri 😢

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 9 місяців тому +20

    Hamuendani wawili nyie kwa uongo mwingi na midomo mikali. Wachaneni mutupumzishe vichwa 😅

    • @Semnyawenda
      @Semnyawenda 4 місяці тому

      😂😂😂 haki mecheka kwa sauti!

  • @elisifaedsoni
    @elisifaedsoni 9 місяців тому +2

    broo pole

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 9 місяців тому

    Allah hawapendi wanaume wenye kuonja onja na wanawake wenye kuonjwa onjwa.hii ni kwakua kuanza mahusiano kabla ya ndoa kunaacha maumivu makubwa sana ndani ya nyoyo za wahusika.Kwa mwanaume kutumia gharama kubwa kisha ukaja kugundua huyo mtu hakufai.kwa mwanamke pengine kujikuta umeshazaa na mtu ambae mbeleni ukagundua hauwezi kuishi nae.Chagueni pakuweka mbegu zenu.hayo ni maneno matukufu ya mtukufu mtume saww.Huwezi kuokota mtu vichochoroni tu ovyo ovyo ukamfanye mke/mume

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 місяців тому

    I'm telling you Wallahi

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 9 місяців тому +2

    Uwiiii divaaaaaa😂😂😂😂😂

  • @rosemkude4804
    @rosemkude4804 9 місяців тому +2

    I stand with you Abdul.... Mrudie mkeo ili uwe na amani.... Your body language speaks by itself... Rudia mkeo uwe na amani jamani.... Maumivu uliyonayo yanaonekana... Diva bado anakupenda... Acheni utoto

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 9 місяців тому +11

    Watoto wa siku hizi hawana adabu kabisa kila kitu mitandaoni duu

    • @Semnyawenda
      @Semnyawenda 4 місяці тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 9 місяців тому +3

    Wanawake ambao mungu kawajaria kidogo uzuri au umaarufu ndiomaana kuolewa na kudumu kwenye ndoa ni ngumu sana mala nyingi hawawez kudumu kwenye ndoa au ata kuolewa kabisa mala nyingi wanaume tunaoa mwanamke wa kawaida ambae unahis hata kusumbua

  • @IluMshana-ni8xf
    @IluMshana-ni8xf 8 місяців тому

    Anyway...kama umesikia "wanaojua thamani yangu ni watu wa benk😂😂😂"

  • @nyanziratatou5404
    @nyanziratatou5404 9 місяців тому +3

    Kuna mda tuanze kumuelewa Abduli kabisa. Mimi nakuwa mtu wakwanza kukuelewa sasa❤❤❤

  • @Ruu974
    @Ruu974 9 місяців тому +8

    Shagalabgala ndani ya mwezi wa Ramadan atasaumu amna

    • @Babygirl758
      @Babygirl758 8 місяців тому

      Sio kwa shagalabagala 😂

  • @MomadeIja-nl3bj
    @MomadeIja-nl3bj 7 місяців тому

    Kifupi Diva ni mswaili asiye fadhilika.Unataka kusema ivyo Abdol???

  • @zainabnassor1793
    @zainabnassor1793 8 місяців тому

    Sasa kwa nn ukiwa peke yako unachukua wapishi 4 kwa nini ushindwe kumuekea mkeo ndani na especially ushamjua km hapendi kupika au labda hajui,y unamfanyia ivo

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 9 місяців тому

    😂😂😂😂diva anapiga cm

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 місяців тому

    Nakujuaaaa

  • @gracendaki4515
    @gracendaki4515 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂maelezo 460!!!!!!

  • @faithmapondo7370
    @faithmapondo7370 9 місяців тому

    Yaan hyu kaka jmn nataman afe kifo kbaya sana yaan ndio Wana tabia hzohzo wakikuumza wanataka ukae kimya usiongee lkn mim namuelewa sana diva acha aongee ndio anatoa uchungu wake na ipo ck maumivu yke yataisha hayawez kudumu

  • @umlaith5202
    @umlaith5202 7 місяців тому

    Mbona huyo Mwanamme anasemekana hakai na Wanawake..Kila mmoja humuowa na mwisho kumkashif

  • @mwantumkombo3014
    @mwantumkombo3014 9 місяців тому

    Sameheaneni cz bado mnapendana, kesha koma msamehe anakupenda sn

  • @jakylinedeogratias7597
    @jakylinedeogratias7597 9 місяців тому +8

    Ni kweli ndoa nyingi zina changamoto lakin kuvumiliana

  • @bibitititv9333
    @bibitititv9333 9 місяців тому

    Abdul ana haki ya kuyaongelea kusimangwa ni tabia mbaya mbaya sn, mambo yanamalizikiaga ndani kimya kimya, mwanamke mwenyewe ndio anayapeleka nje tena mitandaoni, ni aibu aibu sana , Diva ajitathimini upya, aombe msahama amrudie mumewe.

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 9 місяців тому +9

    WEWE KAMA MWISLAM ULIE MSILIMISHA HUYO MWANAMKE MFUNDISHE BILA KUCHOKA ANAKUPENDA SANAAA HUYO MWANAMKE ANAKUPENDA HEBU MSAIDIE TUNAKUOMBA SANA FANYA KUMSAIDIA TTZ WIVU PLS HELP HER WE MWANAUME MAPUNGUFU YA MWANAMKE YALIKUWEPO HATA DHAMA ZA MITUME SHE IS LOVE YOU SO MUCH HAKUNA MWANAMKE MKAMILIFU

    • @tabumkingwa6195
      @tabumkingwa6195 9 місяців тому +1

      Kabisa anampenda sana

    • @belak999
      @belak999 9 місяців тому +1

      She is love you mmmh hiki kiingereza chaxwap? 😅😅😅

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 9 місяців тому

      😂😂😂😂😂​@@belak999

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 9 місяців тому +8

    Mie hata siwaelewi wanaume wa dar😢😢

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 9 місяців тому +2

    Abdul, lol.. Huna Ata Nidhamu, eti Diva Bibi,?... Ulivyokuwa unamtogoza hukujua age yake? Wewe Akili kama teenager, Una Ushamba Saana! 😢Kijana wa Arusha, Uswahil mwingi.. Huna Ata Hisani.. Nani alikuwa anakujua wewe?? Umejulikana sababu ya Diva... Acha Ushamba Abdul,... 😢👎🏽👎🏽👎🏽👎🏽👊🏽

  • @rosemkude4804
    @rosemkude4804 9 місяців тому

    Hawa wapenzi wawili naona kuachana kunawatesa sana.... Kelele nyingi mtandaoni.... Tiba yenu ni KURUDIANA tuu na kuachana na mitandao

  • @gaudencemihungo4348
    @gaudencemihungo4348 9 місяців тому +5

    Wewe siyo mwanaume wa kawaida.
    Maneno hayo yote unayoongea bado unasema wewe siyo msemaji?
    Wewe umejaa maneno kuliko wanawake wa vingunguti na tandika.

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 9 місяців тому

    Ulijichanganya sana,Diva mke kweli wakuoa?

  • @NashatAhmed-z2t
    @NashatAhmed-z2t 9 місяців тому +8

    Hawa ni wanatengeneza contet tu. Hawana ugomvi wa kweli hawa

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 9 місяців тому

    😅😅😅 maoni yangu ni , kama haukutoa mahari ya milioni 500 , basi ndio maana ndoa yenu iko fyongo. Kama anaimani akatubu kwanza maneno yake yale ya zarau 😅😅 oohooo bila million 500 Mimi mwanaume hanioii😅

  • @edithmwasulama7005
    @edithmwasulama7005 9 місяців тому

    Ila cc wanawake ndo tinaruhusu vimwanaume visivyo na hadhi kutudharaulisha. Bora kusumbuliwa na mwanaume anaeeleqeka sio uozo huu

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 місяців тому

    Wasanii jamani mlipendana wenyewe mkaoana sasa kwanini siri zenu mnatoa mitandaoni

  • @getrudamatoto5277
    @getrudamatoto5277 9 місяців тому

    Ni kweli unasimangwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ashabady9616
    @ashabady9616 9 місяців тому +2

    Ndi0 muowe wke wa dini zenu ss kina zeinabu tupo hapa tele lakinq mwafata kina merry 😂😂😂😂😂

  • @ikkyeggal5657
    @ikkyeggal5657 9 місяців тому +5

    Ila kusema ukweli diva hana staha. Analalamika pesa alizotumia kwa huyu mume wake, sijui katapeliwa etc. lkn nan atapenda kusimangwa kila siku tena social media? Dive you are not a victim. Abdul can be a narcissist lkn wote mmekutana chupa na kifuniko

    • @SophiaChmpaya
      @SophiaChmpaya 9 місяців тому +2

      Na kumlazimisha wapange nyumba ya bei juu wakati kipato cha mume unakijua akikataa anajipangixhia mwenyewe za bei na kuja mtandaoni kusema lamlea et anajibrand, inabid atumie vitu vya hadh yke si ujinga huo wkt kipato chenu mnakijua diva anaendeshwa na akili za wanaudaku.

  • @mobilebeats3086
    @mobilebeats3086 9 місяців тому +1

    Nilichoona hawa wote wanamapungifu yao kwasbaabu chakwanza ndoa ni siri ya watu wawili diva hapaswi kuyaongea mambo ya ndoa kuyatoa nnje sio vizuri atakama mwanaume anamapungufu yake nenda kwa wazee wake wamshauri lakini ukisema ulileta mitandaoni unamuhaibisha mume wako mambo ya ndani yabaki kuwa yenu mkifanya ivo mtadhalilishana sana

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 9 місяців тому +1

    Una busara sana kaka mwenyez mungu akubariki

  • @praxsedamathias1768
    @praxsedamathias1768 9 місяців тому +6

    Huyo mwanamke hamnazo maana anasema hivi baadaye anamtumia mesege mwenyewe na anampigia si uzodwa huo

  • @vero57
    @vero57 9 місяців тому +16

    IVI NYIE MUMEFUNGA KWELI??????? KWANINI MATATIZO YENU MUSIENDE KWA WATU WANAOUSIKA?????? HUMU KWENYE MEDIA KUNAWASAIDIA NINI??????? MUNATUCHOSHAAA TUUU HUKU!!!!

  • @mwalimukhamisi1680
    @mwalimukhamisi1680 9 місяців тому

    Acheni maisha ya mtandaoni, kaeni muyamalize ikishindikana nendeni kwa mashehe.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 9 місяців тому +2

    Mimi ninachokiona mwisho wa hii ndoa itakua mbaya sana diva ajiwezi

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 9 місяців тому

    Nikweli kbs yaniyani alikuwa anakushimanga,ule kwa dimond ndo panampa jeudi Hana adabu atakidogo,anajiskia

  • @halimasalim7891
    @halimasalim7891 9 місяців тому

    Hawa wote wamekutana wazee wakujiproud hawawezi ishi pamoja watu wa hivyoo 😅😅😅😅

  • @ElinaPoul
    @ElinaPoul 9 місяців тому +25

    Diva atakua mjinga akirudiana tena naww

    • @Zainab_salat
      @Zainab_salat 9 місяців тому +5

      😂😂😂😂😂 huyo ni mshirikina atamroga tu

    • @mteulemnyama7858
      @mteulemnyama7858 9 місяців тому

      Alikulonga nini​@@Zainab_salat

    • @mwanaishaabubakar5013
      @mwanaishaabubakar5013 9 місяців тому +5

      Diva kajisahu. Na hao wanaokuchochea wanakuonea choyo wanataka. udange kama wao

    • @leaherasto929
      @leaherasto929 9 місяців тому +4

      Labda kama kamroga

    • @Marwawilliam
      @Marwawilliam 9 місяців тому +5

      Abdul namwelewa sana

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 9 місяців тому +7

    Kiukwer diva inabidi aombewe..diva inabidi abadilike bwana..akue asiwe kama mtoto..diva acha mambo yakusimanga wanaume ..achen utoto bwana rudianeni na diva usipende kupeleka mambo yako paplic bwana diva badilika..acha kumsimanga mumeo unawapa faida watu wasiokupenden..hususan wabaya wenu

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 9 місяців тому

      Acha asimagwe ndo ajifunze kutafuta wale alie waliza acha nayy atandikwe na manyanyaso na yy pia kazidi

  • @hemediomari7610
    @hemediomari7610 9 місяців тому

    😂😂😂😂maisha bwana

  • @dinaalfani
    @dinaalfani 9 місяців тому

    Yn sisi baadh y wanawke tukisaidia wanaumezet tunakua.n mdomo.sn lakn mbn na wao wanatulea sn2