MZEE MAKOSA BAADA DIAMOND AITWA NA MZEE WA UPAKO/HELA NILIZOPEWA NAENDA KUPANDA MITI/MASHINE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • MZEE MAKOSA BAADA DIAMOND AKUTANISHWA NA MZEE WA UPAKO/HELA NILIZOPEWA NAENDA KUPANDA MITI/IRINGA
    #mzeemakosa #mzeewaupako #mzeemakosadiamond #carrymastorytv

КОМЕНТАРІ • 84

  • @EnockLubengo-w7g
    @EnockLubengo-w7g 3 місяці тому

    Hongerea mzee💪💯👏

  • @nathanielshauri5135
    @nathanielshauri5135 3 місяці тому +6

    Kuwaelewa wazee inaitaji busara sana..

  • @sanaasanainc.9713
    @sanaasanainc.9713 3 місяці тому +6

    This Is Passion 💗

  • @AndreyMalisa-qj3ds
    @AndreyMalisa-qj3ds 3 місяці тому +6

    IQ ya mzee yahitaji D mbili
    Manaa dunia ya mungu ni sehemu salama ilaa binadamu

  • @PonsionoMamboleo
    @PonsionoMamboleo 3 місяці тому +6

    Nimefurahi MAONO ya MZEE makosa. Hongera pia MZEE wa upako una busara...

  • @MakanzuBenjaminmobutu
    @MakanzuBenjaminmobutu 3 місяці тому

    Mungu Akubariki sana Mzee Wetu

  • @dismasluwagila
    @dismasluwagila 3 місяці тому +4

    Anaongea point

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 місяці тому

    Nakukubari sana fadha mzee wa upako

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 3 місяці тому +5

    Mzee wa upako alikua anaombea watu wanapona lakini huyu mzee anampa suplements akatumie..kwanini asimuombee..akili kumkichwa😀😀

    • @williamlusinde4612
      @williamlusinde4612 3 місяці тому

      Kwani Mzee Makosa amekuambia anaumwa??Au amekuambia anahitaji Maombi??

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 3 місяці тому

      ​@@williamlusinde4612😂😂😂😂 tatizo kila mtu anamaoni yake.kwani before hiyo 10M alikuwa anaishi vp?.ukitoa kwa jamii unaongezewa zaidi.

  • @GeofreyKalo-ot3we
    @GeofreyKalo-ot3we 3 місяці тому +4

    Usiendekupada miti mzee ahanayo bora hilo wazo alilokupa mzee lusekelo!

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 3 місяці тому +13

    Akitoka hapo mwambie namuita afike kwangu mala moja,

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 місяці тому +6

    Mzee makosa anaendelea kufanya makosa 😂

    • @SamweliHozza
      @SamweliHozza 3 місяці тому

      😅😅😅😅

    • @emmaonlinemedia4202
      @emmaonlinemedia4202 3 місяці тому

      😂😂😂

    • @mastatz7766
      @mastatz7766 3 місяці тому

      Mzee anamaono ya mbali sana yawezekana ana miaka 2

    • @TALLUBOY
      @TALLUBOY 3 місяці тому

      Kabisa dah yan milion kumi
      Yeye cha kufanyia hana duh

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 3 місяці тому +3

    Mwambie mzee wa upako apige maombi sana anakunywa sana pombe kali,,aache pombe hapo alivo mzima hivo ndio makosa mwenyewe sasa,,we ukikutana naye kashakunywa unamsahau

  • @charlskaswiza2982
    @charlskaswiza2982 3 місяці тому

    Kwawenye D2 nakuendelea watajuwa mzee anamaana gan 🫶🏻

  • @HashimKambi-m4t
    @HashimKambi-m4t 3 місяці тому

    Huyo ni mtu mwenye busara saana, na pia anaufahamu sana Muziki na kiukweli tangu akiwa kijana ana wito. Niliwahi kukaa naye Iringa nikaongea naye Mengi.

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 місяці тому +1

    Mwaka bado mbichi huu 😂

  • @salamalsawaqi1206
    @salamalsawaqi1206 3 місяці тому

    Basi ampe na baba yake mzee Abduli atapata baraka

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 3 місяці тому +2

    HUYU MZEE NI MKWELI SANA SANA

  • @PachkoloMwasenga
    @PachkoloMwasenga 3 місяці тому

    Huyu Mzee kweli anamsimamo na anajua nini anafanya embu angalia anavoongea Mzee wa upako na jinsi Mzee alivo busy na kausiingizi kakitajiri

  • @abednego3876
    @abednego3876 3 місяці тому +3

    Huyu mzee mpumbavu sana

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 3 місяці тому +1

    Yeye na Miti na Miti na Yeye

  • @antonykaranja2095
    @antonykaranja2095 3 місяці тому +1

    Niko Kenya naitaji no yake Mzee makosa na naulisa mke wake juko wapi

  • @mwakilamwaki7308
    @mwakilamwaki7308 3 місяці тому

    Mzee ana ekima na busara

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 3 місяці тому +2

    Pia miti ya mbao ni muhimu mzee😂😂

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 місяці тому

      Atavuna baada ya miaka 20 akiwa marehemu 😂

    • @happygervas7489
      @happygervas7489 3 місяці тому

      Dohh kumbe inachukua muda mrefu hivyo 😢😂​@@ahz6907

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 місяці тому +1

    Mzee makosa swala la kununua
    Mashine ni lipo saw sema nunua
    Mashine ya kisasa na je? Nikuulize
    Kwan auna watoto wa kukusimamia
    Wakasaga iyo mashine yako

  • @PabloHorse-x7i
    @PabloHorse-x7i 3 місяці тому

    😂😂😂hahahha where have you been before diamond bro😂 ukimaliza sadaka muhimu

  • @AmosShija-w2o
    @AmosShija-w2o 3 місяці тому

    Mzee alishafanya yote akamaliza
    Yuko sahihi kurudisha fadhila kwa kupanda miti ya matunda

  • @allymdoka8634
    @allymdoka8634 3 місяці тому

    Uyuu Mzee kachoka alitakiwa kabla yakupewa izo pesa apatee mshauri wa maswala ya pesaa uwezi ukasaidiwa alafu zile pesa unasema utaki kuzizalisha unamvunja ata moyo Alie kusaidia

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 3 місяці тому

      Mnawapenda Sana wanafiki ,siku zote Kwanza kuwa mkweli ili anaeanza kumshauri apate pa kuanzia ,mngesikia anasema anaenda kufanya biashara huwez jua angeenda kufanya biashara gani pengine hela ingepotea vile vile

  • @JosephChumi-q7n
    @JosephChumi-q7n 3 місяці тому

    Mzee makosa anaakili nyingi wewe unazani hajui kitakacho kuja kutokea kunamijitu saivi kwenye familia yake homuhumo kapatahizo hela wanamtolea macho kulingana na umri wake anaona bora apande miti ya matunda nakilimo biashara hatoweza kufaidika nayo kulingana na umri napia hatoweza kusimamia vyema itamlazim kuweka ndugu ndo tunarudi kulekule

  • @kelvinmgaya-gp8jk
    @kelvinmgaya-gp8jk 3 місяці тому

    Ana akili sana huyuuu

  • @victoravelin575
    @victoravelin575 3 місяці тому

    Ndo mana mchanga akipewa ml4 anakuwa tajiri
    Ili lizeee lipigwe fimbo

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 3 місяці тому

    Tunamshukuru eddo bashiri na rredio ebony fm, bila yeye kumuibua mzee makosa asingetambulika huko

    • @Hapygideon
      @Hapygideon 3 місяці тому

      @Marymrisho kwani uongo wewe bila Edo bashiri msingemtambua mzee makosa

    • @Hapygideon
      @Hapygideon 3 місяці тому

      @Marymrisho afu kama mtu humjui usiwe unakurupuka kuandika usivovijua

    • @Hapygideon
      @Hapygideon 3 місяці тому

      @Marymrisho acha shobo na usiyoyajua

    • @Hapygideon
      @Hapygideon 3 місяці тому

      @Marymrisho yako lakini ipi ka unalia chefuuuuuuu,

    • @Hapygideon
      @Hapygideon 3 місяці тому

      @Marymrisho acha shobo kkushobokea visivyokuhusu upo mwafurani

  • @EmmaTembo-l7o
    @EmmaTembo-l7o 3 місяці тому

    Huyu makosa ni mkweli sija pata kuona

  • @NancyMwaibula7634
    @NancyMwaibula7634 3 місяці тому

    Huyu mzee alikuwa tajiri sana alimiliki hospital, hotel, nk sijui kilimkuta nini jaman

    • @happygervas7489
      @happygervas7489 3 місяці тому

      Fatilia kwa kwa Dar 24 mbn kaeleza kila kitu

  • @Ushauri235
    @Ushauri235 3 місяці тому

    Hiyo ndio ibaada yenye maana diamond kweli Mungu akubaliki sana

  • @foodbasiccourt2028
    @foodbasiccourt2028 3 місяці тому

    Mzee kasinzia

  • @SadaMulady
    @SadaMulady 3 місяці тому

    penda sanaa

  • @PeninaAdam
    @PeninaAdam 3 місяці тому

    Mtamuoji mzee mpaka atasahau ata aliongea nn ,kwani akishajieleza mara Moja si basi mbona kuja habari nyigi nchini jaman wandishi wa kitanzani bwana jambo Moja basi waandishi wote wa TANZANIA wanataka kuifanya hbaari

  • @Chapo_ggg
    @Chapo_ggg 3 місяці тому

    Anaacha kumpa msaada Baba yake Mzee Abdul anaenda kumpa mtu baki!
    Staajabu ya Duniani !!

    • @abishaikibona-dk4rg
      @abishaikibona-dk4rg 3 місяці тому

      Msahada auchagui mtu,Inategemea uyo unaemsahidia nayeye Yukoje,

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 місяці тому

      Tusipangiane maisha..wewe ukamsaidie babako

  • @tithomwamengo6571
    @tithomwamengo6571 3 місяці тому

    Ukinunua mashine TRA wako na wewe kwenye miti zitaishia kwenye kibalitu

  • @AlgernonDevries
    @AlgernonDevries 3 місяці тому

    Mzee atakuwa mtambo ndomana kafirisika

  • @neemakalugila7674
    @neemakalugila7674 3 місяці тому +1

    Hata psychologist aongee naye before aanze any business.....

    • @AshaJuma-s7l
      @AshaJuma-s7l 3 місяці тому

      Kweli kabisa! Mimi mwenyewe sijaelewa kwakweli. Mbona anaweza atafanya chochote Kwa hiyo pesa.

  • @rasnonoregekiswahili4799
    @rasnonoregekiswahili4799 3 місяці тому

    Kapande matunda usisikilize watu wasiojua

  • @AlgernonDevries
    @AlgernonDevries 3 місяці тому

    Milion kumi dhu

    • @hamidamussa-sy4fm
      @hamidamussa-sy4fm 3 місяці тому

      Diamond platnumz hongera sana ni wachache matajiri

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 3 місяці тому

    Miti ya nini Mzee unaniangusha tumia iyo Hera na familia yako

    • @Hapygideon
      @Hapygideon 3 місяці тому

      Akisharudi huku iringa sijui hata kama hiyo hela atafanyia Cha maana,maana akakunywa pombe sana

  • @Gloria-vh5bz
    @Gloria-vh5bz 3 місяці тому

    Makosa bana hana habari kasinzia anamuwaza Georgina demu wake aliekuaga na shape akamuacha alivofulia ili afike iringa amtafute maana Makosa na totoz ni balaa😂😂😂😂

  • @raimajimoto1122
    @raimajimoto1122 3 місяці тому

    Kama iq yako ndogo huwezi kumuelewa huyu mzee

  • @EnockLubengo-w7g
    @EnockLubengo-w7g 3 місяці тому

    Hongerea mzee💪💯👏