MAIMATHA UGOMVI WANGU NA DIVA UMEFIKIA PAZITO/MWIJAKU KAUNGANA NA DIVA/BABALEVO/EX WA SHILOLE KAPATA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 жов 2024
  • UGOMVI WA MAIMATHA NA DIVA THE BAWSE MAIMATHA AFUNGUKA ULIPOFIKIA MWIJAKU KAUNGANA NAE ATULIE NA MKE WAKE TU #maimatha #divathebawse #mwijaku #babalevo

КОМЕНТАРІ • 33

  • @SashaRamadhani-uu1wv
    @SashaRamadhani-uu1wv День тому +4

    Maimatha nakupenda bure❤❤

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp День тому +3

    Hamujiheshimu hata kidogo wazee wazima hovyoooooo

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 11 годин тому

    Wewe mai kiboko chako mwijaku unamuogopa mbona humchambi

  • @janethmutoka
    @janethmutoka 9 годин тому

    Weeee hatuna lihaya kama lidiva hapana hapana hatutaki aende kwa watanga kwao hukooo

  • @UmmyLubna-rp6rv
    @UmmyLubna-rp6rv 20 годин тому +1

    Kweli huyu diva Mhaya watu wasifa sana watanga hawana shobo km zake.

  • @winnijames7330
    @winnijames7330 День тому +1

    wahaya wanapenda sifa sana

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 День тому +1

    Pengine Malinzi ni baba wa kufikia

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 11 годин тому

    Mbona kingereza hakiendi hana pambana anza ongea naye uone kama hujaaibika

  • @JJ-fb9jp
    @JJ-fb9jp День тому +1

    Diva kweli hajui kingereza, Maimartha ni mwamba namkubali

    • @Mina.15
      @Mina.15 15 годин тому +1

      Kweli anafosi ku sound kama black Americans but wapi 😂😂

  • @MwanaHussein-s2n
    @MwanaHussein-s2n 23 години тому +1

    Huyu nae mtu mzimaa hovyo..

  • @Naju645
    @Naju645 14 годин тому

    Maimatha anachamba Kisomi taratibu

  • @aliciamwalimu582
    @aliciamwalimu582 19 годин тому

    Weeee Mai koma, wahaya hatupo kama hilo lidada mxiiiiiiiim

  • @JaneKabyemela-y5u
    @JaneKabyemela-y5u 22 години тому

    Kweli malinzi ni Muhaya kijiji cheque kimoja

  • @bettyrugemalila9185
    @bettyrugemalila9185 21 годину тому +1

    Kabila za watu zinakuhusu nini kwani Wachaga hawana sifa yao,mpuuzi wewe

  • @Oliver_philemoni
    @Oliver_philemoni 14 годин тому

    Mtuacheee maanko zote ni wahaya😂😂

  • @gracekahunda
    @gracekahunda 16 годин тому

    Maimartha domo kubwa Hilo,,, jinsi unavyoongea ndo lazidi kuwa kubwa

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 16 годин тому

    Ukiwa mtu mzee alafu unajisahau ndio unakua kama huyu bibi na bibi diva

  • @nanyangeclara2222
    @nanyangeclara2222 15 годин тому

    Ila mai jamani hajaacha tuu!😂anaongea km kasuku😅😅 nikikumbuka kipindi hicho anafanya kazi itv. Alikuwa na rafiki yke alikuwa anaitwa Neema km sijakosea. Ngoja niishie hapo nisije ma mimi nikasutwa😅😅

  • @AmanaHussein
    @AmanaHussein День тому

    Maimartha mambo nnayoyapenda 😜

  • @pengefeza2563
    @pengefeza2563 День тому +1

    Achana na Diva tafuta Kazi isiyo na mihali acha kuchafua watu mitandaoni.

    • @Mimy_keys
      @Mimy_keys День тому

      𝐒𝐢 𝐧𝐝𝐨 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐣𝐦𝐧 , 𝐘𝐲 𝐧𝐢 𝐌𝐭𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐚𝐣𝐢 😊

  • @JaneKabyemela-y5u
    @JaneKabyemela-y5u 22 години тому

    Maimadha sisi atuna akiri kama za diva

  • @gracekahunda
    @gracekahunda 16 годин тому

    Maimartha umejivinjia heshima Sana mdomo ulipewa mkubwa ndio maana unaongea ovyoo!!! Wasomi huwa hawapigani na maneno ukiona maimartha....anaropokwa jua hamna elimu kichwani.,...ni failure!!

  • @JaneKabyemela-y5u
    @JaneKabyemela-y5u 22 години тому

    Hatupendi sifa sisi tumenyooka

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 17 годин тому

    Utaachika mbona unamsifia sna mume mwingine

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 16 годин тому

    Ila Mai 😂😂😂😂😂😂😂

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 21 годину тому

    Yule Malinzi sio baba ake wa kambo kweli.

  • @OstakiaCornely
    @OstakiaCornely Годину тому

    Shida tupu

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys День тому +1

    𝐈 𝐥𝐨𝐯𝐞 𝐲𝐨𝐮 𝐌𝐚𝐢 ❤😊😅

  • @MaiwamkasiSefu
    @MaiwamkasiSefu 21 годину тому

    Diva wewe tuache natanga yetu

  • @winnijames7330
    @winnijames7330 День тому

    😅😅