#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 сер 2022
  • #EXCLUSIVE: DIVA NA MUMEWE WAFUNGUKA MAZITO, MIMBA 3 KUHARIBIKA, MUME KUOA MKE WA PILI | MAPITO...
    Karibu kutazama kipindi cha MAPITO kinachokujia kwako kila siku za jumapili na jumatano, ambapo leo tumeuzungumza na Diva the bawse pamoja na mume wake Abdulrazack ambao wamefunguka mambo mengi kuhusu safari yao ya maisha na ndoa yao.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 140

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 Рік тому +6

    Msiongee mambo yenu ya ndani sijapenda kabisa kuwafaidisha watu baki eti mimba 3zimeharibika mmeniboa sana apo diva Nice speech excellent 100 % apo tu mwisho wa kunukuu

  • @kimah9461
    @kimah9461 Рік тому +2

    This lady is very smart akona akili1❤️ MashaAllah hongera sana guys

  • @rizikikasongo4388
    @rizikikasongo4388 Рік тому +5

    There is a procedure called cervical cerclage it involves positioning of suture (stitch) around the neck of the womb (cervix)this will give her support and will definitely reduce the risk of her loosing her babies. Diva if they can’t do it in Africa then go to France 🇫🇷 they so good at it. My sister lost 5 pregnancies🤰 and she has now 3 kids and each of the 3 she had that procedure it’s amazing!!

    • @ssaaboud3330
      @ssaaboud3330 Рік тому +1

      They perform that procedure in Tanzania

  • @samirajay6526
    @samirajay6526 Рік тому +13

    One day the truth will come out

  • @shekhaissa9154
    @shekhaissa9154 Рік тому +4

    ALLAH awazidishie mapenzi. Mpendane milele. Aameen

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 Рік тому +4

    Maneno mengi kuliko Akili. Pole diva umepotea kweli...Mganga na mteja kamroga roga ndipo akubali kuja ...pole Diva mungu akusaidie

  • @azorindege2556
    @azorindege2556 Рік тому +2

    Ila huyu mtangazaji hayupo Presentable daaah all in all ...

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 Рік тому +6

    Studio /🇹🇿 hatuelewi Kizungu, heshimu Global.. Ongea Kiswahili.

  • @julianamushi3392
    @julianamushi3392 Рік тому +3

    Majigambo meengi eti nilikuwa cjui hata kuosha kikombe kaa ungekuwa nzuri wew tungekoma

  • @sofiarashid5608
    @sofiarashid5608 Рік тому

    I really enjoyed your interview, uko sawa dada MashaAllah

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Рік тому +4

    Diva my dear kwann uachani na yule mwanaume ni tapeli yule akufai jmn

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 Рік тому +6

    🤣🤣🤣 miwani miwig mhh acheni kumdanganya uzuri hana hata kidogo wakawaida sana msituchoshe halafu muongo muongo

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 Рік тому +1

    👏👏👏👏👏 safi sana viva

  • @sarahtaste2876
    @sarahtaste2876 Рік тому +1

    Jmn watu hamumpendi diva ila mm ananifurahisha sana mambo yake she is a real tv personality😂😂😂

  • @mwanahawamohammed8540
    @mwanahawamohammed8540 Рік тому +3

    Watu wanaovaa miwani hizi nyeusi au za giza huwa waoga wa uhalisia wao au waongo wanaficha ukweli. Tutaona mengi mwaka huu angalieni hizo body languange. Na wanakuwa wasemaji saaana ili wapate waaminiwe lakini ukweli upo palepale, iko siku mtaniambia haya juu ya ukweli hapo na uhalisia wa mahusiano haya. 😳😳

  • @leesteragodfrey828
    @leesteragodfrey828 Рік тому +2

    100%💕

  • @feynation3739
    @feynation3739 Рік тому +17

    Ndio maana anavaa miwani muongo mkubwa huyu million 10 ya matako yako 🤣 tubu dada uongo unamwisho wake 🚮 so ukachagua protection over 500Milillon ??? Nakojoaaaaaa🤮

  • @marysaituni4584
    @marysaituni4584 Рік тому

    Shida ya huyu dada ni Moja tu anapenda sana sifa.. labda tu nimuulize kwani hajawai kutembea barabarani?? Acha sifa dada duniani tunapita..🇰🇪

  • @user-le9lb8oc8d
    @user-le9lb8oc8d Рік тому +2

    Wana Globa hii diva katupiga na kitu kizito kichwan so kwa uongooo huoa M10 😳🤔🙌🏻

  • @shekhaissa9154
    @shekhaissa9154 Рік тому +4

    Diva, Iove U. Unajielewa na unaongea kwa kujiamini sana. Couple yenu ni nzuri sana mnapendana na kuendana na mumeo. My advice, ushakuwa muislamu sasa. Kubali mambo yote yanayoendana na Uislamu. Anything happened in future, take it easy, zidi kumpenda mumeo na kubaliana nayo. Dont U ever think kuachana na mumeo. Anakupa furaha sana uliyokuwa ukiitafuta. I wish ningewaona nyote.

    • @kiri5807
      @kiri5807 Рік тому

      kwani kaukybali au kafata ndoa tu ? tizama ilompa kuslimu kwanza . Pia mtizame huyo alomfanya aslimu anafata maadili ya kiislamu ? km wewe mwenyewe huijui dini yako huwezi kumuingiza mtu mwisho wa siku atakubadilisha yeye ( km yeye ameisoma dini yake )

  • @loicebaraza
    @loicebaraza Рік тому

    No human is better than the other,kuwa na kipato kushinda mwingine haikupi ruhusa ya kumdharau mwanadamu mwezio,be humble Diva

  • @keifatuke99
    @keifatuke99 Рік тому +1

    Namelewa sana Diva.

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 Рік тому +8

    Diva and husband 😍 Mnaendana Sanaa 💯 Nawatakia Kila la kheri. Beautiful couple 👫 👌🏽💯

  • @hamidahamadi1564
    @hamidahamadi1564 Рік тому +15

    Tatizo la wewe Diva ni muongo muongo yani hapo vya ukweli ni asilimia 50 tu lkn ving vya uongo

  • @veronicahraphael8864
    @veronicahraphael8864 Рік тому +1

    Ni mbayaa

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 Рік тому +2

    Sura hapana

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 Рік тому +7

    Diva kwanini usiwe Mkweli 🤷🏽🤔 Yaani wewe Ongea Kiswahili!

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official Рік тому +2

    Nel ninani?

  • @mankacharles4559
    @mankacharles4559 Рік тому

    Diva ua the best

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 Рік тому +3

    Yani unajisifia ujinga eti kasome then kalala then what? Hiyo sio sifa

  • @teddylameck3355
    @teddylameck3355 Рік тому +2

    Nampenda mtu anae jiamini Diva simamia maamuzi yako jikubali maneno ya watu uwa ni mengi wewe endelea kuwashangaza tu imeubwa hivi uwez kupendwa na wote

  • @claudia1500
    @claudia1500 Рік тому +2

    Mdada anapenda misifa huyuu...af anapenda kuonekana mtoto wa kishua wkt ushamba mwingii

    • @ucjvvjcjjvih9934
      @ucjvvjcjjvih9934 Рік тому

      Am Tz🇹🇿 💋Diva anaongea point❤💯 hadi sad kwa Kweli kukosa malezi wazee umepungukiwa kit maisha 😭😭 tunayopitia

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 Рік тому +1

    Sheba msalimie sana all way from NJ back then lol!

  • @Mindsetting4successTV76.
    @Mindsetting4successTV76. Рік тому +7

    This lady what she’s expressing herself is not how she’s, she’s dreaming that kind of life which she doesn’t have it. How can someone forget if she start working on her career when she was in university or high school? Doesn’t make sense. She’s not genuine at all. But if she’s, May Lord bless her. By the way, who am I to judge, . Someone please reminds me to mind my own business please.

    • @christercheru8328
      @christercheru8328 Рік тому +1

      Hajawahi enda chuo huyu. Tena kizungu cha ku watch movie za kizungu. She so fake tena tena.ipa babake tajiri

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Рік тому

      @@christercheru8328 alisoma international school nasikia

    • @marysaituni4584
      @marysaituni4584 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 Рік тому

    Wig la kizungu Diva umetisha

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 Рік тому +1

    Lavi davi we got 2party lol!

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 Рік тому +1

    Long time sis pls inbox ur brother lol!!

  • @hamisaabdulhamid529
    @hamisaabdulhamid529 Рік тому +2

    Diva uongo wako hauna kumbukumbu siku ya ndoa ulisema mumeo anamke mmoja na nimwarabu

    • @mkatungu7457
      @mkatungu7457 Рік тому

      Eheee ndio alisema ana mke mmoja Muarab huyo sawa anakubali. Hata mimi nakumbuka alisema hivyo.

  • @omanmct135
    @omanmct135 Рік тому +1

    Aaalllah amjaliye apatemtoto diva

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si Рік тому

    Nawapenda Allah awadumishe

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 Рік тому

    Nawapenda san couple

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 Рік тому

    🤔

  • @msambalamjukuu5758
    @msambalamjukuu5758 Рік тому

    Uwongoo uhooongoo uhooongoo uooo

  • @belak999
    @belak999 Рік тому +2

    Dental formular ya Diva ni mbaya sana plus lips du du duduuuu 🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @jamilasalim7165
    @jamilasalim7165 Рік тому +1

    Diva anajikuta ni wamatawi ya juu

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official Рік тому +2

    Yani Duruvan kalia kisa umeolewa kkkkkkkk lol 😆 kalia kabisaa?

  • @saradaniel4579
    @saradaniel4579 Рік тому +1

    uongo uongo sana😂😂😂😂😂 uongoooooooo!

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 Рік тому

      Hivi akiambiwa arudie hayo aliyoongea ataweza😅 mi mwenyewe nimeisha sahau alichoongea mwanzo😂😂😂

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 Рік тому +5

    Huyu uongo utamfikisha pabaya sana na sifa za kijinga kutwa kujidanganya

  • @hellennjesa423
    @hellennjesa423 Рік тому

    Nawapenda bureeee mbarikiwe uingiapo na mtokapo

  • @raniamohamed9848
    @raniamohamed9848 Рік тому +2

    Huyu jamaani muongo hajui dini pumbavu!!! Dini inaruhusu m/mme kuoa si lazima kuwepo n'a sababu, eti hazai nooo! M/Mme kama anauwezo wa kuwahudumia wake zake, na ana nguvu zake, anaruhusiwa muhimu ni kufanya uadilifu n'a sio unabase upande mmoja, hiii ni sheria imewaruhusu wanaume, bcoz wanawake ni wengi n'a wanaume wengi wanafariki vitani, so kila Mme 1 akioa Mke 1, wangine wanawake hawataolewa.

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 Рік тому +1

    Ww c ulisem umellewa na Bibi jmn😂😂😂😂sijaelewa na leo Baba🤣

  • @nyamoyanaomi7222
    @nyamoyanaomi7222 Рік тому

    Duh n hatari

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 Рік тому +1

    Jamani naomba kama mna no ya Saida Karoli mtakuwa mmenisaidia sana

    • @leesteragodfrey828
      @leesteragodfrey828 Рік тому +1

      Mungu ailinde ndoa yako DivaAdui zako wanatamani uachike usikubali mkabidhi Mungu maisha yako

    • @rosehaule6765
      @rosehaule6765 Рік тому

      Weeee anahusikaje kwa interview ya mrembooo😂😂😂😂😂

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 Рік тому

    Mi naikubali Sana kazi yako Ila punguza kufeck life Cha kwanza pili punguza kuvaa vitu feck staa gan ubatuvalia miwani ya buku nne kingine mwanamke gan ety huna ata aibu ya kusema hujui kuosha hata kikombe ety hujui kupika chai mtanga gani hajui kupika chai wacha kutudanganya bhana 🤣

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 10 місяців тому

    Sena Mwana F.A hajiskii anajiweka.waakawada.

  • @faidhasaid639
    @faidhasaid639 Рік тому +1

    Eti kiswahili kinampiga Chenga😂

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 Рік тому

    Ila wanajifanya wazungu

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Рік тому +4

    Shida ya diva ni kujishauwa mwingi yn anajikuta ndo ana hl nzur sn Shida azijui

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 Рік тому +2

    Diva Michael Jackson

  • @azizakombo376
    @azizakombo376 Рік тому

    Diva jamani sifa ndo vazi lako dada wallah hatarii

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 Рік тому

    Nawa penda sana

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Рік тому

    Eeeee men. Ukweriiiiii

  • @gracemalatwe6064
    @gracemalatwe6064 Рік тому +2

    Watu wana masifaaaaa👐

  • @khadejakhadeja9713
    @khadejakhadeja9713 10 місяців тому

    Mmmmmh kunbe nuasiri yao kujiskua wabondei tena No kula mihogo na. Mafeneai😂😂😂😂😂😂😂

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Рік тому

    Cheni diva😂😂😂zimekabaaa ila sio siri nakupendaa

  • @munajomar3218
    @munajomar3218 Рік тому

    Mie nilihuzunika niliposikia wameachanaaa naomba busu hebu mnifurahishe mie wambea waoneee

  • @leesteragodfrey828
    @leesteragodfrey828 Рік тому +2

    Mnaosema Diva mbaya msimkufuru Mungu aliyemuumba ni mzuri sn

  • @johannahakim8470
    @johannahakim8470 Рік тому +1

    Diva kawa kipofu

  • @shimammymammy5298
    @shimammymammy5298 Рік тому +1

    Watangazaji mmemjaza san

  • @christinadevic9432
    @christinadevic9432 Рік тому

    Sasa diva ulivoelewa hukujua kwamba dini inaruhusu wake wanne eti utamalizana naye

  • @zunaidaseif8741
    @zunaidaseif8741 Рік тому +4

    Huyu kumbe chizi lots of roses za kusaidia nn

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 Рік тому +1

    Diva na mamiwani machafu

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Рік тому

      🤣🤣🤣🙌eee machafu

  • @danielpaul84
    @danielpaul84 Рік тому

    Lipoje hili lidada liuso lake limevimba vimba

  • @barikiwa22
    @barikiwa22 Рік тому

    mmmh we uko chuo field unakatazwa na baba😆😆😆

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Рік тому +7

    Diva anaboa Sana kwasifa nauongo

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 Рік тому +2

    "Nimelelewa kwenye mambo ya helahela "
    Mdomo wangu nyamaza, nisiongee labda nitakosea!!!

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Рік тому +1

      Uwa spendag anavosema hivo,wakishua uwa hawajisemag asee.

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 Рік тому

    🤔🤣🤣🤣🤣🇹🇿

  • @ruu6592
    @ruu6592 Рік тому

    Ila anamkana baba nakuwabagua watoto ajabu kweli

  • @aishasaidi855
    @aishasaidi855 Рік тому

    Nahivi mlianza kumwambia asiongee kingereza ndio anatufanyia kusudi jamani diva wewe 😃😃😃

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 Рік тому

    Mbona amepanick huyu Diva..?

  • @zuenampandeni3347
    @zuenampandeni3347 Рік тому

    sauti ya mchongo

  • @farhannahkulishwaburekunam5360

    Muongo huyo kama unapata hizo mbona hununui nyumba unapanga tu na pia huyo abdul ndomaana ana use wewe kwa kujua una pesa au majisifu yako

  • @neemah6517
    @neemah6517 Рік тому

    Watazania tumejariwa kwauongo njama tunatakiwa tuzo,

  • @mankacharles4559
    @mankacharles4559 Рік тому

    Wanaendana waacheni wapendane

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 Рік тому +1

    Dada muhongo huyu

  • @farhannahkulishwaburekunam5360

    Wewe umepata laghai hata mahari ukasamehe yoye ukaolewa bure

  • @nassornassir5090
    @nassornassir5090 Рік тому +1

    Sio kweli mke hatangulii mbele bali mume ndio anakaa mbele mke ndio anakaa nyuma utaratibu uko ivyo.

  • @siwemamichael690
    @siwemamichael690 Рік тому +1

    mke na mume hiyo miwani kama bundi

    • @rehemamajaliwa
      @rehemamajaliwa Рік тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂wabaya

  • @husnamadai7052
    @husnamadai7052 Рік тому

    Mumeo alikwambia uso kama chapati anataka kiki tu

  • @leesteragodfrey828
    @leesteragodfrey828 Рік тому

    Wash safe Abdullazack

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 Рік тому

    kwani huyu dada n muhaya jmn

  • @raniamohamed9848
    @raniamohamed9848 Рік тому +2

    Diva anajikuta Kim kardashian, eti level una level gani? Ungeolewa n'a huyo mpumbavu? Eti diamond/ zuchu wameperfom umewalipa? It's just favour to their employee

  • @saradaniel4579
    @saradaniel4579 Рік тому +3

    huyo mama wa pembeni aliposkia mil.10 😂😂😂😂😂😂😂 kawa kama kaumwa kunguni 😂😂😂😂😂 ahahahahahahaha diva bhana muongooooo aiseer

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 Рік тому

    Sawa lakin chandani mnakijuwa wenyewe kila laheri

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official Рік тому +4

    Huyu Dada anapenda sifa jamani huongo mwingi nahuyo mganga wako ukipigwa kibuti utakaa sawa kkkkkkkk lol nahiyo miwani

  • @faidhasaid639
    @faidhasaid639 Рік тому +3

    Msidharau wake waliokuwa nyumbani hawana kazi mshenzi wewe

  • @naymasaady2432
    @naymasaady2432 Рік тому

    Muongo kumanyoko zake na mgongo wake kama chura milion kumi anaijua akiiona she is so fake i really hate her🤬🤬