Mtu wa pili huyo anasema mwijaku mnafki itakua kweli huyu jamaa ukiwa nae kwenye madili anakandia Kwa maboss mana ata babalevo alisema na doto nae anasema hvyhvy
Nashauri interview yake irudiwe kwa utulivu hii yakuwa na machawa sio maana anatakiwa apromote biashara pia na kuwashawishi na wengne kufanya biashara inahitaji utulivu waaswal na majibu ila sio hivyo kama kilabuni
Mwijaku ni mlopokaji sanaaa mpk anaudhi sasa sijui ni msomi gn wa ovyo kiasi ichi......nina uhakika angekuwa mtulivu anaongea maneno mazuri angelamba uteuzi lkn ni bichwa kubwa akili kisoda anaidhalilisha familia yake ata kama anapata pesaaa
Hapo wanapiga ela zao alafu wengine humu wanasema wanapiga kelele wamepata nafasi kwa kelele hizo hizo na kingine achanen na koment za wivi mje moro tuchukuwe nguo kwa fredy sio mnajifanya wakosoaji wakati amnunuwi tena vitoto vya kiume au mnataka kuliwa na NYIGU nn?
Fred hata kama ana mambo yake siyajui, ila mtulivu ktk kuongea❤. Hana mahekaheka
Elimu ndugu,FRED ANA MASTERS YA BUSNESS ADMINISTRATION lazima awe na discipline sana,huwezi kumuona anaropokaropoka.
Hela ndugu yangu haina pupa
Mbona akina Mond wako juju juu tu na fedha zao@@DeborahSichone-b9c
Ila Dotto nae awe anaacha mtu ajibu alichoulizwa bwana, inafika time anaboa sasa... duh
DOTO anajibu MASWALI vizuli😂😂😂😂TAJILI haongei sana
😂😂😂
Jamani nampenda vunha bei
Vunja bei nakuelewaa sanaaa
Mwijaku kakaha kmya kambiwa rogofa sio rake anangania yakee?
Mnakera😮😮
Vunja bei anajitahidi kutokucheka . Mm nisingeweza .
Awa jamaa wana kelele ila wana piga pesa wanspondana ila wanaekewana bila kelele tusinge wajua tz ukitaka ufike mbali lazima ujitoe akili
Mtu wa pili huyo anasema mwijaku mnafki itakua kweli huyu jamaa ukiwa nae kwenye madili anakandia Kwa maboss mana ata babalevo alisema na doto nae anasema hvyhvy
Astaghfirullah 😢Aibu,kwa wanaumeza kuongelea mwanaumemwenzao,aseefanyeni,kazi,😢😢
Aibu kwa divaa hadi,mbegu zikawekwe hospitali,mwanaume hataki kukitanaa naye😢
Dotto ni chawa pro max mwijaku anapiga makelele
Nashauri interview yake irudiwe kwa utulivu hii yakuwa na machawa sio maana anatakiwa apromote biashara pia na kuwashawishi na wengne kufanya biashara inahitaji utulivu waaswal na majibu ila sio hivyo kama kilabuni
Ujui kaz ww
Apo ndy unyama na ndy 2napend sisi tunacheka😂😂😂
Yaan nimecheka sanaaaaa
Daah aibu sana hii😢
Hawa wote Dotto na Mwijaku hawana lolote wanapiga makelele tu, wanaboa kweli. Mtu anaulizwa mwingine wanajibu wao.
Mbona fred hana raha😂😂😂😂
Pengne hapendi mambo yake kuyaweka wazi siunajua Tena wandishi maswali yao mengne yanakera.
Kazi ipo jamaniiii,mweee🙄🙏🙏🙏
Mashallah
Wapi huko yani machawa mnachosha
Njaa mbaya
Hawa machawa kiboko, hawampi nafasi ya kujibu Fred, wanakera
😂😂😂doto 😂😂😂
Doto anaharibu interview😀😀😀Ila huyu jamaa
Ila Dotto na Mwijaku lkn 😅😅😅
Ila diva anajiaibisha anajionesha waz hana soko na hamna anayemtaka bali kujikomba ona majibu ya vunja bie jamn wanawake tujiheshimu sana
Anatia aibu sana Diva yeye ndo anamtaka kilazima vunja bei.
Mwanangu Fred oa wakuheshimu. Nenda makete uoe
Doto unaboa kisengeee Ani w hujui
Mwenzako anapga hela uko ww unasema anaboa
Hii interview nimecheka 😂😂😂😂
Hapa hakuna interview ni fujo interview.
DaaAa Sasa Joketiiii inakuwaje hapo
Isije ikawa mna biashara nyuma ya pazia
😂😂
Jok vp mbona huoi
Dawa ya machawa iko Kenya Mombasa wamuona Bruce 🤣🤣🤣
Doto na mwijaku kama watoto vile
Mwijaku ni mlopokaji sanaaa mpk anaudhi sasa sijui ni msomi gn wa ovyo kiasi ichi......nina uhakika angekuwa mtulivu anaongea maneno mazuri angelamba uteuzi lkn ni bichwa kubwa akili kisoda anaidhalilisha familia yake ata kama anapata pesaaa
Kelele izo ndomana wanamtafuta sisi tunao kaa kimy na kukomenti hapa kelele 😂😂😂 who wanaituwa kelele izo
Hao machawa wasenge Sana tunamtaka kupata idea za mifumo wao wanaleta usenge useless
Ila diva😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nlichogundua doto amelewa😢
Dotto ghorofa c lako unangangamia lako😅
😂😂dotto anasemag hajasoa anaongea vizur hivo
Doto comedian sana😅
Doto ana matusi
N8 wachache wenye kumuelewa doto 😂
Hawa jamaa wameharibu interview ya vunja bei had kero wanakera mnooooo.
😂😂yani hawa chawa
Hapo wanapiga ela zao alafu wengine humu wanasema wanapiga kelele wamepata nafasi kwa kelele hizo hizo na kingine achanen na koment za wivi mje moro tuchukuwe nguo kwa fredy sio mnajifanya wakosoaji wakati amnunuwi tena vitoto vya kiume au mnataka kuliwa na NYIGU nn?
Alooo hao vichaa kawatoa wapi
Sio diva
Hawa machawa wanaboa
Doto😂😂❤
Ilaaa piddy kilaaa konaaa
Doto too much kichefu chefu mmeharibu interview
Kuwa tajili ni kazi kubwa saba🤣
Ila doto😂😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅doto kiboko
Yaani hawa jamaaa bhana dah
Mkinga huyo nyie
Doto anakera
Doto umezidi
Ana kelele zisizo na maana
Mkono uende kinywani ndio Bado anajifunza uchawa😂
Yn hy maseng sijui yakoje
This is disgusting
Tupo Arusha
Njaa mbaya
Sana😂😂