Tatizo divà anaumwa kisaikolojia anatakiwa aseme am Diva at work and am Diva at home I suppose to do this and that to my husband as a Diva and to be proud of lkn kulalamika kunfanya ajihisi anaonewa au anashuka kibrand
Kwani huyu Diva hajui majukumu ya mke, kuonja mkono wako, this is a must. Huo mkate utamfungisha choo. Kwani kuolewa uliona kupaka lipstick na kubadilisha mawigi??
I'm a diva mpaka nyumban diva n kazin ukirud nyumban shika majukum yako A's a wife sasa kwahiyo life ya vyakula vya hotel unanunua ulitegemea abdul asioe???? Hata mm ningekua mwanaume ningeoa nikakuacha na hiyo akili yako ya I'm divaa diva ya nyoko
Kama shida ni pete basi abdul ana shida ya iron deficiency yan upungufu wa madini ya chuma ndo maana silver inamletea shida na dhahab hataki kuvaa dini imekataa😂😂
Yaan diva bwana chakula cha mmewako na wewe watu wawili tu unashindwa kumuandalia sasa ulijua ukiolewa mmewako ndio atakupikia mipangilio ya kazi yako nyumban kwako mpo wawili tu unashindwaje?
Huyu mwanaume hovyo kweli yani mi uniamshe usingizini nikqkupikie surely usinitanie km kuna kitu sikipendi nikuamshwa usingizi kbs coz hata mimi mtu akiwa amelala cpenda kumuamsha na pia divi im here you're twin pia sipendi kutwa nitu kidogo baada ya hao na wewe fanya mwenyewe km unataka kitu anasema amesoma dini dini haijasema mwanamke ni mtumwa bali ni utulivu wako ni pumbazo lako so ukitaka awe mfanyakazi wako ndio pale mwanamke anafanya kazi kutwa nzima tokea ulivyomuacha asubuhi na jion unamkuta hivyohivyo na kachoka analala km punda
diva ujui kutofaitisha nguo za kazin na za nyumban asa manyela umo umo mume atakushika wap upo ka unafanya kazi ya kujenga bala bal mwanaume anataka mwanamke yuko romantic kuanzia mavaz mpka maongezi sio nafikilia vibaya lkn abdul anaish na mubaba 😂
Diva"i hope this is only a reality tv show""i hope so but if its real in real life?? mhhhh""That one,second don't you ever ask a man(yr husband) provocative questions like that on your dinner date((((out dinner date)))wooooow.as i said before i hope this is only for TV shows not in real life.
Hakuna mume hakuna mwanamme, Naona UFYOROTO AMKA ABDUL UNATIA AIBU WANAUME WENZAKO MKE HAWEZI KUTOA AIBU ZA MUME HADHARANI KISA DIVA WHO IS DIVA BY THE WAY, DIVA BONGOÒ
Hiyo dinner sasa inaitwa romantic ila kama kwa mganga yan giza jaman kwan walikosa hata taa zinazotimia betri au solar 😢diva nawe hebu move on huyu kaka ni hakufai jamani
Ungesema2 mganga kaka mbona sisi tunakuelewa kabisa 😊hii sasa ndiyo maisha harisi siyo ile ya gigi🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Ni kweli kushikashika maji sana pete zinaharibika au ngozi zetu haziendani na madini fulani
hapo mwisho sijapenda😢 yan ningekua ni mimi ningempiga huyu mwanamke angerudi nyumbani wigi mkononi
Tatizo divà anaumwa kisaikolojia anatakiwa aseme am Diva at work and am Diva at home I suppose to do this and that to my husband as a Diva and to be proud of lkn kulalamika kunfanya ajihisi anaonewa au anashuka kibrand
Ni nzuriii saaaanaaaaa mashallah
Sura ya diva siielewag😂😂hanaga sura moja😅
😂😂😂 nikajua nimie tuu Bora aendelee na kuvaa miwani
Diva ana sura nzito sana na umri umeshaenda.
😅😅😅😅miwan inambeba😊
😂😂😂😂
@@alsam4881 ukiisikia kwenye redio sauti jina lake na ukimuoña ni watu wa watatu tofauti
Diva udiva wako utakuangusha sana kwenye ndoa..
Ni kheri ungekua unautumia nje ukiingia ndani unabaki getini
Atakwabwanae anamutishiya brand
Diva kutopika ama kutojua kupika anaona ni sifa 😊
Good this was’nt bored for sure
Mwanamke mzee hujui kupika unaona sifa 🥱
Nawaza tu kwan kwenye ndoa uliingia kwa kutamani au???kweli diva sio mke ni wakupiga na kusepa😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Ni mzuri diva hamjawahi kuonana nae laivu afu msiwe mnakomenti komenti za kuumiza watu
Na hata hapa kwenye hii video, hana ubaya wowote
😂😂😂😂😂Ila diva😂😂😂😂eti nachemsha maziwa yanataka kumwagika😂😂😂😂😂nakupenda diva
Mwarabu wa kipilipili😂😂😂
chai aweke mwenyewe hujafunzwa ww
Ana mapungufu ya Akili sio mwanamke wa maisha ni mwanamke wa starehe
Hawa waliruka stage za ndoa😂
Paka maziwa unwasha lakutoa harufu njee 😂😂😂😂kweli mwanammke umepumbaa paka kuchemsha maziwa ujui wapiga nduru😂😂😂
Ndo hata ham kiss akiingia mpaka amuombe 😂😂oooh baby
Kumbe hii ndiyo Tz ok 👍
😂😂😂😂😂Nakupenda diva😂😂😂😂😂yani ata mimi😂 napenda kumtuma bwanaangu anachukia😂😂😂😂😂ila tunapendana sana😂😂
Now I understand why mume wako ka kupa talaka 😮😮😮😮 wanawake wengi nowadays they get married but they don’t know what is marriage 😢😢😢shame
Kweli
😂😂😂jaman, yan abdul anaonekana hayuko comfortable na hio gram😂😂😂.. mwanamke anatoa siri zote
Hata akitoa,,,lakini chini Abdul kashakufunua sana,,,Bora angekaa kimya maana wanaume wakiamua kutuumbua mmmh,,,ndoa sio mchezo
Huyo diva anaishi maisha feki sana ya mitandaoni, aende akalipe madeni ya watu anayodaiwa kwanza.
Atha serekali yadaiwa kwani yuaanza yeye madanii😏😏😏😏
😢😢😢Duuh aibu naon mim km mtoto vile
Diva no need to force issues. Marriage life is not for you. Period!
Utamvunja nguvu za kiume mwenzio mpe kula ashibe
Tumia microwave wew si diva bana 😅😅😅😅😅
Hapo kwenye dener nilivotoa macho khaaaaaaaa😊
Ha ha haaaaaa,ha ha ha haaaaaaaaaaa.ntakufa kucheka .eti ile hela ulioiacha nimenunua chjps.uwe unanunua mkate .jmn😂😂😂😂
😂😂😂Yani wewe ucheki kama mimi nacheka mwenzako akili za diva nazipenda😂😂😂yani yuko vizuli na wala afeki maisha😂😂😂
Diva umenene sana yaani umeharibika
Kwani huyu Diva hajui majukumu ya mke, kuonja mkono wako, this is a must. Huo mkate utamfungisha choo. Kwani kuolewa uliona kupaka lipstick na kubadilisha mawigi??
😂😂😂abdul razak anajua anachokifanya amna mke hapo😂😂
Aibuu jmn😢..
wewe sio shekh wewe ni mganga uwezi kua shkh huna hadhi na ushekh usiukosee hishima
tafuta bwana michunusi imekuzidi sanaa
Njoo nkufundhishe limbwata wewe😂😂😂😂😂kumbe bado njoo nikuoe bibiangu akupe miti 8
Hakuna mke wala mume naona ukatuni tu😂
Wanaboa hasa uyu dada
Abdul razak...haujaona waswahili wenzako...mpaka.umchukue huyo mzungu
😂😂😂😂
yaani unjua umeolewa unasema hela aloacha umenunua chips hakunaga mwanmme bwege wa kuvumilia haya mambo asee
Ata awe na wanawake mia mtwangio atarudi nao usijali
😂😂😂 mbona izo features za bibi ni kama anajisema yeye, et sura nzito, shingo pana mgongo na tumbo havieleweki...ni yeye mwenyewe mbona😂
😂😂
Sasa mizagamua atakupaje unamnywesha chai😂😮
😂😂😂😂😂 Una haki Ya Kuoa mke mwengine aisee 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 kwa style hii n Haki yakee
😂😂😂😂😂😂😂😂 kweli
Diva mbaya bila mekap
😂😂😂 ila wabongo.
Comments zenu zinafurahisha, kwani wamemikosea nini wapendanao hawa.
😂😂😂😂
Tulete Na Ya Gigymoney😂😅
Mbona kama movie alafu sielewi 😂
Angalia tangu mwanzo
Ndiomaana mumeo msumbufu sana ana majina mengi hivyo pekee yake😂😂😂😂
Kwani akiwa na wanawake wanaukata uwo mtwangio
Eti baba yake kamwambiya aweke miguu juu yameza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Imagine 😂😂😂
😂😂😂😂Ila diva
Huyu Diva hajui maana ya kuwa mke
Diva ukimtizama kwa nyuma akitembea nikama mm tu😂😂😂
Wewe ni mvivu dada sasa unataka ulivyokuwa peke yako na ukiwa na mume iwe sawa wewe ni mvivu
anataka tu kifo cha mende
Nice couple mashallha
Good quality congratulations... mengine ya ufake tumuachie Diva Nangai
Ila jamani nimecheka kwa nguvu. Eti Diva Nangai😂😂😂😂
Camera imemkosea Diva.. she doesn’t look like that.
Pete.ni.pambo.tuu..kwa.waislamu.ndowa.nikwenye.napsi.ya mtu..kupendana heshima.na kustahamili na kusaidiana
Sheikh gani mkeo Anavaa Mawigi tena mpaka jikoni
Masheikh wakina Othman Maalim, Nurden Kishki
Pamoja na mapungufu yote ya diva hata mm nisingekubali kuamshwa usiku eti kupika chai😮 labda kama mgonjwa huyo mume
Huyu diva sauti na sura ni tofauti
And Abdul unatakiwa uweke mfanyakazi wa kupika ili Diva awe anarest na anapokua na wewe usimtume tume hapendi
Kweli kuolewa tunasitiriwa mengi sana,,,ko diva hujui kupika😅😅😅😅
I'm a diva mpaka nyumban diva n kazin ukirud nyumban shika majukum yako A's a wife sasa kwahiyo life ya vyakula vya hotel unanunua ulitegemea abdul asioe???? Hata mm ningekua mwanaume ningeoa nikakuacha na hiyo akili yako ya I'm divaa diva ya nyoko
💯💯
na tena wako wawili mume anatakiwa kupikiwa 😢😢namuonea huruma huyu kaka diva anaonekana mbishi sanaa
Mziki wenu unakera bhnaaa
Ndo dini yako ilipokufikisha mungu akuongoze
sio mungu ni Mungu "MUNGU "
Ndoa gani iyooo jamanii😢
Huyu diva hajuw uyu mwanaume n muislam anaoa wake 4 my sister grow up your too big to this
Jikoni na wigi😢
Uyu dada jmn😅
Kwa yote unavyo jieleza inaonekana hauko SECURED and PARANOID
Bado kuna ndoa kumbe..!😮
Kama shida ni pete basi abdul ana shida ya iron deficiency yan upungufu wa madini ya chuma ndo maana silver inamletea shida na dhahab hataki kuvaa dini imekataa😂😂
na dida hatak kumpikia japo dagaa😅 aengze madini chuma
Kumuekea maji mume ni mahaba weww mtu wa tanga hujafunzwa
Yaan diva bwana chakula cha mmewako na wewe watu wawili tu unashindwa kumuandalia sasa ulijua ukiolewa mmewako ndio atakupikia mipangilio ya kazi yako nyumban kwako mpo wawili tu unashindwaje?
Na boa
Anasura ngapi jamani huyu binti
Huyu mwanaume hovyo kweli yani mi uniamshe usingizini nikqkupikie surely usinitanie km kuna kitu sikipendi nikuamshwa usingizi kbs coz hata mimi mtu akiwa amelala cpenda kumuamsha na pia divi im here you're twin pia sipendi kutwa nitu kidogo baada ya hao na wewe fanya mwenyewe km unataka kitu anasema amesoma dini dini haijasema mwanamke ni mtumwa bali ni utulivu wako ni pumbazo lako so ukitaka awe mfanyakazi wako ndio pale mwanamke anafanya kazi kutwa nzima tokea ulivyomuacha asubuhi na jion unamkuta hivyohivyo na kachoka analala km punda
Sasa Diva anamsema mwenzake sura nzito sijui hana shape, ye hajioni?😎
diva ujui kutofaitisha nguo za kazin na za nyumban asa manyela umo umo mume atakushika wap upo ka unafanya kazi ya kujenga bala bal mwanaume anataka mwanamke yuko romantic kuanzia mavaz mpka maongezi sio nafikilia vibaya lkn abdul anaish na mubaba 😂
Diva"i hope this is only a reality tv show""i hope so but if its real in real life?? mhhhh""That one,second don't you ever ask a man(yr husband) provocative questions like that on your dinner date((((out dinner date)))wooooow.as i said before i hope this is only for TV shows not in real life.
Kwamba? Akale kwa mama yake kwako? Et unapenda kuorder seriously?kwenda sokoni Sawa sasa ata kama ni malikia ndo usioshe vyombo? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yan vyakukoment haviishi .😂😂😂😂😂😂diva atar
Ni vile naandika nakuchoka huyu kazidi😁
@@MariamJuma-nj9fc 🤣🤣🤣
Sasa movies hii ao mnatumalizia Bundle zetu??😅😅
Move
Mtu na
Una dhani mume Lele mama😅😅😅mwanaume ni zaid ya mtoto,jitahid jitume kabla ujatumwa ndo mwanamke na ujue majukumu yako
Ko hadi kupika na wigi😅😅
Hakuna mume hakuna mwanamme,
Naona UFYOROTO
AMKA ABDUL UNATIA AIBU WANAUME WENZAKO MKE HAWEZI KUTOA AIBU ZA MUME HADHARANI KISA DIVA WHO IS DIVA BY THE WAY,
DIVA BONGOÒ
Hivi huyu wakati anaolewa alikuwa ana expect nini….?au ndo anajua wazungu wanaishi hivi?
Em mtafutieni passport yake ya kwanza akashangae dunia uko
😂😂😂😂😂😂😂😂
Diva😂ndio maana huwa hajiamin hajikubali alivyo
Tuleteeni episode ya 2 upeai
Kwaivo talaka hakuna tena😂
Kuachika hawezi wachezeaaaaaaaaa🍍🍍🍍
Nitakujuza ila Bado sana
Mbadilishe taratibu ataanza kupika na kufanya kila kitu
Huyu mwanamke ana matatizo ya akili
Waislum wa buza ila naowajua mimi mmh
Yaan umpige kisa hajapika wakat unaweza kupika mke sio mtumwa
Wewe nae unachosha kila siku abduli amekuchoka hujiongezi
Ndoa gani hii 😮vituko tu. Sasa diva hujakuwa ukisikiliza wenye ndoa? Mbona mambo ya ajabu. Ata wazungu hawa behave namna hii.
Hiyo dinner sasa inaitwa romantic ila kama kwa mganga yan giza jaman kwan walikosa hata taa zinazotimia betri au solar 😢diva nawe hebu move on huyu kaka ni hakufai jamani
😂 wote hawafai bhn
Mnitafute niwauzie yangu haichubuki haikwajuki
Hajapika utakula chakula cha usiku