MAJUTO YA DIANA KIMARI, KUJISOMESHA TOKA LA TANO, KUPIGWA CHUPA YA USO, KUTOPENDA WANAUME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 355

  • @jrm9448
    @jrm9448 3 місяці тому +91

    Huyu binti nilivyokuwa namchukulia na baada ya kumsikiliza ni vitu viwili tofauti. Huyu ni very smart, real and humble

    • @julianajeremiah4353
      @julianajeremiah4353 3 місяці тому +1

      Yahaa kapo vzr

    • @oiiii3898
      @oiiii3898 3 місяці тому +3

      Nchi za nje zitakuweka humble hasa nchi za kizungu

    • @orupayoeli7659
      @orupayoeli7659 3 місяці тому

      Vidoo... si umuoe huyo binti, mtapendeza sana km umetulia. Anaonyesha ana akili sana I love her.

    • @experymassawe3521
      @experymassawe3521 3 місяці тому +2

      Alikua advanced country lazima abadilike

  • @ghaniyapoches2684
    @ghaniyapoches2684 3 місяці тому +20

    Nakupenda Sana Diana Mimi ni fan wako since upo bongo movies nimeanza kukucheki nikiwa kabinti Greece movies zako nimezitazama km mara 60 I love u umekua kiakili na kilakitu...big up

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 місяці тому +14

    Mashallah Diana na lulu awa mabint wanajitambuwa kujibu kuonge kujiamini hawayubishwi na maneno ya wtu ❤

  • @doriceprosper6588
    @doriceprosper6588 3 місяці тому +59

    Aisee Diana uko smart sana kwenye muonekano, kuongea, kujb maswali na uko honest..unasimamia ukwel..nadhañ n Moja ya sifa ya watu wenye majina ya D..may God Bless you Beautiful Lady❤❤

  • @DeborahVerian
    @DeborahVerian 2 місяці тому +3

    Kwa mara ya kwanza nasikiriza mahojiano ya muigizaj had mwisho
    nimependa sana
    na❤❤❤

  • @theresiajames7574
    @theresiajames7574 3 місяці тому +32

    Yooooooooo😍😍😍😍😍😍😍…. She is braveeee… yaani huyu mtoto angeenda shule cjui ingekuwaje.. ana akili sana… ungekuwa mwanasheria mzuri sana.

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 3 місяці тому +34

    TUSIMUHUKUMU KWA YALOPITA
    TUGANGE YAJAYO
    MIE NMEMPENDA YUKO REAL
    AFU SHE SO 😍 CUTE

  • @magrethjohn8638
    @magrethjohn8638 Місяць тому

    Mara ya kwanza kusikiliza msanii nikamwelewa .she is very bright i love her

  • @Madamsylvianyamanda
    @Madamsylvianyamanda 3 місяці тому +8

    Very nice interview ❤: Honesty was the key.

  • @uiptv365
    @uiptv365 3 місяці тому +32

    Nakupenda bure Diana. You’re very humble and talented 🙌🏽🙌🏽❤️❤️💯

  • @jeanpierrekwizera6400
    @jeanpierrekwizera6400 3 місяці тому +16

    Napenda sana Majibu yako Diana, Love you from 🇨🇦🇨🇦🇨🇦

  • @jonunupanja112
    @jonunupanja112 3 місяці тому +9

    waooo very nice umeokaka, kabisa Mungu atakubadilisha tuu nakuona Umeamua Mungu akusaidie

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 місяці тому +20

    Maisha ni safari.
    Kila kinachotokea ni part of the process..as long as you stay alive through it all...all is well,

  • @LeylaKapemba
    @LeylaKapemba 3 місяці тому +1

    Nimependa hii interview wallah nimeinjoyy kiluu haboeshi yuko vzr nampenda ❤

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 3 місяці тому +13

    Kazuri❤❤❤❤ sana
    Kako matured

  • @MiriamKomba-l6u
    @MiriamKomba-l6u Місяць тому

    Umebadilika umekuwa sana nimekupenda sana umesafiri umetanuka kiakili sana kusafiri kumekufanya ukuwe kiakili ❤

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 3 місяці тому +5

    Hongera mwanangu ulijitahid ,tafaut naulivokua unaonekana Enzi zile ,namama ako alikua vizuri kiushauri kwako

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 3 місяці тому +15

    Hongera sana Diana kwa kubadilika.
    Pia nimekupenda kuwa mkweli hv vitu

  • @neemakullaya7221
    @neemakullaya7221 3 місяці тому +8

    Nimefurahi kusikia kutoka kwake kuliko kusikia mtaani ❤

  • @DANINYAKWELA
    @DANINYAKWELA 3 місяці тому +19

    One of the best interviews❤

  • @NOELAMUSHI-qb1nb
    @NOELAMUSHI-qb1nb 3 місяці тому +7

    Upo vizuri vido. You have technical questions.

  • @iskawarioba6823
    @iskawarioba6823 2 місяці тому

    Umenigusa sana mdada na umenipa moyo wa kupambana zaidi...shukran 😊

  • @AminaJuma-r4y
    @AminaJuma-r4y 3 місяці тому +15

    Diana yupo chamingi 😂😂❤❤ we nimkweli ongera 🎉🎉

  • @ZainabuMshasi
    @ZainabuMshasi 3 місяці тому +4

    Danija mov nzuri sana

  • @recholwillison
    @recholwillison 3 місяці тому +9

    Mm nilishidwa kujisomesha nikaamua kuacha Shule ili nisomeshe wadg zangu hakika nilipitia maumivu makali Sana lkn Huwa Sjali kabsa kwa sababu Mungu hakunitupa mbali

  • @aishakopose26
    @aishakopose26 3 місяці тому +3

    Diana una jielewa sanaaaa❤❤❤🎉

  • @LilianStephano-i5e
    @LilianStephano-i5e 3 місяці тому +7

    Embu Rudi kwenye uigizaji jmn hvyi unajua nimemc kaz zako jmn❤

  • @zawadichalale4047
    @zawadichalale4047 3 місяці тому +4

    Ni kweli huo mshahara wa 10M hajadanganya

  • @TinahDaud
    @TinahDaud 3 місяці тому +4

    An we mdada nakupendaa sana ad kweny daftar Lang la shulen niliandka jna lako jmn

  • @sekelamwangomo5458
    @sekelamwangomo5458 3 місяці тому +20

    Anafanana na riyama ally

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 3 місяці тому +7

    Kweli Diana umekuwa mentality safi sana mwanangu,
    Itapendeza uwabadilishe rafiki/jamii waliotayari kubadilika waelekeze kuwa na hofu ya mungu

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 3 місяці тому +3

    Nimekupenda sana❤❤❤❤

  • @nalindwadanda
    @nalindwadanda 3 місяці тому +1

    Hongera diana una ique kubwa sana

  • @leesteragodfrey828
    @leesteragodfrey828 3 місяці тому +3

    NAMP3NDA HUYU BINTI JMN ❤❤

  • @SarMse
    @SarMse 2 місяці тому +1

    Bonge la interview Vido big up❤❤

  • @gloriouskweka6630
    @gloriouskweka6630 3 місяці тому +1

    Mpenda kula mwenzangu 🥂🥂

  • @WallaceWaweru-ob7jz
    @WallaceWaweru-ob7jz 3 місяці тому +2

    🎉❤the best girl

  • @judithkirenga9977
    @judithkirenga9977 3 місяці тому +2

    Watanzania tupende nchi yetu, Tanzania kuna mapungufu ila mazuri ni mengi mno❤

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 3 місяці тому

    Fundi sana wa kuigiza tena sana💕💕💕💕

  • @gloriamwanjali9371
    @gloriamwanjali9371 3 місяці тому +2

    Be strong, you can and you will be where you want to be.

  • @nasradaud6212
    @nasradaud6212 3 місяці тому +1

    Na akili mno tofaut na ukimtizama mung akuongoz bby ,nmepnd statues yko umenyooka❤

  • @fathma-wp1gt
    @fathma-wp1gt 3 місяці тому +7

    Nampenda uyu dada nimkweli🥰🥰

  • @JacquelineJames-g3f
    @JacquelineJames-g3f 3 місяці тому +1

    She's very smart 👌

  • @GeraldElias-s7j
    @GeraldElias-s7j 3 місяці тому +15

    Moja kati ya interview bola nimeipenda pia nandoto zakwenda marekan one day yes

    • @Shazna_mwasi
      @Shazna_mwasi 3 місяці тому +2

      Naomba namba zako tujichange tuondk

    • @shadiasaid-wm8wr
      @shadiasaid-wm8wr 3 місяці тому

      Kabisa,tutafutane tuondoke​@@Shazna_mwasi

    • @shadiasaid-wm8wr
      @shadiasaid-wm8wr 3 місяці тому +1

      Tutafutane tujichange tuondoke

    • @Shazna_mwasi
      @Shazna_mwasi 3 місяці тому

      @@shadiasaid-wm8wr namba yako

    • @lindacharles998
      @lindacharles998 3 місяці тому

      Hahaaha shida siyo kujichanga jamani shida ni kuvuka pale ubalozi wa marekani hahaha ilikupata viza siyo simple ivyoo jamni katika nchi ngumu kupata viza ya kwenda ni marekani

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 3 місяці тому

    Mzuri sana tena sanaa❤❤❤❤❤

  • @YudaGerard
    @YudaGerard 3 місяці тому +26

    Ni kweli kabisa nipo usa more than 12 yrs hizo kazi ndio haziishagi hapa usa na ziko flexible ni nguvu na mda wako tu na ni kweli zina pesa nzuri

    • @saeaaa8571
      @saeaaa8571 3 місяці тому +3

      Tupeane hizo issue jmn Bongo kubaya hakunogi kbs...

    • @zenarzchenga2631
      @zenarzchenga2631 3 місяці тому

      Naitaji kuja jaman nnandugu uko nifanyeje

    • @yusraally7264
      @yusraally7264 3 місяці тому +1

      Habari yako je unaweza kunisaidia nawezaje kupata mm niko Dubai

    • @UstarJordan
      @UstarJordan 3 місяці тому

      Nami nahitaji jamani nitapataje hiyo kazi nipo dar

    • @محمدالبلوشي-ح9ل
      @محمدالبلوشي-ح9ل 3 місяці тому

      Jaman tupeane mchongo tunataman kuja

  • @sekelamwangomo5458
    @sekelamwangomo5458 3 місяці тому +3

    Kumbe she's smart

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 3 місяці тому +1

    Nakupenda love Diana

  • @chinatanzaniabusiness1262
    @chinatanzaniabusiness1262 2 місяці тому

    That's why we look alike❤

  • @creativity8292
    @creativity8292 2 місяці тому

    Washkaji wamekutana kwenye interview, nimependa sanaa 😅😅😅😂

  • @bahatirngulika4493
    @bahatirngulika4493 3 місяці тому +2

    Kumbe huyu binti yuko smart kiasi hiki???
    Kweli we should not judge a book by its cover

  • @hildagabriel1003
    @hildagabriel1003 3 місяці тому +11

    Kwenye umri nimempenda sana

    • @zaynabmwanjovu8277
      @zaynabmwanjovu8277 3 місяці тому +1

      Hata asingesema huyu na Lulu, tunawajuwa kama tumewazaa

    • @bonamarlene
      @bonamarlene 2 місяці тому

      Iko na miaka ngapi

  • @MillanHashimuMadenge-nu1ok
    @MillanHashimuMadenge-nu1ok 3 місяці тому +13

    Nampendaga uyu dada yeye ndo alianzisha kusema no comment 🎉

    • @RestMdetele
      @RestMdetele 3 місяці тому +1

      Kumbe ni yeye 😂😂😂

  • @gentillembozi8433
    @gentillembozi8433 3 місяці тому +1

    Iyo ni kweli kbs tn hata zaidi ya iyo mshahara uko bomba kbs
    Watu wanadharau kazi za uku ila mshahara uku juu mno

  • @OstakiaCornely
    @OstakiaCornely 3 місяці тому +28

    Marafiki sio watu wazuri Bora kuishi bila rafiki

  • @NadineNdagwaruka
    @NadineNdagwaruka 3 місяці тому +5

    True story 💪🙌🙌

  • @BelindaUwase-q8y
    @BelindaUwase-q8y 3 місяці тому

    Nakupenda sana Diana wangu🥰🥰

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 3 місяці тому +12

    Nimependa mtangazaji kwa maswali, uko vzur sana🎉🎉🎉

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 3 місяці тому +5

    Hongera

  • @fatmahussein2146
    @fatmahussein2146 3 місяці тому +5

    Dayana amenipa tumaini sana la kulea mtt mwwnyewe ingawa baba ake anatoa matumizi lkn kuja kumuona mtt ni ngumu ila kupitia dayana nimejifunza ukibeba mimba mtt ni wako mwenyewe

  • @elizabethwanjiku7831
    @elizabethwanjiku7831 3 місяці тому +2

    Ni ukweli. Kazi za care giving kwa wazee marekani zina hela saaana.

  • @raheemsaleh14
    @raheemsaleh14 3 місяці тому +14

    Yuko really sana, I like it

  • @mankalodi5796
    @mankalodi5796 3 місяці тому +7

    Uko vzr ,uko muwazi vzr sana

  • @Yana_queen1
    @Yana_queen1 3 місяці тому +7

    Wooyiii

  • @LilianLilian-bx1ec
    @LilianLilian-bx1ec 3 місяці тому +10

    Nampenda Sana huyu mdada jmn

  • @irenekomu756
    @irenekomu756 3 місяці тому

    So nice Nakupenda bure D

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 3 місяці тому +2

    Safi mdogo wangu nilipokuona juz nilifurah sana una akili sana

  • @HafsaSalwa-f9h
    @HafsaSalwa-f9h 3 місяці тому +3

    Wangekua wangin tushachok na kutuchangia kizungu utasema tunakijua 😅

  • @RosemaryKisenga-b8z
    @RosemaryKisenga-b8z 3 місяці тому

    Uko vzri sana dada, naomba niunge kazi huko ata za ndani tu jamni😊

  • @anyangograce1465
    @anyangograce1465 3 місяці тому +2

    ❤Binti mpambanaji sn nimempenda alafu anajua kukieleza sn

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj 3 місяці тому +1

    Mungu abariki wadada wote tunaopambana nje na nchi yetu mjnyu atupe afysnjema na pumzi teleeee🎉🎉🎉🎉❤

  • @racheldm-eq7yz
    @racheldm-eq7yz 3 місяці тому

    Wow your so Amazing 🥰❤️

  • @HamisiRashford
    @HamisiRashford 3 місяці тому

    Thanks for interview

  • @AgnethaLugenge
    @AgnethaLugenge 3 місяці тому

    Uko vizuri kwa kukijibu maswali
    Na anayeuliza yuko vizuri pia naona sasa unamkimbiza milled ayo

  • @happinesspascalnyambita8426
    @happinesspascalnyambita8426 3 місяці тому +1

    Nakupenda dayana wangu

  • @restymeyshack8870
    @restymeyshack8870 3 місяці тому +4

    Au mnigeria jamaa maana😅,, hongera mwaya nakupendaga

    • @salmabamba2751
      @salmabamba2751 3 місяці тому +1

      Atakua huyo huyo maana hao watu kwa matukio ni noma 😅😅

    • @restymeyshack8870
      @restymeyshack8870 3 місяці тому

      @@salmabamba2751 sanaaa😂

    • @mackymatthew3621
      @mackymatthew3621 3 місяці тому +1

      Kama sio mnigeria ni Ghana maana hawachelewagi😂😂

    • @restymeyshack8870
      @restymeyshack8870 3 місяці тому +1

      @@mackymatthew3621 umeona ee😂🙌

    • @mackymatthew3621
      @mackymatthew3621 3 місяці тому

      Yani ukiingia Europe or USA mzimamzima lazima hawa watu wakusogelee na wanavyojua kudanganya na kutembea na magari expensive ya kuazima kumbe hawana kitu fyuuuuuuuuuuu😂😂😂😂 wakishakuzalisha na mapenzi yanaisha. u​@@restymeyshack8870

  • @NafisaHeradi-o1z
    @NafisaHeradi-o1z 3 місяці тому

    Binti nakupenda ❤

  • @TeresiaMsaky
    @TeresiaMsaky 3 місяці тому +5

    Nigeria kashamuachia mtoto

  • @RehemaSimoni-w5z
    @RehemaSimoni-w5z 3 місяці тому

    Nampenda automatically ❤

  • @NasrahMsiagi
    @NasrahMsiagi 2 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉maua yake

  • @VivianGozberth
    @VivianGozberth 3 місяці тому +1

    Ni kweli kuna watoto wanaenda Crab

  • @HaniphaKhalfani
    @HaniphaKhalfani 2 місяці тому

    Mm napenda hizo kaz natamani nipate nikafanye

  • @coletamwalukasa3471
    @coletamwalukasa3471 3 місяці тому

    Bravo Diana

  • @hadijahemed7861
    @hadijahemed7861 3 місяці тому +2

    She is so smart ❤

  • @NiyonzimaJeandedieu-qg4xd
    @NiyonzimaJeandedieu-qg4xd 3 місяці тому +2

    Nimpenda uyu dada anaongea ukweli

  • @beatricemassawe8883
    @beatricemassawe8883 3 місяці тому +1

    Dada ukiritudi nichukue nimechoka kuungua jua tz ila kingereza sijui

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 3 місяці тому +17

    Vido ungemuoa dayana INGEPENDEZA

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 3 місяці тому +6

    Umejiachia Dayana unakula vya kinyumbani mwili umeongezeka kipenzi

  • @sugarthompson9369
    @sugarthompson9369 3 місяці тому

    Nimekuoenda tena Diana kwa Mar nyingine yn muwazi sana hujikwezi which good kabisa

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 місяці тому +21

    Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa ni al waheedul kahar

    • @saimonntani6831
      @saimonntani6831 3 місяці тому +2

      Bro unabahati sana ulisha wahi kumuona Mungu nini?

    • @halimamfaume1925
      @halimamfaume1925 3 місяці тому +2

      Kabisa ❤

    • @Jifunzebure
      @Jifunzebure 3 місяці тому +1

      Ulimuona wapi ukathibitisha hilo

    • @remiomar7154
      @remiomar7154 3 місяці тому

      @@saimonntani6831 katika vitabu vyake vitukufu

    • @remiomar7154
      @remiomar7154 3 місяці тому

      @@Jifunzebure Jina lakidunia lako Ni zuri ....haya kajifunze tena kwenye Qur'an

  • @JoyceKalama-z5j
    @JoyceKalama-z5j 3 місяці тому

    Nimependa hii...huyu Dada anajielewa

  • @joycekasimbazi9817
    @joycekasimbazi9817 3 місяці тому +4

    Aisee binti akili unayo nimependa

  • @violetmrema4427
    @violetmrema4427 3 місяці тому +3

    kama kuna aliesikia mtoto anamwacha kwa r.... and then daycare meaning kwa rafiki ndio jibu la kweli

  • @MariaThomas-wm9iq
    @MariaThomas-wm9iq 3 місяці тому +5

    Sema vedo anajua kuhoji

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 3 місяці тому +6

    Manywele yako ya kiarabu ya nakukera dayana😂😂

  • @njuka3515
    @njuka3515 3 місяці тому +2

    Yaani hiki eti kila nikifanya biashara nafirisika😂😂

  • @DarleneMacMillan-lp9bs
    @DarleneMacMillan-lp9bs 2 місяці тому

    Aniunganishe na mm jamani duuu

  • @Chingagirl123
    @Chingagirl123 2 місяці тому

    American bills na tax ndo zinawamaliza😂 10m ukishamaliza lipa unabakiwa na 1m😂

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 місяці тому

    Mtangazaji koma na hilo swali kwa watoto wa kike eti mwanaume akwambie acha kila kitu nitakutunza ni swali la udhalilishaji kwa wanawake

  • @njuka3515
    @njuka3515 3 місяці тому +8

    Ila hiki kitoto kimenichekedha eti nitakuwa muongo 😂😂