Millard nakuelewa sana kwa kazi yako , kutoka maganzo kwa jamaa wa almasi ukasogea jambo, jambo ndo nilipoanzia kazi baada ya kutoka SUA 2014 kama field officer. Ndo palinifungulia mlango, kwasasa nafanya kazi na taasisi ya utafiti wa kilimo tananzania kama mtafiti wa kilimo.
millard tunaomba hizi interview za watu kama hawa ziongezeke kaka,please...zinatupa sana moyo wa kupambana,hoji watu wengi waliofanikiwa,ili tuweze kupata vitu
Hongera Ayo kwa kutuletea interview hii. Endelea kutuletea nyingine za wengine waliofanikiwa. Interview kama hizi zitatusaidia kushirikiana na vijana wetu ktk kuendesha miradi kwa mafanikio
Hapa ndio utakapojua maana ubora wa Elimu naaarifa yanayopatikana.Investment yote haikua inamuandaa mtoto kusubiri au kuwaza kuajiriwa ..waliangalia zaidi kuanza jambo lao kuemdeleza na kuwa wabunifu .Hongera sana .
MashaAllah huyu kijana anakosa kubwa sana ambalo ni hatari kutoka wewe tangu uanze kulizungumzia kuhusu viwanda viwanda mbona hatujawahi kusikia ukishukuru Mungu ukisema ALHAMDULILAH HAPO UMEMASI ALLAH MAANA KAMA SI ALLAH NI NANI MWENGINE NI MWEZA??? Lazima utafakari maalim umemasi Mungu
Tatizo kubwa sisi watu weusi hatufikirii kuona mbali na rohoo mbaya ndio maana hatuwi na maendeleo MTU na mtoto wake anamfanyia rokho mbaya .Sasa wakiona intavyoo kama hizi ndio maswali mengi yanazuka kwanini biyashara kubwa zinashikwa na watu kwanza hawa watu wana hofu ya mungu pili wanaalikili yani ukiwa karibu na MTU mweupe kama unaakili hukosi kuishi maana utapata umajimaji Wa kutafuta kwa bidiii .Lakini sisi Tanzania uwena uwezo wakumiliki bajaji basi utawapanga kwa safu wanawake na kijisifu .lakini hakumbuki hata kuna watoto wakupeleka shule wakiona kamaivyo baba kajikaza kumsomesha kajima mengi na kukuza miradi Ingikuwa gozi nyusi majigambo. Mengi mahojiano hapo ungesikia NO : koment Tujitume Wa baba na Wa mama Wa KITANZANIA tusipende kubweteka
Sasa mbona ujiaibishe mbele ya Dunia wakati unaweza kukitumia kiswahili. Kiingereza sio kipimo Cha masomo au ujanja! Next time try to find out the meaning of the vocabulary you would like to use and the correct/proper spelling. STOP 🛑 worshipping the English language. Be proud of our Swahili language.
Baba alikuwa akimpeleka kwenye ofisi ya biashara sio ofisi ya serikali,watu weupe wana uvumilivu na wananyanyuana sana lakn watu weusi tuna unyimi na malengo ya mida mfupi,ukaichana na tatzo la mtaji wa pesa bado mtaji wa mawazo ni duni,elimu itakufanya kuwa na mawazo mapana na zaidi ukisoma nje unapata fursa ya kujionea mambo mengi mazur na ya kisada,hongereni sana
Jiongelee mwenyewe. Hili sio jambo la weusi au weupe. Ni jambo la mtu na mtu. Kama hujawahi kusikia basi enzi za Kikwete kuna mweusi mmoja mmiliki wa hoteli ya Peacock pale Mnazi Mmoja aliwahigi na yeye kuhojiwa na kueleza jinsi alivyosota kutoka kuuza duka Iringa hadi kujenga hoteli Mnazi Mmoja kwa elimu ya darasa la saba, halafu jinsi alivyomrithisha mwanae mikoba. Ila ujue pia kuna wengine wanaofanya hivyo ambao hawaongei. Sasa usijishushe na kukweza rangi ya mtu au kudharau rangi ya mtu kwa sababu ya matatizo ya watu binafsi. Hata watu wenye ngozi unazosifia ni wengi tu huko kwao ambao wana mambo ya ovyo ovyo kabisa. Usiangalie wachache unaowasikia wanavuma ukajua basi wote wako hivyo.
Ubinafsi ndio unatuponza sie weusi. Tunapenda kusujudiwa sana hasa tukipata mafanikio kidogo tu. Unataka walioko chini wabakie huko huko hata kama una nafasi ya kuwainua ila unawakazia makusudi ama kwa roho mbaya tu. Hatutakaa tusogee
Hongora sana jambo nawakubali sana wakati nipo Tanzania nikijua jambo anapatikana Tanzania tu kumbe hata Congo wameja nahayo ndio maji yangu kwahapa Congo
A lesson to learn from this amaizing interview, for a child to achieve financially, a family must play a vital role, unlike relying to gain it only from schools, this is contrary In Tanzania,whereby financial knowledge is left only to school!!
hongera sana kijana familia yako ina upendo sana ,naijua familia yako vizur apo shy.mzee wako salum na wale wadogo zake wengine duh nakumbuka kipndi nafanya kazi apo japo kwenye kiwanda chenu cha pamba duu mko vzri kaza buti
Poleni mnao kunywa sumu toka viwandani nitabaki kunywa maji yangu asilia toka mirimani huko Morogoro chunguzeni kwa kina hao wenyewe hawatumii hivyo vitu kwa sababu wanajua fika vina chemical za kufa watu
Mashaallah.Hongereni Sana na mtangulizeni Mwenyezi Mungu katika Kila kitu.Msisahau kutoa zaka mwisho wa mwaka na kuwapa maskini
Ambao hatujui hata baba zetu wako wapi ila bado tuna fight wenyewe.. gonga like mayatima tujuane.
Tupooo
@@ndayisengafrorence8461 daah pamoja sana mkuu! Bado tuna pambana na hatutochoka kupambana.
Kweli tuupo .Na tunapigana kwelikweli .Japo Mimi baba yuupo Ila mpka naanza kujitambua baba Angu hakua na chochote .
Don't make me cry
Alhamdulilah yote yana mungu.tumshukuru mungu kwa kila jambo
Millard nakuelewa sana kwa kazi yako , kutoka maganzo kwa jamaa wa almasi ukasogea jambo, jambo ndo nilipoanzia kazi baada ya kutoka SUA 2014 kama field officer. Ndo palinifungulia mlango, kwasasa nafanya kazi na taasisi ya utafiti wa kilimo tananzania kama mtafiti wa kilimo.
kazungu jonathan bro kazungu tuwasiliane bas
Namba za company p Ries
millard tunaomba hizi interview za watu kama hawa ziongezeke kaka,please...zinatupa sana moyo wa kupambana,hoji watu wengi waliofanikiwa,ili tuweze kupata vitu
✌
true
Kweli bro. Zinatujenga sana.
Point kbs mkuu
kweli
Hongera Ayo kwa kutuletea interview hii. Endelea kutuletea nyingine za wengine waliofanikiwa. Interview kama hizi zitatusaidia kushirikiana na vijana wetu ktk kuendesha miradi kwa mafanikio
Nimependa sana uzalishaji wa bidhaa za Jambo yaani very hygienic keep it up Jambo
Had leo sijui ofisi ya Baba iko wap 😢😢😢
Uwe unatupa hizo story znatupa moyo sio udaku news
😂😂😂
Black Mamba 😂
🤣🤣🤣
Black Mamba kakuona huna Akili
Mungu awalinde hii familia , ni vema sana ndugu kukaa pamoja na kupendana
Nafarijika Sana kwa unachokifanya ayo tv. Natamani na Mimi kufanya innovation baada ya miaka kazaa niwe Kama Jamaaa hpo. Big up Ayo TV
Hapa ndio utakapojua maana ubora wa Elimu naaarifa yanayopatikana.Investment yote haikua inamuandaa mtoto kusubiri au kuwaza kuajiriwa ..waliangalia zaidi kuanza jambo lao kuemdeleza na kuwa wabunifu .Hongera sana .
Sasa ni kipindi cha kurudi nyumbani maana tunayoyaona huku kwenye dunia ya kwanza ndio yanayoendelea nyumbani big up boss mtoto
Shamimu Shittindi tutarudi pamoja upo pande zipi
Hongera sana mzee amesimama vyema sana na kijana anajitambua sana ni vijina wachache sana
Ninawajua sana hiyo familia! Mashallah agkhan
Nice interview...vinajana tunapenda kusikia hays
MashaAllah huyu kijana anakosa kubwa sana ambalo ni hatari kutoka wewe tangu uanze kulizungumzia kuhusu viwanda viwanda mbona hatujawahi kusikia ukishukuru Mungu ukisema ALHAMDULILAH HAPO UMEMASI ALLAH MAANA KAMA SI ALLAH NI NANI MWENGINE NI MWEZA??? Lazima utafakari maalim umemasi Mungu
Wallah hata Mimi nimeliona hilo
Kweli nami nimefikiria saana labda atasema Alhamdulillah
Ni mkristu
Faneni utala tibu tuweze kupata na energy drink kama Azam energy kwahapa Congo👏👏
Familia za jamii ya watu weupe zimefanikiwa sana kuliko sis wabongo, tunawazaga tu kuuana
UKWELI
Tatizo kubwa sisi watu weusi hatufikirii kuona mbali na rohoo mbaya ndio maana hatuwi na maendeleo MTU na mtoto wake anamfanyia rokho mbaya .Sasa wakiona intavyoo kama hizi ndio maswali mengi yanazuka kwanini biyashara kubwa zinashikwa na watu kwanza hawa watu wana hofu ya mungu pili wanaalikili yani ukiwa karibu na MTU mweupe kama unaakili hukosi kuishi maana utapata umajimaji Wa kutafuta kwa bidiii .Lakini sisi Tanzania uwena uwezo wakumiliki bajaji basi utawapanga kwa safu wanawake na kijisifu .lakini hakumbuki hata kuna watoto wakupeleka shule wakiona kamaivyo baba kajikaza kumsomesha kajima mengi na kukuza miradi Ingikuwa gozi nyusi majigambo. Mengi mahojiano hapo ungesikia NO : koment Tujitume Wa baba na Wa mama Wa KITANZANIA tusipende kubweteka
Kabisa
@@dasilvajacmwax7436 sio kweli kuna watu weusi wamefanikiwa sana
@@mohamedimohamedi7881 kaka mkubwa, hawa ndugu zetu kiukweli wako tofauti, sio Kama sisi blacks
Very impressed, very young Tanzania to run a big company like this owesome....
Hongereni Kwa kazi nzuri mbarikiwe katika biashara ipate kua yamafanikio siku zote mungu akuongoze daima
Lemme tell you guys u have good governorship. And a great President #FromSomalia
Come and take him
@@santodelove4351 wish i can
Miaka miwili baada ya hii comment, he is no longer with us😥😥
wale wote wa shy nyumbn ngola like twende sawa
Majengo moja iyo💪
Mzee wake huyu jamaa ni kati ya baba bora sana hapa Africa..ahsante sana millard
Safi sana , fursa ni mahari popote, mnaokimbilia kuangalia magorofa ulaya fursa mnaziahacha hapa kwenu, karibuni shinyanga Tanzania
Mi nahc miaka mi'5 mbele MirlladAyo atakua kijana mdogo mwenye uwezo mkubwa sana..
Safiiiii Ila muda mchache sn nimependa sn Hamis anavyojieleza kwa kujiamin big up
Well done young boy, initiatives, eduction, commitments , mitigation and excursion is the key of successes
😁😁
Sasa mbona ujiaibishe mbele ya Dunia wakati unaweza kukitumia kiswahili. Kiingereza sio kipimo Cha masomo au ujanja!
Next time try to find out the meaning of the vocabulary you would like to use and the correct/proper spelling. STOP 🛑 worshipping the English language. Be proud of our Swahili language.
Baba alikuwa akimpeleka kwenye ofisi ya biashara sio ofisi ya serikali,watu weupe wana uvumilivu na wananyanyuana sana lakn watu weusi tuna unyimi na malengo ya mida mfupi,ukaichana na tatzo la mtaji wa pesa bado mtaji wa mawazo ni duni,elimu itakufanya kuwa na mawazo mapana na zaidi ukisoma nje unapata fursa ya kujionea mambo mengi mazur na ya kisada,hongereni sana
Jiongelee mwenyewe. Hili sio jambo la weusi au weupe. Ni jambo la mtu na mtu. Kama hujawahi kusikia basi enzi za Kikwete kuna mweusi mmoja mmiliki wa hoteli ya Peacock pale Mnazi Mmoja aliwahigi na yeye kuhojiwa na kueleza jinsi alivyosota kutoka kuuza duka Iringa hadi kujenga hoteli Mnazi Mmoja kwa elimu ya darasa la saba, halafu jinsi alivyomrithisha mwanae mikoba.
Ila ujue pia kuna wengine wanaofanya hivyo ambao hawaongei.
Sasa usijishushe na kukweza rangi ya mtu au kudharau rangi ya mtu kwa sababu ya matatizo ya watu binafsi. Hata watu wenye ngozi unazosifia ni wengi tu huko kwao ambao wana mambo ya ovyo ovyo kabisa. Usiangalie wachache unaowasikia wanavuma ukajua basi wote wako hivyo.
Ubinafsi ndio unatuponza sie weusi. Tunapenda kusujudiwa sana hasa tukipata mafanikio kidogo tu. Unataka walioko chini wabakie huko huko hata kama una nafasi ya kuwainua ila unawakazia makusudi ama kwa roho mbaya tu. Hatutakaa tusogee
@@darmillionaire weuc wenye maendeleo makubwa ni wachache sio kama wenzetu weupe
Sitokei katika familia tajiri lakini familia tajiri lazma itoke kwangu
Nimependa hii
💪
Mungu akujaaliye
Hicho kiwanda ni kisafi mno.. mashallah😊
Safi sana kwa Elimu kweli nampa big up sana Salum wtt wote wamesoma
Hongerenisana
Mashaa allah nataman utajir in shaa allah nitapambana sana kutafuta halaal
Taman uchamung
ALLAH Azidi Kuwatilia Barka Muzidi Kupanua Company
Hongera Khamisi, Hongera Jambo. Mnatuletea maendeleo, Ajira na mafinikio Tanzania. Mungu abariki Tanzania.
MashaAllah very proud of you khamis your doing so well. May Allah bless you all and keep up with high quality products.
Nimeipenda hii, safi sn Millard!
Hongera sana wana Shinyanga wenzangu. No efforts without impacts.
Very very inspiring; assurance and guarantee of products quality to consumers is where success rely; 👊Big up Jambo family 👏
Woow aisee imeniamasisha saana hii Millard saluti
Hongora sana jambo nawakubali sana wakati nipo Tanzania nikijua jambo anapatikana Tanzania tu kumbe hata Congo wameja nahayo ndio maji yangu kwahapa Congo
Waarabu na wahindi wako vizuri lakini weusi ngozi ya yako nyoko Sana! Litahonga vimada mpaka mfilisike
Hizi ndo contents tunapenda kuona Be Millard una focus.
Safi sana mungu awa zidie mapenzi na imani
Masha Allah mungu awasimamie
Niwapongeze kwa kuwekeza kwenye mkoa wao. Wengine wangekimbilia Dar au Mwanza
juisi zao ni nzuri sana
gonga like kwa mzee aliona mbali kuwekeza elimu kwa watoto
Hakika amefanya kitu cha maana lio hii angeajiri MTU baki lakini hela ya mshahara imerudi nyumbani hongera baba
Goood
Iko poa sana tuwasomeshe watoto jaman milla hongera bro
Leading the industry, big up Khamis !
Mi naomba uwakala wa jambo Niko dar es salam
Nimewakubali sanaaa Masha Allah
Alahuakbar mashaalah tabarak Allah love this
Asante baba ckulaumu kwa chochote.
Nakubali hamiss uko vizuri
Safi sana Millard, njoo na Zenji huku
Aje awaone wakina #Suhail
Whaoo...good info ..job well done ...wako vzr
akuna asie jua Jambo tuko vizuri kilakona kwenye bindaa zetu
Millard Ayo TV umeona mbali unatufundisha mengi kupitia vipindi vyako mungu akupe maisha marefu.
Tisha sana millado bonge moja la interview
May Allah bless you and your family more and more Insha Allah Ameen
Beautiful wajina.message from USA good job brother
Yes jambo naikubali,,
Congratulations guys we need people like so we can change the lives of our peoples, big up my bro
A lesson to learn from this amaizing interview, for a child to achieve financially, a family must play a vital role, unlike relying to gain it only from schools, this is contrary In Tanzania,whereby financial knowledge is left only to school!!
Well said .. point kubwa mno sema umeweka kiingereza ndiyo naona watz hatuja kufahamu 😅
Maashallah Big Up Mjmb👍🏼
He been the hardest worker man!!!! Happy for you bro keep going
Kanyoeee.nyweleeee.miraddd
Safi sana jamaa wanaandaliwa mapema sana
Mashaa Allah
This guys are so SMART.
mahojiano kama haya ndo muhimu nyakati hizi keep it up millard
Kazi nzur mallard
Best Interview ever Millard izi ndo interview bwana sio bongomovie please ooo abeg
Jambo mnafanya vizuri sana
Hamis Salum,WAJNA ALLAH azd kukusimamia inshallah
Mungu akubariki Millard, ii content ni nzuri kuliko shukran sana
Nmependa sana hiiii
Nimepaelewa sana
iii kampuni dar aiipooo
hongera sana kijana familia yako ina upendo sana ,naijua familia yako vizur apo shy.mzee wako salum na wale wadogo zake wengine duh nakumbuka kipndi nafanya kazi apo japo kwenye kiwanda chenu cha pamba duu mko vzri kaza buti
Hongerani sanaa ❤
hii ndo interview bora kwangu ndani ya mwaka huu umefanya Millard hayo
Mashaallah good inspiration
Milady ago ...we ni Mbunifu na maono
Millard karibu shay jamukaya
Interesting big up millard
Jambo wapo vizuri sana mimi nikiwaga shinyanga hua naifulahia sana juisi zao
Naona mnatumia mashine za krohnes hope mtakua na bidhaa bora
Maashallah. Hongereni sana
Thanks millard
Safi sana millrad
Millard tunahitaji more Interviews Kama hizi zinatu motivate vijana kama sisi ambao tupo vyuoni trying to get our Educations
Poleni mnao kunywa sumu toka viwandani nitabaki kunywa maji yangu asilia toka mirimani huko Morogoro chunguzeni kwa kina hao wenyewe hawatumii hivyo vitu kwa sababu wanajua fika vina chemical za kufa watu
What a rush😊😊
Kazin kwangu hapa
Nimefurahi sana kuwaona Majirani zangu na Ndugu zangu wa Shinyanga. Happy and Proud for this Blessed Family and Neighbors.
Ayo kazi zako hazipitwi na wakati
Naomba kazi nipo mbeya
Hii ndio tunataka kuona sio umbea !Au maisha ya watu!
Mashaaalah weldone
Washindani wa AZAM
Safi sana Mungu awasimamie nimependa sana
Miaka 5 ijayo tutashindana sokoni na jambo company, Mimi nikiwa Geita I'm serious!
Tutafutane kaka na Mimi nipo geita
GOD BLESS YOU
mungu akubariki
MUNGU akujaalie baraka
sawa