Godson mrema umenikumbusha niposhule nilimwambia mkuu wa shule ya sekondari nilimwambia ivoivo kufeli mitihani sio kufeli maisha with nipo mtalini akaniita usiseme Ivo eti.nikweli Leo namshukuru mungu tz ninanyumba yangu bado napambana na Vita ya maisha.
Baba yake alimshirikisha ...wazazi wengine mna biashara kubwa lkn hamuwashirikishi familia mkifa kila kitu kinakufa... Hongera kijana Mungu azidi kukulinda na kukuongoza.
Asiyekujua,atahoji but I know you,I know your family ,na mapambano yako yote,you deserve to be a billionaire, also a leader coz you are blessed with good heart...kila la kheri my Uncle..Salim😍😍
Ongera sna mr Alimasi mm nimejifunza. Kua ukiamua kutafuta basi weka akili yko hpo ni usifanye jambo kwa kujaribu sema na mungu kua naamini hapa nitafanikiwa basi wee pambana kwa imani na kili moja tu Big up bro we to gather
Nimejifunza hapa ya kuwa kumshirikisha mtoto ktk kutafuta ugari inamsaidia hata uko ktk maisha yake yoote hata uko alipopotea nguvu za babake zili murika uyu kaka anazo radhi za babake kiukweli
Ka mtipweshi iyoo ..msitu unaitw amazonia ....daaah kaka yaan kuna wale lenamo nime chezeaga sana bakora ...nili sachiwa mzee walikomba kila kitu nlibaku na pens tu ..
Hongera zake ila headline is click baiting. Hajafanya kazi na Harmonize kama mlivyoandika bali kafanya mahali ambapo Harmo kadai kuwahi kufanya pia. Mtangazaji hujauliza alipata shingapi huko Msumbiji wala hujaongelea kuhusu hilo Jiwe alilopata lililompa ubilionea. Kwaninia kaingia kwenye siasa na Chama gani. Pengine muda haukutosha ila zilikua info za msingi.
Story ya huyu ndugu kuhusu Msumbiji inanikumbusha nilivyotembea kuanzia saa 9 usiku mpaka saa 12 jioni kesho yake kwa mguu kuelekea mgodini,ilikuwa ni kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine!!
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
Mnaohoji muwe basi na maswali yanayohusu jamani. Tumieni weledi basi. Mmetuacha ns kiuu hamhoji maswali ya maana. Mwisho mtatuchosha kusoma habari zenu maana hazina usahihi vizuri na ziko nie ya mafa husika. Weledi jamani please.
Kama unakubali kufeli shule sio kufeli maisha, gonga like tujuane boss.
Godson mrema umenikumbusha niposhule nilimwambia mkuu wa shule ya sekondari nilimwambia ivoivo kufeli mitihani sio kufeli maisha with nipo mtalini akaniita usiseme Ivo eti.nikweli Leo namshukuru mungu tz ninanyumba yangu bado napambana na Vita ya maisha.
Acha shule sasa
@@jumarwambo7420 muambie aige uache shule uone!!
Nikweli ndugu yangu kufeli kusoma sio kufeli maisha
@@shadagadagga9922 haaaaahaaa
Baba yake alimshirikisha ...wazazi wengine mna biashara kubwa lkn hamuwashirikishi familia mkifa kila kitu kinakufa...
Hongera kijana Mungu azidi kukulinda na kukuongoza.
MAHENGE MOROGORO NDIO HOME, BIGUP ALMAS💪
Asiyekujua,atahoji but I know you,I know your family ,na mapambano yako yote,you deserve to be a billionaire, also a leader coz you are blessed with good heart...kila la kheri my Uncle..Salim😍😍
Nice
Hongera sana kwa kupambna mbunge wetu mtarajiwa kaz kaz
MASHAALLAH!!! MUNGU AKUENDELEZEE NA I.ANI YAKO MM NAOMBA KIBARUA TU JAMANI AJIRA HAKUNA!
Good jobs speaking up my.brothe
jama iko vizuri mwenye kuhoji na kuhojiwa.
congrats mheshimiwa maisha ni ubishi....umepamban san had ulipo tunahitaj hyo spirit piah tupe siri.....
Mbunge Mtarajiwa Salim jina maarufu Salim Almasi MAHENGE stand UP
Huyu amepita,
Anayajua maisha
Ongera sna mr Alimasi mm nimejifunza. Kua ukiamua kutafuta basi weka akili yko hpo ni usifanye jambo kwa kujaribu sema na mungu kua naamini hapa nitafanikiwa basi wee pambana kwa imani na kili moja tu
Big up bro we to gather
Hongera achana na wanao kesha kumtukana rais hawana lolote
Home sweet home😍😍😍
Good luck Live long is my dua
Kama Tanzania imepata ma billionea wa madini ndani ya miaka miwili mfululizo je wazungu waliochimba tangu Karne wamevuna watrilioni mangapo Tanzania?
😧😱 daaah acha kbisa yan
Hapo sasa ndio maana tumempata kiongozi ambaye ameshtukia huo wizi.
Tatizo linaloisumbua Africa ni Uzalendo na Good management mkuu
Watanzania bado hatjajua maana ya neno BILIONEA
Ukimkuta mtu anajigamba anapesa huyo anazo za nyanya
Ahaaahaaa
Kabisa
Inawezakana ila pia haiwezkani.
Kondeboy kahaso Bwana acha ale vyake
Kabisa kaangaika bana
God bless u gud work.
Dah...pongezi kubwa sana...maisha ni safari kaka na kwawa Tanzania wote
Nimejifunza hapa ya kuwa kumshirikisha mtoto ktk kutafuta ugari inamsaidia hata uko ktk maisha yake yoote hata uko alipopotea nguvu za babake zili murika uyu kaka anazo radhi za babake kiukweli
Big up brother
Ila huyu jamaa anayo roho safi sanaa yan ukifika mahenge auwez kusikia anazungumziwa kwa ubaya yan ni mtu amabae anasupport sana watu asee
Kweli kbs,,,,,huyu jamaa ana moyo wa kipekee sana
Mie Nataka niende huko Nipe Location Ndugu
Ukiwa mpambanaji huwezi kuwa na roho mbaya
Duh watu wanachimba madini wanatiki mie nachimba tu wadada wa watu 😎
Wachimbe mkuu ipo siku utapata Tanzanite
Never give up in your life
Mungu akusaidie
Nakubaliii
Dah hongera
Mkuu ww ni nembo kubwa 💎💎💎
ndio mwanajeshi mimi mwenyewe nilikuwepo huko msumbiji mwaka1993mpka 94 sehemu moja inaitwa miazini a
❤
Nice
Ka mtipweshi iyoo ..msitu unaitw amazonia ....daaah kaka yaan kuna wale lenamo nime chezeaga sana bakora ...nili sachiwa mzee walikomba kila kitu nlibaku na pens tu ..
Pole sana dahh kipindi kile mzungu anamwaga Ile sumu ulikuepo? Nilipoteza kakangu nilisulika tu Kwa kuwa siku ilikuwa bado
Hongera zake ila headline is click baiting. Hajafanya kazi na Harmonize kama mlivyoandika bali kafanya mahali ambapo Harmo kadai kuwahi kufanya pia.
Mtangazaji hujauliza alipata shingapi huko Msumbiji wala hujaongelea kuhusu hilo Jiwe alilopata lililompa ubilionea. Kwaninia kaingia kwenye siasa na Chama gani. Pengine muda haukutosha ila zilikua info za msingi.
Hana maswali huyu jamaa..
Mbunge wetu uyooo tunakupenda snaaa
Watu wametoka mbali...usione mtu anatumia pesa yake!
Duuh atali sana
Unachosema kweli watutunapitia sehemu mbalimbali
Anafaa kua mbunge kujieleza anaweza wanaulanga mpeni kura zote
Lakini jimboni bado maisha magumu ,miundombinu bado mibovu sana ,
Mungu amlinde
Awww smart bro God bless you family is everything baba I’m so proud of you wa mahenge mwenzangu
Nifunguwa apa baada yakuona iyo picha ya harmonize
ata mie
Ata mm
Hata mimi
Harmonze kweli jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
I like this job keep it up salim God bless u and your family
Mbunge wetu tunampenda
Kazi sana
Story ya huyu ndugu kuhusu Msumbiji inanikumbusha nilivyotembea kuanzia saa 9 usiku mpaka saa 12 jioni kesho yake kwa mguu kuelekea mgodini,ilikuwa ni kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine!!
Mbuge wetu👌
Inaonekana wazi kua mama yako arikua msimbe yan watoto wanne Kira mtoto na baba yake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋
Daaah nampendaa coz yuko really sana
inspired
Penye nia hapakosi njia na penye juhudi neema unakuja.
Hongera kaka imejitahidi. Inastahili huo umilionea
Mtu hata hajafika huko mayunivaa kawa bilionea
Boss najifunza mengi sana kupitia ww
All the best Mpambanaji ...MBUNGE Mtarajiwa #harakatizamtumweusi
Hii kama hujaelewa kitu bas elewa kwenye kutafuta mafanikio kunatakiwa kujirisk maisha yako
Safi
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
Hhhhhhhhhhhhh tulia ule ugari wa bule hapo kwa mume wa dada yko maisha unayajulia wapi wewe
Heri yako wengine kazi kukesha mitandaoni kumtukana rais maisha magumu.
Unanikumbusha mbali Kaka mi bado na aso toka tumefukuzwa mtepweshi na siachi kuchimba
Hongera sana
Miamia bosi naiona ipanko na sisi tunapambana ndani ya korongo one day brother tupo nyuma
Maisha ni safari
Salim Almas
Namuona kama police ndio bodigad wake ama
morogoro mkoa mzur sana aseee
So inspired.
Hustler 💪🏽
Huyu jamaa anaweza andika kitabu kuhusu maisha yake hii interview ilitakiwa iwe ndefu zaidi
pesa sio matako dadeki cha msingi usikate tamaa kama ipo ipo tu
Box mungu azidi kuku inua
Ndio mkewe huyoo acha hamisa ajisevie tu
Mnaohoji muwe basi na maswali yanayohusu jamani. Tumieni weledi basi. Mmetuacha ns kiuu hamhoji maswali ya maana. Mwisho mtatuchosha kusoma habari zenu maana hazina usahihi vizuri na ziko nie ya mafa husika.
Weledi jamani please.
AYO tuleteeni na wagombea wengine wapya tujifunze kitu kwao
Tatizo wengine historia zao hazizidi mistari minne
Swali zito sana kwa wanasiasa wa Tanzania
Mpambanaji
Millard ayo hapa huna mtangazaji anaacha key concept anaongelea mambo mengine
😂😂😂😂😆
Wa ukae huyu
Wakashina mayangu???
Msumbiji isikieni tuu aisee
Hongera
Naomba hixoria iwe ndefu bci..jmni...mbona ni fundixhoo zuri xana..lakin inakuwa fupi....
Duh,maisha ni safari ndefu na ngumu
Njia ngumu nilizopita mkanipa na jina mkasema niitwe jeshi.
Mtangazaj chana nywele
😂😂😂😆
SIKU ZOTE MUNGU NI MWEMA SANA KWA MTU MWENYE BIDII.
Ndugu yetu huyu ulanga stand up
Maisha haya mmh tunahaso san
Ww kweli kichwa nilivyo kusikia tu ww uko vzr na akili imetulia
Mzungu wa roho
Anipe siri ya urembo ili nam niwe tajiri
Wapakaya
Ushamba
Dah maisha aisee
He
Bilionea?????
N
Nani amesikia he cant do anything
Hyu anaonekana dalal tu wa madin Hana lolote,kama anapga pesa kwnye madini unafuata nn kwnye ubunge,hzo ni mbnu tu za wanasiasa.
hujielewi
Acha rohombaya usimpe kurayako basi uswalitu
Ujielewi
Wivu aka husda
Kijana mpambanaji sana na ni kawaida ya watu weupe sababu wanachukia umasikini. Mbunge tumepata Ulanga
Hongera sana
Mtu hata hajafika huko mayunivaa kawa bilionea